Ee Bwana MUNGU wangu Naomba uijalie timu yetu ya Simba alama tatu siku ya kesho. AMINA
@iddiramadhan23 сағат бұрын
Mpo nyumbani kwe2 kabisa club ya maisha yangu 🦁💪
@marthamsacky697323 сағат бұрын
Asante Mungu kwa ajili ya wachezaji wetu na bench Zima la team ya simba Naimani hutatuacha Kila lakher my team❤❤
@HamidaJuma-j2o22 сағат бұрын
Mungu awafayie wepesi simba nawapeda sana
@RaitonBenard22 сағат бұрын
Ubaya ubwelaa 🦁🦁🦁♥️♥️
@IvanDaniel-o9m8 сағат бұрын
Jinsi ninavyo ipenda simba siku mnyama akiwa uwanjani kazi ita nisamehe ❤❤🦁🦁🦁🦁💪💪💪💪
@iddiramadhan23 сағат бұрын
Kila la khery mnyama Simba sports club hapo kesho Amiinna Rabillah Allah miinnah 🤲
@EdithaEditha-z3s22 сағат бұрын
Mungu awafanyie wepesi Simba nguvu moja
@JK-uq1tv22 сағат бұрын
Simba nguvu Moja 🦁💪💪💯 ubaya ubwela 💪💯
@MzeeBabu-s6y23 сағат бұрын
Mungu iba liki chama langu
@nadulabudodi12 сағат бұрын
All the best my team Simba Sports Club jah bless you with a three points win against singida Black Stars.Amen
@Bboy-ek8vnКүн бұрын
Mungu tubariki
@AcksunBonifas-mj2sw9 сағат бұрын
is simba my life team❤❤❤❤❤❤🎉
@CeomadmaxКүн бұрын
Awesu anaonekana ni mcheshi sanaa
@OmariKirumba-b4x20 сағат бұрын
Mungu ibariki simba
@NelsonGICHOHI-z2q10 сағат бұрын
Mungu ijarie timu yangu🎉🎉🎉🎉
@ShukuruMakoko22 сағат бұрын
Ushindi ❤❤❤
@agripinaapolinary136220 сағат бұрын
Kila la kheri wapambanaji wetu Mungu azidi kuwatunza mkafanye vyema sana tupate ushindi mnono AMINA KUBWA
@Philibeti20 сағат бұрын
Mungu wapenguvu wachezaji wet wa simba washinde mchezo wa kesho
@tumaini3721 сағат бұрын
Jamani na kesho iwe vilevile ‘Haijaiasha mpaka iishe’ Kibu Mkandaji wetu, tunakutegemeaaa Sie mkishinda ni full rahaaaaa🎉🎉🎉🎉🎉
@peacennko20038 сағат бұрын
Simba mshinde leo
@marthamsacky697323 сағат бұрын
Amina Amiin❤
@ThabitMandari21 сағат бұрын
Kila la kheir mnyama.❤
@ValeriaMagembe15 сағат бұрын
❤❤🦁🦁❤❤
@MagrethFabian-k2h22 сағат бұрын
Mungu ibariki timu yang kesho ishinde
@TelvinoSalvador11 сағат бұрын
Naipemda Simba toka Moçambique clab ya maisha yamgo
@MahaSaeed-hf3gs19 сағат бұрын
❤❤❤❤❤❤
@Maalim_Seif_-_Zanzibar21 сағат бұрын
Furaha yangu kumuona aishi manula golini japo game Moja tukaona save kali bhan❤
@beaugosseadam683122 сағат бұрын
Hakuna kitu kitakachowapa furaha au karaha wana Simba 🦁 🦁 🦁 🦁 🦁 🦁 kama mechi ya kesho zidi ya Singida Black Stars.
@edwardkabologo-c7s12 сағат бұрын
kumbe balua yupo,,mwalimu anamhalibia kipachi chako champila namkubali Sana na namkumbua goli lake na walabu hakika somba inahalibu vipaji vyawatu,,balua anakosagan
@PakatJames11 сағат бұрын
Simba nguvu moja. To defeat your enemy need to know not only your enemy strategies but the level of sacrifice they possess. Singida will play with simba on three motives. (1) Big Money 💰 promise if they defeat simba. (2) Getting three points of their own (3) Extra big money 💰 from Yanga and Azam helping them bring simba down of the table. Singida will come to play with simba on almost the same play like JKT Tanzania. On my advice to simba technical bench simba should put maximum pressure kind of football on Singida penalt box at zero minute of the start of the match. The kind pressure simba finished with JKT is the right pressure to start with Singida. These teams never have caf competitions pressure kind of football why can't see simba players take advantage of that level. Simba players mostly agree to display low level of domestic football instead of showing their differences of level.
