SEMAJI AKIZUNGUMZA A-Z KILICHOTOKEA BAADA YA KIKOSI KUMALIZA MAZOEZI/"TUPO VIZURI KUWAVAA PAMBA"

  Рет қаралды 55,924

Simba SC Tanzania

Simba SC Tanzania

Күн бұрын

SUBSCRIBE NOW:
🌐 Site: simbasc.co.tz/
📱 App Store - apps.apple.com...
📱 Play Store - play.google.co...
🔵 Facebook: / simbatanzania
📸 Instagram: / simbasctanzania
𝕏 Twitter: / simbasctanzania
🎶 Tiktok: / simbascofficial
About the Official Simba SC KZbin Channel:
Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference
🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi

Пікірлер: 231
@mckobatz5861
@mckobatz5861 12 сағат бұрын
Ndio maana huwa tunasema this Ahmed Ally ni msemaji bora mwenye upeo mkubwa zaidi ya hawa wengine I love the way ameswitch no masihara no miyeyusho katika jambo serious la team #simbanguvumoja💪💪💪
@IsraelJacobo-r9r
@IsraelJacobo-r9r 12 сағат бұрын
Umesema Kweli kaka
@joshuapallangyo7703
@joshuapallangyo7703 11 сағат бұрын
@@IsraelJacobo-r9r JAMAA KAONA MBALI ZAIDI YA RC ALIVYOFIKIRIA
@twalbuhaji
@twalbuhaji 11 сағат бұрын
Jomba unajua kutoa kauli
@johnjoseph9596
@johnjoseph9596 2 сағат бұрын
@@mckobatz5861 Ahmed ally ndo msemaji bora kwa sasa anajua kitu gani aongee kulingana na mahitaji ya mazingira
@SHARIFANGAZIJA
@SHARIFANGAZIJA 12 сағат бұрын
Ehe mwenyezi mungu ijalie Simba yetu ipate point 3 kesho inshallah
@Sophiasylvesthy
@Sophiasylvesthy 10 сағат бұрын
Amena
@AishaShaban-s5r
@AishaShaban-s5r 11 сағат бұрын
Semaji uko na busara sana ndo maan tunakupenda wana simba❤❤❤❤❤
@WendeMposola
@WendeMposola 11 сағат бұрын
Asante MUNGU mmefika salama naomba Mungu kesho tupate ushindi 🙏🙏🙏
@jumamsavinyi669
@jumamsavinyi669 12 сағат бұрын
kila la kheri simba Nguvu moja💪💪
@buramohamedi5174
@buramohamedi5174 12 сағат бұрын
BURA MOHAMEDI LUKOMO Simbanguvumoja 🤝🤲🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@FaizNgelula
@FaizNgelula 11 сағат бұрын
Poleni Wana Simba.Mlilolikusudia kwakucheza mech hiyo kabla ya mech ya kimataifa lilikua jema kwa maana yakujiweka vizuri,ila nihatari sana kwa mechi hiyo ya Kimataifa hao Pamba waweza kuwaumiza wachezaji wetu.ielewake sote ni wa Tanzania na michezo sio uadui Bali nifuraha.Ushauri kwa utawala wa Mkoa wa Mwanza,msichanganye mamlaka ya kiserekali na Michezo .Mtafeli
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 10 сағат бұрын
Tena ni kosa kubwa sana kwa Sheria za Fifa maana Nchi inaweza kufungiwa km Serekali itaingilia masala ya mpira kwa namna yoyote iliekuwa sio nzuri
@johnjoseph9596
@johnjoseph9596 2 сағат бұрын
@@FaizNgelula viongozi wanakosea sana kuchanganya siasa na mpira.
