Mnalia mnalia sana " mkuki mtamu kwa nguruwe " dunduka jinga mpaka limepitiliza ---- kwenye ngao ya jamii,refa angekuwa fear mngekufa ngapi " mmezoea kudanganyana "
@josephndaki800312 сағат бұрын
Dr mzima unalilia penart na Yanga hajawafunga mmejifunga wenyewe. Si rahisi ktk derby kutoa penart rahisi
@Masengo-su3mfКүн бұрын
Wewe una tutiya ahibu kubwa wana kigoma ahuna elim😢u pole sana kwa ayo chadema oyee kunja ngumi oyeree
@sitysineКүн бұрын
Yani hili jamaa senge sana linaendekeza ushabiki xaana kuliko kuangalia mpira halisi, kibu denis kafunga goli gani sasa ? ni offside clear na imeonekana wazi kabisa...
@AshimuMuhammad2 күн бұрын
Huyu muongo sana kah yn dakika 15 walizocheza ndyo wamemiliki.mpira %58 et kah kweli huyu muongo balaa mm simaba ila sio kwakuongea ujinga huu
@saltechnologiesco.ltd.237722 сағат бұрын
Haeleweki ni shabiki maandazi. Sasa hatujui anapolalamika hawana kocha kisha anataka ushindi!! Hizo mic lazima zimejaa mate 😂😂😂
@MartinMwakalobo23 сағат бұрын
Ubaya ukifanyiwa wewe inauma sana ila tambua Azam nao waliumia hivyo hivyo walipo fungwa magoli ya ofsaidi
@mayunga-d5f18 сағат бұрын
kabisa
@Masengo-su3mfКүн бұрын
Sasa kwataarifa yako mchome inatakiwa ampige yule mandevu ili ajuwe kigoma jinsi ilivyo
@alexndihokubwayo80102 күн бұрын
Wewe mo hujuwi mupila wewe hunaakili
@saltechnologiesco.ltd.237722 сағат бұрын
Huyu dokta maandazi atuambie kwa Azam na Dodoma jiji kama ilikuwa mipango pia?
@mayunga-d5f18 сағат бұрын
hahahah
@saltechnologiesco.ltd.237722 сағат бұрын
Hawa wanaotoa tuhuma wahojiwe watoe ushahidi ili kuondoa upuuzi wa watu kubwata vitu visivyo na ushahidi kwenye media. Vinginevyo wataweka mashinikizo yatakayoharibu mpira wetu