SEMAJI APAGAWA NA BALAA LA ELIE MPANZU/"HII NI SILAHA MUHIMU SANA KWETU/CHASAMBI HATARI MPYA

  Рет қаралды 98,036

Simba SC Tanzania

Simba SC Tanzania

Күн бұрын

Пікірлер: 243
@melkiadgangai5271
@melkiadgangai5271 10 сағат бұрын
Kazi nzuri imefanyika, hongera timu yangu na hongera mashabiki wenzangu. Simba Sc❤ #Nguvumoja
@venosaswai-xn7zf
@venosaswai-xn7zf 10 сағат бұрын
Simba oyeeeeeee❤kaz nzuri vijna kutokuonyesha udhaifu kwao,penda Simba mungu azid kuipatia timu alama njem kila waendpo kwa mchezo❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉
@JumanneMichael-m5g
@JumanneMichael-m5g 15 сағат бұрын
Ata mm nimeumia sana simba yangu kipenzi kuluhusu magoli mawili. Sikutaka kabisa tulihusu goli.
@amosathuman7366
@amosathuman7366 14 сағат бұрын
Yaan kama goli la 2 aijanifrahisha
@LatifaRashid-qj2th
@LatifaRashid-qj2th 14 сағат бұрын
Yaani hata mimi sijafurahi hata kidogo duuh
@AwedhaAbdallah
@AwedhaAbdallah 14 сағат бұрын
Ndo Ivo lkn mpra Hauna mwenyewe ila Alhamdulillah tumeshinda ndo muhimu
@Namtumbo
@Namtumbo 14 сағат бұрын
Hata mimi sijapenda
@emanuelsamwel999
@emanuelsamwel999 14 сағат бұрын
Mimi nimependa
@MwinyiCleophace
@MwinyiCleophace 9 сағат бұрын
Mm ni mnyama ila sijapenda namna mabeki wetu walivyoruusu magori mawili kwa Eli mpanzuuuuu big up kwa boss Mo
@Christopher-c1x
@Christopher-c1x 13 сағат бұрын
hongera semaji kauli ya ubaya ubwela umegeuza vingi ambavyo kwa miaka mingi vilikuwa vimeshindikana
@AnnastaziaMrina
@AnnastaziaMrina 12 сағат бұрын
Simba yangu......Nitakupenda daima❤
@israelmoses9768
@israelmoses9768 14 сағат бұрын
Ila chasambi alistahili kuwa mchezaji Bora Bora wa mchezo Kwa leo
@EDINALUSOKO
@EDINALUSOKO 13 сағат бұрын
Amecheza nusu mchezo
@BigDreamsWorldwide
@BigDreamsWorldwide 2 сағат бұрын
Kweli kabsaq
@agnesswai7174
@agnesswai7174 10 сағат бұрын
Mnyamaa nampenda mshabiki Wa damu 👌👍🔥😊
@PreisedidasDidas
@PreisedidasDidas 13 сағат бұрын
Fulhaaha yangu aielezeki❤❤❤ naipenda simba
@KhanashyAlmassi
@KhanashyAlmassi 13 сағат бұрын
Usipokubali timu kuluhusu Gori huo sio mpira chenye faida kwetu wanasimba ni ushindi muhimu,maana tungeweza kupata clean sheet pasipo ushindi so sio Jambo muhimu kwetu.asanteni wachezaji na bado tunajenga timu tukubali Hilo kwanza,SIMBA NGUVU MOJA.
