Asanten simba kutuwekea hii mechi na naipenda simba forever simba nguvu moja💪
@RuyembeАй бұрын
Chasambi Man of The Match. A bag of hattrick assists.
@silasmarandu1485Ай бұрын
Ukija na rangi ya Dela tunakupiga kulingana na materials 5 ni dose ya aina hiyo 😅😅 Asante Simba Sports kwa ku made my day
@MengiFrankАй бұрын
Mpanzu hii nimar saf Wana simba
@andrewbazo8388Ай бұрын
Yoohh...
@malugukushaha6764Ай бұрын
Hongera wachezaji, hongera Chasambi kwa kazi nzuri. Pia mabeki muwe na tahadhali ya kutosha kwani mnatolokwa kirahisi sana na wapinzani.
@RashidiMwigaАй бұрын
Shida ya mabeki wetu hawawezi battle ya kukimbizana pumzi shida.
@FabiDthree-ro1msАй бұрын
@@RashidiMwigaamna mpira ndo upo hivyo unavyojuwa wewe kagera kwan sio team au ushawai kuona team ambayo bora hairusu goal mpira ndo upo hvyo watanzania wenzangu
@FabiDthree-ro1msАй бұрын
Ndo mpira kufungwa kawaida na kuruhusu goal kawaida ktk mchezo
@FAUSTINAULEDI-ln5fiАй бұрын
@@FabiDthree-ro1msexactly
@Jumamaduka240Ай бұрын
@@FabiDthree-ro1msKawaida ndiyo lkn kuna uzembe fulani katika safu ya ulinzi. Mpira unaonekana siyo kwamba watu hatutaki kufungwa.
@JemsiMokyaАй бұрын
Nawapongeza wachezaji wetu kwa Kasi mliye fanya nzuri Sana mungu awasaidiye kwa siku zote
@TeddyAugustino-g7rАй бұрын
Simba ni Moto 🔥🔥 mungu hazid kuwaongoza
@MaarifaFitinaАй бұрын
Simba tamu
@JumaManueki-gy1euАй бұрын
Ubaya ubwelaa.❤
@MwamendySalumu-qb8rzАй бұрын
unyama mwingi fuulll HD🎉🎉🎉
@EricksimonMahuАй бұрын
🎉simba iongeze kasi tuchukue ligi kuu
@ThadayoGrolyАй бұрын
Man of de match ni chasambi saf Sanaa Dogo🎉
@WendeMposolaАй бұрын
Huyu ngoma au aliota kama kuna goli tano 😂😂🎉🎉
@OctavianOctavianHermaniАй бұрын
Simba nguvu moja
@thehustlerafrica4368Ай бұрын
Chasambi should be in Tanzania National Team
@melinabenard9320Ай бұрын
True
@anthonymilinga8696Ай бұрын
Kweli kabisa, yule mzinze anazengua
@FAUSTINAULEDI-ln5fiАй бұрын
Chasambi maassist siku hizi kila anapoenda anapanda ndege sio kama kule turiani sasa kwann asing'ae❤❤❤❤❤❤❤❤
@LulaboytzАй бұрын
Ubaya ubwelaaaaaaaaaaaaaa❤❤❤❤❤
@MartiniElishaАй бұрын
Mabeki wa simba waongeze umakini
@agnesswai7174Ай бұрын
Ama kweli Ubaya Ubwelaaaa👌Noma sana mnyama wangu mkali Wa msituni ❤️🔥
@Mariah-r1oАй бұрын
Jamani🙏🙏🙏💕💓❤️❤️❤️❤️
@ArafaHassan-m6xАй бұрын
Simba itatupa kisukari kwa raha❤❤❤❤❤
@FatumaIbrahim-u5kАй бұрын
😂😂😂😂
@pascalPembamotoАй бұрын
