KUMEKUCHA MAKAMU AKIWASHA MOTO PEMBA
4:37
4 сағат бұрын
RAIS DK.MWINYI NA TAASISI YA MKAPA
4:10
4 сағат бұрын
Пікірлер
@RamadhaniMussa-xs5uk
@RamadhaniMussa-xs5uk Сағат бұрын
Nyinyi mnouwa watu
@mchagagaspar6649
@mchagagaspar6649 2 сағат бұрын
WEWE MWINYI VIPI AMANI NAUNAKIMBIA HAKI ,KIKWETE AAKUDANGANYA KUMBUKA ULIO YASEMA MABUNGENI UKIKATA KUUTTYA ZANZIBA ,UMEWAWEKA NDUGUZO JELA MASHEIKH VILEMA ,NYINYI CCM HAMNA AIBU ,NCHIYENU INAKWENDA KAMA WATU WAAA PALASTINI ,ALLAH ANAWAONA WANA UTETEA NCHIYAO YA ZAANZIBA ,MFANO KINA MZEE NASUORO MOYO NAWENZAKE .
@user-kn8zx5gz3g
@user-kn8zx5gz3g 2 сағат бұрын
Hakuna salamaa amani ya kusuasua kuweni makini jamani..
@muhamadsalim5295
@muhamadsalim5295 2 сағат бұрын
Mashekh wengi siku hizi mumekua wanafiki sana kwa sababu ya maslahi yenu binafsi
@FakihBakari-vt5tz
@FakihBakari-vt5tz 2 сағат бұрын
jamani haya maneno yametushtua sana maana hadi video tumetumia hatuna amani kwa kweli
@SCSI523X
@SCSI523X 3 сағат бұрын
Kama umesikia neno shule sema muungano oyee
@OmarAmran-t7k
@OmarAmran-t7k 3 сағат бұрын
Unguja imekwisha tunakwenda tu ivi sasa
@user-hk2oz2eg4j
@user-hk2oz2eg4j 4 сағат бұрын
Haya matatizo yote yamesababishwa tokea kuingia watu wa nchi jirani bila ya passport (Ndugu zetu wa damu). Atakae aje ndio hayo sasa.
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 4 сағат бұрын
Sawa salama je zantel waliotuma ujumbe vipi????😢
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 4 сағат бұрын
Sasa kwenye simu hizi meseji vipi???😂
@BachooHassan-n8r
@BachooHassan-n8r 4 сағат бұрын
Kwani hivisasa znz hakuna amani mbona sijamuelewa kwa maana ameahidi bandar hatuiyoni ajira hakuna sasa huko sikuvunja amani maneno yake hayaendani navitendo
@sultansallah8772
@sultansallah8772 5 сағат бұрын
Iyo kamera isogee pale mabondeni meli tano kwendea njia kongwe
@AbdallahJuma-wb8lq
@AbdallahJuma-wb8lq 5 сағат бұрын
Miskitini,unasema,vyengine,ukitoka,unakua,chui
@AliMsellem
@AliMsellem 6 сағат бұрын
muogopeni allah s w kila tunalolifanya tutaenda kulizwa na allah s w yaumatubla sarailu muogopeni allah s w
@alwiyiynmission2820
@alwiyiynmission2820 6 сағат бұрын
MUHIMU uhai Si Miliki yenu,kwa Hilo Tunamshukuru Mola
@AliMsellem
@AliMsellem 6 сағат бұрын
hakuna cha milele ipo siku mutsondoka kwa uwezo wa allah s w
@AliMsellem
@AliMsellem 6 сағат бұрын
WW NANI ASIYEKUJUWA WW WW UNAAIBU NGAPI UZITANGAZI UKITAKA KUMSEMA MWENZAKO SEMA WW YAKO
@saidissa8273
@saidissa8273 6 сағат бұрын
Ameona akisema wanawake wa znz atakuwa amebagua. Wazanzibar hawajui wanataka nini.yaani wamekubali kutawaliwa ki uchumj mpaka ki fikra
@AliMsellem
@AliMsellem 6 сағат бұрын
CCM LINI IMESHINDA NAOMBA MAJIBU WATU WAMECHOKA NA FITINA NAUWADUWI WENU WA CCM WATU HAWAITAKI CCM WEKENI UCHAGUZI WA HAKI NA USALAMA CCM HAMUPENDWI
@user-xv4tl8iv4l
@user-xv4tl8iv4l 7 сағат бұрын
JAMANI TOFAUTISHENI N NA M. AKIA ANKIA, MWANANKE, NTU NDIO NINI?