@MeshackManoja
@MeshackManoja 3 сағат бұрын
Kweli mhimu point3
@Minjum-j5m
@Minjum-j5m 15 сағат бұрын
Cimbaa Nguvu mojaaa❤
@CharlesOmary-m9c
@CharlesOmary-m9c 14 сағат бұрын
Naenjoy sana kua mwanasimbaa
@JonasIsack
@JonasIsack 11 сағат бұрын
Mpanzu unajua ball Mungu akulinde sana
@KibadiKibadi
@KibadiKibadi 12 сағат бұрын
Elie mpanzu nampenda sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@Dullahofficiaksl
@Dullahofficiaksl 14 сағат бұрын
Nimeipenda sana 🎉
@BeatriceSamwel-t1m
@BeatriceSamwel-t1m 13 сағат бұрын
Ubaya ubwela babaaa🦁🦁🦁🦁❤
@GatesMakoi
@GatesMakoi 13 сағат бұрын
SIMBA 4 LEO 🏆🏆🥇🥈🥉🏅🎖️🏅 SPOr pesa polisi
@DanielWiston-uz6sl
@DanielWiston-uz6sl 14 сағат бұрын
Simba nguvu moja💪💪
@JulianaDaudi-c5y
@JulianaDaudi-c5y 8 сағат бұрын
❤ ila wametuchafulia ubao jamani mabeki wajichunge
@EdinaJonas-l8g
@EdinaJonas-l8g 11 сағат бұрын
Hongera sn Simba timu kubwa bwana
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 12 сағат бұрын
Simba nguvu moja ❤❤❤❤ 🎉🎉🎉
@Anthonyzombie-d2s
@Anthonyzombie-d2s 14 сағат бұрын
Simba tamu sana jamn❤❤
@AgrianKidd
@AgrianKidd 9 сағат бұрын
Yeah
@imanmasawe749
@imanmasawe749 13 сағат бұрын
wachezaji wamecheza vizur mpka wameshindwa wampe nan man of the match
@ZachariaOswago-rs7ke
@ZachariaOswago-rs7ke 12 сағат бұрын
Daaaah wamezinguwa sana tulikuwa na furaha mpanzu kaileta afu wanazinguwa sana
@catherineangel2529
@catherineangel2529 14 сағат бұрын
Wawooo wawoo simba yetuu
@SadalaLeshao
@SadalaLeshao 12 сағат бұрын
Love you so much simba ❤❤❤
@MALKIJUMA-h7q
@MALKIJUMA-h7q 11 сағат бұрын
Great saana chama langu
@magretpita3017
@magretpita3017 10 сағат бұрын
Asante Mungu
@KibadiKibadi
@KibadiKibadi 12 сағат бұрын
Mashaallah
@paulojoseph3350
@paulojoseph3350 13 сағат бұрын
❤❤🎉🎉
@GatesMakoi
@GatesMakoi 13 сағат бұрын
YANGA 5 LEO 🏆🏆🥇🥈🥉🏅🎖️🏅 SPOr pesa
@BecaSamson
@BecaSamson 15 сағат бұрын
Simba Nguvu mojaaa mpanzu ni mali kila la kheri kwakeee
@MeshackKamongo
@MeshackKamongo 10 сағат бұрын
Nimemwerewa Erie mpaz
@RajabuhamisiHassan-qv5wm
@RajabuhamisiHassan-qv5wm 14 сағат бұрын
Man the match ni chasambi
@LeonardKishiwa-cv1tx
@LeonardKishiwa-cv1tx 15 сағат бұрын
Nguvu moja ❤
@SaidJuma-oz1is
@SaidJuma-oz1is 15 сағат бұрын
Simba nguvu moja
@Mumlion2624
@Mumlion2624 14 сағат бұрын
Mutale jmn ananiuma sana .next mech inshallah atakua bora iwish afunge goli moja au atoe assist ili awez kupt confidence
@BigDreamsWorldwide
@BigDreamsWorldwide 2 сағат бұрын
Huyu dogo sijui shida nn yaan hadi yeye na goli anapoteana
@Mumlion2624
@Mumlion2624 Сағат бұрын
@BigDreamsWorldwide now akafanyie maombi. Maan siyokawaid