@Mumlion2624
@Mumlion2624 12 сағат бұрын
Mungu ibariki simba kesho ishinde hat km wanatuletea vujo lkn allah atatubarik ushind
@SuddyMpanda
@SuddyMpanda 11 сағат бұрын
Amiina
@twalbuhaji
@twalbuhaji 11 сағат бұрын
Amina
@ErickFrancis-i3d
@ErickFrancis-i3d 12 сағат бұрын
Zingatia kuwa kisicho riziki hakiliki this is simba kama mtu yanaanza kuleta vurugu anadhihirisha woga but we will never lose through the power of God. Msisahau kuwa hatuchez nao pekeako bali tunacheza na waganga wao, wachambuzi wao, wachawi wao, na utawala wao. I really hate this sheet😢😢😢
@MaximilianLeonard
@MaximilianLeonard 12 сағат бұрын
Simba nguvu mojaaaaaaaaaaaaa
@Tunumussa-c5l
@Tunumussa-c5l 11 сағат бұрын
My God bless this simbaa❤
@BahatiSamwel-w1o
@BahatiSamwel-w1o 8 сағат бұрын
Mungu ibariki simba yetu mengine ni mapito tu tusitolewe kwenye reli
@WistoneMnkande
@WistoneMnkande 12 сағат бұрын
Ubaya ubwela💪🏾💪🏾
@ahmadmasoud1350
@ahmadmasoud1350 11 сағат бұрын
Mwenyezi mungu ibarik SIMBA yetu
@WilbrandBoneza
@WilbrandBoneza Сағат бұрын
Huu ni ujinga kwenye mpira wetu inaendelea kuinyima hadhi ligi yetu👍♥️🦁🦁🦁💪💪🙏🙏🏼🙏
@JUVENTJOSEPH
@JUVENTJOSEPH 12 сағат бұрын
Simba nguvu moja 🤝👊
@MtahammiruKakwelele
@MtahammiruKakwelele 11 сағат бұрын
Simba nikubwa sana kwa uwezo wa Allah Insha Allah ttapata ushindi na point3 muimu
@HezroniIkaya
@HezroniIkaya 11 сағат бұрын
Daah sijui kwann watu wanachokoza Simba kiasi hiki yaani
@JOSIASJULIUS
@JOSIASJULIUS 11 сағат бұрын
God bless our team
@DaniusDauson
@DaniusDauson 10 сағат бұрын
❤❤❤God bless 🙏 our club Simba supersport club ❤❤ wishing all de best 👍💯
@victorlyanga4947
@victorlyanga4947 12 сағат бұрын
Wasipo chukua hatua twende CAF au FIFFA HAKUNA NAMNA
@NicodemusFrancis-td3rh
@NicodemusFrancis-td3rh 12 сағат бұрын
Simba oyeee
@Officialwizzosun
@Officialwizzosun 9 сағат бұрын
Mungu yupo upande wetu Simba nguvu moja💪
@YaredPeter
@YaredPeter 5 сағат бұрын
Ubaya ubwela, Mungu ibariki simba🎉🎉
@jumamangombe6493
@jumamangombe6493 4 сағат бұрын
Ahmed Ally unatukosea sana! Kuna saa unaonyesha kukomaa kifikra na kuna saa unakuwa kama mwendawazimu. Huwezi kutamka maneno eti mara 800 elfu milion au sijui eti hata tukifungwa vitambaa hatufungwi. Ni maneno ya kufuru sana. Kama ulikuwa na hasira bora usingeongea chochote, ukimya nao ni busara kubwa. Unatuchafulia sana. Wasemaji wa hivi vilabu vyetu ni vijana wa hovyo sana. Anyway, naomba Mwenyezi Mungu akusamehe, na Naomba Mwenyezi Mungu aisamehe Simba SC kwa madhambi hayo ya matamshi mabovu!