Hapo simba sasa itajaza uwanja mechi zake hapo wachezaji wapo vizuri
@Mtoto-ig5vwАй бұрын
Inajaza kila siku❤❤❤😂
@AmadiKagegaАй бұрын
❤❤❤❤❤
@ChristinaAloyce-pp6vjАй бұрын
Chassmbi❤❤❤
@Johnjoshua-b7pАй бұрын
Nice Simba mwmwmw
@kassidpandu866Ай бұрын
Mpanzu Balaa jipyaaa
@FatumaIbrahim-u5kАй бұрын
Tena balaa jipya mjini
@ManaJuma-m7wАй бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ simba nguv moja
@StanslausJohn-r6pАй бұрын
Ubaya ubwera❤❤❤❤❤
@eliasmadeha2027Ай бұрын
🔥🔥🔥
@JamaliHamadi-s3dАй бұрын
❤❤❤❤❤ kwa goli la pil
@MartinNdollaАй бұрын
Na la 3
@MartinNdollaАй бұрын
Ni balaaa
@DeogratiusAbbyАй бұрын
That's why we called SIMBA 😂😂😂😂😂
@josephvenus3259Ай бұрын
Thanks Jesus Christ 🎉🎉🎉🎉
@PaulLambert-n4rАй бұрын
Fablis ngoma nikiongoz bola sana
@Mapendo-f7nАй бұрын
Simba kama barselona
@SalmaSalmaissaissaАй бұрын
Imagine chai yangu ya asubuh ni hii mechi😂😂😂😂
@ShukuruMakokoАй бұрын
🎉🎉🎉🎉
@kassimyusuph9470Ай бұрын
Hindio ubaya ubwela SS ❤❤❤
@GladNess-c6jАй бұрын
Rangi ya jezi imewaponza Kagera🤣
@MartinNdollaАй бұрын
Mulwala❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@MartinNdollaАй бұрын
Ndio maana ya ubaya ubwela Simba Vs Jkt Tanzania 1-0😀😃😄😃♥️♥️
@MartinNdollaАй бұрын
Asante🙏🙏🙏🙏 ndio maana ya SIMBA UBAYA UBWELA Simba nguvu moja💪💪💪💪💪💪
@MartinNdollaАй бұрын
Simba hamna kitutoka simba
@OlivaGara29 күн бұрын
Kuitwa mwenyenchi bomba sana simba shabiki wa dam❤❤❤ chasambiiiiii
@pascalPembamotoАй бұрын
JAMANI JAMANI SIMBA IMEKUWA TAMU SIMBA SASA INARUDISHA WASHABIKI WAKE
@jacksonmatoti7461Ай бұрын
Walienda wapi, watajuta nafasi inawasuta😂😂
@theresiamahuma2000Ай бұрын
Huyu Mwalimu anawajengea utaratibu wa kupendana,good job rotation
@MeshackManojaАй бұрын
Mkiwa mnacheza wote hata kulogana hamuna
@FabiDthree-ro1msАй бұрын
@@MeshackManojakweli kila mtu anaenjoy kucheza
@FAUSTINAULEDI-ln5fiАй бұрын
@@MeshackManoja kweli kabisa
@FAUSTINAULEDI-ln5fiАй бұрын
Mnooo
@rastamweusi1647Ай бұрын
simba iko vizuri tunaomba umakini wa mabeki uwe dk 90 maana kunamda wanajisahau inaweza kukosti timu
@fabianmwinjoАй бұрын
Ila mtangazaji bhna ,ety amewashenyetaaa, bonge Moja ya mshenyetoooo watangazaji mshaharibuliwa na mzeee wa kaliua
@EliasMolell-xx5nz5 күн бұрын
Aliishenyenda ile bonge la mshenyendo haha😂😂
@charlesmatete542Ай бұрын
Naipenda simba kama ninavyo jipenda 5 🖐️izo makolo mjinyonge🤫🇹🇿🦁🌟🖐️⚽
@andrewbazo8388Ай бұрын
Great stuff...
