MAZOEZI YA KWANZA HAPA TUNISIA YAMEANZA RASMI TAYARI KWA MAPAMBANO YA POINT 3 MUHIMU

  Рет қаралды 30,614

Simba SC Tanzania

Simba SC Tanzania

Күн бұрын

Пікірлер: 89
@KhanashyAlmassi
@KhanashyAlmassi Күн бұрын
Simba nguvu moja,jifueni vyema wachezaji wetu na msiludie makosa mnayoyafanyaga ili tuweze kupata alama,ubaya ubwela I love simba❤❤❤❤
@PaulSinkonde-g8z
@PaulSinkonde-g8z Күн бұрын
Mungu ijalie simba yet ipate ushindi
@Josephtibu-l9e
@Josephtibu-l9e Күн бұрын
Mungu ni mwema
@JohnsonGodwin-e9t
@JohnsonGodwin-e9t 2 күн бұрын
All The Best....Jah Akabless 🙇💪
@AbdallahJambia-fo1tn
@AbdallahJambia-fo1tn Күн бұрын
Mungu ibariki simba amiin
@AshaAmiri-l2g
@AshaAmiri-l2g Күн бұрын
Kila la kheri inshallha chama langu ubaya ubwela simba nguvu 1 tusikabe kwa macho chukuwa mpira mguuni kwa tiknik usikabe kwa macho
@DullahOG
@DullahOG 2 күн бұрын
Kwa mazoezi haya aisee ni 🔥🔥🔥Mungu yu pa1 nasi wanasimba wote
@Mchetejr
@Mchetejr 2 күн бұрын
Ubaya ubwela Hadi Tunisia Simba SC Nguvu moja 🇹🇿💪
@sulleimanshalua168
@sulleimanshalua168 2 күн бұрын
Kila la kheri Simbasc mnyama #Nguvu moja
@ASHURAYAMBI
@ASHURAYAMBI Күн бұрын
Kika la kheri mnyama ❤
@relaxstarman
@relaxstarman 2 күн бұрын
Kwa mazoezi haya mechi tunashunda bila shida yeyote 🎉🎉🎉🎉
@MicahGhloloj-bs4cy
@MicahGhloloj-bs4cy 2 күн бұрын
Uzima Mungu ametupa kikubwa ni juhudi na matumizi ya nafasi Amina Mungu tuwezeshe
@AminaFadhili-qe3et
@AminaFadhili-qe3et Күн бұрын
Amiinna 🤲🤲
@samwelpaulo1379
@samwelpaulo1379 Күн бұрын
Naona marali Iko juu
@MahaSaeed-hf3gs
@MahaSaeed-hf3gs Күн бұрын
Mungu atatenda
@tanzania_education_theatretz
@tanzania_education_theatretz 2 күн бұрын
Simba nguvu Moja. Nipeni like zangu
@iddiramadhan
@iddiramadhan 2 күн бұрын
Kila la khery mnyama Simba sports club siku ya tarehe 5 Amiinna Rabillah Allah miinnah 🤲
@AminaFadhili-qe3et
@AminaFadhili-qe3et Күн бұрын
Amiinna 🤲🤲🤲
@venasluhende3599
@venasluhende3599 2 күн бұрын
Ubaya ubwela ❤❤
@AnnaJayden-k4m
@AnnaJayden-k4m 2 күн бұрын
Nawapenda Sana sihami simba ata nihongwe mali na dhahabu ❤❤❤
@EliasBonface
@EliasBonface 17 сағат бұрын
Mwenyezi Mungu awatangulie katka mech yenu ya Tunisia
@StivinNoha
@StivinNoha Күн бұрын
Nawatakia simba mwema
@alexmwajombe749
@alexmwajombe749 Күн бұрын
Kila laheri simba yangu
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 2 күн бұрын
Ewe mwenyezi Mungu bariki Simba ishinde
@AminaFadhili-qe3et
@AminaFadhili-qe3et Күн бұрын
Amiinna 🤲🤲
@gaudencehaule7398
@gaudencehaule7398 2 күн бұрын
Nice training 🎉
@rapmorizo
@rapmorizo Күн бұрын
Pamoto 😊
@iddymobae
@iddymobae 2 күн бұрын
Kila la kheri simba yangu
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka Күн бұрын
Pamoja tunawafatiria majembeetu kira laher kuelekea mchezo wajumapili