@johnjoseph9596
@johnjoseph9596 4 сағат бұрын
Hujamwelewa alimanisha nini na haujui maana ya kufuru. Jaribu kutafakari upya kwa makini utamwelewa vizuri
@MickyMgeri
@MickyMgeri 3 сағат бұрын
Utopolo bwana 😂😂😂
@oliverwhite1676
@oliverwhite1676 3 сағат бұрын
​@@johnjoseph9596Unajua kama unacha kukoment bara upite zako huyo Mwamba ni sindano fc ajui maana kufuru
@silasmarandu1485
@silasmarandu1485 2 сағат бұрын
Wengi tumemuelewa , ww kama hujamuelewa unaweza mpigia simu akueleweshe Bob
@RICHARDDOTTO-l8i
@RICHARDDOTTO-l8i 2 сағат бұрын
Kufuru iko wapi yy anaonge ukwel
@PaulJuma-zz7em
@PaulJuma-zz7em 10 сағат бұрын
God 🙏 Bless 🙏 us 🙏
@agripinaapolinary1362
@agripinaapolinary1362 9 сағат бұрын
Kwa nguvu za Mungu hakuna kitakacho wapata wachezaji wetu na Benchi la ufundi,Mungu Yu pamoja nasi, ushindi mnono ❤❤❤my Simba team
@jumangunda5453
@jumangunda5453 11 сағат бұрын
All the best my Team 💥💥
@waziribori2280
@waziribori2280 12 сағат бұрын
SIMBA NI MZOEFU SANA KWA MECHI ZOTE ZA KIMATAIFA NA LIGI KUU. HII TIMU IMEPANDA JUZI TU NA INAANZA MAMBO YA KISHAMBA NI AIBU SANA NA KUNA TIMU INAISAPOTI ILIYOZOEA USHIRIKANA.
@jacksonwillson-vd1vd
@jacksonwillson-vd1vd 12 сағат бұрын
Simba tunaonewa saana kwakweli
@WendeMposola
@WendeMposola 11 сағат бұрын
Kwann
@Allysalum-w4r
@Allysalum-w4r 15 минут бұрын
Mugu akubariki 🎉❤❤
@Dibrafernandezimavambo
@Dibrafernandezimavambo 8 сағат бұрын
Mungu atusaidie tushinde hiyo kesho nguvu Moja ❤❤
@Anthonyzombie-d2s
@Anthonyzombie-d2s 10 сағат бұрын
Mungu ibariki simba ❤❤
@ibrahimuakwilombe
@ibrahimuakwilombe 9 сағат бұрын
Mungu ibariki Simba
@SunguraMmarekan-bs2lr
@SunguraMmarekan-bs2lr 11 сағат бұрын
Like zina kazi gani jaman
@aminihamisi3551
@aminihamisi3551 10 сағат бұрын
Mungu ni mwema sana Simba nguvu moja Ubaya ubwela
@ChivaKayange
@ChivaKayange 11 сағат бұрын
Mungu ibarik simba uwape Uzma nanguvu waweze kushinda
@DenisBablay
@DenisBablay 12 сағат бұрын
Unaongea pwent sana upo vizur boss
@Teacher_Hassan_Lemunje
@Teacher_Hassan_Lemunje 2 сағат бұрын
Lion 🦁🦁
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 12 сағат бұрын
Utoporo wanaweka mkono 😂😂😂wataumia tu sasa polis nao lengo Lao lipi Tena
@bilalistamili-n2o
@bilalistamili-n2o 12 сағат бұрын
simba nguvumoja ubaya ubwela
@AllyAllymwaikela
@AllyAllymwaikela 15 минут бұрын
Huwezi muzuia simba mawindoni sis tue na iman tutankhamen shinda ishalah yupo atatulina
@NathanaelBawil
@NathanaelBawil 11 сағат бұрын
Maulidy punguza ukali Wa maneno duuu! Wanasimba huwa hatuna matusi machafu Bali huwa tunamuomba Mwenyezi mungu atuonyeshee maadui zetu,mpaka sasa unaona nijinsi Gani wenzetu wanavyopata aibu na kuzalilika sana,nakupigwa mafaini na kufungiwa,hizo zote niadhabu za malipo,Sasa nikuombe usitukane Bali tumuombe mungu atatulipia Kwa maadui zetu wanao taka kutuludisha nyuma.
