Hii kwaya ni chanzo kikubwa kilichonivutia kuwa msabato hakika mnanibariki sana may God bless you Songambele SDA choir
@thomasnyangacha94165 ай бұрын
Sasa hivi niko utube na songa mbele quire ,wananipa roho uokovu..
@sergesadi54123 ай бұрын
Barikiwa sana mtu WA Mungu
@jamesrichardonoka29829 ай бұрын
Niko hapa Kwa sababu ya @brayo muziki 🔥🔥...Wapi watu wa Brayo na likes
@CynthiaJuma-c7zАй бұрын
Mimi onoka#cynthia juma
@abelmoranga95247 ай бұрын
God bless you and your singing.its a blessing to my soul
@devancpoul5524 Жыл бұрын
Twende mbele turudi nyuma hawa watu wanavipajii nawapendaa sanaaaa❤❤❤ Watu wangu wa nguvu snanaaaaa🎉🎉🎉 nawapendaa jmn songambele More blessed ❤❤❤ sana
@princewise2442 Жыл бұрын
You are awesome. Glory be unto God
@swaumu9 ай бұрын
Kabisaaa mungu azidi kuwapa imara zaidi❤❤
@JuliethAron-x4x9 ай бұрын
Mnanibariki sana Mwenyezi Mungu zaidi kuwajalia neema❤❤
@edwardtabitha44267 ай бұрын
Hilo sio la kuuliza alafu wanaupendo hatari
@DavidPaul-k5z7 ай бұрын
@@edwardtabitha4426sana nawapenda ase❤
@georgekarani6987 ай бұрын
Jameni mkija Makambi kwetu Nairobi Mathare north mwaka huu mwezi wa nane nitawapa zawadi mnikumbuke mungali hai
@mwakanosyaandrew43487 ай бұрын
wamealikwa huko?
@cleantone47997 ай бұрын
This has been on a replay mode for three days now and still is...
@OrpaJohn10 ай бұрын
Mungu awabariki sana
@DanyIddy-im1km7 ай бұрын
Wimbo imenitoa machozi😢😢
@victorbilly86317 ай бұрын
Amen am blessed. Nipezawadi @KE 254
@paulinakajivo4670 Жыл бұрын
Mungu awabariki kwaya ya songambele, ujumbe mzuri mmenikumbusha jambo❤
@samwelmwilongo7 ай бұрын
Songambele nikwaya yangu ya pili yakwanza ni kurasini nyie ninoma nawapata nikiwa ZAMBIA 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲
@suzy730919 күн бұрын
Zambia mnaongea kiswahili ?
@frankongete939611 ай бұрын
Mimi sio mwanachama wa SDA ila mnanivuta Sana karibu na Mungu .. Moshi mnasikika Sana
@thenewstv9342 Жыл бұрын
No dought this is the best Adventist choir in Tanzania and East Africa at large,,,, keep doing great as much as you can. Most of your songs contains religious doctrines that convey the intended message regardless of the religious differences.... BRAVO, BRAVOOOOOOO SONGAMBELE🙏🙏🙏🙏
@DavidPaul-k5z11 ай бұрын
That’s trueee❤🎉
@stephenkaranja93243 ай бұрын
Tis reminds of my late grandma's funeral
@topsdasongschoirs847110 ай бұрын
Binafsi nimebarikiwa Kwa ujumbe Wa wimbo huu unao elezea maana halisi ya MKRISTO . MUNGU na awabariki Kwa utumiaji wa karama zake
@jerubetjoan208 ай бұрын
I can't enough of this song ❤❤someone to like my comment so that i will be watching it wherever this comment is touch.
@derrikwasonga5783Күн бұрын
Amen
@samwelotieno3443 Жыл бұрын
Watching from Nairobi, Kenya. Very inspiring! May God bless you so much for your devoted work to him.
@verrohkerubo16527 ай бұрын
Songambele mbarikiwe sana. Hizi sauti taaamu pia sizikoshe Mbinguni.
