Mamy hiyo miko na brush tunaweza kuvipata wapi kwa Jumla mamy
@MohamedRashid-iu1bc4 ай бұрын
Mimi matokeo sio mazuri sana inakuwa kama ugali nakosea wapi
@mziwandabakers82974 ай бұрын
Umefuata vipimo sahihi? Na sheria pia
@MohamedRashid-iu1bc3 ай бұрын
Nashukuru sana nimefanikiwa
@anooranuar26754 ай бұрын
Unga unatumia ppf au kawaida?
@rhamlaally69303 ай бұрын
Hizo tin ni inch ngap? Af mm keki inatoka vzr ndani ila tatizo inavimba juuu af inapasuka
@mziwandabakers82973 ай бұрын
Usipige uji muda mrefu,zingatia moto huenda mkali zaidi...fuata recipe kikailifu kwa vipimo sahihi
@irenewairimu10684 ай бұрын
Hizo baking tins,nitazipata wapi hapa Nairobi?
@mziwandabakers82974 ай бұрын
Supermarkets nyingi ziko nazo
@lucykakamba2933 ай бұрын
Huo mchanganyiko unaweza uka bake kwa chombo kimoja
@mziwandabakers82973 ай бұрын
Hapana ni mwingi sana
@Esma-pf1tj4 ай бұрын
Mimi keki yangu haiwi laini pia oven ya Europe litter 48 natumiaje moto kuoka keki
@mziwandabakers82973 ай бұрын
Weka 200 jaribu hapo pia waweza kuweka keki kwenye rank ya chini sio kati...uone matokeo yake
@RamlaHatibu-n8z4 ай бұрын
Ukizidish maji ya juice😢
@mziwandabakers82974 ай бұрын
Keki haitoiva
@irenepyuza29024 ай бұрын
Samahani tin ni inch ngapi?na mkorogo kiasi gani?
@CelinaRodgers4 ай бұрын
Naomba nilekeze jinsi ya kutoa hizo chuma kwenye mixer
@abbygaelmstara43284 ай бұрын
Habari dear me nina changamoto ya Oven,,natumia (Oven Westpoint) 63Litter sasa naona inatumia mda mref sana kubak an naweza nikaweka Dk 50 na moto 180C il bado keki ikawa haijaiva nikiongeza muda mwisho wa sik inakua kama inaungua chini ,,samahan naomba nijib niwe nafanyaje 🙏🙏
@aishakihame63004 ай бұрын
Jaribu kuongeza moto kidogo fanya 200C kwa dakika 40