@WendeMposola
@WendeMposola 11 сағат бұрын
Amen
@NeemaMushi-wj1zn
@NeemaMushi-wj1zn 11 сағат бұрын
Amen
@Ommybabaa47
@Ommybabaa47 11 сағат бұрын
Kabisa brazza mollah ndie mlipaji kwa kila jambo hapa hapa Duniani na uzuri Tff walikuwepo hao wakibainika ni wao wapewe adhabu ili wawe na Adabu UBAYAAA UBWELAAA
@sicatz9204
@sicatz9204 10 сағат бұрын
Vitimu vingine Bora vingebaki tu huko championship milele
@msamijoel6916
@msamijoel6916 Сағат бұрын
Busara kubwa semaji big up
@MichaelNtigwanamba
@MichaelNtigwanamba 9 сағат бұрын
🙏🙏🙏 Mungu tusaidie wanasimba tupate ushindi🙏🙏
@NeemaRaphael-x7h
@NeemaRaphael-x7h 10 сағат бұрын
❤❤❤mungu atatuvusha hao wanatafuta kututowa mchezoni
@gwhitetz
@gwhitetz 12 сағат бұрын
Sawa❤❤❤
@MenauruKipuyo
@MenauruKipuyo 9 сағат бұрын
Wanasimba niwatoe hofu kesho tunampiga pamba goli 3 pamoja na uchawi wao
@HamisKifyas
@HamisKifyas 12 сағат бұрын
Daa unajua Sana kaka
@SuddyMpanda
@SuddyMpanda 11 сағат бұрын
Huyu fundi mkuu
@Merrymerry-l4n
@Merrymerry-l4n 12 сағат бұрын
❤❤❤❤🦁🦁🦁🦁🦁
@ZuhuraMwalimuShabani
@ZuhuraMwalimuShabani 12 сағат бұрын
Kwenye hili viongozi wetu msilifumbie macho lazima haki ipatikane
@Ommybabaa47
@Ommybabaa47 11 сағат бұрын
Duhhh poleni Sana wachezaji wetu Alhamdulillah mpo Sallama nilazima sheria ichukue mkondo wake sio sawa tume chukizwa mashabiki wa Simba Inshallah mollah awafanyie wepesi 😂
@WistoneMnkande
@WistoneMnkande 12 сағат бұрын
❤❤❤❤❤❤
@jafetymichael8949
@jafetymichael8949 12 сағат бұрын
❤❤
@fainesindansihans-w4v
@fainesindansihans-w4v Сағат бұрын
mti wenye matunda hupigwa mawe simba inawaumiza sana hatuogopi chochote mungu yu pamoja nasi
@MatildaLazaro
@MatildaLazaro 12 сағат бұрын
Simba nguvu moja
@BensonSiyame
@BensonSiyame 8 сағат бұрын
Mungu yupo sana
@kokolebrain7274
@kokolebrain7274 10 сағат бұрын
Kama hamjae ni mia name mara elfu milioni yaani 800x1000(1,000,000)= Naona wanga mlitaka kutumia kama kiapo kwenye mechi ya kesho.. chumvi tu maaaaaa💪💪deki
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb 12 сағат бұрын
Kwahiyo mkuu wa mkoa anajifanya hapa ni somalia
@rexgodwill7353
@rexgodwill7353 12 сағат бұрын
