SIKU YA PILI YA MBIO ZA MWENGE RUKWA; KALAMBO YAPONGEZWA MATUMIZI MAZURI YA NeST.

  Рет қаралды 39

Rukwa Online TV

Rukwa Online TV

Күн бұрын

Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo Mkoani Rukwa imepongezwa kwa kutumia mfumo wa NeST katika kukamilisha manunuzi ya camera za cctv kwa ajili ya udhibiti wa upotevu wa mapato katika vizuizi vya barabarani wilayani humo.
Pongezi hizo zimetolewa na Kiongozi wa Mbio za Mwenge 2024, kitaifa Ndg. Godfrey Mnzava wakati akizindua mradi wa kamera za kudhibiti utoroshaji wa mapato na mazao.
Ndugu Mnzava amesema kuwa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo imetekeleza kwa vitendo maagizo ya Serikali kwa kufanya manunuzi kupitia mfumo wa NeST na hivyo kuzitaka taasisi za umma kuzingatia sheria za manunuzi ikiwemo matumizi ya mfumo wa NeST.
Mwenge wa Uhuru Wilayani
Kalambo umezindua miradi 3, umeweka jiwe la msingi miradi 2 na kukagua miradi 3 yenye thamani ya shilingi Bilioni 1.4.
Pamoja na miradi, viongozi wa mbio za Mwenge 2024 wametumia fursa hiyo kutoa hamasa kwa wananchi kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika tarehe 27 Novemba 2024. Aidha Mwenge wa Uhuru Wilayani humo umewataka wananchi kutunza vyanzo vya maji, kuzingatia lishe, kutokomeza UKIMWI na Kutokomeza Malaria.

Пікірлер
The Problem With Elon Musk
42:46
Johnny Harris
Рет қаралды 4,3 МЛН
小天使和小丑太会演了!#小丑#天使#家庭#搞笑
00:25
家庭搞笑日记
Рет қаралды 47 МЛН
GIANT Gummy Worm Pt.6 #shorts
00:46
Mr DegrEE
Рет қаралды 124 МЛН
MELI kubwa Duniani Hii hapa, Ni Mji Unaoelea, Inatembea milele bila kusimama,Utashangaa ubunifu wake
2:38
Kona ya Teknolojia - Habari na Maujanja
Рет қаралды 602 М.
Good Governance in practice webinar
1:17:20
Charities Regulator
Рет қаралды 1,5 М.
The Iran-Iraq War, Mapped
21:02
Johnny Harris
Рет қаралды 2,7 МЛН
DP Rigathi Gachagua Addresses the Nation
2:00:02
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 80 М.
"UMEPATA UBUNGE TU, UKAMUACHA MUMEO, TULIA NIKUPASHE WEWE" - MBUNGE KEISSY
6:07
How the Gaza genocide will lead to Israel's collapse, with Shir Hever
1:09:02
The Electronic Intifada
Рет қаралды 498 М.