@RukiyaKombo-mm5pr
@RukiyaKombo-mm5pr 9 сағат бұрын
Zanzibar imekua jaa LA wageni kila leo
@user-nq2np6de6l
@user-nq2np6de6l 5 сағат бұрын
Hebu wazanzibar wenzangu tubadilike maendeleo ya miji ni kuingia na kutoka watu sasa tukisema tuwe sisi tuu bila kuingiliana na jamii nyengine itakuwa familia ya mafisi sasa
@BakaryOmally
@BakaryOmally 4 сағат бұрын
​@@user-nq2np6de6lukosefu wa kutembea miji ya wengine unabaki kua na akili mgando ndiomana wazanzibar ambao wanashindwa kutoka nje ya zanzibar wengi wao huo na akili iliolala
@BakaryOmally
@BakaryOmally 4 сағат бұрын
Unataka muishi wenyewe? Ili mrogane??
@RukiyaKombo-mm5pr
@RukiyaKombo-mm5pr 9 сағат бұрын
Nakwambia mtihan tu
@salumnassornassor9733
@salumnassornassor9733 13 сағат бұрын
Mnafiki mkubwa mbona hasemi haki na uadilifu anatangaza amani wananchi hawana haki amani mbona ipo ayo majeshi mapolisi na vikosi vya Zanzibar ndio vinavovunja haki kwanza haki itawale then amani itakuwepo lkn 2025 inshaallah utaondoka Zanzibar yetu hatukutaki mwizi mkubwa shenziiiii time
@rashidramadhani9264
@rashidramadhani9264 14 сағат бұрын
Wazalendoooooooooooeeeeeh..!!!.😂
@cath-ef7wd
@cath-ef7wd 14 сағат бұрын
Haya machawa bwana
@rashidramadhani9264
@rashidramadhani9264 14 сағат бұрын
Jamaa anatafuata tonde duu. Familia kitu chengine. Tangaza yako brothe. Daar.kama ajira kaka hata kubiga debe pia ajira. Unaweza ukenda ukafanya. Ywongozi huuwezi. Puuuuu mbavu. Kisaka tonge we. Zanzibar kwanza. Mambo mengine baadae. Mamlaka kamili ndio shida yetu. Tuwe na utambulisho wetu mbele ya mataifa mengine. Takana kusima km mzanzibar sio😂 mtanzania.😮😂😂😂😂😂😂😂😂
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 14 сағат бұрын
Zanzibar kuna mijitu tafauti siku hizi hata wanatokea wapi.vurugu Tu maadili na heshima na usalama haupo
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 14 сағат бұрын
HAHAHAH, DU! YAANI DR MWINYI NI MWEHU! 👁️👁️ ANANUKA DAMU YA WATU 21 SASA ANATAKA AOMBEWE NA DUA🤣🤣🤣🤣
@aliharoun8659
@aliharoun8659 15 сағат бұрын
Haki then ndio amani shekhe
@user-om2ur5by9n
@user-om2ur5by9n 15 сағат бұрын
Quran inaeleza kuwa wafalme wakuu wa Duniani wanapenda Dhulma tuu,kugawa raia na kuwakandamiza wengne bila sababu. Z ID mpk leo vijana hawapewi kisa upinzani na ni haki yake kupewa ndo kutenda haki huku?
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 15 сағат бұрын
BILA YA MAMLAKA KAMILI YA ZANZIBAR HAKUNA MSHIKAMANO Si kosa viongozi wa Chama Cha Mapinduzi kufanya Kampeni zao Misikitini.☪️ Mashekhe wa Uwamsho Waendelee na Khutba zao Misikitini Kutaka Mamlaka Kamili ya Zanzibar☪️ Hakuna Mshikamano kwa Wazanzibari bila Mamlaka Kamili ya Zanzibar sio huu Ukoloni wa Tanganyika✝️
@LUBAINAMOHDRAJAB
@LUBAINAMOHDRAJAB 15 сағат бұрын
Haki, uadilifu, ukweli na usawa ndio huleta amani na utulivu.
@adamstour5736-kb6zq
@adamstour5736-kb6zq 16 сағат бұрын
Kuuza kaburi co tatizo eti maana aliyezikwa Tyr ashafika kwa ALLAH na ndio maana panapo makaburi sheria haikatazi kujenga makaazi
@NassorAlmazruy-bz4or
@NassorAlmazruy-bz4or 16 сағат бұрын
Acheni unafki pasipokua na haki hmn amani. Na penye dhulma hmn maendeleo tusidanganyane wazee..
