Simba 0-1 Yanga | Uchambuzi wa goli | NBC Premier League 19/10/2024

  Рет қаралды 41,606

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Azam TV

Пікірлер: 92
@markmakowa6154
@markmakowa6154 7 сағат бұрын
Aisee wachambuzi mahiri sana
@ezekielbkuyeko5241
@ezekielbkuyeko5241 8 сағат бұрын
Kiemba kazungumza vizuri sana na sidhani kama kuna la kuongezea juu ya alichozungumza japo tutasikiliza tu kwasababu ni haki ya mtu kuongea na kusikilizwa lkn @kiemba amechambua vizuri wenye kuelewa haraka tumemuelewa vizuri
@lusajoholland7072
@lusajoholland7072 10 сағат бұрын
Mbona comment hamna?mnataka tusome Nini sisi wapenzi wa comment jamani!?😅
@grationkato7658
@grationkato7658 7 сағат бұрын
Siilikuwa live
@EmanuelMinja-fv9dn
@EmanuelMinja-fv9dn 5 сағат бұрын
Wewe unataka koment gani wew Ni Simba eee kunywa pombe huko ujitulize
@Waberoya
@Waberoya 3 сағат бұрын
Nyie Simba chambuenj
@victorernest7702
@victorernest7702 10 сағат бұрын
Angedaka mtanzania salim au manila mbona wangekohoa damu Kwa kes za kuuza match ila kwakuwa ni mgeni aaaaaaah😂😂
@charlesmseti4345
@charlesmseti4345 5 сағат бұрын
tatzo hatupendani wabongo wivu unatusumbua
@AliSaleh-x9e
@AliSaleh-x9e 4 сағат бұрын
Ni kweli class ya timu ,kipa mpira unatoka hajui,
@mweyoms5548
@mweyoms5548 2 сағат бұрын
Jibu la Mbwaduke ndilo limekaa vizuri zaidi. Mabeki wa Simba pale siwalaumu,walizidiwa maarifa ya kimchezo kwenye hili tukio.
@Tassyomy
@Tassyomy 5 сағат бұрын
Kijili..Aliona Bora Amlipe Mzize..Mapema Lakin Alichokosea Jakuangalia Malipo Yake Anayalipia Sehemu Gani.. Mzize Na Kijili Wote Mbingumi..😂😂😂
@Baberes120
@Baberes120 Сағат бұрын
1.Mpira ulitoka 2. Haikuwa fauli
@KhadijaHassany
@KhadijaHassany 2 сағат бұрын
Mungu akulan kayoko
@simonIbrahim-hc8vm
@simonIbrahim-hc8vm 8 сағат бұрын
Yanga Bingwa💪
@DanielKitangita
@DanielKitangita 28 минут бұрын
pengine VIR zinasaidia sana kwa ule mpira ukiangalia vizuri na zaidi ulidundia nje ukaludi ndani ilipaswa kupigwa kona ila kwakua ni mpira wa kiafrika tutaumizana tu kila siku
@OmarSeafood
@OmarSeafood 2 сағат бұрын
Ebwaaa eee kuna huyu jamaaa anaitwa mwaduke ni bonge moja la mchambuzi ukimsikiliza lazima kuna kitu unajifuza ni kweli hili Goli ni lilifanyiwa kazi mazoezini😮
@HusseinBakar-k8n
@HusseinBakar-k8n Сағат бұрын
Je kibendera hakuona kama mpira umetoka
@TeddyPaul-qo2iy
@TeddyPaul-qo2iy 10 сағат бұрын
Tumekubaliana na wachambuzi ukiona hivo lusajo
@ZuhurafumaoHatibu
@ZuhurafumaoHatibu 9 сағат бұрын
Hukutoka nje
@frankngendelo4697
@frankngendelo4697 2 сағат бұрын
Kwan hilo la mpira kutoka nje hamlioni au
@HusseinFeisal-m3l
@HusseinFeisal-m3l Сағат бұрын
Ni kweli nmeona interview za abdul azizi akisema kua tumefanyia mazoezi hizi
@mianjotv1244
@mianjotv1244 39 минут бұрын
Mpra ulitoka nje
@BlessMbogela
@BlessMbogela 4 сағат бұрын
Me AZAM kuanzia leo😅
@SajentElly
@SajentElly 10 сағат бұрын
Mbona mpira kama ulitoka nje
@LinusKyando
@LinusKyando 4 сағат бұрын
MPAKA USEME
@AugustinhoManyangaunitedboetz3
@AugustinhoManyangaunitedboetz3 3 сағат бұрын
Aukutoka ulidunda kwenye mstari na sio nje
@RosePetro-ck8pt
@RosePetro-ck8pt 45 минут бұрын
Lkn nyavu zikatikisika
@RosePetro-ck8pt
@RosePetro-ck8pt 43 минут бұрын
Poa sana chama,
@ashuramuhammed3257
@ashuramuhammed3257 3 сағат бұрын
Simba kamara mnampenda lakin Ali salum yuko vzur sana ila mnapenda sana wagen
@MuznaAlly
@MuznaAlly Сағат бұрын
Nyie diara mwenyeji??
