SIMANZI:MAZURUI ABANANISHWA SANA LEO AJIBU KWA UCHUNGU MADAKTARI BINGWA PEMBA RUDINI KWENU KUTIBU

  Рет қаралды 4,658

Tifu Tv

Tifu Tv

Ай бұрын

TOA MAONI YAKO KWA KUTUMA SMS AMA KUPIGA KWA KUTUMIA SIMU NAMBA 0773 95 35 31 AU 0777 94 54 74 AU 0777 37 37 87 FACEBOOK PAGE TIFU TV ZANZIBAR ,TIFU TV KIJAMII ZAID.
#Tifutv #zanzibar #kijamiizaidi

Пікірлер: 12
@aminaothuman6784
@aminaothuman6784 Ай бұрын
Assalam alaikum wallahi mweshimi mariya umetowa hoja ya msingi nasio hao wanao towa poroja za siyasa
@husnamohamed9245
@husnamohamed9245 19 күн бұрын
Watu wengi wagonja kwasababu utakuta hawapati vyakula bora inakuwa watu wengi hawana damu pressure kwasababu ya maisha
@khaledsuleiman9819
@khaledsuleiman9819 Ай бұрын
Basi kama hospitali zinajaa namna hiyo , kijisiwa hichi , inaonesha watu wengi ni wagonjwa
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Ай бұрын
Tatizo wanachunguzwa wazazi wao wanatoka ktk chama gani na nafasi hupewa watoto wa viongozi ambao hawana sifa
@Rukaiya-lt3hm
@Rukaiya-lt3hm 21 күн бұрын
Tatizo la znz bajeti haiwezi kukidhi haja sababu wageni kutoka nje ya znz wanaingia bila utaratibu
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Ай бұрын
Hata ajira wanapewa Watanganyika wanaoletwa na baadhi ya wafanyakazi wanaoletwa na wanaopata uhamisho hasa hasa ktk jeshi la wananchi na jeshi la Polisi maana huwaleta ndugu zao kusoma hapa hivyo huchukuwa nafasi hiyo kuwapenyeza ktk Serikali zinapotokea ajira
@DuuSaid
@DuuSaid Ай бұрын
Pia tatizo ni wahamiaji kuwa wengi visiwani linasababisha hayo mahospitali kujaa limejificha hilo😂😂😂
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 Ай бұрын
Waekezaji siyo matatizo matatizo ni sehemu walokuwa nayo siyo ya kutosha wanazo sehemu ndogo.
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Ай бұрын
Kwani huyu Mh Waziri ndio hajuwi hasa tatizo hili?maana inaonesha hanyooshi maneno!tunao vijana wetu wengi Tu na Wana fani lkn hawapewi ajira wako ktk Hospitali na vituo binafsi hapa Zanzibar na Bara sasa kama hafahamu basi afuatilie Hilo na Sisi tutampa ushirikiano kama atataka!
@jumasaleiman
@jumasaleiman Ай бұрын
Wageni ni wengi sanaa hamuta wawezaaa kamwe
@user-et9vf2ro2k
@user-et9vf2ro2k Ай бұрын
Wengi sio hoja kumbuka mussa alipokimbia na watu wake kuelekea baharini firaauni na watu na jeshi lakee walikuua wanafika elfu tatu vp, sasa hawakuangamizwa vp kuhusu wingi waoo haikua kama takataka zinazosombwa na maji ya mvuaa kwenye mitaro ya majiii
@user-et9vf2ro2k
@user-et9vf2ro2k Ай бұрын
Wewe nani unaeleta hoja hiiii kua wingi ndio hauwwzekani
Useful gadget for styling hair 🤩💖 #gadgets #hairstyle
00:20
FLIP FLOP Hacks
Рет қаралды 10 МЛН
Little girl's dream of a giant teddy bear is about to come true #shorts
00:32
Viongozi wa Kenya Kwanza wajipata pabaya vikaoni
2:24
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 69 М.
Useful gadget for styling hair 🤩💖 #gadgets #hairstyle
00:20
FLIP FLOP Hacks
Рет қаралды 10 МЛН