Mashabiki wa Simba hatulaumu wachezaji wetu. Sio kwa simba hii
@godfreyselomba937812 сағат бұрын
Kiukweli Mimi nasema Yote yanayosemwa ni sahihi wanaosema refa kakosea ni sawa na wanao sema hajakosea pia ni sawa. Mi cha kuchangia naomba asifungiwe tuombe mungu miaka iende aendelee kuchezesha na ipo siku dhambi anayo ifanya atakuja kukutana na kitu ambacho atajuta yeye familia yake na walio mtuma kuna watu wanakufa kwa maamuzi ya kipumbavu. Ila naamini atajirekebisha kwa vile Bingwa keshapatikana wakimpa mechi atachezesha vizuri.
@janethcharles11464 сағат бұрын
Usiseme timu haijafunga au haijatengeneza nafasi unataka unataka itengeneze nafasi zipi zaidi ya penalties?
@MasterNicodemus-yw8tq4 сағат бұрын
Huyu refa anatumwa kufanya ujinga anaoufanya .huyu anamaelekezo
@lucymsheshi587113 сағат бұрын
Yani kila mtu mchambuzi😅😅😅😅
@rashidally86310 сағат бұрын
Nawewe unakili kama ya kayoko watu wamekufa wewe unamtetea timu imekosa ushindi kafaidika mwingine
@ramadhanichubi913913 сағат бұрын
Nakubliana naye,tumsamehe refa ni bnadamu lakini jirekebishe
@taseleli918111 сағат бұрын
Anasamehewaje wakati hajaomba msamaha yaaani afungiwe tu ili iwe fundisho Kwa wengine