@HusnatShabani
@HusnatShabani 10 минут бұрын
Siogoli mpira ulikuwa umetoka njee refa wenu kayoko kakaa kimia
@franccoz94
@franccoz94 2 сағат бұрын
MBONA HAMSEMI MPIRA ULIKUA UMETOKAA,AZAM MNAWAOGOPA UTOPOLO, PENATI HAMSEMI,MNASIFIA UTOPOLO NA USHINDI WA UDHURUMATII
@BarbraMbelwa-jr9sd
@BarbraMbelwa-jr9sd 2 сағат бұрын
VAR ingekuwepo lisimgekuwa goli.Mpira ulidunda nje ukarudi ndani.Ile ilistahili kuwa kona.
@wechemakambo2182
@wechemakambo2182 Сағат бұрын
yanga ndiyo magoli yao hayo na waamuzi hufungwa macho
@RosePetro-ck8pt
@RosePetro-ck8pt 47 минут бұрын
Ungeweka kona,mtateseka sana
@BarbraMbelwa-jr9sd
@BarbraMbelwa-jr9sd 43 минут бұрын
@@RosePetro-ck8pt 😁
@ALBERTNyemba-uk3fr
@ALBERTNyemba-uk3fr 4 сағат бұрын
Muulize faluduro kwann komment akuna😅😅😅😅😅
@HusseinBakar-k8n
@HusseinBakar-k8n Сағат бұрын
Mm pale sikuona faulu
@PhilipoLeonard-q5w
@PhilipoLeonard-q5w 32 минут бұрын
Mbona hamsemi offside wachezaji wanne mwamuzi anaangalia tu
@EmanuelMinja-fv9dn
@EmanuelMinja-fv9dn 5 сағат бұрын
Simba wamepamban kupunguza goli nyingi
@Cheka_upasuke
@Cheka_upasuke 2 сағат бұрын
KAYOKO hafai kuwa na bag ya FIFA maamuzi ya kifala sana
@GilbelineNkurunziza
@GilbelineNkurunziza 3 сағат бұрын
Yani simba badosana kuifunga yanga tani bado😅😅😅😅😅
@GodlistenNdetaulwa
@GodlistenNdetaulwa 3 сағат бұрын
Yanga imeshindikana Africa ,Simba kwani sio ya Africa au, ataachwaje na Yanga bila kulizwa!????
@LinusKyando
@LinusKyando 4 сағат бұрын
KILA MKIMUWEKA KAMARA IMO
@remmybenjaminkasochela1901
@remmybenjaminkasochela1901 58 минут бұрын
Pamoja na yote Kamala ndio golikipa bora kuwah kutokea Tanzania league huyu mwamba apewe maua yake
@BahatiMgallah
@BahatiMgallah 3 сағат бұрын
Imeisha hiyo point tatu
@AltamimSoud
@AltamimSoud 46 минут бұрын
Hapa wachambuzi wote sioni kama wanafuatilia vizuri maana kama kumeamuliwa kuna VAR na wakiangalia uzuri mpira alioruka kamara na ulitulia nnje ukarudi ndani sasa nchi za wenzetu ndio wanagutilia matukio hapa wanalaumu kipa na simba sio marefa na ma VAR wanaofuatilia hawajaliona la mpira kutulia nnje ukarudi ndani alipojaribu kuudaka kipa ??
