No video

SIMBA SC 4 - 2 AZAM FC: MAGOLI YOTE: (NGAO YA JAMII: 17/8/2019)

  Рет қаралды 4,093,564

Azam TV

Azam TV

5 жыл бұрын

Simba SC imetwaa NGAO YA JAMII kwa kuichakaza Azam FC kwa mabao 4-2 huku usajili mpya wa wachezaji wa Simba SC ukifanya vizuri. Shaaban Chilunda ameanza kuonyesha makucha yake kwa kufunga goli baada ya kurejea nyumbani akitokea Hispania. Mchezo ulikuwa LIVE Azam Sports 2.

Пікірлер: 722
@youngluxewatz3962
@youngluxewatz3962 3 жыл бұрын
Uyu shiboub anakera uyuu alie ona agonge like ming sana
@khadijakhadija6212
@khadijakhadija6212 5 жыл бұрын
Kutangulia mbel c kufika this is the simba makombe tutachukua back to back haji manara ulisem waige wafe tu rah sana simbaaa👏👏👏
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
Khadija Khadija wacha weeh, furaha kama yote!
@salminmvuoni4191
@salminmvuoni4191 5 жыл бұрын
Khadija Khadija msudan kachomoa transformer sheli😂
@khadijakhadija6212
@khadijakhadija6212 5 жыл бұрын
@@salminmvuoni4191 nakwambia
@khadijakhadija6212
@khadijakhadija6212 5 жыл бұрын
@@mnzavachris5423 mwee furah lazim ukiwa simbaaa
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
Khadija Khadija ila chura unalo ss ttzo 😀
@gidionmchembe2234
@gidionmchembe2234 5 жыл бұрын
Kama unaamini kuwa kahata ni fundi gonga like twende zetu
@emanuel25benjaminbenjamin83
@emanuel25benjaminbenjamin83 5 жыл бұрын
GIDION MCHEMBE xn
@athumanseleman4353
@athumanseleman4353 4 жыл бұрын
Nakubali xn
@cyrusplays734
@cyrusplays734 Жыл бұрын
@@athumanseleman4353 saw
@fredymjindoseverine1280
@fredymjindoseverine1280 5 жыл бұрын
Kama umeona shabani chilunda anashika kichwa Baada ya chama kupiga chenga gonga like
@amanimwaifunga6524
@amanimwaifunga6524 5 жыл бұрын
Had nimemuonea huruma jaman
@jamesmbata8542
@jamesmbata8542 5 жыл бұрын
Nimeona bro 5:26 😁😁😂
@enockmwambamkubwatz3215
@enockmwambamkubwatz3215 5 жыл бұрын
.😂😂
@halimarashid6721
@halimarashid6721 5 жыл бұрын
Ataxhika mpaka miguu
@shingichumachuma7909
@shingichumachuma7909 4 жыл бұрын
fredy mjindo severine poa sana
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 5 жыл бұрын
Next level shibobo sio wamchezo 🔥🔥🔥💪💪simbA yamwakahu jamani uwanja wataifa teams ziwe makini asije mtu akapigwa 200 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😁😁😁😁😁😁😁🙏🙏🙏🙏
@shosikhadija5491
@shosikhadija5491 5 жыл бұрын
🤣🤣 yaaan siy p
@marcky_jr
@marcky_jr 5 жыл бұрын
aliyeona kama mimi chilunda akishika kichwa🙉🙉 kabla chama hajafunga goli latatu..😂😂#next_level
@erastomwinuka8099
