Napenda sana nyimbo za Simba wanyika original, wapi Luza John Mwasindila, najua wengine wametangulia mbele ya haki, naomba wale walio hai wajitokeze siku moja moja kwenye vyombo vya habari wafanyiwe mahojiano kuhusu Simba wanyika original.
@mkilimamoses2311 Жыл бұрын
Kweli vipaji na utajiri vimelala makaburini.Mungu azilaze mahala pema peponi wilson&george peter kinyonga roho zenu.
@EstherManda-pq5vz10 ай бұрын
Wakina mama tusikilize vizuri wimbo huu aaah wanaume wanaliya Sana. Hebu tujuwe kwamba Hasira ni Hasara ❤
@Baba-JJ Жыл бұрын
Takes me back to the eighties, kweli huwezi kupigana na wakati. 😪😪
@allymazige964 Жыл бұрын
Wilson, William,Ngereza,profesa juma hiii ni Raha juu ya Raha amani ipo ya kutosha old is old
@jothammalale87474 жыл бұрын
Hiyo ni kazi ya vipaji vya kuzaliwa navyo hapo hata kama ungesoma digrii ya Muzik. Huwezi toboa. Mashairi yamejaa mafundisho achana na uimbaji wa kizazi cha sasa upuuzi mtupu huwezi sikiza ukiwa na watu wenye heshima. Bahati mbaya sielewi kwa sasa Wilson /wiliam maisha yakoje sasa
@phakundigervas13602 жыл бұрын
Jamaal zetu washatangulia mbele ya haki
@andreangweshemi77062 ай бұрын
Umesema halisi. Ule ndio ulikuwa muziki, siyo leo - makelele tupu.
@dank69082 ай бұрын
Wilson na George ndio waliaga, William angali anaishi Nairobi, Huruma Estate
@edwardmogusu1809 Жыл бұрын
I love this song hasira ni hsara, manselina and other songs in album I don't know if the songs were prossesed.
@akabolamusic3 ай бұрын
Recordando "El Rojo" 🐍
@jessenjuenjoka44402 жыл бұрын
Walimwengu wa Jana walikuwa wamejaa originality
@sarahnshimirimana22394 жыл бұрын
I love this music 🤩🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🤩🤩🤩🤩💖💖💞
@johnbabu59743 жыл бұрын
Old is gold.
@wfurdyna985010 жыл бұрын
Bless you Hector and Wadys for uploading this :-) -- my vinyl is all in storage!
@frankntenga12626 жыл бұрын
ujumbe waukweli siri ya ndani ya ndani kwanini umtangazie jirani simba wanyika tutawakumbuka kwa ujumbe mzuri
@samuelngui4588 Жыл бұрын
Advice tupu. Utamu wanyimbo za hezi hizo Hadi waleo.....
@abdi51466 жыл бұрын
Old is gold indeed.
@josephbett88479 жыл бұрын
kweri hasira ni hasara...
@athumanimalenge66547 жыл бұрын
Abbu Omar profesor JR hapo katembea sana na nyuzi bin nyuzi
@shabanimbuguni51817 жыл бұрын
Athumani Malenge naam barabara best
@mgayaaugustino3796 жыл бұрын
Tupe list ya kundi zima lililocheza wimbo huo mzuri.
@athumanimalenge66547 жыл бұрын
old is gold
@DuniaUga-oe1rc Жыл бұрын
Smba was nyika bana asia
@rosembercorream3155 жыл бұрын
Joooodaaa que cule disco
@donngoje55356 жыл бұрын
Hapo ndipo
@athumanimalenge66547 жыл бұрын
Twahir Sax
@josephbett88479 жыл бұрын
Thank youu!!!!!!
@peterkimweli35253 жыл бұрын
Kanda
@donngoje55356 жыл бұрын
Ngoma iwake
@alimwayanga80836 жыл бұрын
MANENO MATAMU MAZURI YENYE MAWAIDHA
@asrecords47234 жыл бұрын
El rojo la cobra de Barranquilla
@luschrist8 жыл бұрын
Thanks
@HEGEZAGA10 жыл бұрын
Cortesia: Wadys Mercado Silgado
@borisalbertobarrazarico97038 жыл бұрын
Hector Zambrano
@ramadhanisamata74855 жыл бұрын
Please pour them whatever you have in your stock of music
@edwardmogusu1809 Жыл бұрын
This new musician must wake and stop proses sing useless music.
@athumanimalenge66547 жыл бұрын
Abbu Omar profesor JR hapo katembea sana na nyuzi bin nyuzi
@athumanimalenge66547 жыл бұрын
old is gold
@athumanimalenge66547 жыл бұрын
Twahir Sax
@athumanimalenge66547 жыл бұрын
Abbu Omar profesor JR hapo katembea sana na nyuzi bin nyuzi