Mechi ya arsenal na man u bruno aliingilia Lakin rashford akafunga goli na likakubaliwa
@JghghfgjjgfHvfghhhffАй бұрын
Simba inaonewa sana fingisu nyingi sana😢😢
@Salamy99HamadiАй бұрын
More brilliant muamuzi wa pemben kila ki2 ni skills hongera sana muamuzi hongera simba pia kwakutotoka mchezoni
@MartiniKishanguАй бұрын
Mungu yupo upande wetu maadui mkae kimya 😊😊😊😊
@innocentchacha1082Ай бұрын
hamna offside hapo.
@JumaMdiesaАй бұрын
Walitaka alhaly warudishe ili iwe sare ya 2-2 na ili tutolew kwa gori la ugenini lakin mungu anasimamia kwenye haki tu
@MussaKitalutaАй бұрын
Mulo yupo sahihi sana na anajicho la ziada. Maana hata Mimi nilikua sijaielewa imekuaje? Hongela sana kaka japo watu hawakuelewi. Kibendera alikuwa sahihi
@mswakisaid2320Ай бұрын
Aaaaaaah tuachieni bando zetu tuangalie goli la balua sisi😂 Kama mwana SIMBA,3✔️ Zatutoshaeeeeeee
@LindaMbilinyi-n3nАй бұрын
Simba ina maadui weng sana,inaandamwa sanaa hakuna cha offside hapo na bdo lililokataliwa barua akaja kutulipia,,Mungu co shemeji yao
@ceedanstan6780Ай бұрын
Haahahaaabaja jaman et sio shemeji yaoii
@CHRISTIANO-q4rАй бұрын
Kaka mwaduke marefalii Wanaharibu soka letu na ubaya ubwelaaaaa tumenyimwa Gori letu hakika ukifanikiwa wachawi wengi
@CHRISTIANO-q4rАй бұрын
Na bado walitaka kutukatia tenaa Gori la barua duuuuuu jmn hakika Wana ubayaaa ubwelaaaa tuna maadui wengi
@CHRISTIANO-q4rАй бұрын
Huyoo Refa kaka yaoo
@MohamedRugamanaАй бұрын
Muro Yanga pyuuu hata sauti yake iko chini kwa uchungu
@shinestudiotz3221Ай бұрын
Huyo Muro anaonyesha udhaifu mkubwa katika taaluma yake
@memasecretarieteАй бұрын
ukiachana na hio offside lakin hiyo pasi ya kagoma kwenda kwa ateba ni hatari
@AtanasKamejaАй бұрын
Simba 4 kwa 1
@GBPazzoАй бұрын
Ilielezwa mapema, refa wa leo ni mwanafunzi😅
@Shaban-y5fАй бұрын
Simba4 al hiilali tripoli 1ubaya ubeela🎉
@Emmanuel-82kАй бұрын
Hakunaga offside ndani ya half ya mchezaji ateba alisharudi ndani ya nusu yake
@luckygmdegela8477Ай бұрын
Hakuna offside ,,, angalien mguu wa kushoto wa mchezaji wa tripol na bega lake kisha angalia ateba na kichwa bega
@Lodizo-jj1chАй бұрын
It's ofside muro you know 🎉🎉🎉🎉
@gabrielnybala2165Ай бұрын
Refa alituonea hapa hakuna offside hapa
@ZahiruHamisiАй бұрын
Nyi hesabieni 3-1 mi mahesabu yangu yabasoma 4-1.UBAYA UBWELA😂
@faidhamyovela179Ай бұрын
😂😂😂
@Dipeson700Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@kambamazig02024Ай бұрын
Kuna umhi mu wa ku-invest kwenye VAR Tanzania.
@molenicharles9107Ай бұрын
Mkachambue mavuzi ya wakezenu muyatowe MBA ☹️☹️
@ImranSalumАй бұрын
Matusi ya nini Sasa wanasimba tunasamini na kujari maamuzi ya lefa.Punguzeni matusi jamani.