@erastomwinuka8099 4 жыл бұрын
Dahaaa mi ndo naona Leo jamani
@breackychangwe7326
@breackychangwe7326 4 жыл бұрын
Nimeifatilia mpaka nimeipata 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@sadicksadick4010
@sadicksadick4010 3 жыл бұрын
Daah nimeona
@maickongosha9299
@maickongosha9299 3 жыл бұрын
@@breackychangwe7326 mvhif
@deusibonaventure425
@deusibonaventure425 5 жыл бұрын
Leo ndo nmeelewa maana ya neno iga ufe na this is next level simba nguvu moja💪💪
@luganostewart8320
@luganostewart8320 5 жыл бұрын
Mie wapili jaman naombeni Like za kutosha hasa wale watu wangu wa nguvu kutoka UNYAMANI
@samwelmungure2318
@samwelmungure2318 5 жыл бұрын
Kwel mambo nimengi jaman
@othumanizubery6513
@othumanizubery6513 5 жыл бұрын
lugano stewart Othumani zubelh
@madiidiara7588
@madiidiara7588 5 жыл бұрын
lugano stewart ybc Fhi
@selebwaxdaernest454
@selebwaxdaernest454 5 жыл бұрын
lugano stewar
@deokomba5518
@deokomba5518 5 жыл бұрын
SMIBA CB
@lizzyshoo8084
@lizzyshoo8084 5 жыл бұрын
Kama unaunga mkono kauli ya baraka mpenja kichwa cha tani moja nipe like za kutosha😂😂😂😂🥰
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 5 жыл бұрын
😜😂😂😂😂😂
@mercytadeo4498
@mercytadeo4498 5 жыл бұрын
Hongera simba taifa kubwa "
@awenahemed5971
@awenahemed5971 5 жыл бұрын
Barak yupo sawa ktk kutangaza namkubali
@lucusmvuna8574
@lucusmvuna8574 5 жыл бұрын
Mnyama ana unguluma anapo una fisi zina sogea
@amanmbuma5332
@amanmbuma5332 5 жыл бұрын
Nooma
@mzeewajambo8293
@mzeewajambo8293 5 жыл бұрын
Kwa Simba hii hapa bongo watapata tabu sana
@egnokinunda6959
@egnokinunda6959 5 жыл бұрын
Kabisa
@mzeewajambo8293
@mzeewajambo8293 5 жыл бұрын
@@egnokinunda6959 IGA ufe😂😂😂🔥🔥🔥🔥
@egnokinunda6959
@egnokinunda6959 5 жыл бұрын
@@mzeewajambo8293 umeona eee
@meshackmgoba6347
@meshackmgoba6347 5 жыл бұрын
Xio bong 2
@mzeewajambo8293
@mzeewajambo8293 5 жыл бұрын
@@meshackmgoba6347 namaanisha wakija taifa wapinzan wowt wa ndan na nje
@MohdRashid-cu9qb
@MohdRashid-cu9qb 5 жыл бұрын
Simba haizuiliki wametangulia wakajishauuwa moto umewawakia This is simba
@agathajoel3392
@agathajoel3392 5 жыл бұрын
Keel simba ni moto
@salihalash4111
@salihalash4111 5 жыл бұрын
Shiboub king of tanzNia 🇸🇩🇸🇩🇸🇩❤️💪🏾
@makuwangojnl609
@makuwangojnl609 5 жыл бұрын
Baraka mpenja ndie mtangazaji bora wa Mpira Afrika mashariki na kati,Nani anabisha
@Basagamp4
@Basagamp4 5 жыл бұрын
Makuwango Jnl Aaah kuna jamaa Anaitwa Babaa Nurat Mfuga Njiwa a.k.a Mkata umeme anatoka Sibuka Fm 94.5 Dar (Unamfahamu?)
