AMBOKILE:KAMA KWELI BACCA ANATAKA UFUNGAJI BORA,BASI YANGA WAWAFUKUZE WAKINA DUBE,MZIZE NA MUSONDA!

  Рет қаралды 6,668

BENTV MEDIA

BENTV MEDIA

Күн бұрын

Пікірлер: 24
@erickmalipesa1018
@erickmalipesa1018 Күн бұрын
Uko vizuri sana kaka m nimekukubari sana kaka daaah!!!
@reinfridlipili5666
@reinfridlipili5666 Күн бұрын
Yaani huyu jamaa bana😅😅
@comsmkemwa2671
@comsmkemwa2671 Күн бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣huyo ndio ambokile bwana! Leo Cheupe kesho Cheusi!!
@maxmiliankadawiibalaja2198
@maxmiliankadawiibalaja2198 Күн бұрын
Chuma Cha Mjerumani hapo kwenye Mgono 😂😂😂 Umenikumbusha Mbali Sana
@KumbaBoy
@KumbaBoy Күн бұрын
Nakubar kaka cmama imara mm binafsi nakukubar
@FrankFanuel-r3k
@FrankFanuel-r3k Күн бұрын
Chuma cha mjerumani kunywa bia nakuja kulipa 😁😁😁😁😁
@SabangaOnline-uf3rl
@SabangaOnline-uf3rl 22 сағат бұрын
daaah wewe jamaa ni mchambuzi mnafki sana wewe
@RhabanusWilley-q6y
@RhabanusWilley-q6y 22 сағат бұрын
Unauliza swali refuuuu yni vip wwdada wa ben tv.
@mabagamendez1156
@mabagamendez1156 Күн бұрын
Mimi nakukubar sana kaka endelea kufundisha uko vizul
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 Күн бұрын
UPO SAHIHI SANA HAO WANDISHI HAWAJIELEWA MASWALI YAO NI YAKIJINGA HAWAJUI KUULIZA MASWALI
@MussaRqjqbu
@MussaRqjqbu 22 сағат бұрын
Singida Malaya wa yanga tu unganeni hiyo tar 28
@comsmkemwa2671
@comsmkemwa2671 Күн бұрын
Hayo ndio matatizo yako! Kuhusu Joshua mutale utakuja kukanusha maneno yako! Niko paleee
@Lulaboytz
@Lulaboytz Күн бұрын
Ibrahim bac alistaili kadi nyukundu
@SaidiMzava
@SaidiMzava Күн бұрын
Wewe mnafiki uko kama mwanamke kama dishi hatutaki utusifiye falawewe
@AllyIkanga
@AllyIkanga Күн бұрын
Mbulula mamaako iasisi wa tz siombulula
@maliadii4829
@maliadii4829 Күн бұрын
Washinde xote wana point 3 zetu wanazo we nenda kazibe hilo pengo kolo we
@AbdallahSalumu-zr3te
@AbdallahSalumu-zr3te Күн бұрын
Unajuwa kuna muda unakuwa saii kunamuda
@mohdmohd8428
@mohdmohd8428 Күн бұрын
VDEO INAKUWA TAMU JAMAA AKIONGELEA YANGA ILA KIGEU GEU SANA AMBUKILE
@chanenemkali1646
@chanenemkali1646 20 сағат бұрын
Bla,bla,bla...yawn!
@JosephChrisant
@JosephChrisant Күн бұрын
Makolo tunawasubiri mechi yao ya tarehe 28 na SBS wakitoboa hapo basi ligi itakuwa ngumu lkn wakibanwa tu hii mechi imekula kwao!.
@GOLDIANEDRICK-sm6xk
@GOLDIANEDRICK-sm6xk Күн бұрын
Watabebwa Sana siku hiyo Si unaona siku hizi wanachezeshwa na marefa wa kike wanaopokea maelekezo akina tatu malogo
@abdulkiyumbu-ll1bs
@abdulkiyumbu-ll1bs Күн бұрын
Kwa akili yako singida bs wanaweza kuwazuia simba
@azzanassor3482
@azzanassor3482 Күн бұрын
Utopwenga 😂😂😂😂Akil yako Inakudanganya hivo bas endelea kutuombea mabaya ili yawarudie wenyewe mkafungwe pote
@azzanassor3482
@azzanassor3482 Күн бұрын
​@@GOLDIANEDRICK-sm6xk😂😂😂 haloo Kubebwa na sisi wap na wap tunakamiwa ila tunashinda na nyie wabebwaji mnapewa hadi magoli ya mkono aibu hii😅
Hilarious FAKE TONGUE Prank by WEDNESDAY😏🖤
0:39
La La Life Shorts
Рет қаралды 44 МЛН
ВЛОГ ДИАНА В ТУРЦИИ
1:31:22
Lady Diana VLOG
Рет қаралды 1,2 МЛН
Lamar: "Refusing to Follow: My Path to Freedom!"
57:45
The Endless Race Podcast
Рет қаралды 1,6 М.
MCH.OBED KATUNZI AMJIBU MCH MOSES MAGEMBE
56:21
SHUHUDA ZA KWELI
Рет қаралды 819