Huyu ndo msaniii ambaye ana thamani kubwa sana ndani ya timu yetu❤❤❤
@WendeMposola2 ай бұрын
Tumpe heshima yake
@EsterMwalongo-ox2skАй бұрын
Kwakweli haijarishi tunapitia kipindi kigumu kiasi gani hajawahi kuisaliti Simba 🎉🎉kwake
@Migapogospel678Ай бұрын
Ushuzi wa kuku😂😂
@EmmanuelKessy-e2g2 ай бұрын
Kaka ujengewe Sanam lako msimbazi maan unajitoa sana more respect ❤❤
@aminatanzanya74752 ай бұрын
Msanin bora wa Simbaa muda wote Tundaman ❤❤❤🎉🎉🎉
@PaulPeter-nk5ssАй бұрын
umetisha kaka❤
@WendeMposola2 ай бұрын
Nakupenda sana Tundaman wimbo wa kwanza kuujua wa Simba ulitoka kwako 🎉🎉🎉🎉
@RashidyMadulu2 ай бұрын
Sanaaaa kaka bonge song umetisha kinoma
@kennethmnyiha21092 ай бұрын
Congratulations brother hilo nibonge la ngoma ila Nakuomba utengeneze Ngoma yakuizu gumuzia Simba SC ustaje majina kw sababu hao ni wafanyakazi tu ila ukija ukatoa Ngoma ya Simba SC Nguvu Mmoja 💪 hakika itadumu milele na milele ila yote kwa yote Nakukubali sana hujawahi kuichafua nembo ya Simba Asante brother na Mungu akubaliki
@TaboraTalentCenterTTC2 ай бұрын
Kutoka Tabora talent center . Katika wasanii wenye moyo mmoja na team yetu ya simba ni huyu jamaa kama unaniunga mkono mwaga like za kutosha
@FransisGeorgeАй бұрын
100% nampa
@HusnatShabani2 ай бұрын
Ubaya ubwela kaka uko vizuri 🦁🦁🦁🦁❤❤❤❤❤️❤️❤️❤️💪
@chandeshabani4174Ай бұрын
Jina la simba
@chikualiy87052 ай бұрын
Nakupenda bure tunda❤❤❤❤❤❤
@MhindiRashid2 ай бұрын
Sanaaa legend ❤❤❤🎉🎉
@MonicaMabuga2 ай бұрын
Wewe tunda man umetishaa❤❤❤❤❤❤
@hamadbakar70912 ай бұрын
Big gup sana tunda man kwa wimbo mpya wetu Simba nguvu Moja ubaya ubwela
@careenernest89122 ай бұрын
Aachi3eeeee ngomaaaa hiooooo❤❤❤❤❤❤
@ZanuraMtambo2 ай бұрын
❤big up broo
@gastomwamlima55992 ай бұрын
Sawa kaka mkubwa 🔥💪
@careenernest8912Күн бұрын
Hi ngomaaa tundaa anaitoaaa liniii yoteeeeee bongeeee laaa hittttt
@Vailet-c5u2 ай бұрын
Ubaya ubwelaa huo asantee tunda Mani ♥️♥️
@Brunoh90Tv2 ай бұрын
Jamaa anatoaga ngoma kali za hamasa lakin ile ya King Kiba ni 🔥🔥🔥
@bujashidaniel55372 ай бұрын
Kabsaaa
@cosfubile78592 ай бұрын
Ile n moto
@HildaChina-i5g2 ай бұрын
ongela kaka simba nguv moja
@BernadElias-k3y2 ай бұрын
Kali sana
@MeshackJonathan-b3q2 ай бұрын
❤Sana2
@NadhiraSaid-m4x2 ай бұрын
Hakika Kaka Yani nakupenda kama. Alikibaaa
@AmosIvan-fv9iq2 ай бұрын
Nyimbo nzuri lakin haitoishi kama ilivyo nyimbo ya Ali kiba coz ukishataja majina ya wachezaji basi ujue io itakuwa nyimbo ya misimu kadhaa.., Wajaribu kuwa wanajifunza kutoka kwenye makosa ya nyimbo nyingine.., Fanyeni namna nyimbo ya Ali Kiba iwe club anthem🙏🙏🤝
@AllyMakoe2 ай бұрын
Mamb ya wimb mmoja kdum mda mwing hainogi na uviv wa kufikili mm naona kama majina ni sawa coz kaz ya msaanii ni kutunga na kuimba mcm mpya ukianza atatunga tena
@vuauvae85522 ай бұрын
Kaka huu sio wimbo wa Taifa!!! 😂😂😂😂
@WendeMposola2 ай бұрын
@@vuauvae8552😂😂😂😂 kweli
@AllyMaya-yj3xd2 ай бұрын
Huu wa kuamsha amsha CAF lazima tuwataje
@NeemaMushi-wj1zn2 ай бұрын
Kwa kweli
@MufabacarSalimo2 ай бұрын
Hongera xana 💯
@JohannesMtung2 ай бұрын
Tunakupenda xn tunda
@RukiaBilabanzi2 ай бұрын
❤ukisikia msanii ambae ni Simba kinda kindaki ndo tundamani nakukibali kwa kaxi zako.