@juniorbenito709
@juniorbenito709 5 жыл бұрын
Naanzaje kubisha
@edwinmwaipembe4368
@edwinmwaipembe4368 5 жыл бұрын
yanga naruvu
@shabanynaywamitegonaywamit3154
@shabanynaywamitegonaywamit3154 4 жыл бұрын
5 t ça
@shabanynaywamitegonaywamit3154
@shabanynaywamitegonaywamit3154 4 жыл бұрын
@@Basagamp4 ... v
@starnewstvtv1126
@starnewstvtv1126 5 жыл бұрын
Jaman huyu chama noma sanaaaaaaaa
@mrliverpoolynwa7641
@mrliverpoolynwa7641 5 жыл бұрын
Hii SIMBA wallah watu wataendelea kuteseka sana lol.YNWA
@eligiatituskapinga8308
@eligiatituskapinga8308 5 жыл бұрын
Taaaaaaam
@samwelibakaso8899
@samwelibakaso8899 3 жыл бұрын
Mhmhm
@dreamboat5691
@dreamboat5691 2 жыл бұрын
Poa
@agnessjohn8404
@agnessjohn8404 5 жыл бұрын
hongereni Sana simba kutoka jangwan
@lucyignas6646
@lucyignas6646 5 жыл бұрын
this is simbaaaaa chama babu kubwaaa😁😁😀❤
@awenahemed5971
@awenahemed5971 5 жыл бұрын
Sisi sio wjangwani ni wamsimbazi wacha kututukana
@agnessjohn8404
@agnessjohn8404 5 жыл бұрын
Awena Hemed kwa hiyo hamtaki pongezi au
@miliammarwa828
@miliammarwa828 5 жыл бұрын
Iga ufe hiyo ndiyo simba itabaki kuwa juuuuuuu
@nescosanga5167
@nescosanga5167 4 жыл бұрын
Vp.uko.
@ibraline830
@ibraline830 5 жыл бұрын
Nan kawaambia kulala barazan ndio kuwahi kuamka simba itabaki kuwa juu tn mawingun
@zuhuraiddy8539
@zuhuraiddy8539 5 жыл бұрын
Bwana wewe naipenda Sana Simba yangu
@ibraline830
@ibraline830 5 жыл бұрын
Utaachaj kuipend timu bora kama hii
@debbieakyoo522
@debbieakyoo522 5 жыл бұрын
Ibra Line itabaki kuwa juuu
@hussensalum5469
@hussensalum5469 4 жыл бұрын
@@zuhuraiddy8539 yyyi
@hajiyusuph5439
@hajiyusuph5439 4 жыл бұрын
Upo m babaa
@ladenikisiga1096
@ladenikisiga1096 5 жыл бұрын
"wapo wp waliomfananixha Na msanii flani hivi*" huyu ni🔥🔥🔥🔥
@goodlucklinus141
@goodlucklinus141 5 жыл бұрын
This is next level watapata tabu sana🤣🤣🤣
@salminshaban7127
@salminshaban7127 5 жыл бұрын
Mwan simba like kam zot👍👏
@al-kokisuliman9045
@al-kokisuliman9045 5 жыл бұрын
Shaibooooob 🇸🇩🇸🇩🇸🇩🇸🇩
@finaweja8477
@finaweja8477 5 жыл бұрын
Simbaaaaa ndio kila k2
@rafaelyaled7745
@rafaelyaled7745 5 жыл бұрын
Simba tujuane apa like zako
@aminandendya6727
@aminandendya6727 5 жыл бұрын
Penda sana simba
@clintonkioko5179
@clintonkioko5179 5 жыл бұрын
Hongera simba na chama langu kwa matokeo mazuri mlioupata,tukaze but I safari bado ni ndefu tunaitaji muunganiko kam teamwork tufanikiwe zaidi,.pia tuna makosa madogo madogo tunayafanya has a making tuna pia hamn ukiwa magoli tunaruhusu kizembe has a muunganiko wa kipa na mabeki tusikumbali kuonyesha udhaifu tuimarike na kurekebisha makosa hayo madogo KWENYE safu ya ulinzi
@evancekimaro9774
@evancekimaro9774 5 жыл бұрын
Watapata tabu sana ndg zangu watani zangu wotee 19 wa ligi kuu zaidi kwasukwasu
@happynessswai5414
@happynessswai5414 3 жыл бұрын
Duuuuuuuu
@eddygonza891
@eddygonza891 5 жыл бұрын
