Mo aendelee kusajili zaidi quality players sisi mashabiki tuendelee kujenga uwanja
@yahyamalolo32023 ай бұрын
Ahmed Ally akili kubwa nimesikiliza sijasikia ukiishambulia timu ya Yanga hata kidogo safi sana
@NurdinHittu3 ай бұрын
Sema nini ahmed Ally you are so talented honestly mtu hachoki kusikiliza et mrembo anakatisha nani huyuu 😂😂
@AdamMbwana-p6n3 ай бұрын
Ahmed ali
@kwisa48993 ай бұрын
Watupe Budget ya uwanja mashabiki tuchangie tunaweza kujenga sio lazima MO
@raphaelkaswahili3233 ай бұрын
Simba na yanga haziwezi kumiliki viwanja kwa sababu vya serikali itapoteza mapato
@GudilaAkaro3 ай бұрын
Facts hz timu watu wananufaika nazo wakiw na viwanja vyao gate collection na kodi zitapungua@@raphaelkaswahili323
@allymokiwa-v6w3 ай бұрын
Tuchange tujenge tu !
@Ommybabaa473 ай бұрын
❤️ALHAMDULILLAH❤️🇹🇿 🇦🇪 MO arena
@hamisimsosi62373 ай бұрын
Acha mdomo wewe kwenu hata kibanda hujajenga unataka ujenge uwanja unadhani wanajenga kwa sh efu kumi😅😅😅😅😅😅😅😅
@Ommybabaa473 ай бұрын
@@hamisimsosi6237 Umeshamaliza kijana hipopp fc kijana wa buku mbili 2000 😂 Asante Sanaaa kwa ushauri wako nitaufanyia kazi
@NeymaTarimo-uk1zw3 ай бұрын
@@hamisimsosi6237sasa mbona unakasirika
@OmanOman-c9d3 ай бұрын
❤❤❤❤
@DerickMwanakulya3 ай бұрын
Upo vzr semaj
@anithawidambe75433 ай бұрын
JAMANI KAMILISHENIMFUMO WA UENDESHAJI WA TIMU YA SIMBA. ILI BABA YETU AANZE KAZI CY TUNAMWAMINIA SANA.
@KulwaMyalla3 ай бұрын
Unafikiri kujenga uwanja ni kitu chepesi wacha mwenye hela afanye yake
@johnmgalatia19393 ай бұрын
USHAURI WANGU KWA CROWN MEDIA TUJITOFAUTISHE NA MEDIA NYINGINE, KWA KUWEKA MUDA WA TAARIFA ILI MWANAFAMILIA AKIINGIA TU AJUE HII HABARI NI YA MUDA HUU AU SAA CHACHE ZILIZOPITA
@AbdulyBajun3 ай бұрын
Watujengee uwanj mzuri n mkubwa tuwazid wapinzn kilankitu
@Esterkomba-ef7eb3 ай бұрын
Woooooo hatari sana
@johnmgalatia19393 ай бұрын
Na muwe mnasoma comment
@anithawidambe75433 ай бұрын
UPO SAHIHI SANA SEMAJI LA CAF. MO NAFUU TUJENGE UWANJA WETU ILI KUINGIZA MPATO KWENYE TIMU YETU. MAANA WANATUZIDI HATA TIMU ZINGINE. HATA KM CY MSHABIKI TUTACHANGIA ILI TUWE NA WA KWETU.
@mchumawilfred65293 ай бұрын
Watupatie bujeti tuchangie wanazimba sio lazima Mo mwenyewe