@adamstour5736-kb6zq
@adamstour5736-kb6zq 16 сағат бұрын
Tifu tv kiukweli mnatakata kutafutia fitina na Mamlaka ili tujetuambiwe tunatukana e kumbe tunasema ukweli maana maneno ya huyu jamaa yanakereketa nafc hasa kwa kukosa mshonano wa hoja
@Grataaaaa
@Grataaaaa 16 сағат бұрын
Juzi umegfanya harux miziki kwako ushetani ule nd matendo mazur kweli
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 16 сағат бұрын
Yaan tupo kwenye zama ambazo Raisi wengi katika hii dunia ya sasa wanaendesha nchi kwa mabavu na sio matakwa ya wananchi
@adamstour5736-kb6zq
@adamstour5736-kb6zq 16 сағат бұрын
Kiuhalisia nafasi yako kiitifaki na uwezo wako wa kuzungumza ni mbingu na ardhi kiukweli hujuw kuzungumza bali unajuwa kusema tu
@adamstour5736-kb6zq
@adamstour5736-kb6zq 16 сағат бұрын
Kwaiy Tanganyika hakuna mtu wa Dodoma ambaye anacmamia uchaguzi geita ikiwa wako kwnn nako kusiwe na kura ya cku mbili ?
@feisalmwinyi2429
@feisalmwinyi2429 17 сағат бұрын
Sifikiriii km Mama zng walowepo apo km wanafuraishwaa na uneno unao leta chuki kati ya jamii km mlifanya pmj kumbe mshafanya mingi ok na naona km wakati serekali kuanza kumfuatilia kaka yk kule nugwi 😅
@ShadiaMussa-z6c
@ShadiaMussa-z6c 17 сағат бұрын
@abdillahmohd4317
@abdillahmohd4317 17 сағат бұрын
Allah atuhifadhi
@AhmedSeif-il1xx
@AhmedSeif-il1xx 17 сағат бұрын
Ww nimwizi tu mnafiki mkubwa ww
@RashidiAlly-cl7fo
@RashidiAlly-cl7fo 17 сағат бұрын
Wananchi wako hatuna uwezo wa kupata mlo mmoja wa uhakika kwa siku,jee!! hili unalijua bwana Rais?
@RashidiAlly-cl7fo
@RashidiAlly-cl7fo 17 сағат бұрын
Umeona wapi binadamu anayetembea bila ya kichwa?,Kichwa cha amani nchini ni haki,bila ya haki hakuna amani tusidanganye watu wazima msikitini,kwa nini neno haki hulizungumzi na wala kutaja angalau kwa sekunde moja tu kwa ulimi wako?,
@shaabanmohammed2611
@shaabanmohammed2611 17 сағат бұрын
Ofisi ya Mufti haina record nzuri katika kusimamia Utawala bora haki na usawa. Sitegemei wakupe ushauri wa maana. Wanaangalia matumbo yao na kumpamba Mfalme kwa maslahi yao binafsi. Wamesoma Dini lakini hawajahitimu. Hawafati mafunzo ya Dini yao
@shaabanmohammed2611
@shaabanmohammed2611 18 сағат бұрын
Unatafuta huruma kutoka ofisi ya Mufti/Kadhi i dont know. Watu hao wanalalia upande wako wakijipendekeza na kusahau kukukumbusha wajibu wako wa kusimamia haki. Wanapaswa kukuasa kukemea ufisadi na wizi. Wanatakiwa wakukumbushe kukemea ubaguzi. Wakwambie Mkuu unabeba dhima tekeleza ahadi watendee haki Wananchi. Mumuase Mkuu kutodhulumu nafsi za Wazanzibari kwa kumwaga damu hasa kipindi cha Uchaguzi. Mkumbusheni yalotokea wakati wa Uchaguzi 2020. Mwambieni yale yasitokee tena. Acheni kuzungumza maendeleo ya Barabara
@AbdulhaamidSoud
@AbdulhaamidSoud 18 сағат бұрын
Sheria zakijinga wizi.mtupu Tanganyika kubwa mara 50 ya Zanzibar mbona wanapiga kura siku 1?
@hafidhhemed1514
@hafidhhemed1514 18 сағат бұрын
Amani haiweze kuwepo kama hakuna haki.. simamisheni haki amani itakuja automatic... Maendeleo gani, hayo ya kutawaliwa na wageni na maadili ya kizanzibari na ya kiislamu kuporomoka, kisa barabara na majengo? Waislamu tusiwe wanafik
@AhmedSeif-il1xx
@AhmedSeif-il1xx 17 сағат бұрын
Kwani ww niwakundi gani
@AhmedSeif-il1xx
@AhmedSeif-il1xx 17 сағат бұрын
Hatumtaki kamwe
@shaabanmohammed2611
@shaabanmohammed2611 18 сағат бұрын
Kampeni ndani ya Msikiti. Mashekhe wakilianzisha mnawazuwia. Mnachanganya Siasa na Dini. Unapata shida kubwa kukwepa neno Haki. Maendeleo yepi unayoyataka? Si unajenga Barabara Skuli Spitali....Hujali Haki za Watu uko tayari kuwanyima ZanID wasiweze kupiga Kura. Hukemei Ufisadi. Matendo yako yatajibiwa Oct 2025