SIMPLE CAKE BAKING/KEKI RAHISI SANA

  Рет қаралды 1,611

Mziwanda Bakers

Mziwanda Bakers

Күн бұрын

‪@mziwandabakers8297‬

Пікірлер: 16
@hopemwaimu9911
@hopemwaimu9911 3 ай бұрын
We dada upewe maua yako sio mchoyo kabisa unaonyesha step by step me jana siku ya kwanza nimepika keki nzuri imechambuka kila mtu anasifia kikubwa umakini na kutokuwa na haraka asante sanaaa ❤
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 3 ай бұрын
Hongera sana kwa ukarimu..karibu sana
@hopemwaimu9911
@hopemwaimu9911 3 ай бұрын
@@mziwandabakers8297 asante sana dear
@aquinoilham5941
@aquinoilham5941 2 ай бұрын
Dada kuna darasa la cake naomba nafasi ya kujifunza
@deborajonathan6182
@deborajonathan6182 4 ай бұрын
Mungu akubariki
@rosemarykambuga3763
@rosemarykambuga3763 4 ай бұрын
Da mziwanda umenitoa mbali samahan nauliza naweza vp pata ile unayotia kwenyemaziwa kutengeneza yogat na ni sh ngap
@minzageorge3652
@minzageorge3652 2 ай бұрын
naomba unifundishe mashi ya keki mpaka kupamba ina gharimu kiasi gani?
@fatmaathumani7116
@fatmaathumani7116 4 ай бұрын
Allah akujalie sana
@aquinoilham5941
@aquinoilham5941 2 ай бұрын
Heshima yako dada..Habari yako...samahani Naitwa Ilham ninashida kwenye upishi cake ninapo oka inaiva ila inanywea Kati naomba msaada nakosea wapi DADA
@IreneKawa-qg5er
@IreneKawa-qg5er 4 ай бұрын
You deserve prize naomba namba yako please, tuongee❤
@annaphilemon-g2g
@annaphilemon-g2g 4 ай бұрын
Tunaomba na somo la kutumia mzani katika kupima object wakati wa kuandaa cake
@maureenmbinile1655
@maureenmbinile1655 4 ай бұрын
Mayai 6 siyo mengi kwa gram 250 ya unga?
@mziwandabakers8297
@mziwandabakers8297 4 ай бұрын
More sponge
@MaryMawazo
@MaryMawazo 4 ай бұрын
0:51 ❤​@@mziwandabakers8297
@maureenmbinile1655
@maureenmbinile1655 4 ай бұрын
@@mziwandabakers8297 asante dear
@hopemwaimu9911
@hopemwaimu9911 3 ай бұрын
@@mziwandabakers8297hujaweka maziwa wala maji?
KEKI YA UNGA ROBO TATU 750g FLOUR CAKE
14:04
Mziwanda Bakers
Рет қаралды 18 М.
PINEAPLE CAKE RECIPE 500g FLOUR
8:38
Mziwanda Bakers
Рет қаралды 1,8 М.
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 108 МЛН
Delicious narkel fita|chicken bhuna|daal bhuna
23:59
Rabia’s World
Рет қаралды 697
FONDANT KILO MOJA NA BUDGET YAKE @mziwandabakers8297
5:45
Mziwanda Bakers
Рет қаралды 1,6 М.
Jinsi Ya Kupika Maandazi Matamu Kwa Biashara
12:29
Vivi Kitchen
Рет қаралды 10 М.
#live : [07.02.2025 ] OPERATION KOMBOA  FAMILIA ( MAOMBI 12).
ARISE AND SHINE TANZANIA
Рет қаралды 1 М.
CHOCOLATE CAKE @mziwandabakers8297
6:42
Mziwanda Bakers
Рет қаралды 1 М.