@HamadMassoud-h5u26 күн бұрын
yang❤❤ pp
@GivenSanga-i4d9 күн бұрын
❤
@Ole.KoipahАй бұрын
Ubaya Ubwela 🔥🥰 Nguvu moja 💪🦁
@networkeryuzzo09Ай бұрын
NAOMBENI KUJUA JINA LA MTANGAZAJI (COMMENTETOR) ALIE FUNGUA MECHI HII namkubali sana uyo mtangazaji naombeni jina lake tafadhari 🙏🙏🙏Nawaombeni tafadhari
@hadijamaiga948Ай бұрын
Anaitwa Idd Salum kidedea
@thehustlerafrica4368Ай бұрын
Kidedea
@samsgilman01Ай бұрын
Anaitwa Iddy Salum Kidedea
@FAUSTINAULEDI-ln5fiАй бұрын
Anaitwa Idd Salum Gulamali almaarufu Kidedea
@MgazaMhinaАй бұрын
Yuko vizuri sana alitangaza na ile mechi yetu na al hilal tripol
@ElishamaMulokozi-pi8nm25 күн бұрын
Simba SC Bingwa Nguvu mmoja kama Ubaya Ubwela.
@EuniceOgenche16 күн бұрын
Kenya 🇰🇪
@MilembeLuhula-v4uАй бұрын
Bonge la mshenyetoooo😂😂
@Lenatus-l9iАй бұрын
Fabulisi ana goli mbili
@ThomasMatta-ml1ynАй бұрын
Tatizo Kwa mabeki naombeni tukaze asee😢😢😢😢
@MartinNdollaАй бұрын
Na la tano😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@MartinNdollaАй бұрын
Ubaya ubwela Simba na Jkt Tanzania Asante simba
@Orgy-go1gjАй бұрын
Aliesema timu bado inajengwa kuiona pepo ni ngumu,mtego unaojaza watu kingi😂😂❤❤❤❤
@FAUSTINAULEDI-ln5fiАй бұрын
😂😂😂😂😂😂atafika mbinguni amechoka sana
@JumaSwalehe-h2n24 күн бұрын
Chasambi somo safi
@nicholoussamsoniАй бұрын
Simba nguvu moja ubingwa wetu
@MilkerEmanuelyАй бұрын
Bado sisi tunajenga team jaman 😅😅😅😅😅hapa ndo tupo 54%
@JumaFadhili-f1qАй бұрын
Utopolo kazi kwenu
@pudensianamchau2183Ай бұрын
Nguvu mojaaaa
@enockmwilongo5771Ай бұрын
Nguvu moja ❤
@thehustlerafrica4368Ай бұрын
Chasambi
@lilsmo255Ай бұрын
Ubaya ubwela
@rwegoshoramichael314420 күн бұрын
Nguvu Moja
@emanuelnyabuke2883Ай бұрын
iih simba ndio nilikua naitaka yenye kufunga magoli mengi na yenye kutengeneza nafasi nyingi kwa washambuliaji ili wafunge goli nyingi bado hatujaona huduma nzur ya budo sijui anashida gan? maana amekua ana umakin kbs anapoteza mipira kizembe anakosa magoli kizembe n huzun kwakwel kwa kijana wetu budo
@annafabian514926 күн бұрын
Huyuu mpanzu✋
@TheresiaRaymond-w7eАй бұрын
Kwan chalamanda alikuwa anauwambia nn ule mpira😅😂
@AminaLibisaАй бұрын
Jezi zimewaponza 😂😂😂 uto b
@Minjum-j5mАй бұрын
ALHMDHULILLAH
@nasorhaji3064Ай бұрын
Mutale budo afanyiwe maombi tu basi atakuwa sawa
@RashidiMwigaАй бұрын
Hakika mutale anahitaji maombi sana
@FlaviusMwombekiАй бұрын
Ubaya ubwela 😊
@JoshuaMutaremwaАй бұрын
Mungu haibalik simba
@AdamChogwe-l7bАй бұрын
Ubaya ubwela😂😂🎉
@dismashayola3596Ай бұрын
Mkwala n hatar
@ImmaMagaga18 күн бұрын
wao naipendaje mm huu nimwaka wetu?