Chilunda alijua goli mapema ndio maana kashika kichwa... Shikamoo chama
@yasinmakengwa3400
@yasinmakengwa3400 5 жыл бұрын
Simba mungu anawaona ujue sio kwakipigo hicho🔥🔥🔥🔥
@petermzabibu
@petermzabibu 5 жыл бұрын
Yasin Makengwa
@salimliemba3458
@salimliemba3458 5 жыл бұрын
Mimi sio mpenzi wa Simba lakini msema kweli mpenzi wa Mungu naomba tff wawape kombe lao sujaona timu ya kuifunga Simba msimu huu sio kwa kiwango hicho dah hatari 🔥🔥 🔥🔥 🔥🔥 🔥
@morlovzeboy4926
@morlovzeboy4926 5 жыл бұрын
Hahaha umeona mbli wew zawad inakusubilia ujue 0657540645 wasp chapu
@juniorbenito709
@juniorbenito709 5 жыл бұрын
Dah kumbe upo saut ya rad asnt mungu aku afu
@sikujuachares3810
@sikujuachares3810 5 жыл бұрын
Junior Benito kwa smba i
@mrdrz2805
@mrdrz2805 3 жыл бұрын
Namkumbuka shiboub big up sana 👍👍💯 ubarikiwe popote ulipo mungu akujalie, akulinde
@josewillson1813
@josewillson1813 3 жыл бұрын
Shibobu na uchebe nawakumbuka xn huyu kocha tuliyenaye hatufai
@erickzephania1030
@erickzephania1030 5 жыл бұрын
HATARIIIII... Mungu saidia siasa zisije kutuharibia
@theodorycharles6384
@theodorycharles6384 5 жыл бұрын
Naamini maneno yako
@kalisaphilippe3639
@kalisaphilippe3639 2 жыл бұрын
Mtangazaji nakupenda sana
@patrickmadiwa3845
@patrickmadiwa3845 5 жыл бұрын
kwa hali hii Mimi ni yanga lakini nakiri kuwa simba (baba wa taifa ) mwaka huu hatopoteza mechi hata moja labda droo. Naomba muitunze huu ujumbe wangu .
@machamearakea9060
@machamearakea9060 5 жыл бұрын
shibobo kachomoa betri ndo tabu ilpo anzia 🔥🔥
@mattymates9709
@mattymates9709 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@husseinmakame8035
@husseinmakame8035 5 жыл бұрын
Hhhhhhhhh umeuaaa kaka
@gastoswai4699
@gastoswai4699 5 жыл бұрын
na moto ukalipuka kabisa au sio
@machamearakea9060
@machamearakea9060 5 жыл бұрын
Gasto Swai atari sana
@gastoswai4699
@gastoswai4699 5 жыл бұрын
mwaka huu wataiso no
@egnokinunda6959
@egnokinunda6959 5 жыл бұрын
Simba nguvu moja 😝😝
@isakamahenge4236
@isakamahenge4236 5 жыл бұрын
huyu sio kashata wala kashasha, ni Kahata😂😂
@fatumaiddy5074
@fatumaiddy5074 5 жыл бұрын
ISAKA MAHENGE 😂😂😂😂😂raha tu
@suraiyahhuseni1790
@suraiyahhuseni1790 5 жыл бұрын
Hahhahhhhhhhhhj
@williammanase4898
@williammanase4898 5 жыл бұрын
Yuko vizuri sana kahata
@bahatilameck7803
@bahatilameck7803 5 жыл бұрын
Simba hii bhana hatar
@hdfaraga7242
@hdfaraga7242 2 жыл бұрын
Nakubal kwa kwel this is simba
@charliejunior_1
@charliejunior_1 5 жыл бұрын
Now ninaamini ile kauli ya manara,tutachukua back to back mara kumi! Kwa east Africa hakuna team ya kuifananisha na Simba
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
Charlie Junior hmm
@samuelwaing0507
@samuelwaing0507 5 жыл бұрын
GOR MAHIA 2: 0 SIMBA bure kabisa
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
Samuel waing0 Gor Mahia 0 : 2 AZAM..wajaluo buure kabs!