@prosperjackson4435
@prosperjackson4435 Күн бұрын
Ila Debora mambo yake atavunja wenzie viuno 😂😂😂😂
@StivinNoha
@StivinNoha Күн бұрын
Nawatakia simba mchezo mwema
@samweliafwilile2315
@samweliafwilile2315 Күн бұрын
Tunatamani kama shabiki kuwa tuwatie adabu hao wagawa utamu, point 3 muhimu
@PendoJoram
@PendoJoram Күн бұрын
Mungo awasaidie mnyama wanguuuu
@HarunaSaid-j2t
@HarunaSaid-j2t Күн бұрын
Naamin alama 3 tunarud nazo
@ElizabethLukosya-lv2vf
@ElizabethLukosya-lv2vf 2 күн бұрын
Kwa uweza wa MUNGU tutachukua ponti 3 dhidi yao, tunaomba mkapambane mpaka dakika ya mwisho ❤
@AminaFadhili-qe3et
@AminaFadhili-qe3et Күн бұрын
IshaAllah mungu yupo ataleta lehema zake IshaAllah tutapata ushindi 🤲 🤲
@HilaliShaaban-j1i
@HilaliShaaban-j1i Күн бұрын
Xafari njemaa ubaya ubwela
@Abuushaymaatz
@Abuushaymaatz 2 күн бұрын
Best training
@wakali7849
@wakali7849 Күн бұрын
Iv yanga wanaakir kwer ko walitaka watoe 30m kwa uyu kagoma 😂😂😂
@Breezynolly
@Breezynolly 2 күн бұрын
DAH KWA TIZI HILO SFAXIEN HAWATATOBOA 🦁 ❤
@AminaFadhili-qe3et
@AminaFadhili-qe3et Күн бұрын
Dua Kwanza
@stevenhassan269
@stevenhassan269 2 күн бұрын
Naomba mungu tushinde hii mechi yetu ya j2 na pia naomba waliopo karibu na boss Mo wamshawishi amchukue Elvis Rupiah Simba tukimpata huyo tutanenepa
@anthonymilinga8696
@anthonymilinga8696 2 күн бұрын
Hatumtaki Elvis Rupia nimzeee kisha zeeka yule
@agripamwakapala
@agripamwakapala 2 күн бұрын
❤❤❤❤❤
@LameckSonda
@LameckSonda 2 күн бұрын
Ushind lazma kikubwa dua
@Christopher-c1x
@Christopher-c1x 2 күн бұрын
Kila la kheri mnyama ktk vita hiyo TUNAMWOMBA BWANA TUWE NAYE KWENYE VITA HIYO bila yeye hakika hatutaweza
@manenohongera7617
@manenohongera7617 Күн бұрын
Huyu mpanzu
@Busagotz
@Busagotz Күн бұрын
Fanyeni ubaya ubwela
@abelimaganga417
@abelimaganga417 2 күн бұрын
Huwa nafurahi sana nikiona chama langu
@SalmaJuma-p7b
@SalmaJuma-p7b Күн бұрын
Kila la kheri chama langu allah awape ushindi
@RahmaJongo
@RahmaJongo 2 күн бұрын
Kila la kheri Inshaallah
@AminaFadhili-qe3et
@AminaFadhili-qe3et Күн бұрын
IshaAllah
@AminaFadhili-qe3et
@AminaFadhili-qe3et Күн бұрын
IshaAllah 👆
@SaidDuka-js2ex
@SaidDuka-js2ex 2 күн бұрын
Nina angalia sana mazoezi ya timu yangu lakini yaleo yatisha sana
@AnnaJayden-k4m
@AnnaJayden-k4m 2 күн бұрын
Kumbe pia umeona eeh
@CarlosRule-p6v
@CarlosRule-p6v 2 күн бұрын
Simba Ya mpanzu Ina bara
@TobiasSilvery-t3d
@TobiasSilvery-t3d 2 күн бұрын
Fight for you are country and club
@renatusblandes1131
@renatusblandes1131 Күн бұрын
Makoti kwenye mazoezi je mechi itakuwaje?
@ShukuruMakoko
@ShukuruMakoko 2 күн бұрын
Ushindi
@jumamkwanda8031
@jumamkwanda8031 19 сағат бұрын
Wapi Edwin Barua????
@Lazarokidulanya
@Lazarokidulanya Күн бұрын
