Nyie siyo wachambuzi wa mpira ni wapiga ramli tu! Mutale ni mzuri sana na alikua namba 10 mzuri kuliko Ahoua jana. Kwa dakika 20 alizocheza alipiga key passes 3 nzuri sana. Tatizo ni wachezaji wengine walikua wazembe; wanatanguliziwa ni wazito. Alitakiwa achezeshwe na Ateba.
@RashidiMwiga5 сағат бұрын
Kweli nawewe hujielewi, mutale anatalii uwanjani ndio mchezaji mzuri kweli?
@bbclondonulimwenguwasoka612614 сағат бұрын
Chemalone sio beki mzr ana achika sana ni kama David Luis ila Chamalone inazidi kwenye errors
@jonamnyone801419 сағат бұрын
Mimi siku zote nasema tuachane na pasi fupi fupi Kwa mpira wa Sasa tutumie long passes. Kuna watu wanasema culture ya Simba ni pasi fupi fupi lakini nashauri tubadilike. Unapo anza mashambulizi Kwa pasi fupi fupi adui anakusoma na kujipanga kukukaba
@JohnJoseph-qq7ow13 сағат бұрын
Ukweli che malon ametumika sana
@bedomgwalupogo265215 сағат бұрын
Mfumo ndiyo matatizo... kasi na nguvu. Yaani physical training ni muhimu
@Matokeo202316 сағат бұрын
Nafasi ya Chama haijapata mtu -kiungo mshambuliaji bado.
@NyasanaTv-ol4ix4 сағат бұрын
chemalon mbio hana kingine mavambo acheze nane
@JeremiahMkanga15 сағат бұрын
Atakaye niua mm ni mutale jamani. Hivi nani alimleta huyu mchezaji jamani? Kocha Fadlu ana usiri gani na huyu mchezaji kwenye timu yetu? Viongozi, tuoneeni huruma washabiki wenu. Wenzako pia hawana mahaba na mutale japo hawasemi. Mzamiru jana mpaka amepiga chin chupa ya maji kwa ajili ya haka kajamaa. Daah! Inauma sana.
@Stellastella-yi5vu14 сағат бұрын
Mukwala na mutale wanahitaj maombi
@johnmwasilu708712 сағат бұрын
Hawafai kabisa wafukuzwe tu
@bbclondonulimwenguwasoka612615 сағат бұрын
Unaweza badilisha kocha na ubora wa wachezaji ukaonekana
@AbuuAyubu-t7c18 сағат бұрын
Cocha hana uwezo wa kuwafundisha viungo wa ushambuliaji kupenyeza mipira kwa mukwala au Ateba
@TomasiklistophaMwinuka18 сағат бұрын
Mchungaji umeongea ukwer kabisa
@hassanrashid-l3u19 сағат бұрын
C mnajifanya timu yenu ni nzuri,
@mkilwaabdul923014 сағат бұрын
kwahy wewe timu yako ndio mzuri,chura wewee
@hassanrashid-l3u14 сағат бұрын
@mkilwaabdul9230 hee,kwani vp we kibakuli au nawe unablid