@cosmasogweno2089
@cosmasogweno2089 5 жыл бұрын
Ngoja upatane na Gor Mahia aka Sirkikal ndiyo utajua hujui..
@charliejunior_1
@charliejunior_1 5 жыл бұрын
Cosmas Ogweno kaka Simba iliyocheza na gormahia hawakuwepo Simba kamili,Haya ombeni game hata Leo kama Hamjafungwa 5 halafu hivi Gormahia na Power dynamo ni team ipi nzuri? Maana najua gor wameondoka wote muhimu kuanzia tuisenge na akina kahata
@apnapujabu8749
@apnapujabu8749 5 жыл бұрын
mungu ibaliki simba kwenye mchezo zidi ya mtibwa
@abdulhemed4956
@abdulhemed4956 5 жыл бұрын
Kwasimba hii watapata tabu xana ndani na nje ya ligi kudadeki
@chachadickson6270
@chachadickson6270 5 жыл бұрын
Ni noooma!! , dah! mtoto halali na pesa, this is simba,!!
@rajabuselemaniabedi3930
@rajabuselemaniabedi3930 5 жыл бұрын
Yani ayo mazoo ezii 2 mtapatatabu sana
@user-of4ij9ov5g
@user-of4ij9ov5g 6 ай бұрын
Simba iliyokuwa Bora sanaa haitokuia kutokea
@muddydamdeok5098
@muddydamdeok5098 5 жыл бұрын
*Shiboub Mzee Wa Kuchomoa Betri 🤣🤣🤣🤣*
@emanuelymungubarikisimbaok9767
@emanuelymungubarikisimbaok9767 5 жыл бұрын
MuddY DamdeOk ni Atari sana
@muddydamdeok5098
@muddydamdeok5098 5 жыл бұрын
@@emanuelymungubarikisimbaok9767 *hatar Sana Hapo Kwa MKAPA Tuwe Nasubr tu Betri Zitachomolewa Sana 😆😆😆😆*
@dadujandaka4798
@dadujandaka4798 3 жыл бұрын
Vgfhd
@chachadickson6270
@chachadickson6270 5 жыл бұрын
Je umeona kama mm shibob alivochukia goli la pili la azam, gonga like
@hamzahamzasaidikatumbi8554
@hamzahamzasaidikatumbi8554 4 жыл бұрын
Chacha Dickson m
@hamzahamzasaidikatumbi8554
@hamzahamzasaidikatumbi8554 4 жыл бұрын
simba kagera
@abdullihmaulid7859
@abdullihmaulid7859 5 жыл бұрын
Dilunga mbaya Sana uyu kijana
@nicodemmwampashi13
@nicodemmwampashi13 5 жыл бұрын
Wakwanza leo like zenu
@BILDADTV
@BILDADTV 5 жыл бұрын
Hatari faya mpaka watu wakazimia uwanjani😀
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
BILDAD TV nani tena hao!
@BILDADTV
@BILDADTV 5 жыл бұрын
@@mnzavachris5423 YULE MCHEZAJI WA AZAM ALIYEPAA JUU NA KUANGUKIA MGONGO
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
BILDAD TV dk gani?? 😀
@sumamsafitz3361
@sumamsafitz3361 5 жыл бұрын
Simba ni 🔥🔥🔥
@nyavaelly5450
@nyavaelly5450 5 жыл бұрын
Simba bila okw inawezekana
@tatusaid1223
@tatusaid1223 5 жыл бұрын
ogopa roli la mafuta ukikuta limepinduka, weka mbali watoto
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 5 жыл бұрын
Kwa SIMBA hii kiukwel yanga na tmu zngne mjpange sanaa mcmu huu
@oswardmwambete775
@oswardmwambete775 5 жыл бұрын
Ferouz masoud Hii Simba sc sio nzuri jaman Ubaya wake ukitaka kuuona Itangulie kuifunga Hapo kwa Taifa ndipo Utakiona cha moto cha mtema kuni kuwa nimeanzaje kutangulia kuifunga. Habari wanayo Nkana na Vita club. Hawataki kabisa kuisikia Simba
@mohamedjuma4692
@mohamedjuma4692 5 жыл бұрын
Hamna hata mtanzania aliefunga kwa upande wa simba
@abrahamkibona7038
@abrahamkibona7038 4 жыл бұрын
@@mohamedjuma4692 ,kwani waliofunga ni wa timu gani? Na nyie huko azam kwanini watz wasifunge?
