Siku Njema is one of the best riwaya and book i have ever read, i did this book in 2003 KCSE, niliisoma two times while in high school. Upto today nimeisoma like six times. Kongowea Muswahili was just a legend and a good example to people. Hakuna mwana haramu kitendo ndicho cha haramu. Suleiman Mapunda Jambazi, Mwizi alikuwa mnyama kweli. Rest well sir Ken Walibora.😢
@benimwenesi5273 жыл бұрын
Siku njema ilikuwa buku ya kihistoria,, Napenda kumbukumbu hii.. RIP KEN gwiji wangu bora wa Fasihi andishi
@felistersnafula72382 жыл бұрын
Siku njema reflects to our daily living up to date,,,,, Ken walibora will forever be a hero in writing
@mosesshikanda76422 жыл бұрын
Riwaya bora kuwahi kuisoma .Asanteni kwa kumbukumbu
@kipchirrobertkipchir1482 Жыл бұрын
Kifo Ni haini ya kila mwanadamu.. Lala salama Profesa
@martineomollo89973 жыл бұрын
Kazi kuntu kabisaa.. ningependa mtupe MWISHO WA KOSA na UTENGANO
@LedancyMugendi9 ай бұрын
Ken walibora daima utadumu you're my mentor wherever you are 🙏🏼🙏🏼
@refreshkenya8 ай бұрын
2024 nimetafuta kitabu hiki bila mafanikio sasa ni bahati nzuri nmepata hapa filamu ... hongera sana
Naipenda riwaya ya Siku Njema sana. Kitabu kilichiandikwa kikaandikika. Pumzika vema Ken.
@phannylizz56523 жыл бұрын
Kwanza huyu bi.rahma rafikiye marehemu zainabu....woow, just on point ☝️
@zeyahmed620 Жыл бұрын
Siku njema na damu nyeusi navipenda sana ken walibora may his soul rest in peace
@Ericcantona1995 Жыл бұрын
Hata Mimi kwanza Maskini Babu yangu
@goldenfaith95913 жыл бұрын
Waaaa aki mumeweza hapo sawa 🥳👏👏👏 nimependa sana venye mumecheza riwaya hii endeleeni vivyo hivyo 👏👏👍👍👍👍
@dennisngaine26903 жыл бұрын
Riwaya niliyoisoma tangu nilipokuwa darasa la saba. Nikawa ashiki wa Riwaya za Kiswahili na hasa kazi yake Ken Walibora. Nikidhani hii riwaya ilikuwa ya ukweli. Pumzika kwa amani gwiji Ken.
@stephenmukasia5116 Жыл бұрын
❤love it because it makes you improve your studies👍
@ErnestAkoyi25410 ай бұрын
Kazi nzuri na ukweli mwandishi hafi. Huishi milele kupitia Kazi yake
@kelvingaitr23952 жыл бұрын
Mwandishi mstaarabu kweli.....
@protusnyongesa4911 Жыл бұрын
Napenda ushauri wa mjomba kwa kongowea. Napenda mazungumzo kati ya zawadi na kongowea pale kaburi la Rashid. Kongowea na Amina chumbani baada ya kufika mombasa. Na kongowea akitoa hotuba pale shuleni.
@consolatamuindi10013 жыл бұрын
Mmecheza kama story yenyewe ongera sana. R. I. p shujaa Ken
@m.cchemiteicomedytv54312 жыл бұрын
Naipenda riwaya hii
@mwenzesamuel45562 жыл бұрын
Riwaya ya kimaadili ...naomba irudishwe mashuleni....
@abednegomutua35297 ай бұрын
Riwaya nilioisoma na kuirudia kwa mara nyingi sana. kazi kuntu sana.
@slimmy.b15203 жыл бұрын
Nani ameshawai kusoma kitabu cha siku njema chake Ken walibora?hii liwaya wa meiweza kweli r.I.p Ken mbele yako nyuma yetu.
@peaceislam12043 жыл бұрын
Nimesoma hii kitambu nikiwa mwanafunzi kidato cha tatu hadi nne shule kikuu mwaka 2006
@Justsounds123 жыл бұрын
maisha ya kongwea imenifunza mengi shukran sana
@consolatamuindi10013 жыл бұрын
Siku njema kweli mmeweza kweli
@everlynemuyila75672 жыл бұрын
Naona mtu anafanana na Juma Anderson this book was nice
@SavaiSylvia Жыл бұрын
Pia Ww umeona 😂😂Ni yy imgn
@tinyplanet65863 жыл бұрын
Mme nikumbusha hii riwaya. Shukran sana
@zenahoka62652 жыл бұрын
Ichi kitabu cha siku njema bomba
@SavaiSylvia Жыл бұрын
Huyu si ni Juma Anderson wa Papa Shirandula 😊
@juliusmoga43405 ай бұрын
Yes
@mzalendocreative15283 жыл бұрын
mimi nimependa sana vile mumecheza hii riwaya
@onlineschool40662 жыл бұрын
Riwaya nzuri hii. Naipenda.
@winniekinyamasyo141410 ай бұрын
My favorite all times
@gladysgesare95493 жыл бұрын
Nyx book nilikisoma nikiwa 7 nilikipenda sana😍😍😍
@samwelmakokhaoyaro37792 жыл бұрын
Uliyetujenga kwa lugha ya Kiswahili, sioni kama tutampata aliye kama huyu.
@kipronohkoskei98372 жыл бұрын
🥰🥰🥰🥰🥰🥰napenda hii riwaya🥰🥰🥰🥰
@benardjuma14715 ай бұрын
Riwaya bora kuliko zote ....
@danielkiprutokisa95345 ай бұрын
Mgomba changaraweni
@JUNGUKUUTHEATRE.2 жыл бұрын
Juma Anderson..🔥🔥🔥🔥
@priscahmokeira43986 ай бұрын
Iko sawa kabisa❤
@peterkinuthia4421 Жыл бұрын
Mmekitendea haki kabisa kitabu hiki
@duncankasena5 ай бұрын
Kazi nzuri
@anthonywachira44512 жыл бұрын
Very Awesome
@abednegomutua35297 ай бұрын
napenda sauti za walioagiza hii riwaya pia wanaiga sauti ya ken walibora.. hususan huyu kongowea anaiga sauti ya mwenda zake ken wali bora
@samirsha67622 ай бұрын
can i please get pdf of these books
@Changunwe22 жыл бұрын
Rest in peace professor Ken
@festusmuia50062 жыл бұрын
atakayekisoma hiki kitabu ata kama ni miaka mia tatu ijayo lazima akipende
@saidjama45812 жыл бұрын
MashAllah
@NoorAli-jf1dq Жыл бұрын
Kongowea is just one percent or less of Men kama ni mimi singengoja kuambiwa njoo tulale, Amina angenipata kitandani.
@levissanya74323 жыл бұрын
Haki huyu actor ni Timothy arege wanafana
@Spicy_Tv_Kenya2 жыл бұрын
RIP Ken🙏🙏🙏🙏🙏
@karwithamutwiri85963 жыл бұрын
Audio quality 😞😞
@annetkuniha95763 жыл бұрын
Interesting
@rosegitau51423 жыл бұрын
Nadhani iko vile kimaksuudi ndio iwe kama vile jadi ile