@Shaban-m7k
@Shaban-m7k 4 сағат бұрын
Iyo ndio mipango ya soka
@yunusimchala6569
@yunusimchala6569 4 сағат бұрын
Ila mvua imeharibu lad has ya bolii
@davidntowanga7717
@davidntowanga7717 9 сағат бұрын
no comment
@MsafirSteven
@MsafirSteven 3 сағат бұрын
Simba wanayo shuli mm renad Joseph kutoka sengerema mwanza tz 0:00
@MsafirSteven
@MsafirSteven 3 сағат бұрын
Nami nipo musiniache
@LameckLulimbiyeNdalifanye
@LameckLulimbiyeNdalifanye 2 сағат бұрын
Yeye angeuacha tatzo misifa huwajui Simba eti anaweza kalikologa alinywe sasa
@truhjay7891
@truhjay7891 2 сағат бұрын
Mi ni sound engineer aise, waambie studio wafanye vizuri kwenye sautii aisee kuna makelele Yani (distortion) ni hayo Tu.
@selemankishema5780
@selemankishema5780 3 сағат бұрын
Hata kama vipi kipa alitakiwa aokoe kwa kutoa nje sio kuurudisha ndani au kuudaka hata kama alidhani mpira utaingia golini kwakuwa ulikuwa mpira uliopigwa pembeni mwa goli
@naimasbuguza2395
@naimasbuguza2395 2 сағат бұрын
Camara ni kipa mzur lakin Hana kocha mzr na hajawah kupata kocha mzr. Anatumia kipaji chake tu Bila professionalism au akili yake... Ikiwa mchezaji anakipaji inahitajika apate kocha atakaye muongezea mbinu na akili ya kiuchezaji.. Kamara anafanya makosa yakitoto for the second time..
@vicenttarimo2203
@vicenttarimo2203 Сағат бұрын
Kwanza mbona tofauti na mpira kutoka pia wacheji wa yanga walikua Of said
@EnzoKaisedo-t9s
@EnzoKaisedo-t9s Сағат бұрын
Tusipo wafunga wanajifunga wenyewee
@allymtanga8127
@allymtanga8127 19 минут бұрын
KAMA SAUZI TUU😅😅😅😅😅
@GeofreySolomoni
@GeofreySolomoni 4 сағат бұрын
Mpira ulitoka
@jumannemohamedy1456
@jumannemohamedy1456 3 сағат бұрын
Nyie AZAMU ni waulize kwani mli nunua VR ije kuwa urembo wa Taifa ama mme nunua VR ije kuwa urembo kwenye jumba lenu la AZAMU mmna ukosea sana mpira wa miguu
@MhinaKulewa
@MhinaKulewa 2 сағат бұрын
Azam hawana mamlaka ya kununua VAR na kuifunga kwenye uwanja wowote bila Tff kuhusika. Kama unataka VAR waulize Tff sio Azam
@GetrudeSusuma-pe5ui
@GetrudeSusuma-pe5ui Сағат бұрын
Dah goli la mchongo
@harunkaluona7779
@harunkaluona7779 2 сағат бұрын
Mbona mpira mbona umedunda nje.nyinyi mmeng'ang"ANIA kwenye hili.
@KhamisShaur-wt3fk
@KhamisShaur-wt3fk 2 сағат бұрын
Ulitoka nje
@SafarKuhaha
@SafarKuhaha 2 сағат бұрын
Mbaka. Mseme na hajasema
@AliSaleh-x9e
@AliSaleh-x9e 4 сағат бұрын
Kipa anaanika nguo kavu
@allytwalib7787
@allytwalib7787 Сағат бұрын
hiv na simba hii wachezaji wamehongwa? au yanga wapo mbali kiuwezo
@LinusKyando
@LinusKyando 4 сағат бұрын
MNASHANGAA KUFUNGWA GOLI MOJA?LEVEL YENU NI KENGOLD,KMC,
@babycandycharles7816
@babycandycharles7816 3 сағат бұрын
Kweli kabisa faulo inapigwa michezaji ya simba yote imeduwaa tu ivimashabiki hawaliononi hili onawachezajiwao walivoduwaaa wanashangaa mpaka Max anaenda kupiga mpira yenyewe ikaatu kimya mwisho inaenda kujifunga yenyewe hahahah hongeleni wachambuzi kwakuliona ilo
@piussangu7963
@piussangu7963 4 сағат бұрын
Gamond ni anga zingine nyie
@errydeo8865
@errydeo8865 5 сағат бұрын
Kipa au beki,kama huna UHAKIKA, MPIRA UNAUTOA NJE ili wenzio wajipange! Hiyo ilikua school boy error! Diara huo ujinga HAFANYI! HUYU KIPA HAMNA KITU! kesha i cost simba 5 POINTS kwa makosa ya kitoto!