@FeristaShao7 ай бұрын
Nawapenda mnooo kiukweli mnaimba Mungu awabariki
@joashouma-jv9mt3 ай бұрын
E Bwana wa majeshi nitendee mema kama ningali uhai Tena 😢kabla nirudi mavumbini.... nyimbo mzuri sana. Mbarikiwe
@davidmbwambo7747 ай бұрын
Kiukweli nimebarikiwa sana na hii nyimbo sengeni mbele,na Mungu awatangulie
@pastorjohnh.okothatieno674211 ай бұрын
Kwaya yangu! May God continue using you to bless and prepare His people for heaven
@yomamausafi113711 ай бұрын
ubarkiwe sana
@PenesaMonda11 ай бұрын
Tuko hapa kutoka kenya kuwakilisha. Kazi nzuri kabisaa. Barikiweni
@Merymbugipaul7 ай бұрын
amina Sana wapenda
@felixongeri511411 ай бұрын
Very encouraging message to all of who listen and internalize. Amen
@evansgisore629111 ай бұрын
I can't tire watching this song. Very inspiring. Watching in Kenya.
@FidelFemba-n8l8 ай бұрын
Yaan nmejikuta nalia ,kwa masononeko"Inafaida gani kunisifia nikisha lala sisikii"Mungu tusaidie tukumbuke kutendeana wema sisi kwa sisi tukiwa bado hai🌹
@japhethjune80247 ай бұрын
Yani nawapenda tu bure, and may our almighty God keep on lifting you up❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@J_4_G_Family_Tz Жыл бұрын
Hakika MUNGU wangu wa mbinguni awakilimie kulingana na wingi wa baraka rehema fadhili na Pendo lake 🙏🙏🙏🙏
@godfreyotieno642411 ай бұрын
Gift me now,don't wait for my demise to contribute hefty.Brethren let's thank God and appreciate life when it lasts.Songambele you have blessed my soul with this piece.Amen!
@NyakundiEdinnah-kq1ij11 ай бұрын
Amen
@ruthombuki20389 ай бұрын
Hallelujah, this is how we will sing before God,this is pure wisdom to write such an inspiring item Really the writer of this song was led by the holy spirit let us emulate the message in it.
@deborahelias1238 ай бұрын
I really love the song😊🙏 amazing
@CharlesMarko-qs1ym8 ай бұрын
Nyie watu nyie kutumika kwenu sio Bure huu wimbo mmetisha sana kweli Mungu Yuko ndan yenu
@starmiusmchelle32927 ай бұрын
Natamani ku -share wimbo huu na kila ninayemfahamu ili ujumbe uwafikie hata wasiyo kuwa na access rahisi na waimbaji hawa. Mungu awabariki sana waimbaji na mtunzi
@DavidPaul-k5z7 ай бұрын
Share mtu wa Mungu maana una maneno ya kwel🎉
@kiswagatz7990 Жыл бұрын
mbarikiwe sana nyimbo i na ujumbe mzuri naawapenda sana. nawapata nikiwa mtwara.
@deborahsarange56317 ай бұрын
Give people their flowers while they are still alive, watching from kenya
@sospetermkangi722 Жыл бұрын
Nakosa neno sahihi ya kueleza ni kwa kiasi gani wimbo huu unavyogusa moyo wangu. kila ninapohusikiliza najikuta machozi yananitoka. Huu wimbo unagusa maisha halisi katka jamii zetu. Mtu anakufa kwa kukosa matibabu ambayo yangegharimu laki moja kisha tunachanga mamilioni kusafirisha mwili na mazishi. Nawapenda sana.
@jocktankachekolela620211 ай бұрын
Barikiwa
@tidojr97911 ай бұрын
Mungu na atusaidie zaidi katika kuliweka hili hubiri ktk vitendo
@naomngao364011 ай бұрын
🎉🎉🎉I can't get enough of this song and it's message. God bless you for blessing me through your voices. ❤
@ashuuhtimothy72010 ай бұрын
impressive also
@moraabema47468 ай бұрын
Glory to God! So inspiring message. Be blessed. Am also a choir member from Kisii Kenya.
@DavidKapata-m1q Жыл бұрын
Nipe zawadi ningali hai....Amen blessing watu wangu.... from mwangaza we are blessed
@joshaurola372211 ай бұрын
Mbarikiwe sana. You are living true to your name, indeed mmesonga mbele, Wonderful message,beautiful singing
Nawapendaaa sanaa I can’t explain ❤❤ sanaaa nyie watu
@lydiamokeira6062Ай бұрын
Me listening this after ending ziwani Makambi,it was a blessing to have you songambele and Kingongo...