@BinchuoMasoudАй бұрын
Mutale apelekwe kwa TB Joshua 😂😂😂
@hadijamaiga948Ай бұрын
Ilo goli la PILI utopolo wakiliona machozi yanawatoka😂😂😂😂
@AjuaeMwanyingiliАй бұрын
Daa kwa ajili ya nn 😂😂😂😂😂nimecheka kwa sauti daa 😂😂😂😂
@MeshackManojaАй бұрын
Wanakumbuka south Africa😮😮😮
@FAUSTINAULEDI-ln5fiАй бұрын
😂😂😂😂😂😂😂sana
@BornfoundationАй бұрын
Ahahahahahahahhah
@Maarifasnr-gu6dpАй бұрын
Kama la tabora vilevile
@Ally-jf6wuАй бұрын
Amewashenyenta bonge la mshenyento 😅😅😅😂
@endasakdaycareАй бұрын
Mutale akasome kwanza jamani
@MchungajiNzelani22 күн бұрын
Huyu kijana ameusoma mpira
@VICTORBONIFACE-c4dАй бұрын
Simba shida ni mabeki2😢
@RashidiMwigaАй бұрын
Hivi kagera mngekuwa mnacheza mechi zote hivi mngekuwa hapo mlipo? Kenge nyie mnakamia Simba tu.
@MeshackManojaАй бұрын
Kweli kabisa ingekua Ile Simba ya ungaunga tunge pigwa jana
@VICTORBONIFACE-c4dАй бұрын
Kuanzia kati typo vizur sema nn yure ANAE cheza na zimbwe namba1 wamchezeshe kiungo mkabaj
@OmarMwalimu-h7jАй бұрын
Ahou ni nouma
@userwalterrealАй бұрын
SAFISANA TUNAITAJI MARUDIO MAREF KAMA HAYA AISE HII NDO KAZI SASA
@barakamartine2452Ай бұрын
punguzeni muda
@HarithAlyhamadiАй бұрын
Hujalazimishwa kuwangaliya sis wengine tunataka hat mechi nzima iwekwe
@AishaRashid-vh3moАй бұрын
Mbona unaumia acha tuangalie
@alhajisabigoro2408Ай бұрын
Kuonyesha magoli ya wenzenu aaaaaah
@bonifacelugo2941Ай бұрын
Koch fitness apewe mauwa yake. Ila tu wasije wakatumia dawa za kusisimua misuri 😂
@titojr-jd6eqАй бұрын
Simba technology Bado sana mnazidiwa mpk na Millard ayo kwenye quality ya video
@chrismtitu799Ай бұрын
Ww ni mtopolo.Kwan mpanzu hujamwona?Acha Ubwege.
@hadijamaiga948Ай бұрын
@@chrismtitu799😂😂😂kwann mpanzu
@FAUSTINAULEDI-ln5fiАй бұрын
Pale Yanga technology ikoje
@FAUSTINAULEDI-ln5fiАй бұрын
@@chrismtitu799😂😂😂😂😂😂😂hivi ni kweli hajamuona Mpanzu au ni kiburi 😊
@abelmussa5061Ай бұрын
Goli la pili ni la Azizk na Mamelod 😅😅😅😅
@AishaMussa-md6jqАй бұрын
huu mpila wamecheza bila kupumnzika ee
@VICTORBONIFACE-c4dАй бұрын
Akiwepo sakoh mbona timu zitajuta
@SilmanOfficial-ss6oqАй бұрын
Tuomba special Clip Video ya Ellie Mpunzu kwenye Game ya Jana!!!!!
@endasakdaycareАй бұрын
Tumeshinda ila hako ka mwaijage kali pambana daaadeki
@InocentTemu24 күн бұрын
mbona hamuyaonyeshi hayo magoli mengine???
@swalehemusakiluwa9405Ай бұрын
Ila huyo mshereheshaji muongo hatari
@OmarMwalimu-h7jАй бұрын
Huyu ahoa anatamani nni au kiatu
@rashidsaid3168Ай бұрын
wataongea ss twazidi kusonga mbele watabaki na maneno yao ss ndio wakombozi
@MichaelKapinga-i7bАй бұрын
Kuna kila dalili ya timu. Kubebeshwa mikono miwili. Hii. Siyo kasi