Hawa watu nawapenda wanavaa hualisia wa nyimbo husika check nyimbo zao zote wapo perfect sanaaa . Nawapendaa sanaaa direct from heart mnanibarikii very powerful singing.. mfike mbali watu wangu wa Nguvu Much❤❤ ma people’s
@LidyaZakalia9 ай бұрын
Mungu awabirik
@bonfacemonene99277 ай бұрын
Nyimbo zenu tamu sana... I really wish to see you blessing us again hapa kwetu Kenya Nairobi Mwangasa S.D.A church. But most importantly tuimbe zote hisi nyimbo mbinguni Kwa Baba wetu
@Djmrefu1029-mf1nl4 ай бұрын
Amina ❤❤
@Tumitumi19910 ай бұрын
God bless you. The love I have for this song is immeasurable ❤❤
@approniarichard49259 ай бұрын
Nawamic San hizo kii ndo napendagaaaa hatariii ❤
@nyakundiondieki9 ай бұрын
Great, wonderful, strong,firm, miracle, just nice, good, immeasurablebly Good
@DavidPaul-k5z Жыл бұрын
Nasemajee hawa watu wanavipajiii asee nawapenda❤❤❤ HAWANAGA KAZI MBOVUUU more blessed🎉🎉🎉
@JerdaPhilemonАй бұрын
Hongera watu wa Yesu. Endeleeni hivohivo
@charlesmativo4514 Жыл бұрын
beautiful songs t prepare people for the second coming
@josephatomweri-g9i3 ай бұрын
Nyimbo zenu ni poa sana 🙏 Mbarikiwa sana
@SauliMzenaАй бұрын
Nikitambi to 👏👏👏👏👏🙏❤️
@peterodukowitioduk487711 ай бұрын
God's army win kabisa
@GuylainLwambaАй бұрын
kweli nimefajika kwa wimbo huu
@LovenessElias-v5jАй бұрын
Bwana awabariki sana muongezewe kipaji amina
@aslenejean661610 ай бұрын
Alleluia je suis béni par cette belle chanson depuis haïti amen amen, que le Dieu tout puissant vous benisse à continuer chanté là haut dans le ciel, crois au seigneur jésus Christ.
@DavidNguka2 ай бұрын
Wimbo huu unaukonga moyo wangu msongembele❤❤❤❤
@balumekamaro85685 ай бұрын
My kids are best friends of yours. This song has been a blessing in my family and especially for my two-half years old daughter! Stay blessed.
@paulineonduro3552 ай бұрын
My nine year old son too
@nyatambekateti762 Жыл бұрын
Simba wa yuda simba yuda ndio mwenye mamlaka mbinguni na duniani .Alikuwepo yy tangu mwanzo hata milele. mungu awabiriki sana maana mnatubariki kwa uwimbaji wenu
@stellakerubo748Ай бұрын
Wow that's amazing ❤❤❤
@AustineJulius-or5eq5 ай бұрын
Wape sauti ya pili ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ but wote mko vizuri Mungu atukuzwe
@SadrakSadrak-q5f10 ай бұрын
Surely God bless you specifically songambele choir for spreading Gods final to all people,thanks
@JosamMchome-bz1cn Жыл бұрын
Nafarijika wakiimba S d a
@jacobboyakil31968 ай бұрын
Hongereni Kwa wimbo wenye ujumbe mahususi Kwa wanyenyekevu tunaomsubiri YESU Kwa ujio wa pili Jambo la pili nahitaji hizo nyimbo Niko Temeke SDA Dar asante
@CalvinePaul-i8v5 ай бұрын
nyimbo zipo karibu
@edwardrotich661 Жыл бұрын
Amen waimbaji wa mungu
@GraceOpany9 ай бұрын
Nyimbo nzuri songambele toka Mirerani Manyara Tz ❤❤❤❤❤ nawapenda Jamani Mungu awabariki
@dorismoraa94569 ай бұрын
Amina songambele mbarikiwe sana napenda Nyimbo zenu sana
@BrianSato-d1h3 ай бұрын
Hongera sana
@NyawamburaBoke7 ай бұрын
Kazi sisi waruo❤❤
@peterodukowitioduk487711 ай бұрын
Females sing god with evangelist voices
@Ronny-xz5jo4 ай бұрын
Feel so blessed..I wished you can visit us in South Africa..though we will have a language problem. that doesn't count anyway
@mataroamos7501 Жыл бұрын
Nyimbo zenu zinatubariki, Mungu aendelee kuwatumia kufanya uinjilisti huo
@samuelwanjohi9761 Жыл бұрын
Wimbo aula @ Songambele. Maulana awape baraka za kazole
@stevotzste-eve1248 Жыл бұрын
I have watched it in Hope Channel Kenya and I couldn't get enough of it. God bless you
@doraamani94772 ай бұрын
Mbarikiwe sana mnaimba vizuri
@ShijaNyendwa Жыл бұрын
Safi Sana nimependa uimbaji wenu mtafute BWANA Bado mchana
@ronneyodhiambo6417Ай бұрын
Songambele on it again. Mbarikiwe sana Watu wa Mungu❤️❤️❤️❣️
@FrancisOchieng-uk7ou Жыл бұрын
Kweli uhaja kweli majambu
@evansochola8278 Жыл бұрын
Mungu awabariki Kwa ujumbe... Sabato njema...