Mtanda mtanda mtanda ajira nzuri mjini simba itakupoteza ushangae.. Acha mpira uchezwe mshindi apatikane.. Huna msuli wakumletea figisu simba utaumia
@stevenmanase8162
@stevenmanase8162 12 сағат бұрын
Unakosea semaji unasabisha adui kuji panga
@rexgodwill7353
@rexgodwill7353 11 сағат бұрын
@stevenmanase8162 wanatuchokoza mwache aseme Habari ziwafikie wasifikili tumekaa kichovu kama akili zao zinavyowatuma.. Simba ndiyo utamburisho wa soka la Tanzania duniani wengine wanafuatia.. Hatutishwi na mkuu wa mkoa tunaheshimu sheria zilizowekwa tuzifuate
@israelisponsor8755
@israelisponsor8755 11 сағат бұрын
​@@stevenmanase8162Mtaka ni mdogo Sana Kwa Simba,amejitoa ufaham na anajua amefanya ujinga uliopitiliza
@johnjoseph9596
@johnjoseph9596 2 сағат бұрын
@@stevenmanase8162 semaji hana kosa hapo, amesema vizuri sana
@franccoz94
@franccoz94 12 сағат бұрын
YANGA WANATUMIA KILAA NJIA KUHAKIKISHAA TEAM INAANGUSHA POINT, VIONGOZI LAZIMA WAAMKE WAWE IMARAA ZAIDI LASIVYO UBINGWA HUU NI MGUMUU SANAA
@AllyJonh
@AllyJonh 12 сағат бұрын
Ubaya ubwela
@NtamamiloGibson
@NtamamiloGibson 12 сағат бұрын
Pamba bwana😂😂😂😂 Simba kafanyiwa vurugu michuano ya CAF na kuwachakaza, Sasa hawa madogo wanataka kupotea.
@EdwinKabasa
@EdwinKabasa 8 сағат бұрын
Mungu ibaliki Simba Sport Club
@gwhitetz
@gwhitetz 12 сағат бұрын
Msinipe like❤❤❤❤
@frankiswalala6353
@frankiswalala6353 12 сағат бұрын
Simba nguvu Moja
@MarisaVitares
@MarisaVitares 10 сағат бұрын
Usijali semaji mtiwenyematunda ndiounaopigwa mawe wachezaji wasitoke mchezoni kama mungu ameshapanga ushindi hakuna wakuzuia❤
@MunibiSabato-g4k
@MunibiSabato-g4k 12 сағат бұрын
😁😁 mara 800 elfu na million ila huy jamaa ananivunja mbavu sana
@AbdullatifHamisi
@AbdullatifHamisi 11 сағат бұрын
Simba nguvu moja🦁
@AndrewAristaricko
@AndrewAristaricko 10 сағат бұрын
Ubayaaa ubwelaaa ❤❤
@godfray9970
@godfray9970 10 сағат бұрын
pamoja sana semaji
@SelemanSalum-et9nv
@SelemanSalum-et9nv 11 сағат бұрын
Nakubali sana
@patrickfanuel
@patrickfanuel 9 сағат бұрын
Ubaya ubwela ❤❤❤❤
@issackathman
@issackathman 9 сағат бұрын
NAOMBA MNISAMEHE MIMI MKUU WA MKOA
@MasoudJuma-s2t
@MasoudJuma-s2t 10 сағат бұрын
😂😂🎉🎉🎉🎉Simba bingwaa
@RamsoNombo-x9t
@RamsoNombo-x9t 12 сағат бұрын
Hayupo juu ya sheria....asijisahau!