@armogavers-jr360mahengoh7
@armogavers-jr360mahengoh7 5 жыл бұрын
NgaPi ukOoo 👑👑Iga ufee Mnyama simba noma sna
@GabrielSimoni-rs6tg
@GabrielSimoni-rs6tg 6 ай бұрын
Mnyama Shida
@GabrielSimoni-rs6tg
@GabrielSimoni-rs6tg 6 ай бұрын
🤪😜😝😛😋😁😁😁😁☝️👈👮🚔🚓🚔🚔🇵🇱💅👕👮‍♂️👮‍♀️🐎
@shalifmbalale8
@shalifmbalale8 Жыл бұрын
Nimeludi Tena kuja kumwangalia mwanetu idd Chilunda😂🔥👏👏
@mzeewajambo8293
@mzeewajambo8293 5 жыл бұрын
Tuwekeen highlights hrk jmn tuangalie ule udambwi
@MrManchoso
@MrManchoso 5 жыл бұрын
Chama anapoteza mda simba ana kiwango cha kucheza ulaya
@mudathirelhadi5575
@mudathirelhadi5575 5 жыл бұрын
Shiboub king of Center
@BontamLee
@BontamLee 5 жыл бұрын
Wachezaji SIMBA acheni usharo,jitumeni,big up DILUNGA,CHAMA,SHIBOB.
@yohanamathias2774
@yohanamathias2774 3 жыл бұрын
Nakubar chama langu la simba
@siapolite1289
@siapolite1289 5 жыл бұрын
kwa simba hiii
@gaburica7307
@gaburica7307 5 жыл бұрын
Kwa Simba hii tusubiri tena kuweka rekodi ya kubeba ubingwa bila kufungwa tena!
@allyvavaohussein7850
@allyvavaohussein7850 4 жыл бұрын
Gabu Rica kweli
@makenamaduka1501
@makenamaduka1501 4 жыл бұрын
Xana
@makenamaduka1501
@makenamaduka1501 4 жыл бұрын
Nan bingwa kama simba munyama mkali huyu
@mattymates9709
@mattymates9709 5 жыл бұрын
Duuh, sioni kabisa gap la okwi, asante simba, ushindi wetu na ndo furaha yetu, mambo ni motrooooo#mnyama#anafanya#miracles, waambie #wanaopinga#wasijioverdose
@jumamaupa1362
@jumamaupa1362 2 жыл бұрын
Simba have a good team
@lutasimbukafransis9165
@lutasimbukafransis9165 5 жыл бұрын
Simba damu uwaaaaaaaa
@makosafitina2573
@makosafitina2573 5 жыл бұрын
Wewe mtangazaji hujui kama Tim yanyumbn hayo maneno yako chunga sana nahiyo mic ni ya nyumban nooma simbaaa
@husseinmakame8035
@husseinmakame8035 5 жыл бұрын
Hyu shiboub ni mzuri kwakwel angalia position aliyosimama akazifunga goli mbili ni kwa udhaifu wa mabeki mana ni position hiyo hiyo
@aboudogokazungu4117
@aboudogokazungu4117 5 жыл бұрын
2mewanyosha
@muhammadmahmoud1068
@muhammadmahmoud1068 5 жыл бұрын
Huyu shiboub ni nyoko+974🇶🇦🇶🇦🇶🇦
@jebace