@champion.906Ай бұрын
Ateba haezi kuwa offside wakati ateba amaupa mgongo goli la mpinzani...kakosea tu
@PaulMuasya-z8cАй бұрын
Hapa hakuna offside kwani Ateba wakati yuko mbele mpira ulikua bado kutoka mguuni kwa mwenye kutoa pasi. Laiti kugelikua na VAR ile ingelikua ni goli halali. Na kutomuamini huyu mshika kibendera ndio umeona goli la tatu Edwini Balua ameamua kufunga mwenyewe badala ya kutoa pasi kwa mmoja ya wenzake wawili aliokua nao hapo mbele.
@EduardRaymond-d5wАй бұрын
Nyimbo mpya ya jeimelod
@MaikoMushi-w6mАй бұрын
Afu tatizo mpak uku nyumban Kuna maadui
@AugustinoShijaАй бұрын
Hapa refa ameamua kutunyonga wanalunyasi daaaaaah
@SadickFilibertАй бұрын
Wametunyima gori ban😢😢😢😢😢
@KomboKhamisMwadiniАй бұрын
Hapo. Mkiizungumzia offside ya Ateba kwenda kucheza mpira ilikua mpira haujavuka mstari wakat je! Hiyo offside inatafsika vip?
@MartinDaridajegaАй бұрын
Japo kua ni refa kakataa goli lakin tumeweka hishima 😢😢😢
@BakariMaalim-j3rАй бұрын
Kwa mara ya kwanza wachambuzi wa Tanzania wameongea ukweli ile sio offside 😂😂😂😂😂😂😂😂
@EliudMushangiАй бұрын
Eliudi msyangi kutoka musoma apo mahamzi ayakuwa sawa maana tiari atemba alikuwa amevunja offisaidi
@aminatanzanya7475Ай бұрын
Sis tunajuw Simba 4-1Al ahly mengine mtajuw wenyew wachambuz
@BushiriAlly-d7fАй бұрын
Haya chukua uyale
@philemornmutta1597Ай бұрын
Walifukuza mwizi wakaacha mlango wa duka wazi
@KelvinJoel-rh7wbАй бұрын
Lakini akishacheza Beki offside inavunjwa ...Beki aliucheza no Offside
@InnocentPeter-r2lАй бұрын
Mkachambue mahalage moira hamuwez
@saimonntani6831Ай бұрын
Mnaossema ofside wote wajinga.ateba alisha vunja ofside.hayo nimapungufu ya marefa wakiafrica. Illikuwa ni clear goli. Simba hata tuukkiwa na maaaduwi tutasonga mbele tuu.
@MussaKitalutaАй бұрын
Mjinga wewe usiyejua Sheria ya mpira
@AnordJoseph-e2eАй бұрын
Ahaa hapo ndo nimegundua ni offside
@Dipeson700Ай бұрын
Yeah sure, ata mim
@ELISHAMGENIАй бұрын
Ila ni ofside .... Na kibendera kilinyooshwa zamaniii ..... Atebas bend
@TassyomyАй бұрын
Wamezoea Kubebwa Hao Mbwa..Leo Imekula Kwao
@mudhihirugara8845Ай бұрын
Ndomaana afrika mpila haukuwarefa wakifika kwa timuza watu weusi wanatunganyapa nakutumyanyasa
@YohanaMgaya-z6xАй бұрын
Mateso adi kwetu Africa bado sana
@JumaBakari-x4pАй бұрын
Tanzania kuna maadui wabaya sana
@JacksonAgamyeАй бұрын
Kwenye penati box
@ShinjiMabulaАй бұрын
Wache2 waje wengne wauone ubaya ubwela Watajuta sana
@nassornassor1130Ай бұрын
Bwaduke upo sahihi ila huyo muro hajui kuchambua
@jameshazard2513Ай бұрын
Unajua yule kuludi ndani ya zoni yetu Yani amevuka msitari wa kati je ukivuka msitari wa kati kwenda kwetu na kuaza kuludi upande wa mpizani hizi ofside za wapi tena hapo ila basi tu tuache hivyo
@JacksonAgamyeАй бұрын
Kumbukeni kuna mchezaji alishika mpra
