Hii simba ni hatari 🔥🔥🔥 Mnyama bingwa tena kwa mara ya nne mtawalia. Sema baraka mpenja hiyo voice ni noma sana 👏👏
@mnzavachris54233 жыл бұрын
sauti hatar co
@danielytuyah92582 жыл бұрын
Pp
@princerwambo41192 жыл бұрын
Chuplichupli
@Shekhkisofa11 ай бұрын
Hiiiii simb ilikuwa nimotoooo San watu walikuwa wanapig boriiiii wanajitumaa san😅😅😅😮😅😮😅😅
@michaelgibril8594 Жыл бұрын
Luis Jose miqu, Natamani kukuona ukiwasha moto, mm nakukubali sana
@AshuraZawadi7 ай бұрын
awashe moto kama uleeeee
@dynachriss51265 ай бұрын
Daah nimeumia Sana kumuona aliyewahi kuwa kocha wa viungo Simba adel zrane mungu ampe kauli thabiti mwamba alikuwa na mapenzi Sana na simba😢
@emanuelmtinangi90943 жыл бұрын
Daaaah Huyu Luis jmn jamaa mwepesi sanaa simba wamepoteza bonge la mchezaji Sema Ndio mpiraa
@lighterprobeats3712 Жыл бұрын
Pitta shija inauma sana kumpoteza migisone
@zettyhassani22443 жыл бұрын
Cjutiii kuipenda cmba love yuuuuu munyamaa
@annytahadrehem3819 Жыл бұрын
Nimerudi kumuangalia Luis😂😂😂😂
@masudiamani4501 Жыл бұрын
Uwakikaaa
@masolavachui1728 Жыл бұрын
Tuko pamoja mi mwenyewe nime rdi kumwangalia konde boy
@FredyKihumbe Жыл бұрын
atarudi tu na tutaenjoy
@emmanuelJesus5210 Жыл бұрын
Sindioo
@IfrahAshery6 ай бұрын
Kabla tucheze na al ahly nimekuja kumuangalia huyu Luis
@gastoenock3020 Жыл бұрын
Miquison wa 2021 na wa 2023 ni watu wawili tofaut sana nmeona leo kwenye game vs SINGIDA BS
@rashidsaluum3243 Жыл бұрын
Kama unanipenda Simba shusha like
@MeleckMollel-j9z Жыл бұрын
Ichi kikosi akika ilikua inatubamba sana wana simbaa aiseeee Azam kwenye uboraa wenu jaaaa awabless
@chandekipimo-eg8qx Жыл бұрын
Kazi kweli yani simba hii noma sana
@chandekipimo-eg8qx Жыл бұрын
🤐🤐🤐
@Dullahchuma5 ай бұрын
Simba yetu hii ❤
@ferouzmasoud48702 жыл бұрын
Simba sports club big time Africa 👊🇹🇿❤️🦁🦁
@SaidBakari-y9g Жыл бұрын
Love simba
@yaredharod49675 ай бұрын
Ka Luis miquesoon alimkosea mungu Naomba amsamehe amrudishe katika khal yake nayoijua
@nicksonthomas54292 жыл бұрын
Huyu kocha wa viungo aliipenda sana simba
@simonelison9373 жыл бұрын
Simba hatar waongeze viungo tunaomba miqqusone chama msondoke plz
@jaribiwarungwe19252 жыл бұрын
We miss you miquissone
@josepeter80335 ай бұрын
Ila team zilikuwa zinacheza kwa njaa yaan hii ndio simba ilikuwa inasumbua😢
@EmanuelMtengete4 ай бұрын
Yes 🇹🇿🇿🇲🥰🥰🎉🎉
@hammerymachogu38854 ай бұрын
Duh Simba kama hii Sina hakika km itakija jirudia hivi karibuni
@DottoMalibe Жыл бұрын
Mbona mm na download inakataa
@emmanuelmlyuka53212 жыл бұрын
Well done guys
@petrowilliam71412 жыл бұрын
Mm
@GivenVictorDOTO Жыл бұрын
DOTOvq
@shafiimastawi9346 Жыл бұрын
@@GivenVictorDOTOwachezaji wa
@shafiimastawi9346 Жыл бұрын
@@GivenVictorDOTO wachezajiwasimbawagen
@shafiimastawi9346 Жыл бұрын
Usajiliwasimb
@mohamedhaidar80403 жыл бұрын
Yan najua Azam tv mnapata sn tabu ktk kuweka vpande vya highlight maana mechi ya SIMBA SPORTS Kila dkk yanafanyika maajabu...tumekusamehen kwa kuchelewesha hii😂
@mulindwajulius82982 жыл бұрын
Yanga jamn jitahidii👯👯
@josephbenard82762 жыл бұрын
Hii NDIYO simba naipenda sana
@mathiassimba84363 жыл бұрын
Kwa simba hii bado makombe 6 kufika 10
@saidabdallah31933 жыл бұрын
Unamaanisha kama kuna mtoto kazaliwa mwaka miaka miwili mitatu hapa mpaka anaanza darasa la kwanza Simba bado ni mabingwa.