@jebace 5 жыл бұрын
kaka upo wapi we ni simba pia eeh .na mie nipo qatar ain aziziya karibu na villagio mall 33713365
@muhammadmahmoud1068
@muhammadmahmoud1068 5 жыл бұрын
@@jebace me nipo alatia
@lazarojr8923
@lazarojr8923 5 жыл бұрын
Kwa mpira ule wa simba,,, hao waiba matikiti hawataingiza timu uwanjani nipe like kama umewajua matikiti fc 😂😂
@abumahmoud9703
@abumahmoud9703 5 жыл бұрын
بالتوفيق سيمبا بالتوفيق شيبوب
@Basagamp4
@Basagamp4 5 жыл бұрын
Nikiwa home natizama Mechi halafu Commutator sio Baraka Mpenja huwa na'Mute halafu naplay Muziki kisha naangalia bila Sauti
@deauxvidal5621
@deauxvidal5621 5 жыл бұрын
Bravo kahata and best of luck bruh through the season #+254 represented in style
@MavaziClothing
@MavaziClothing 5 жыл бұрын
Kama umemuona GABO ZIGAMBA gonga like maisha yaendelee!!!
@faustinefs1148
@faustinefs1148 5 жыл бұрын
Kama unakubaliana na Mimi kuwa simba hii haijawahi tokea na viumbe hawa 🐸🐸🐸kisHaaaaaa like hapa
@amossnyamsha528
@amossnyamsha528 4 жыл бұрын
we cheza ligi kuu simba hana lolote
@samsonodongo2452
@samsonodongo2452 5 жыл бұрын
Hakika hii ndo furaha tuliyokuwa tukitafuta kwa musa mrefu, Mungu hamtupi mja wake
@jamesmoses375
@jamesmoses375 5 жыл бұрын
Kesho yanga ikifungwa nahamia SIMBA
@khadijakhadija6212
@khadijakhadija6212 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣Ndo usubirie kufungwa na lazima hiyo
@jamesmoses375
@jamesmoses375 5 жыл бұрын
Mbona unaniombea mabaya
@khadijakhadija6212
@khadijakhadija6212 5 жыл бұрын
@@jamesmoses375 yang hakun wachezaj ispokuw ni mfano wa wachezaj 😂😂
@morlovzeboy4926
@morlovzeboy4926 5 жыл бұрын
@@jamesmoses375 mzee yaswe maneno eka no yko APA
@morlovzeboy4926
@morlovzeboy4926 5 жыл бұрын
@@khadijakhadija6212 Aina kuulza iyo
@amanimwaifunga6524
@amanimwaifunga6524 5 жыл бұрын
Wako wapi wanaomfananisha na msanii flan hv 😀😀😀👉👉🐸🐸🐸 Baraka Mpenja the Commentor in East Africa Kongore Broo
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 5 жыл бұрын
🦁🦁🦁🦁🦁🔥🔥🔥🔥🔥
@mwanahamisinyende6840
@mwanahamisinyende6840 5 жыл бұрын
weka ndani ewe shibooooooo!
