Kibu mungu azidi kukupa maisha marefu ili uitumikie simba yetu ❤❤❤❤ nakila utembeapo mungu akulinda na Kila baya tunakupenda sana❤❤❤❤❤❤❤
@NasirYounanКүн бұрын
Yani kwa kweli hatuna cha kukupa zaidi ya kukuombea kibuu ❤mana sio furaha yake nilio nayo one love ❤❤kibuu
@aishangwembeКүн бұрын
Kibu Asante Allah akuongoze vyemaaaa🙏🌹
@princejosephat8316Күн бұрын
Hongera sana mkandaji umeonyesha kwa nn ulirudi Simba❤❤❤ naktakia afta njema uzidi kuwakanda...
@GelesKanyikaКүн бұрын
Kibu ww unajituma sana kaka inaonekana na tunakuona 🎉🎉
@RichardJustine-r2mКүн бұрын
Huyu mwamba mechicza maamuzi ndio anafanya maajabu 🎉❤❤
@VivianMmaryКүн бұрын
Mungu aendelee kuwapa nguvu wachezaji wote wa simba❤❤❤❤❤❤
@ibrahimuakwilombeКүн бұрын
Hongera kibu umetufuruhisha wana simba😊
@JonasMcharo-v8qКүн бұрын
Wachezaji wajue kuwa haitoshi tu kuwa na kipaji, ni muhimu Sana kutumia juhudi na maarifa ili kipaji kiweze kutoa matunda tanayotakiwa. Hongera Sana Kibu D
@monicachacha455Күн бұрын
simba nguvu moja kimataifa❤❤❤❤
@Chimamy1985Күн бұрын
pole baba kipenzi cha wengi mimi nilitabiri simba inafunga bao 2 maashallah denis mungu akuweke tunakupenda sana...baba estar ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ mi pia nilikuwa sijakata tamaa...i love kibu jamani ❤❤❤❤
@EstherTito-z8lКүн бұрын
Kibu d❤❤❤uishi milele na ulindwe na MUNGU ❤❤❤
@SalumMajorhoodКүн бұрын
Ameen❤❤❤
@ThomasMalaasКүн бұрын
Mungu akambless sana
@STELLAMARCELYКүн бұрын
🙏🙏
@WillikisterRWOGAКүн бұрын
Mungu akujalie kibu Denis 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 afya tele
@reneemwenda7306Күн бұрын
Amen
@IshaRamadhan-x4gКүн бұрын
❤❤❤❤ Am proud of u kibuu denis
@RaphaelMashobaКүн бұрын
Jamani huyu kibu apewe millioni Tano kwenye kumi za mama ❤❤❤
@UmayyaMunisiКүн бұрын
Wampe ata laki 5 jmn😂😂
@samsuyatv4594Күн бұрын
Au milion
@magrethmalobola5470Күн бұрын
😂😂😂
@saidbakari2408Күн бұрын
Tunamkata nauli yetu ya kumfuata Norway na bado ya kumpa jina la Mnorway
@FatumaAmisКүн бұрын
Safi kibu hongera sana
@LeonorahLeonorahКүн бұрын
Hakunachakumpa dada ako tumuombee afyanjema kibu mwanagu leoumeniongezea fulaha mungu akulinde❤❤❤❤
@EzraCpeaceКүн бұрын
Kibu uishi miaka mingi kaka hongera sana unapambana sana 🤝💪💯 tumq namba tukurumie hela
@MwajumaFadhili-v4eКүн бұрын
Ahsnte sana kibu D umetuheshmisha❤❤❤❤❤❤Allah akutangulie kwenye mechi zingne🤲
@FatimaMohd-oq3tlКүн бұрын
Hongera snaa kbud Allaah awalinde wachezaji wetu wa simba
@JeniferNgataКүн бұрын
Nakupenda kibu unajituma ❤❤❤
@EsterElius-p1eКүн бұрын
Simba Raha sana
@IzackfanuelMnikoКүн бұрын
Na❤❤❤❤❤❤ nakupenda sana kibu Mungu akutangulie kila mchezo wako amen
@LeticiaHansbertКүн бұрын
