hello. tunaomba mkuwe mkituekea video please. mfululizo wa matukio. kusikiza pekee haileti ladhaa sana. lakini hongera kwa kazi nzuri... Ni Kimanthi kutoka hapa Kenya 🇰🇪
@ismailmasoud6001 Жыл бұрын
Hii story ilibidi uiite MIJIMAMA...!
@avelinabaluhya2804Ай бұрын
Na mijibaba pia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@avelinabaluhya2804Ай бұрын
🤣🤣 tabia ni ngozi,maisha uliyoyaishi ujanani ndivyo utakavyokuwa uzeeni,mh ni aibu mbele ya watoto 🤣🤣
@lulusenzia4807 Жыл бұрын
Umemaliza vibaya
@hanifaomar7438 Жыл бұрын
Mpiga picha kitamkuta kitu Hana hapana 😊
@swabrarashidi1082 Жыл бұрын
😂😂😂 siyo mzima ww kwa hiyo umeamua utufafanulie
@MaryMary-kq3nh2 ай бұрын
❤❤❤
@SadickMasoud-q7c Жыл бұрын
Ndo useme ndala jomniiiiii😂😂😂😂
@kilogreekachananawatuwasio4054 Жыл бұрын
Apo kwenda kwake wakati mke wa mwanajeshi mstafu Angekutafuna mgongo wako MZEE madafu😂
@rahmamgaya Жыл бұрын
Nzuli San
@lulusenzia4807 Жыл бұрын
Yaani Hana muda mrefu huyu mpiga picha loooo
@bebeselawasamuel3665 Жыл бұрын
Asante MUNGU awalinde
@SadickMasoud-q7c Жыл бұрын
Mbona mkumbukagi condom 😂😂🎉 ili msimulizi chukua maua yakoooo😅😅😅
@ZuzuAlshukairy-dh6jt Жыл бұрын
Raha
@puritylobun5313 Жыл бұрын
Yaani huchoki kutuburudisha Asante sana kwa upendo mr lumbasi
@mwanajumamohammed4356 Жыл бұрын
Hodi karibu lucas lumbas, 😊😊😊
@AdelinaJackson-i5s Жыл бұрын
Story tam
@FransiscaThomas-zs4nn5 ай бұрын
Jamani we unarukia jimama unazagamua BILA condom utajua ujui.
@mporipori992 ай бұрын
@@FransiscaThomas-zs4nn anatakiwa atumie na spirit juu😂😂😂