@BellaTuyi-hd7tw
@BellaTuyi-hd7tw 11 сағат бұрын
❤❤❤❤ ✍️Mabetu &Co
@Ommybabaa47
@Ommybabaa47 3 сағат бұрын
❤️ ALHAMDULILLAH ❤️ 🇹🇿 🇦🇪 UBAYAAA UBWELAAA SEMAJI LA FIFA Semeji lenye Degree 🔥
@SalmaBag-j9v
@SalmaBag-j9v 15 сағат бұрын
Semaji la caf🎉🎉🎉🎉
@deogratiouswipson8448
@deogratiouswipson8448 15 сағат бұрын
Yani Mimi saiv Simba hata tushinde goli 100 tukitoka bila clean sheet najickia vibaya Sana sababu kila mechi Mimi saiv nahesabia ushindi tu kinachonipa raha saiv n clean sheet Yan bila clean sheet cna raha Tena jamani nataka Simba tuchukue kilaktu kumbe mfungaji Bora mpka kipa Bora mchezaji Bora Yan kilaktu
@Mumlion2624
@Mumlion2624 14 сағат бұрын
Ww upo kama mimi .lkn next game inshallah tutapt clean sheat
@ShaabanJuma-s3z
@ShaabanJuma-s3z 14 сағат бұрын
Sahihi kabisa apo niko na weww
@mbwanahussein98
@mbwanahussein98 14 сағат бұрын
Camara ni mzuri Ila anasifa kama za onana kurizika ndio UTAKUTA anaondoa HATARI kubwa lakin anakuja kufungwa kijinga
@saidyusuph2907
@saidyusuph2907 14 сағат бұрын
Yaan ata mm bora tushinde goli 1 na cleensheet .kuliko 5 bila cleensheet
@AliIbrahim-g2m
@AliIbrahim-g2m 13 сағат бұрын
It's football...it hapen sometime
@davidfelician2903
@davidfelician2903 13 сағат бұрын
Nomemwona mpanzu godbless him atatifaa kimataifa inshallah
@BabilibabiliBabilibabili
@BabilibabiliBabilibabili 13 сағат бұрын
Chasambi hawajamtendea haki kabisa kafanyakazi sana ahua mzinguaji2
@EdithaEditha-z3s
@EdithaEditha-z3s 14 сағат бұрын
Oyooooooo Simba nguvu moja ❤❤❤
@JofreyFesto-n4w
@JofreyFesto-n4w 13 сағат бұрын
Uakikaaaa Simba nguvu moja
@VicreyjohnKiosha
@VicreyjohnKiosha 13 сағат бұрын
Semaji duuh leoo umepoaa saana au ni mm ndioo sina mudi nzuri ety😢
@JohnnyJames-e9z
@JohnnyJames-e9z 15 сағат бұрын
❤❤❤❤
@VicentpaulVicent
@VicentpaulVicent 14 сағат бұрын
Round hii lazima tunenepe ❤
@NeemaJohnson-u5m
@NeemaJohnson-u5m 14 сағат бұрын
❤❤ubaya ubwelaaa
@HamiduKiulunga
@HamiduKiulunga 13 сағат бұрын
Ubaya ubwelaaa❤❤❤
@DennisMoshi
@DennisMoshi 15 сағат бұрын
0:39
@mariamshibanda3358
@mariamshibanda3358 13 сағат бұрын
🦁🦁♥️♥️🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@PhilipoMihumo
@PhilipoMihumo 13 сағат бұрын
Mpanzu on fire 🔥
@GatesMakoi
@GatesMakoi 13 сағат бұрын
SIMBA 6 LEO 🏆🏆🥇🥈🥉🏅🎖️🏅 SPOr pesa polisi
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 12 сағат бұрын
Sijaelew hii coment
@AbuuAlfani
@AbuuAlfani 13 сағат бұрын
Simba ni bonge la dude
@GatesMakoi
@GatesMakoi 13 сағат бұрын
YANGA 1 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@ShukuruMakoko
@ShukuruMakoko 14 сағат бұрын
🎉🎉🎉
@mathahosea6783