@JonathanMgaiwaАй бұрын
Nani
@HomeboyTz-v1eАй бұрын
Mim Naesabu iro Nigooooooooooooo😁😁😁
@EmmanuelBenard-e5qАй бұрын
Nooo not off side
@dizzokhalid831Ай бұрын
uyo kibendela kumamake zakee
@AdamChezeАй бұрын
Simba ni watu wa soka hatuwez kulalamika tunajua refa msaidiz nae ni bin adamu kupitiwa kupo
@JosephPallangyo-fd9kqАй бұрын
sawa tunakubal ilikua offside aya lakn tumepig
@molenicharles9107Ай бұрын
Nanyinyi wachambua mavuzi tu kumbe
@jeanpaulluanga6780Ай бұрын
Kabisa offside 100%
@absm8084Ай бұрын
Ukute🐸🐸🐸🐸 walitoa kitu yaani huwa siwaamini 0.0000000
@Ram8193KАй бұрын
Rasmi sasa nakubali Leon Ateba alikua ameotea Naomba radhi kwa waamuzi maana nimewatukana sana 😂😂😂
@AMIRYNGOMELLOАй бұрын
Mmm apo akuna kinachoerewa lile ni gori
@mikdadjaphet2998Ай бұрын
Ofside gan achen kuzingua
@allymwashambwa5920Ай бұрын
bora angechezesha mwarabu tu
@bernadking3835Ай бұрын
Yess offside kabisa
@IbulaimudaudiMwanjalaАй бұрын
Mwamuzi aliamua kuwabeba waraabu
@MusaMkembela-ex6evАй бұрын
Hakuna offside hapo ni ujinga tupu
@HusseinHussein-f7nАй бұрын
kwa mtazamo wangu waamuz nao wamekaangika
@Dipeson700Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@MachimuKijaАй бұрын
Refa ametuonea
@plasmascreen2459Ай бұрын
Sasa kuna mchambuzi mpumbavu wa crown fm kajichorea mstari wa kijinga anatuambia eti offside nae mpaka najiuliza wachambuzi wetu wanakuwa na visasi na timu zetu wanafaidika nini wakati waarabu mpaka polisi wanawasaidia kuwatoa mchezoni wapinzani
@TM.SullusiАй бұрын
Achore mistari hata 1000, muhimu mwarabu kafumuliwa😂😂😂
@vuauvae8552Ай бұрын
Clear Offside
@TriciaSamboАй бұрын
off side hakuna tupewe goli letu
@JosephPallangyo-fd9kqАй бұрын
ile ni kwel ilikua offside yule jamaa wetu alierudisha pasi nyuma AF move ndo ikaanza kwenda mbele alikua offside
@TriciaSamboАй бұрын
@@JosephPallangyo-fd9kq muongo wewe acha unafiki
@ApoloMalkioriАй бұрын
ile ni offside ila kwa mtu asie jua mpira ni ngumu kukuelew /alichozingua raizimeni ni kuchelewa kunyoxha kibendela/ ila simba haina mtu anae piga pasi za mwixho ila nilikua namwomba kocha amjalibu Awesu Awesu naona kama ana aidia
@AgnesJohn-f1rАй бұрын
Asante utopolo na wachambuzi wenzio uchwala mmepigwa nakitu kizito 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@AlcherausMalinziАй бұрын
Kwa hiyo pasi zilijipiga yakafungwa magoli 3 sio?
@NehemiaMdumaАй бұрын
Mwambee aasheuboshi
@RenatusBandebe-et4cbАй бұрын
Hapo hakuna off side huyo aliyekaa kushoto hajui kitu
@OmariMakambaАй бұрын
Of side hivyo
@AgnesJohn-f1rАй бұрын
Kwa hiyo tumetolewa 😂😂😂😂
@DadeSaide-qr7tiАй бұрын
Amuna agusaidi apo waze
@ShamsaAbuuАй бұрын
agusaidi??😂😂
@Tinamandi-xr9lrАй бұрын
😂😂😂@@ShamsaAbuu
@JosephMadilaАй бұрын
Off side ya wapi me 4-1 kama amtaki muandamane sasa