Coach Fadlu should insist on safety first. Nonsense back passes need to be eradicated
@AbuuAyubu-t7c22 күн бұрын
Kiukweli simba haina namba kumi wakuchezesha
@MudyRamadhan-z7v23 күн бұрын
Nyie hamna lolote kwenye uchambuzi kazi yenu unafiki tu
@peniellymollely992623 күн бұрын
Kachambue wew mandazi
@mckobatz586123 күн бұрын
😂😂😂dah
@hopesonelia715423 күн бұрын
Nazani kuna haja ya wachambuzi kwenda shule kuliko kuchambua soko bila uelewa
@shabanichacha456223 күн бұрын
Hamna kitu mnachambua hapo labda useme unamaslahi Binafsi na huyo Chasambi mbona mechi ambazo hakuepo tulishinda kwamba Jana ndiye amekuja kuokoa na hamna alichofanya hopeless
@RaymondCharlesSaliboko-to6vx20 күн бұрын
Kwani tunacheza na vibedela? Au tusingefuzu ndiyo mngejua tumekutana na Tim ngumu
@msabahaissa620123 күн бұрын
Chemalone na maquire nani bora?
@AllyAlly-q4s23 күн бұрын
We jamaa unajifaja unajua sana asa mbona sio kocha mshamba we
@galetmwakyambiki176323 күн бұрын
Wakishinda mo wakifungwa mangungu
@AlbertNgailo-l5k23 күн бұрын
Kumbuka style yake ndo ilitupa goli na cs facine
@ngonyanirahim516323 күн бұрын
Mimi nadhani Mpanzu achezeshwe kama namba 10 halafu Houa acheze winga
@godsonmolla159423 күн бұрын
Wachambuzi zero kbs mlitaka tufunguke ugenini halafu? Acheni unafiki tumeshaingia robo fainali
@AminaNjopeka-b9q23 күн бұрын
Chambua ww
@alexmottielitetv36123 күн бұрын
Chambua www
@SylvesterMasalu-u5w23 күн бұрын
Hivi wewe unae wapinga wachambuz sikachambie wewe kwa ulikatazwa kusomea hiyo fani kwaiyo uko uliko uyataka wakae studio kichambua familiya ya kwenu
@danielmashamba341023 күн бұрын
Huna hoja
@LeonardKizito-m5u23 күн бұрын
Shida huku kwetu mtwara iyo redio aipatkan
@williammtani839623 күн бұрын
Mbona hamyasemi ya Yanga. Je, mmeona mechi ya Yanga na Al Hilal???
@AbuuAyubu-t7c22 күн бұрын
Yanga na Alhilali mechi ya mchongo ibenge kaleta ugalatia wake wa kuwachukia waarabu