@mathahosea6783 13 сағат бұрын
Simba hii ndyo niijuayo ❤❤
@KilebeJr
@KilebeJr 12 сағат бұрын
ELIE MPANZU anavaaa kiatu msimuu uuu
@JohainatJohainat
@JohainatJohainat 15 сағат бұрын
Rangi za jez zimewaponza
@iddinuhu5694
@iddinuhu5694 14 сағат бұрын
Saiv simba napenda tusiwe tunarusu goli napenda Bora tufunge hata goli moja lakini tusirusu holi
@mailachristopher9773
@mailachristopher9773 13 сағат бұрын
Mpanzu anajua sana
@DennisMoshi
@DennisMoshi 15 сағат бұрын
Motoooo
@josephbenard9795
@josephbenard9795 12 сағат бұрын
Nisimalize maneno kwa MUTALE. Mikimbio yake ni HATARI SANA. MUTALE anajua nyie. Tutulieni jakani😊😊 Mutale ni hatari sana sana
@abduMuwinge-t3b
@abduMuwinge-t3b 13 сағат бұрын
Kila ia kheri simba na elie mpanzu
@GatesMakoi
@GatesMakoi 13 сағат бұрын
Dada LOVE Babo
@GatesMakoi
@GatesMakoi 13 сағат бұрын
😘😘🥰🥰😍😍🤩🤩🥳🥳
@AbuuAyubu-t7c
@AbuuAyubu-t7c 14 сағат бұрын
Wachezaji wacheze kama cha sambi waache uchoyo AHOUA ni mchoyo
@minzakija9349
@minzakija9349 14 сағат бұрын
Comment iendee guyz ahou mchoyo,chasambi yuko poa sana lakn pia mutale aende jamaniiiiii
@BenjaminNickson
@BenjaminNickson 13 сағат бұрын
Kwa game ya Leo nimeona chasambi awe anacheza namba 10
@davidmdonondo4252
@davidmdonondo4252 15 сағат бұрын
Mtu wa 6 ku_comment
@malengaWetuTv2699
@malengaWetuTv2699 14 сағат бұрын
Anajua sana
@AljuhaniAllyy-dg4ld
@AljuhaniAllyy-dg4ld 13 сағат бұрын
Tatizo la kukaba kwa macho bado linaendelea kwa simba ndio mabao yale mawili ya kagera
@zilatonnboyildephonc3160
@zilatonnboyildephonc3160 14 сағат бұрын
Simba raha ila mpanzu Simba tumejipata
@MatarazaMussambili
@MatarazaMussambili 14 сағат бұрын
Themaji kweli zile 2 moyo unauma
@jamesbakera2135
@jamesbakera2135 14 сағат бұрын
Tuwe wapole tumkimbize mwizi kimya kimya kama nilivyokwisha kusema simba haijasajili mchezaji mbovu hata mmoja sema viwango vyao vinashishwa sana na wapinzani wetu ili tuonekane hatuko bora
@omarkipotwile9052
@omarkipotwile9052 14 сағат бұрын
Mutale anakimbia amekata tamaa, sijui anakwama wapi 😢
@chichasam9032
@chichasam9032 12 сағат бұрын
Wamemloga kama dube
@ShaghaliJafari
@ShaghaliJafari 13 сағат бұрын
❤ ssc
@Ramz_agro_solutions
@Ramz_agro_solutions 14 сағат бұрын
Mpanzu hana tofauti na Ronaldo
@chichasam9032
@chichasam9032 12 сағат бұрын
Tena delima
@ManenoHuni
@ManenoHuni 13 сағат бұрын
Tunaomba mungu tuzidi kuxhinda ili siku moja na sisitubebe kombe lije msimbazi
@KibadiKibadi
@KibadiKibadi 12 сағат бұрын
Chakwanza tunamshukuru Allah kwaushindi waleo Allah wape Afya nzuri wachezaji wetu
@RaymondZuberi
@RaymondZuberi 14 сағат бұрын
Nguvu 1