@MohamedMahmoud-oo2nm
@MohamedMahmoud-oo2nm 12 сағат бұрын
Point 3 ni muhimu ,ubaya ubwela nguvu moja
@MkillahShamis
@MkillahShamis 10 сағат бұрын
simba twaipenda kindakindaki
@EvanceThadeo-tk4lf
@EvanceThadeo-tk4lf 12 сағат бұрын
😮😮😮
@lifemoods6452
@lifemoods6452 12 сағат бұрын
Semaji kacheza judo uko
@ChibiduSau
@ChibiduSau 12 сағат бұрын
Mkuu wa wilaya kawa nani zaidi ya simba
@RamsoNombo-x9t
@RamsoNombo-x9t 12 сағат бұрын
Hayupo juu ya sheria....asijisahau
@ErnestMalima
@ErnestMalima 10 сағат бұрын
Tulia hujui kitu😂
@PoritoIkobya-w4p
@PoritoIkobya-w4p 9 сағат бұрын
Heshima lazima iwepo hata wangeleta Jeshi lakujenga taifa bado tuko imara
@GodfleyLwena-tk4wd
@GodfleyLwena-tk4wd 11 сағат бұрын
🙏❤
@ndibalemavictor1543
@ndibalemavictor1543 9 сағат бұрын
Kesho point Tatu Muhimu
@JumaLulanje
@JumaLulanje 11 сағат бұрын
Unyamaa sanaaa
@shadrackjuliuskaboya5239
@shadrackjuliuskaboya5239 12 минут бұрын
*ila simba mmezima kiki za vyura sema hii gemu ishachezwa tayar simba nafwaaaaaaatiki vyura wamesha lala makaburini*
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 12 сағат бұрын
Daaah yaani muda wa kutengeneza baadhi ya viongozi wanaharibu muda umekaribia wa kuchagua viongozi wetu sasa sijui itakuwaje wanataka kutugawanya kupitia mpira!!!😅
@Fatherjaybadmaan
@Fatherjaybadmaan 12 сағат бұрын
Unaongelea nini na kinazungumziwa nini
@josephatalphonce4474
@josephatalphonce4474 11 сағат бұрын
Wachezaji wetu wameyaona hayo watawalipia uwajani kesho inshallah
@alexwizeboy2251
@alexwizeboy2251 9 сағат бұрын
Pamba. Fanyeni kweli kesho
@salummwakalinga4330
@salummwakalinga4330 2 сағат бұрын
Pole sana yani unaitegemea pamba ifanye kweli duuuuh
@yaredharod4967
@yaredharod4967 11 сағат бұрын
Mungu awe nasi
@JohnMaungu
@JohnMaungu 11 сағат бұрын
🙏🙏🙏🙏
@sifajohn1320
@sifajohn1320 11 сағат бұрын
MUNGU ATATUSAIDIA. MWENDO NI ULEULE, ZABURI 53 : 1 NA KUENDELEEA NDIO TUNASIMAMA NAO
@MalikiKavindi
@MalikiKavindi 11 сағат бұрын
Nguvu moja
@sikandarsuleimanTV
@sikandarsuleimanTV 10 сағат бұрын
Yaani Nina hasira baada ya kuona hio taarifa ya kuvamiwa mazoezi ya Simba SC
@SaidiSwaleh-ex9nn
@SaidiSwaleh-ex9nn 3 минут бұрын
Semaji rinajua kuzungumza
@ChristopherMwandoba
@ChristopherMwandoba 11 сағат бұрын
KESHO TUNASHINDA 2 na PAMBAJIJI 0 ❤❤❤
@SimbaVideosHD
@SimbaVideosHD 11 сағат бұрын
Mashine Ya Kuongea dk 10 straight
@jamesraphael9581
@jamesraphael9581 11 сағат бұрын
Kesho tutashinda kesho.. inshallah
@kassidpandu866
@kassidpandu866 11 сағат бұрын
wametumwa na utopax Tufungwe ili nao eti watucheke kama yale ya nyuki
МЕНЯ УКУСИЛ ПАУК #shorts
00:23
Паша Осадчий
Рет қаралды 4,8 МЛН
Happy birthday to you by Secret Vlog
00:12
Secret Vlog
Рет қаралды 6 МЛН
MAGOLI YOTE | SIMBA QUEENS (6) VS GETS PROGRAM (2) | LIGI KUU YA WANAWAKE
8:06
Indonesia MengGEPREK Arab Saudi | Malaysia Selepas KPG !!
8:34
FO REZ Studios
Рет қаралды 45 М.