@innosentmolel80572 ай бұрын
Huyuuu ndio msanii wa simba na mshabiki wa simba na mwanachama wa simba kindakindaki sio Wala wengine wapiganyi tu
@chandeshabani4174Ай бұрын
Jina la huu wimbo
@KhadijaYahya-f6b2 ай бұрын
Daa tunda nakukubali sana
@IlhankhatibuАй бұрын
💯💯💯💯
@vitusinzilubusa18312 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🦁🦁🦁🦁
@Khalidy-n8t8 күн бұрын
Bro tunda wew mkali
@ZakayoMgaya25802 ай бұрын
Uyu nishabiki halisi❤❤❤❤❤❤❤❤
@SelemaniHemediKitmeer2 ай бұрын
Hakuna kama wewe❤🎉
@Lytaboy-d6w2 ай бұрын
Nakubali kaka wa Simba yetuy
@Adriano1232 ай бұрын
Hii nzuri imalizie tuipate
@MusaMenganyi2 ай бұрын
Fanya uachilie hilo goma tutambe nalo make ni🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Ahadipro-b7d2 ай бұрын
Ubaya ubwela ❤❤🎉🎉
@bigirumanalululouise45402 ай бұрын
❤❤❤Ubaya ubwela
@SarahMathias-v1g2 ай бұрын
Hataliiiiiiii saanaaaaaaa
@KamariaAmeir-rx2dc2 ай бұрын
Nampa good huyu jamaa mana sikwangoma anazozipiga .simba nguvu moja
@SalumContawa2 ай бұрын
Fundi WA hits song
@JumaIdi-ee4pq2 ай бұрын
Tundra man kiboko Simba nguvu moja
@GwamaksmsyaniGmsyani2 ай бұрын
sanaaa jeshi
@HappyGeorge-kn9sz2 ай бұрын
yaani tulivyo ivumilia simba ndoa haiwezi kutushinda acha tuu tu-enjoy😅😅
@RajabuJuma-w9g2 ай бұрын
Wimbo mkaliiii🎉
@chandeshabani4174Ай бұрын
Naomba jina la huu wimbo jaman
@pascalvitalis2 ай бұрын
Ilipo simba tunda yupo
@KadabraSeif2 ай бұрын
Nkpnd bure kw ajil uya simba kaka❤❤
@DomitilaEmily2 ай бұрын
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@FaidhaChusi2 ай бұрын
Noma mnooooooo
@CareenJulias-iu7tf2 ай бұрын
Wimbo mzuri sanaaaa Tundamani Lakini nakuomba urudi Tena studio Uondoe majina ya hao wachezaji ubakize neno Simba na sifa zake ili huo wimbo udumu iga Kwa Ally Kiba. Hongera Sana huo Ni bonge la wimbo.
@ErisatuyishemezeАй бұрын
Bro umeuwa cn
@FadhilMwaihabi2 ай бұрын
Analiachia lini ili goma
@Rajabu-n3q2 ай бұрын
Hatarri Simba a
@YusuphSaumu2 ай бұрын
Inaitwaje nimeitafuta mpaka bac
@heriseba80582 ай бұрын
Kwanza tuna jez kali 🎉
@DataScience-ry2 ай бұрын
BRAVO di makwizi ni lazima asikilizishwe nyimbo za makwizi olijino siku ya pambano .
@SHUKURUMGANYIZI2 ай бұрын
sawa, lakini kumbuka kunisubscribe
@sabatoager2 ай бұрын
simba babalao nguvu moja
@petercostakisoka2 ай бұрын
Ngoma kalii achia iyo
@bamosetiv68722 ай бұрын
Noma sana
@tonnygenius7575Ай бұрын
Huu wimbo unatoka lini mbona nautafuta siuoniiii????
Toa ngoma hiyooooo, au unataka mpaka dirisha dogo wachezaji watemwe
@AkilinyoMussanyo2 ай бұрын
Msanii anaye jitambua zaidi kuliko wote Tanzania ni tunda man
@LucasDaudi-l4v2 ай бұрын
Unajua
@rachelkiweluАй бұрын
😊
@stevenhassan2692 ай бұрын
Tunda man nyimbo zake mbaya za kuihisu Simba anatulazimisha tuzipende
@gikadotv21482 ай бұрын
Wewe yanga umekuja kufanya nini huku!?
@hamzarobert23722 ай бұрын
😅😅😅😅😂😂😂😂😂wimbo mubayaaa
@Wolves020232 ай бұрын
🔥
@heriseba80582 ай бұрын
Asilimia 100%
@Mumlion26242 ай бұрын
Nampenda dodi anavaibu
@johnjoseph95962 ай бұрын
❤❤❤😂
@albestboy2 ай бұрын
Kaka Ngoma inatok liniiii tunaitakaaaaaaaa
@MsomaMagumba-l8m2 ай бұрын
Ngoma kali sana 😂😂
@ceciliaathanas31352 ай бұрын
Huu wimbo unashushia na bia,mambo safiiiiiiiiii
@juliusmunis16482 ай бұрын
Inaitwaje ngoma hii
@ceciliaathanas31352 ай бұрын
@juliusmunis1648 sijajua
@Jannatxlunner2 ай бұрын
Yanga wanasonya basi😂😂😂
@isayatimoth18672 ай бұрын
100%
@mauakapungila82832 ай бұрын
Bonge lanyimbo nampa 100
@omarisupah19912 ай бұрын
Inatokea lini hii
@Limbunghele-i5c2 ай бұрын
Sisi tunajuwa masinihi wetu mwenye %100/💯 ni tudamanitu wegine hata kwaleta kwenye Simba day ni kumkosea tumananitu mbona Hana mbaya msanihi wetu huyuu
@KulikoelaVigero2 ай бұрын
2ndaman nakukubali kaka,wewe ni simba damu tena mwanasimba maana unanipa support sana,wimbo naupa asilimia 100