@mnzavachris54233 жыл бұрын
Said Abdallah dah!
@shadrackjuliuskaboya52392 жыл бұрын
*duh Mungu kweli sio wa simba siku zote tumekubali msimu huu ni wayanga tukutane msimu mwingine*
@andreaeliakus18333 жыл бұрын
Simba laha sana
@MAMAYANGU-u2f8 ай бұрын
Uyo ni mtu mbadi hamumuwezi jamani 6:53 🎉
@petermushy98833 жыл бұрын
Byee byee konde boy all the best in ahl,😭😭😭😭
@simonmachupa6767 Жыл бұрын
Is back again
@edimundigreyson21102 жыл бұрын
Aisee
@josephbenard82762 жыл бұрын
Jaman wamrudishe clatus chota chama
@datiusmagongo48622 жыл бұрын
Hivi simba itakuja kuwa Kama hiyo
@DaudiWashima5 ай бұрын
Uhakika simba simba tu hawezi kuwa mhindi tutabaki kuishangilia kwanguvu
@SamirMwanda Жыл бұрын
Sisi simba ni noma
@LucasBurton-yj3jl3 ай бұрын
R.i.p zlane
@MohamedBakari-n6o6 ай бұрын
The best of lady bwalya
@MohamedBakari-n6o6 ай бұрын
Miqson Morison Bwalya Chama Nyoni What a player
@jassonnelly34454 ай бұрын
Dah tulikuwa wamoto sana
@MatikoSigawa Жыл бұрын
Hii ndo simba brother.
@BestonJohn-yu7wv Жыл бұрын
haipingw Simba tunajua mpira
@agnessjoshua50613 жыл бұрын
Hiyo ndio simba kwan wao yanga wanasemaje julai 3
@prosperjuma9052 жыл бұрын
Unauza louis unanunua kibu🤣🤣🤣🤣🤣
@agynesmathayo6522 жыл бұрын
Usajili WA simba
@michaelnaombamsimuxechamap982 Жыл бұрын
Hatar
@VumiliaJumapili4 ай бұрын
Daah we achatu ayiluditenahii
@hamisimzanje7461 Жыл бұрын
Anajuwa Sana
@RilianiKuyetwa4 ай бұрын
❤❤❤❤
@shozoomlungu55712 жыл бұрын
Ney wa mitengo
@pauldauton56555 ай бұрын
Bwalya 🙌🙌
@edsonjonas229 Жыл бұрын
Aliyeuza Kondeyoby akaleta Banda laana itampata tu
@KhajlaAbasi-js2hx Жыл бұрын
Mbeya kwanza v mbeya cty
@nasibsanga3 ай бұрын
29 june 2024
@cyruskimei85463 жыл бұрын
Tulliochukizwa na kucheleweshwa kwa hi highlight tujuane 🤦♂️
@hisanimnyanyi47753 жыл бұрын
😆😆😆🖐🏼
@SamweliGaima-he9oy Жыл бұрын
Simba
@kangchi3049 Жыл бұрын
Hata mm, ila angalia mechi na yanga tumempiga nne
@ozeenakyoyo78632 жыл бұрын
Konde boy arufishwe simba
@NuhuKitova4 ай бұрын
unaweza jiulza kwel hii simba ya miaka yanyuma na hii yaleo unabak unaumia to moyon asee
@SamweliKisosi-wf1ux Жыл бұрын
Simba na yanga marudio
@dottopaul991211 ай бұрын
Unyama mwing
@emmanuelbonifas28042 жыл бұрын
Hv unapouza mchezaji kama Luis unataka ushindani kweli wa kuchukua kombe la africa au unadanganya watu