@DallaskayomboDallaskayombo2 ай бұрын
Na barikiwa sana n a nyimbo zenu
@AshelyElija Жыл бұрын
Kweli nawapenda mungu awatie nguvu wako vizuri sana
@samsonnyantori93354 ай бұрын
Mungu awabariki mno
@yusufodemba3 ай бұрын
My daily dose. This song is 100% perfect. Asanteni saana
@rachelshule-nn2rz Жыл бұрын
Hongereni sana waimbaji wa Mungu
@EmmanuelMbisu-d4s2 ай бұрын
Songambele muwe kama jina lenu mzidi kusongambele barikiwen na BWANA❤
@mauriceodinya39274 ай бұрын
Message very welll represented,may God give you efforts of preaching His gospel.Amen!
@pastoreliasmarwaofficial Жыл бұрын
Ameen mmetisha songambele 👏👏
@calebonjula8643 Жыл бұрын
Mbarikiwe sana. True Adventist music
@fredychristopher636 Жыл бұрын
Natamani Nijee Hukoo Mnipatiee Coz Ya Uimbajio Kwakwel Nawapendaa Saanaa Mungu Awabalikii
@GilesKhamis Жыл бұрын
Amina,SONGAMBELE, na msongembele,Bwana azidi kuwabariki(AMINA)
@Nicodemus-v2g2 ай бұрын
Waimbaji wazuri sana❤❤❤❤❤
@FredrickOmondi-e1u3 ай бұрын
Mbarikiwe sana
@JuniorMohamed-m1o4 ай бұрын
Kwakwer mungu awabaliki kama ninyi mnavyotubaliki
@fredkyeyo Жыл бұрын
Simba wa Yudaaaa🦁 Mbarikiwe sana wajolii
@raelmasea2941Ай бұрын
Wimbo mtamu sana hauchoki kusikiliza🙏 powerful song with strong message 🙏
@roseokongo510911 ай бұрын
I'm blessed ❤❤
@elizabethmeteti4379 ай бұрын
Am blessed
@AnnaJoram5 ай бұрын
Aminaaa mbarikiwe sana kwa wimbo mzr
@erickmanyisa1989 Жыл бұрын
Good song ... Am blessed... Kindly put on KZbin your song Mungu Hubariki wenye Upendo
@nancynyams Жыл бұрын
Wimbo mtamu Bwana Yesu Asifiwe
@GEOGRAPHYCLASS994 Жыл бұрын
Endelea kusonga mbele,.....injili isonge mbele.... beautiful music.Bravo to the your song writer and the singers too for the marvelous work done🎉
@douglasmorgany9702 Жыл бұрын
Sifa zote kwa Mungu wetu muumba wa mbingu na nchi na vyote vilivyo humo! Let's get ready, get Ready Yesu yuaja upesi Ufunuo 22:7,12. Mbinguni twaenda.