Mungu Tunakushukuru kwa ushindi. Kibu Mungu akupe nguvu na afya siku zote. Umetufuta machozi leo🎉
@RafaeliPetro-b6fКүн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤ nakukubali sana mwamba wewe ndoo mkombozi wa simba?@@@
@franccoz94Күн бұрын
THE TERMINATOR
@Rashdy-y4sКүн бұрын
simba nguvu moja kib d unajua sana kamandaagu mwenye kukusema vibaya aseme ila ss wana msimbazi tuko naww ongela sana ubaya ubwela simba ❤nguvu moja😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅❤❤❤❤❤❤❤
@AminaLibisaКүн бұрын
Rasta mzuri na umefunga goli zuri ❤❤❤❤❤
@JemsiIrambeКүн бұрын
Jaman leo mungu alikuwa nasi kweli kweli kibu nitakupa dada
@LindaMbilinyi-n3nКүн бұрын
😂😂😂😂
@AbelMtuiКүн бұрын
sijawahi ikatia timu tamaa wala mchezaji.kibu keep struggling ❤❤❤❤
@SilimaHaji-o3wКүн бұрын
Ubaya ubwelaaaaaaa. Huuuu ndio moto wa simbaaaa. Tanuri la moto hatoki mtu kivyovyote vileeee!!! Congratulition to kibu denis master mkandaji .👏👏👏👏 Congratulition to simb cham langu. Nguvu mojaaa🤝🤝🤝🤝
@IsackVedastaКүн бұрын
HONGERA SANA KIBU D❤
@priscuslyaruu4362Күн бұрын
Kibu mdogowangu hongera sanaaa kazi kiukweli umeifanya na tunakuombea mungu akulinde
@AddamOdax-i4sКүн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤ hogora sana simba hogera kibu den gor ra ubaya ubwera ❤❤❤❤❤❤❤
@Nuru8700Күн бұрын
Asante Robatinyo kwa kumpa moyo huyu mchezaji
@MeryceanaAdrian15 сағат бұрын
Mungu akutunze kibu kwaajil ya furaha ya SIMBA mashabiki tunakupenda❤❤❤❤
@ErickEzekiel-lj8muКүн бұрын
Kidu(D)mkandajiii tunakukubali sana Kaka yetu unajituma sana leo umetuokoa sana huku mtaan leo pasinge kalika tuseme inshallah_⚽🔥🙌🙏
@SamuelMarwa-z3h15 сағат бұрын
Thenk you kibu ❤ Simba nguvu Moja mungu ibariki Simba ubaya ubwera
@JovinessBaguma12 сағат бұрын
Congratulations KIBU D. Hakika wewe ni furaha yetu wanasimba💖💖🔥🔥🔥✔
@josephvenus3259Күн бұрын
HUU USHINDI, NDIO UMEBEBA KAULI MBIU YA UBAYA UBWELA 🎉🎉🎉🎉💥💥💥🦁🦁
@GeorgeMitti-gf6fhКүн бұрын
Kwa mara ya niliiona kwa roben van pass
@TorongeiIkoyoКүн бұрын
Big up sana kibu denga
@MomRahmaКүн бұрын
nilichopenda saiv sisi mashabiki tulikua tushakata tamaa ila wachezaj awakukata tamaa timu inaspirity♥️♥️👏👏
@NelsonMbilinyi-r2jКүн бұрын
We love you kibu
@mwajumamande8477Күн бұрын
Asante sana kwa kutuheshimisha kipenzi cha taifa Kibu D..Kibu Denis❤
@ummymuya.2060Күн бұрын
Jembe letu, hongera sana... Leo umetuokoa kw kweli! 💪💪💪
@SamweliLaizer-u1kКүн бұрын
Hongera mnorway wetuuu❤❤❤❤ fishing milele na kiwango hiki uliotuonesha siku ya leo
@juliekessy2227Күн бұрын
Kwa furaha nilionayo ngoja kuuombee sala ya tofauti mungu akupe mwanamke akuzalie watoto mapacha akukimbie akuachie watoto wakusumbue yaan uchanganyikiwe Amna bhana natania😂😂we love u kibu❤❤❤❤