@sumailhirasumailhieahiranz56452 жыл бұрын
Mapenzi
@MaikoKira6 ай бұрын
ni atr
@khadijahali48373 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@twalibiddi3639 Жыл бұрын
Kumbe mpenja alijuwa sako anakuja akamtamka sako na bako
@amanikandonga93152 жыл бұрын
Mozes mgogo
@fatumasophu58553 жыл бұрын
Yanii goli la bwalya na konde ka yanafanana hivi
@jacksonibasso89423 жыл бұрын
nawatakia ushabik mwema
@shanmlawa4 ай бұрын
Kumbe kibu toka zaman mtu ee
@gabrielmwalindu71032 жыл бұрын
Well come kondeby
@NgoloKante-pq6fl3 жыл бұрын
Simba c hami
@mulindwajulius82982 жыл бұрын
Mm mwana yanga vp mayelee leo amekuwaj ata bench ayupo jamn
@asaelybayaga75153 жыл бұрын
Goli la nne ni offside
@laurynlyatuu69283 жыл бұрын
Sio alifata mpira hakua eneo la offside
@juliusmichealy13973 жыл бұрын
Luis miquisson tutakumiss sana😟
@simonmachupa6767 Жыл бұрын
Is back as gain
@elisharashidi402 жыл бұрын
Gipind hich muliwanysnyasa
@masumbukorajabu7762 жыл бұрын
Simba kaizachips
@rehemambeteni12053 жыл бұрын
Hii ilikua tam san
@MusaJoshua-e8x Жыл бұрын
Piaaa
@JumaLitto Жыл бұрын
Atar😂
@frenkmasase55722 жыл бұрын
Kisima
@rgd_.slv50273 жыл бұрын
Hy
@yohanamwampashi71553 жыл бұрын
Sitivini
@yohanamwampashi71553 жыл бұрын
S
@shabannjayo55752 жыл бұрын
Ekixx
@naizertelisha18633 жыл бұрын
Konde boy tutakumiss
@linusjovin32192 жыл бұрын
Amina
@elipidiusdeus96183 жыл бұрын
Simba noma
@zehe4492 жыл бұрын
6
@mathiassimba84363 жыл бұрын
Simba watakubali tu
@geraldjoseph72153 жыл бұрын
Simba ni kubwa Sana ndo maana imetoa wachezaji 15 kwenda kwenye mataifa yao
@FadhilatKhamis-t7z7 ай бұрын
Massi
@joshuabaragula-qh2hz Жыл бұрын
amonaiz
@adaboychibu16593 жыл бұрын
Chakushangaza Simba ikishinda huwa mnachelewesha kutuwekea sasa sijui nyie azamtv tawi la utopolo
@fahadmuhammed24243 жыл бұрын
Simba baba Lao
@fahadmuhammed24243 жыл бұрын
Japo bazi wanakataa lkin amin usiamin simba ndo baba lao
@PeresKaseka-gw1un Жыл бұрын
Live
@ramadhanijumanne-qs1xv11 ай бұрын
hata mm
@boyofficialtz15253 жыл бұрын
💓💓
@iddykadida48963 жыл бұрын
Simbale o
@josephmchiwa17233 жыл бұрын
Nzr sana
@HassanFumu Жыл бұрын
Mamb
@mapetelehappynss42472 жыл бұрын
Ami
@SamwelSulley Жыл бұрын
Danlodis
@MtumwaAbdalla6 ай бұрын
X's you xvi
@nwadzombotsuma40353 жыл бұрын
refa alituzengua penalt 2 za wazi kanyimwa mbeya city