@LeahKimaro-r8r8 ай бұрын
Mungu awabariki sana hakika mmetufikishia ujumbe kama ni mbegu mmeipanda kazi kwetu. Mungu atusaidie sana
@chrisshonga4 ай бұрын
Nawapenda sana! uimbaji wenu ni wa kitofauti MUNGU azidi kubariki vipaji vyenu! naamini kwa nchi yetu lazima mshike nafasi ya 1 Love from Furaha choir-LONDON
@TunnuhNkya10 ай бұрын
Nawapenda sana Songambeleee Choir
@oscaronchonga964811 ай бұрын
Watching from kisii, Kenya nice song I deed
@callenomenda78398 ай бұрын
Amen mwanachior wa riruta east haki mungu awaongoze kwa kila jambo
@derrikwasonga5783Күн бұрын
I was blessed with your gospel 2024 Mathare North camp meeting, Nairobi. I really shade tears when you hitted this one.
@perisbosibori2249Ай бұрын
This is awesome Songambele choir. I've been blessed greatly with this song. May GOD bless you abundantly as you continue working on His Vineyard, 🙏🙌.
@bramweldrogba303411 ай бұрын
I can't finish listening to this piece of music, God bless you all
@evcosmasatekamomanyi2509 Жыл бұрын
I have waited this song long but now uploaded thanks l love this song
@olivertambo82029 ай бұрын
The deepest need I longed for? My brothers were there for ,I now understand love,Amen❤
@Goalspectator8 ай бұрын
wow this touched me
@johnsonchambua20247 ай бұрын
Nimependa hamjawahi kukosea Mungu awabariki
@duncannjuguna56042 ай бұрын
Very powerful and uplifting composition. May the name of the Most High be praised as we internalise and walk the talk. Personally have been touched with the words.
@sadikimbonea315010 ай бұрын
Mungu awabariki sana kazi nzur
@calebchacha333 Жыл бұрын
Safi sana wana wa Mungu mbarikiwe katika utume wenu na kazi njema mnayofanya
@benjijoel Жыл бұрын
Mungu Awabariki na awalinde natazama kutoka Mwangaza SDA church
@kelvinobash6005Ай бұрын
They are ready to spread the Gospel, I liked their ladies haircuts 😊The best🎉
@Eliza-nz1dn8 ай бұрын
Mung ndo kila kit jaman hongelen jaman mko vizur san naman mukiendelea iv ooooo mtafik mbal sana❤❤❤❤❤
@akaachandz4 ай бұрын
I listen to this song every single day. Such a blessing. Lots of love from Kenya
@ruthkhomo3043 ай бұрын
Amen. We ought to live the message in this song.God bless you as you continue serving Him in thi ministry
@rebeccakipeth9 ай бұрын
This is absolutely amazing❤❤❤. I love this
@Winfrida-th6xxАй бұрын
❤❤❤❤❤❤ mungu awabarki sana huko mriko nyinyi watu mnavipaji
@ondiekirichard87299 ай бұрын
this message is soul touching! Let's remember one another while we are alive,powerful indeed
@arasalucy6542 ай бұрын
I love this song and I keep watching it now and then. Songa mbele choir may God bless you 🙏 🎉🎉🎉
@otienoelishaogweno2282 ай бұрын
It was a blessing having them at Mathare North camp meeting..we were really blessed.
@onchagwadavis64463 ай бұрын
This message in the song is so powerful! Treasure life with your loved ones. It reminds me this world is not our Home. The composer of the song was indeed guided by the Holy Spirit.
@bwirendege6240 Жыл бұрын
Wimbo mzuri Sana, CD ya wimbo huu naipataje? By Pr Bwire,mtaa wa Chamwino-Dodoma
@devancpoul5524 Жыл бұрын
Tarh 12 mwezi wa 11 inazinduliwa utapta
@mwemasamo8149 Жыл бұрын
Mungu awabariki niliisubiri kwa hamu atimae nyimbo imetoka inaujumbe mzuri sana
@LencerAchola-ue1fsАй бұрын
Funzo kubwa sana,mungu atusaidie tutende mema tukiwa hai
@TunnuhNkya10 ай бұрын
Nataman nikutane nao kwenye mkutano wowote alafu waimbe huu wimbo NAMI nipite niimbe nao
@josephatomweri-g9iАй бұрын
Congratulations Be blessed always Huu wimbo ni tamu sana
@claricemoraa542910 ай бұрын
Thank you so much for a wonderful song. It was introduced to me by sister when I was sick. so touching
@janetkemunto8786 Жыл бұрын
My favorite choir ❤️❤️🙏🙏Mungu awabariki
@barakastancelaus5996 Жыл бұрын
Huu wimbo nilikuwa nausubiri sana hongereni kwa kazi nzuri Mungu azidi kuwatia nguvu