@minzakija9349
@minzakija9349 14 сағат бұрын
Chasambi alistahiri nyota wa mchezo,assist3 kijana amefanya kaz kubwa sana halafu kipind cha pili guys think twice au basi km ilishindikana chqsambi angepewa mkwala
@ElifasAmos
@ElifasAmos 14 сағат бұрын
Nguvu moja
@MwitaPetro-e9z
@MwitaPetro-e9z 3 сағат бұрын
@panzu anabalaaaa sana
@ahmetmwandu8499
@ahmetmwandu8499 13 сағат бұрын
Mutale Mutale Mutale
@joachimgolola62
@joachimgolola62 14 сағат бұрын
Alepanzo ni mchezaji haswa🎉
@emanuelsamwel999
@emanuelsamwel999 13 сағат бұрын
Duuh anaitwa Elie Mpanzu, Sio Alepanzo
@KindwangaKindwanga
@KindwangaKindwanga 13 сағат бұрын
Chasambi alistahihili tunzo
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 14 сағат бұрын
Lete Fei na beki no.5 na muacheni Mutale
@PhilipoMihumo
@PhilipoMihumo 13 сағат бұрын
Hapa semaji tunalo nimesikiliza mahojiano mwanzo mwisho kongole kwake
@MzeeBabu-s6y
@MzeeBabu-s6y 14 сағат бұрын
yaaap semaji
@jamesbakera2135
@jamesbakera2135 14 сағат бұрын
Apa Mungu tu kila kitu kitaenda sawa
@AbdallhSelemani
@AbdallhSelemani 14 сағат бұрын
Mnyama nihatari sana gari limewaka ss tunamtamani mtani sana yni
@SalmaPole-t4y
@SalmaPole-t4y 13 сағат бұрын
🎉
@LukresiaSway
@LukresiaSway 14 сағат бұрын
❤😂❤😂❤😂❤😂🎉
@SirSenali
@SirSenali 14 сағат бұрын
I wish mechi inayo fuata tutaweka clean sheet yakibabe 🫡
@HasanKhamis-j8r
@HasanKhamis-j8r 14 сағат бұрын
Chasambi awasha moto
@shahamemalenga4838
@shahamemalenga4838 14 сағат бұрын
Safi kabisa uzuri hatusikii tena GSM hatusikii tena kudhamini Timu 8
@mariamshibanda3358
@mariamshibanda3358 13 сағат бұрын
Bado ujasema
@SamwelikazimbayaKitahenga
@SamwelikazimbayaKitahenga 13 сағат бұрын
Kwani bado hujasikia kuwa tunashinda kwa team zenye udhamini wa GSM tuu!?
@lazarojr8923
@lazarojr8923 13 сағат бұрын
Utopolo wewe mechi zenu na GSM group ni nyepesi sana hata kesho itakuwa nyepesi vilevile😂😂😂
@SalmaPole-t4y
@SalmaPole-t4y 13 сағат бұрын
Itafika tu mida was kusema TFF wote ni Simba
@VicentpaulVicent
@VicentpaulVicent 14 сағат бұрын
Hatumtaki budo😢
@VicentpaulVicent
@VicentpaulVicent 14 сағат бұрын
Round hii lazima tunenepe
@LamaLaisse
@LamaLaisse 14 сағат бұрын
atal sana mnyama ametista sana Lama kutoka limwalamwala Moçambique
@paschalduwe817
@paschalduwe817 14 сағат бұрын
Nimechukia sana kuruhu mabao 2 ase
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН
Lissu Ataja UTAJIRI WAKE, Nchi YATETEMEKAAAAA!!!!!
17:15
SUPER TAMUTAMU
Рет қаралды 148 М.
SIO BEGI LANGU
10:25
Joti TV
Рет қаралды 112 М.
GB 64 APAGAWA NA MPANZU, TUMLINDE WASIMLOGE, HII NI MASHINE
12:19
Ngwale Sports HD
Рет қаралды 45 М.