@morlovzeboy4926
@morlovzeboy4926 5 жыл бұрын
Et unasema
@mwanahamisinyende6840
@mwanahamisinyende6840 5 жыл бұрын
Mor Lov zeboy shibooo ni noma
@swittychenguli5523
@swittychenguli5523 5 жыл бұрын
Raha sana jomon
@morlovzeboy4926
@morlovzeboy4926 5 жыл бұрын
San dear
@charleslaulian1010
@charleslaulian1010 5 жыл бұрын
Khaaaa,haya bana this is zimbaaaa
@francismuchai9346
@francismuchai9346 5 жыл бұрын
Naona kahata ana fanya mambo
@chrissdaimu3535
@chrissdaimu3535 5 жыл бұрын
Chamaaaaaa mwamba wa Simbaaa
@stevenmajoge4644
@stevenmajoge4644 5 жыл бұрын
Shiboboooooooooooo
@abrahamkibona7038
@abrahamkibona7038 5 жыл бұрын
Sawa kabisa
@olivakyando2707
@olivakyando2707 5 жыл бұрын
Simba itabaki kuwa juuuu
@Mr_Ben255
@Mr_Ben255 5 жыл бұрын
Simba juuuuuu Safiiiiiiii Sana⚽⚽⚽⚽⚽
@adamunyagali4657
@adamunyagali4657 5 жыл бұрын
Mi nawashukuru sanaa Azamtv Kwa kuweka Highlights Nawaomba muwe munaweka kila mechi
@barakahassani208
@barakahassani208 5 жыл бұрын
Katuni
@shaffihsiraji3141
@shaffihsiraji3141 5 жыл бұрын
Sio poa
@josephkambe7265
@josephkambe7265 5 жыл бұрын
IGA UFE, THIS IS SIMBA 🌏🌎🌍🌍
@allyathumani7478
@allyathumani7478 3 жыл бұрын
diamond video
@limomartin3318
@limomartin3318 2 жыл бұрын
Naikubali sana igemu
@marwawilliam3648
@marwawilliam3648 5 жыл бұрын
Chama baba
@juniorbenito709
@juniorbenito709 5 жыл бұрын
Machungu ya okwi yamepungua
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
Junior Benito bado sana.,kimataifa nafkr pengo lake litaonekana sana ani!
@mohamedidd7385
@mohamedidd7385 5 жыл бұрын
Kwangu nitamkumbuka zaidi Kotei kuliko huyo okwi
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
Mohamed Idd umenena!
@hopedigitalmedia34
@hopedigitalmedia34 5 жыл бұрын
Wabongo mnashida kwan ulkuw nausajl wa kudumu simba wao ni kinanani mbaka wasiondoke simba au kuondoka kwao ndo cmba haito fankiwa eb tumien akl
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
Bongo Tech kuna mtu umemuona aliyesema simba haitofanikiwa
@peterndossy3008
@peterndossy3008 4 жыл бұрын
This is Simbaaaa💪
@erckimerckiory
@erckimerckiory Жыл бұрын
Noma sana
@erckimerckiory
@erckimerckiory Жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ SIMBA
@dativagordian-yc4ol
@dativagordian-yc4ol Жыл бұрын
Yes it's ok for that moment yazama ilo goli ni moto
@charleslaulian1010
@charleslaulian1010 5 жыл бұрын
Khadija khadija this is zimba####
@isayahusseni4075
@isayahusseni4075 2 жыл бұрын
Simba noma.
@sulesaidrashid8032
@sulesaidrashid8032 5 жыл бұрын
Kumbe kikosi B Azam ndomaana mambo yamekwenda sivyo ndivyo.
@barakajulius5938
@barakajulius5938 4 жыл бұрын
Hii timu ipo sawa,inahitaji Psychology tu kuwafanya wachezaji wajione Wana uwezo wa kuifunga timu yoyote
Meet the one boy from the Ronaldo edit in India
00:30
Younes Zarou
Рет қаралды 12 МЛН
Бутылка Air Up обмани мозг вкусом
01:00
Костя Павлов
Рет қаралды 1,6 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 63 МЛН
Кадр сыртындағы қызықтар | Келінжан
00:16
Highlights | Simba SC 7-1 Tanzania Prisons | NBCPL - 30/12/2022
24:15
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Cinewatch
Рет қаралды 7 МЛН
Highlights AZAM FC 1:0 APR FC
2:19
LOUIS SPORT PLUS
Рет қаралды 758
Simba SC 4-0 Biashara United: Highlights - VPL 20/09/2020
21:42
Azam TV
Рет қаралды 1,6 МЛН
Meet the one boy from the Ronaldo edit in India
00:30
Younes Zarou
Рет қаралды 12 МЛН