SIMANZI NZITO: VIFO Vya MABILIONEA ARUSHA, VIONGOZI wa SERIKALI WAOMBOLEZA...

  Рет қаралды 31,233

Global TV  Online

Global TV Online

3 жыл бұрын

SIMANZI NZITO: VIFO Vya MABILIONEA ARUSHA, VIONGOZI wa SERIKALI WAOMBOLEZA...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 36
@philomenamakonge227
@philomenamakonge227 3 жыл бұрын
Raha ya milele uwape ee Bwana na mwanga wa milele uwaangazie wapumzike kwa Amani Amina 🙏🙏
@uwezowamunguutendaokazi3043
@uwezowamunguutendaokazi3043 3 жыл бұрын
Mungu mkuu aturehem. Nchi inaitaji Maombi tena makubwa. Mengi yanasemwa katika Ibada lakini tunashindwa kusema au pakuanzia. Mungu mkuu atusaidie sote. Amen.
@realheartomary2972
@realheartomary2972 3 жыл бұрын
Kwahyo tuwasaidie nn sis Kama wamefariki na masikini wanafariki wanatangazwa lini huku nchini au mpka wafe kwa ajali na wawe zaidi ya HAMSINI ndo mtangaze
@kiyondokashuma6179
@kiyondokashuma6179 3 жыл бұрын
Wewe unajibu nn
@fauziakarama8581
@fauziakarama8581 3 жыл бұрын
Poleni sana mungu awalaze pema peponi amiin 😭
@peteryukunda9239
@peteryukunda9239 3 жыл бұрын
Omary unaniacha hoi bwana! Uko km Mimi natetemeka kwa Mungu tu.
@mdl6463
@mdl6463 3 жыл бұрын
Jamani poleni sana
@emanuelmichael9784
@emanuelmichael9784 3 жыл бұрын
😭😭😭 poleni wanadung MUNGU Ailaze Roho za Marehemu mahala pema peponi 🙏
@wardajoseph6909
@wardajoseph6909 3 жыл бұрын
Sote ni wamwenyezi mungu na kwake tunarejea
@bensonkaile9606
@bensonkaile9606 3 жыл бұрын
Hawa Mafogo wa AR walikula bata sana enzi zao hasa Mrema aisee!!
@lawimichaelwerewere7619
@lawimichaelwerewere7619 2 жыл бұрын
Mbona maskini waliokufa utaambii? Au Awana thamani nini? Acha unafiki?
@charlesemmanuel9434
@charlesemmanuel9434 3 жыл бұрын
Ila hakuna rombo moshi. Rombo ni tofauti na moshi
@shabanisaidi5290
@shabanisaidi5290 2 жыл бұрын
Rip
@MrBeerlahairoi
@MrBeerlahairoi 2 жыл бұрын
Haupo makini, nane million ndiyo nini? Rombo Moshi ni wapi?
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 3 жыл бұрын
Acha wafe mlitaka afe Nani sasa
@mirishonasari3972
@mirishonasari3972 3 жыл бұрын
Hahahaaaa
@stanslauselias9002
@stanslauselias9002 3 жыл бұрын
Wafe wote kwani utajili unatuhusu nini
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 3 жыл бұрын
Yani mm sielewi kwanini watu wakubwa nipo giza I haki
@emanuelmichael9784
@emanuelmichael9784 3 жыл бұрын
Unaweza kuwa huu ugonjwa nn jamn daah watu wanakufa 😭😭😭Mungu atusaidie
@shijashija5223
@shijashija5223 3 жыл бұрын
hatuwezi kuishi milele bnaaa , kifo tumeumbiwaa
@emanuelmichael9784
@emanuelmichael9784 3 жыл бұрын
@@shijashija5223 tatizo hawaweki waz kuwa wamekufa n nn ndugu
@luganomwasiba5804
@luganomwasiba5804 3 жыл бұрын
Duuu
@fungamajimohamed5980
@fungamajimohamed5980 3 жыл бұрын
Nn tena jaman wamefariki kwa ajali au nn nyie blob vp
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 3 жыл бұрын
COVID19 OYEEE!
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 3 жыл бұрын
Acha uongo!!
@blenfikru5012
@blenfikru5012 3 жыл бұрын
HAWA WANATAFUNWA NA GENGE LAO LA FM YAANI MASONIC WOKOVU NI AMINA NA KWELI NA YESU NI MUNGU WA DUNIA NZIMA
@magretkijanga6038
@magretkijanga6038 3 жыл бұрын
Kwa hiyo inatuhusu nini???msaada upi,msitutishie bhana
@emanuelmichael9784
@emanuelmichael9784 3 жыл бұрын
Magret huna aibu hata
@realheartomary2972
@realheartomary2972 3 жыл бұрын
Magret yupo sahihi wewe toka babu zako wamefariki ametangzwa yupi kwenye madia
@emanuelmichael9784
@emanuelmichael9784 3 жыл бұрын
@@realheartomary2972 wacha we kumbe hivyo uliwazika weeee🤣🤣🤣kwan mlilazimishwa kukomment? au mlijua mtalipwa 🤣🤣🤣
@emanuelmichael9784
@emanuelmichael9784 3 жыл бұрын
Umeambulia pua ulitegemea utalipwa kumbe zako ndo zinaend🤣🤣🤣
@kiyondokashuma6179
@kiyondokashuma6179 3 жыл бұрын
Kwani mpk upewe we?
HAPPY BIRTHDAY @mozabrick 🎉 #cat #funny
00:36
SOFIADELMONSTRO
Рет қаралды 18 МЛН
DAD LEFT HIS OLD SOCKS ON THE COUCH…😱😂
00:24
JULI_PROETO
Рет қаралды 15 МЛН
CHUMBA MAALUM ANACHOLALA RAIS "SIMU HAIINGII"
6:33
Millard Ayo
Рет қаралды 428 М.
MALI ZA BILIONEA MSUYA ZAANZA KURUDISHWA KWA WATOTO NA SERIKALI
12:07
Global TV Online
Рет қаралды 190 М.
HAPPY BIRTHDAY @mozabrick 🎉 #cat #funny
00:36
SOFIADELMONSTRO
Рет қаралды 18 МЛН