@simonzelote599821 сағат бұрын
Simba Coach should be creative and should find the best combination with high object
@mussangalawa240312 сағат бұрын
Mungu simama nasi ktk hili
@ashura-o2y5 сағат бұрын
leo simba mko nyumban kwetu kabisa kwa wanyaturu ase nishafika mapema hapa kwa uwanjan kwa lit
@MwanaishaMtupa23 сағат бұрын
Tumezoeya kushinda Wana Simba
@suzanasimonqwarsan11 сағат бұрын
Watoto wadogo hao singida
@JeremiaSamwel-s1tКүн бұрын
Mungu awasaidie mje na pointi tatu muhimu Mungu ni mwema kila wakati
@iddiramadhan23 сағат бұрын
Amiinna Rabillah Allah miinnah 🤲
@revocatusmalimi452510 сағат бұрын
Ongezeni roha mbaya ya ukatili wa Ubaya Ubwela kuanzia dk ya kwanza ya mchezo badala ya kusibiri dakika za mwisho kibarua kinakuwa kigumu
@jogayatheboss2224Күн бұрын
point tatu muhimu inshaallah ila uwanja wa kmc muhame
@shabanimwinyikhery1174Күн бұрын
Wachezaji wasiwe wachoyo kutoa pasi za mwisho ,kama unaona mwenzio yupo kwenye nafasi nzuri ya kufunga toa pasi
@tadeihamadi22 сағат бұрын
Jamani naomba kuuliza yule mtoto anaitwa selehe karabaka yuko wapi
@CarlosRule-p6v23 сағат бұрын
Jamani ushindi ndani ya dakk 45 zakwanza c 2 ziwe pasi nakushamburia na kurinda naamini tutashinda
@JudithLema-rk1ljКүн бұрын
Mohamed Hussein?
@MaseleBunoge22 сағат бұрын
Nawatakia mchezo mwema wenye ushindi ishall
@AdolphMbuta21 сағат бұрын
Wanafanya vip Kaz Kila muda wameshikilia simu
@HasnatMustafa-n1q19 сағат бұрын
Ulitaka washike matako yako
@AdolphMbuta16 сағат бұрын
@HasnatMustafa-n1q nilitaka washike matako ya bibi yko
@gaudencehaule739821 сағат бұрын
Mechi tuliyopoteza dhidi ya Yanga mwez OKTOBA Bado inaniuma Ile mechi ilikua yetu kabisa... Sasa kesho Huyo utopolo mdogo achapwe zakutosha
@AdolphMbuta21 сағат бұрын
Hawa wachezaji mbona simu muda wote
@rahimsiraju988010 сағат бұрын
Alaf kocha maswala ya kumtoa mpanzuu anamwingiza mutale nachukia
@Josephtibu-l9e21 сағат бұрын
UBAYA UBWELA😂😂😂
@TomasiklistophaMwinuka7 сағат бұрын
Tunategea mtupe furaha muwapige hao utopolo part 2 gol mbili
@simonzelote599821 сағат бұрын
Nafikiri mechi itakuwa ngumu Simba wanahitaji kuongeza bidii Sana kwani black star wako vizuri Ila cjui Kama Ni akina mutale cjui itakua je?
@SaeedHassani-n1z22 сағат бұрын
Kila lakhery mnyama
@SamweliNzengoКүн бұрын
Kesho naombeni jaamani mchezempira
@eliashagai792021 сағат бұрын
Hebu tangazwni usjali,tume hoka kumuota Feitoto kama hamuwezi tujue mmeshindwa huu ukimya ndo kusubiri saa tano na dk 59 ndomnatangaza sampuli za kina mukwala na Mutale, tuanataka majembe haswaa
@tumaini3721 сағат бұрын
Hivi Nouma mmemuona wenzangu jamani???
@KhalfanAboubakar6 сағат бұрын
Kaenda kuoa
@AbuuAyubu-t7c21 сағат бұрын
Awesu awesu acha ubishoo bado hujawa staa punguza ushamba utajiharibia mwenyewe
@petrondinda217910 сағат бұрын
ivi ninani amevaa kipedo uyo unyamani
@NiokoeMahenge-i5e23 сағат бұрын
Mambo ya usajili mbona kimya kulikoni
@godfreykarigo64045 сағат бұрын
Mapema tu anakufa shangaz yake mtu
@emmanueljihulya1533Күн бұрын
Ubaya ubwela tu mwaka huu
@GodfreyJames-zt6ig22 сағат бұрын
Singda acha watambe tutawapga kama popo
@herinzigo66922 сағат бұрын
Acheni kuturusha roho tunataka alama tatu
@SalumMajorhoodКүн бұрын
Kibu mbn cjamuona
@SalumMajorhoodКүн бұрын
Ok nimeshamuona nimeangalia vby Simba nguvu moja Ubaya ubwela
@JK-uq1tv22 сағат бұрын
😂😂😂😂@@SalumMajorhood
@SamsonSamsoni-q9s22 сағат бұрын
👑🦁♥️♥️♥️♥️♥️👏👏👏👏💪💪💪💪💪💪🙏🙏🙏
@marthamsacky697323 сағат бұрын
Asante Mungu kwa ajili ya wachezaji wetu na bench Zima la team ya simba Naimani hutatuacha Kila lakher my team❤❤