@HajiAthumani-z9e
@HajiAthumani-z9e 2 сағат бұрын
Mpira unaonyesha ulitoka na lazimeni alikua karibu kashindwa kunyanyua kibendaea?
@nelsonerasto6048
@nelsonerasto6048 3 сағат бұрын
Wapumbav kwel hao kwenye mpira mbn hawachambui kwamb umetoka au haujatoka kitaalam
@AugustinhoManyangaunitedboetz3
@AugustinhoManyangaunitedboetz3 3 сағат бұрын
Sasa watachumbuaje mpira ambao aujatoka ukiona kitu akichambuliwi jua akijatokea
@habarimatukio3985
@habarimatukio3985 8 сағат бұрын
MPIRA ulisha toka mbona golikipa kaushikia nje
@rachelbujuli4487
@rachelbujuli4487 3 сағат бұрын
Mechi irudiwe😂😂😂😂😂
@LinusKyando
@LinusKyando 4 сағат бұрын
KIJIRI NA KAMARA NI MADUKA YETUI NA BADO MPAKA MSEME MADUKA HAMUJAYAONDOA,MUKIONDOA DUKA MNALETA MADUKA
@josephgalandu128
@josephgalandu128 3 сағат бұрын
Mapitoooooo m Pitoooo Camara mapitooooo Simba Presure mapitoooo😂😂😂😂
@Cheka_upasuke
@Cheka_upasuke 2 сағат бұрын
Azama ni media ya kijinga sana, mnachambua goli ambalo ni halali mnaacha kuchambua makosa ya boka na mudathiri mmekuwa chawa wa Yanga. Acheni ungese,
@edwardmwacha
@edwardmwacha 2 сағат бұрын
Mamaaako
@Cheka_upasuke
@Cheka_upasuke 37 минут бұрын
@@edwardmwacha utapakwa mafuta tuliza komwe mgese mwingine
@ProfessionalPaul
@ProfessionalPaul 7 сағат бұрын
inamaana nyie wote amkuona kama umetoka nyie makuma kwel
@saltechnologiesco.ltd.2377
@saltechnologiesco.ltd.2377 7 сағат бұрын
Wewe uliyeona kama umetoka ulitumia kiungo gani kuzuia msifungwe?😂
@HusseinChai-n4g
@HusseinChai-n4g 6 сағат бұрын
😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂
@EmanuelMinja-fv9dn
@EmanuelMinja-fv9dn 5 сағат бұрын
Sasa unatukana nn umepaniki nn mtu unatukan kwenye mtandao akili sifuri
@DaudiIpyana
@DaudiIpyana 3 сағат бұрын
Kafute goli basi sawa 😂😂😂😂💚💚💪💪
@EnockNanyaro-lk1zi
@EnockNanyaro-lk1zi 3 сағат бұрын
Match kaimaliza kayoko tuwe wakweli maana penalty mbili za kibu kufanyiwa foul kapeta pia red mbili Moja Kwa Simba Moja Kwa yanga kapeta
@HusseinBakar-k8n
@HusseinBakar-k8n Сағат бұрын
Je kibendera hakuona kama mpira umetoka
@GilbelineNkurunziza
@GilbelineNkurunziza 3 сағат бұрын
Yani simba badosana kuifunga yanga tani bado😅😅😅😅😅
KENYA KILA MTU FISADI, GACHAGUA APEWE HAKI KUJITETEA | UCHAMBUZI
20:56
Mom had to stand up for the whole family!❤️😍😁
00:39
VAMPIRE DESTROYED GIRL???? 😱
00:56
INO
Рет қаралды 7 МЛН
didn't manage to catch the ball #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 33 МЛН
Я сделала самое маленькое в мире мороженое!
00:43
Кушать Хочу
Рет қаралды 4,6 МЛН
MALAIKA AZUA GUMZO ALIVYOIFATA TUZO YA HARMONIZE
5:01
Millard Ayo
Рет қаралды 39 М.
SIMBA ULAYA KWA HASIRA AMVAA KAYOKO HATUTAKI MAREFA WA TANZANIA
9:09
Ngwale Sports HD
Рет қаралды 67 М.
MCHUNGAJI WA SIMBA AWASHUSHIA LAWAMA TFF| WAMEUZA MECHI YETU
8:57
Mom had to stand up for the whole family!❤️😍😁
00:39