Nazidi kubarikiwa kutoka Pretoria-S.A, Mungu wa mbinguni azidi kumtumia na kumbariki mtumishi wake Pastor D. Mmbaga
@linethowire703121 күн бұрын
Have been blessed by the WORD OF GOD...watching from Mwanza Kirumba.
@lovenessdaniella479318 күн бұрын
Jamani mbona ushuhuda wa kwanza ni kama dada anaongelea hali sawa na anayoipitia kaka yangu😭😭😭nmepata tumaini kama Mungu alimuokoa ndugu yako basi atatenda na kwangu pia😭
@jepkorirhellen561321 күн бұрын
Asanteni sana wanamagomeni ninabarkiwa kutoka Eldoret ...... Kenya 🇰🇪. Mungu akujalie mama Pr. Mmbaga.
@tellyeliud21 күн бұрын
Tunabarikiwa sana kutoka magomeni SDA church
@annadadi342721 күн бұрын
Ameen Nimebarikiwa na Ushuhuda wako Pasta David Mmbaga Ubarikiwe ❤
@Whynot123boss21 күн бұрын
From kenya watching you and following you from Lebanon mungu asantee kwa wanamagomeni kwa kutuletea njili karibu mbarikiwe sana
@ShaliMwileTV21 күн бұрын
Nabarikiwa
@janeonsarigo620621 күн бұрын
Watching from USA. Have been blessed with today's message.
@CharlesMwakapesa20 күн бұрын
Tuna wapata Kwa uzuri MUNGU awabariki tuko RUKWA eneo ILEMBA.