@sibiahnyanchoka3440 Жыл бұрын
Nimebarikiwa, sana , na wimbi "Simba wa yuda' --si kitanbo anakuja😂😂😂😂, tumechoka😢😢😢
@MACTOUFFMAOSA10 күн бұрын
Evangelistic voices. Soprano na tenor zinaniweza. Napanga safari Kenya siku ya music sabbath ya huu mwaka. Mseme calendar yenu mapema tujipange kufika
@bonaventuramaliganya2007 Жыл бұрын
Amen. Endeleeni kusongambele kama jina lenu
@ErnestiSino-c7h4 ай бұрын
Mungu abarik wimbo mzuri san
@mwaisejetv Жыл бұрын
Kazi nzuri sana, Hongera sana Songambele SDA choir
@abugahjoseph3403 Жыл бұрын
Amen 🙏 mbarikiwa
@ZakayoNyambekiNyakweye Жыл бұрын
Amen ,wimbo mazuri sana
@EmmanuelBomani5 ай бұрын
Barikiwa kwa jumbe zenu nzuri
@SeciliaKakani7 ай бұрын
Mbarikiwe sn watu wa mungu,mzidishiwe zaidi
@MusaKisaka-f6f3 ай бұрын
Mbarikiwe hakika mnajua🎉
@Muriithi-r7o2 ай бұрын
Mungu awabariki sana.nyimbo tamu sana with a message.
@esthermwango35988 ай бұрын
Amen 🙏🏿🙏🏿 continue with that spirit 💪🏿💪🏿🎉❤
@tripgeniusadvisorysafaris Жыл бұрын
Waziri...🙏
@EsterJonnАй бұрын
Mungu awabariki
@EsterJonnАй бұрын
Kwakweli songambele mnanibariki sana naomba mumsalimie protas aloisi rafiki wa Jon mohahe
@amosmogire4754 Жыл бұрын
wow.. wow tena... wooowwww tena jameni🔥👋
@NaomiSadick7 ай бұрын
Amina Sana waimbaj mungu awabarik Sana nabarikiwa nauimaji muimbe Hadi juu mbinguni
@janetkemunto8786 Жыл бұрын
My favorite choir ❤️🌹 Mungu na awabariki
@DavidPaul-k5z Жыл бұрын
Mimi Je nawapendaaa mpka basi jmn
@eliasmalima7725 Жыл бұрын
Bwana awabariki
@osorosamuel2023 Жыл бұрын
Amen, I real love your songs. Ni kitambo kidogo
@nizegideon49 Жыл бұрын
Mungu awabariki kwa wimbo mzuri
@anthonygeofrey4704 Жыл бұрын
mubarikiwe sana
@GeorgeHalihali7 ай бұрын
Mbarikiwe Sanaaaaaaaaaaaaaaaa
@ericknyaruri559 Жыл бұрын
Wimbo mtam huo
@ceciliagefi-bj5zn Жыл бұрын
Amen, mungu aendelee kuwa nanyi daima, mnanibariki sanaa
@SubiraAudony3 ай бұрын
Kwaya hii nimeipenda Sana ni waadventista wasabato kweli kweli (wanawake wa kwaya hii mbarikiwe) mmefaulu katika uinjilisti mungu anafurahishwa na muonekano wenu milele amina
@chrisshonga Жыл бұрын
MUNGU awabariki sana kwa uimbaji wa ajabu unaogusa mioyo na nafsi! Mnanibariki sana na uimbaji wenu. love from London
@edmondanyonaombaye334010 ай бұрын
The story. The message. The wordings. The voices. The BLESSING! I belong in that choir. Amen
@wisemanking0017 ай бұрын
Tangu niwafahamu Songambele kwaya sijaona kiburi kwenye kazi ya Bwana....ASANTE KWA KAZI NZURI YA KUMTUKUZA MUNGU KATIKA NYIMBO ZENU
@morangaibrahim7447 Жыл бұрын
Hongera sana for wonderful piece.....like your energy....may God bless you all
@calebchacha333 Жыл бұрын
Amen tawala zote na zipite
@JohnMaranya-qx6tt Жыл бұрын
Bass Mbarikiwe sana
@marymashango86747 ай бұрын
Bwana awabariki sana mfike mbinguni mkaimbe Pamoja na Bwana.
@peterodukowitioduk487711 ай бұрын
God's combined forces
@jjjohnombuki7635Ай бұрын
Your dressing style it's An Adventist standard .May God Bless songambele
@elizabethasha1677 Жыл бұрын
🎉Amina
@GideonMutua-qw9iz Жыл бұрын
Nice nice nice
@Jkuni195 Жыл бұрын
Kama kawaida Wana Kombeo, Glory to God
@maggiegathura10 ай бұрын
Beautiful voices and message that the Lord is coming soon.Keep up the evangelism and God bless you all.
@paulineonduro3554 ай бұрын
Amina❤❤❤
@ElishaMarwa-t7q3 ай бұрын
tangu nmeckiliza wimbo wenu wa nipe zawadi yangu...niko nany bega kwa bega mungu awabariki sana