Yaan had raha,, na hapo 2ling'oa viti lakn hata hatuwazi
@Tarent-o8f
@Tarent-o8f 2 күн бұрын
Ubaya ubwera
@raheemvianey7343
@raheemvianey7343 2 күн бұрын
Kila la kheri mabingwa wa 2025
@ShadadiAmri-e6c
@ShadadiAmri-e6c 2 күн бұрын
Ee Mola 2okoe ss Simba 2nakutegemea wewe2 illa najua kwa uwezo wako 2tatoboa2 inshallah
@Rukaiya-lt3hm
@Rukaiya-lt3hm 2 күн бұрын
Warabu presha zinapanda
@AlhajiSwalehe
@AlhajiSwalehe 2 күн бұрын
Unyama mwingi sana vaibu kama lote kila laheli mlud na ushindi
@AminaFadhili-qe3et
@AminaFadhili-qe3et Күн бұрын
Amiinna 🤲🤲🤲
@Muganyizi_paschal
@Muganyizi_paschal 2 күн бұрын
Khira rael timu yetu samba nguvu moja
@Vistus-c5h
@Vistus-c5h 2 күн бұрын
Ubaya uberla huko huko kwao
@LameckSonda
@LameckSonda 2 күн бұрын
Kikubwa nkua makin beki zetu
@changestv2125
@changestv2125 Күн бұрын
COULD FND MUTALE AND BALUA
@SilvesterApolo
@SilvesterApolo Күн бұрын
Piga tizi kwa makini msijiumize
@CharlesFadelis-te5fp
@CharlesFadelis-te5fp 2 күн бұрын
Tupo nyuma yetu mpaka kufa ubaya ubwela
@OmarmakameHaji
@OmarmakameHaji 2 күн бұрын
Kila la kheri lunyasi
@Salimramsey-x8u
@Salimramsey-x8u 2 күн бұрын
Tuombe mola mambo yawe muruwa
@nenoninuruyauzimatv.6257
@nenoninuruyauzimatv.6257 2 күн бұрын
Nguvu moja. Jamani kuna taarifa zina zagaa kuwa kipa wetu pendwa ameumia akiwa mazoezini je jambo hili lina ukweli? Tafadhali umtutoe wasiwasi ila zaidi sala na dua mnyama aibuke mshindi..
@jaffamasimba5045
@jaffamasimba5045 2 күн бұрын
Ww umezipata wapi izo za kipa kuumia
@sandepius8869
@sandepius8869 2 күн бұрын
Zipuuze
@anthonymilinga8696
@anthonymilinga8696 2 күн бұрын
Alie kuambia kuwa kipa kaumia ni nani? Hizo habari zenu za vijiweni msizilete huku tafadhali
@nenoninuruyauzimatv.6257
@nenoninuruyauzimatv.6257 Күн бұрын
@@sandepius8869 Wewe umetoa majibu kwamba niziipuuze
@nenoninuruyauzimatv.6257
@nenoninuruyauzimatv.6257 Күн бұрын
@@anthonymilinga8696 Tafuta na wewe mtandaoni uone , maana unajibu bila kufikiria, mtandaoni, kwa hiyo kuuliza imekuwa shida au? .
@SaumuSaidi-z2v
@SaumuSaidi-z2v 2 күн бұрын
Kila siku naona simba Bandon,mbona sioni uto bando?nauliza jmn
@AnnaJayden-k4m
@AnnaJayden-k4m 2 күн бұрын
Mambo mazuri yanapatikana simba tu❤❤
@TheNewsCapitalSportsLive
@TheNewsCapitalSportsLive Күн бұрын
kzbin.info/www/bejne/hHXdao2IraqnhdEsi=iBklu4IRClxli2uu
@SamsonSamsoni-q9s
@SamsonSamsoni-q9s 2 күн бұрын
👏👏👏👏👏👏👏👏👏🇹🇿🦁♥️♥️♥️♥️♥️♥️💪💪💪💪💪💪💪🙏🙏
@EdsonAlfaeli
@EdsonAlfaeli Күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤
Какой я клей? | CLEX #shorts
0:59
CLEX
Рет қаралды 1,9 МЛН
Вопрос Ребром - Джиган
43:52
Gazgolder
Рет қаралды 3,8 МЛН
Messi Super Hattrick - Inter Miami vs Chicago 7-2 - Marcelo Debut - All Goals & Highlights 2025 HD
14:47
اسرار لجمالك مع زينب سليم
Рет қаралды 281 М.