simulizi nzuri itwayo " UMASKINI "

  Рет қаралды 979,308

Echo Boy Entertainment

Echo Boy Entertainment

Күн бұрын

please like share and subscribe

Пікірлер: 566
@christophermtigandi5614
@christophermtigandi5614 Жыл бұрын
Big up sana broo
@bakarimatanga939
@bakarimatanga939 6 жыл бұрын
Hakika hii story ina fundisha sana ni mzuri hongera mwandaaji👏👏👏👏👏
@kindyuba8140
@kindyuba8140 5 жыл бұрын
Simulizi zuri xana mungu akubariki
@nyavaelly5450
@nyavaelly5450 5 жыл бұрын
Penda sana story hii imenikosha mbuz ndama na ng,ombe ndama hawauzwi million kila kitu kilianza kwa kidogo. Kikubwa ni kufaham unafanya nn zinakuaga kama story lkn wat hatudhubutu kufanya ..... Kujiamin ndio nguzo moja imara sana utafanya kitu bila woga mwisho itabaki historia kuwa nilitoka kuleeeee.....,.nimeipenda sana hii
@echoboyentertainment6000
@echoboyentertainment6000 5 жыл бұрын
Karibu Nyava Elly
@samwellugwila6749
@samwellugwila6749 6 жыл бұрын
Big up,, rest in peace Martin Luther King..... unafanya tutumie busara zako!!! waoooo mtunzi na msimulizi!!!
@annaissaka7228
@annaissaka7228 4 жыл бұрын
Nmeipenda na imenifundisha ,asante kwa ujumbe
@paulmsape163
@paulmsape163 Жыл бұрын
Mungu atunusuru ktk hali hii,na atulinde na kutupa uvumilivu amina
@annen3923
@annen3923 6 жыл бұрын
Wow. This a very good lesson to learn. Never lose hope in Life. Trust in God and work hard
@samweloyabi9362
@samweloyabi9362 5 жыл бұрын
Amen 🙏
@ayunyahmad1142
@ayunyahmad1142 5 жыл бұрын
hadihi.hiyi.nimzur.sana
@PoliycaripoSuzo
@PoliycaripoSuzo 8 ай бұрын
🎉
@stevekanemelakatembotz8829
@stevekanemelakatembotz8829 6 жыл бұрын
Hakika Mungu aliwaumba kwa sabab maalum asanten kwa kutupa somo zur mbarikiwe sana
@tegemeareuben7618
@tegemeareuben7618 5 жыл бұрын
Ubarikiwe sana kwa simulizi nzuri Hakika nimejifunza
@adamuiddy3183
@adamuiddy3183 5 жыл бұрын
Emu mungu wangu nipe uvumilivu kwenye maisha
@aasiyaasia682
@aasiyaasia682 5 жыл бұрын
Shukraan sana kwa simulizi nzuri#hatutakiwi kukata tamaa hata kama tunapitia katika magumu kwa kias kikubwa..Kiza kiingi kina. Mwangaza
@danieljohn3836
@danieljohn3836 5 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu uendelee kutuelimisha vijana
@latifahshaban3385
@latifahshaban3385 4 жыл бұрын
Nzuri sana nimeipenda
@linaymushyyy36
@linaymushyyy36 4 жыл бұрын
Mzuri sana nimeipenda umenifunza kitu
@ananiajoel9472
@ananiajoel9472 4 жыл бұрын
big up kupitia story hii nimejifunza sana
@rosemaiko1710
@rosemaiko1710 5 жыл бұрын
Ahsante & Mungu akubariki nmeongeza elimu⏰
@abdallahshariff3608
@abdallahshariff3608 3 жыл бұрын
Simulizi nzuri sana, Hongera kwa kutupa mamneno mazuri ya kutia moyo na nguvu za kupambana na maisha, shukran sana
@akrammmuko8875
@akrammmuko8875 4 жыл бұрын
Eeeeeeh Mungu naomba tunaomba utuondolee uzito katika Maisha!
@casemiroyassir3574
@casemiroyassir3574 3 жыл бұрын
Masha Allah mungu akujalie
@alphonsinajohansen353
@alphonsinajohansen353 5 жыл бұрын
Nimejifunza .ukishindwa kukimbia tembea ukishindwa tambaa ila usisimame.mhh somo zuri sana
@shebyselemanibigup5810
@shebyselemanibigup5810 5 жыл бұрын
uhakika sana simulizi ipo sahihi na msimuliaji yupo makini kwenye maisha umaskini huwa ni jirani na utajili na utajili jirani yake ni umaskin
@aloycemkumbwa894
@aloycemkumbwa894 5 жыл бұрын
Dah nzuri sn km huwez kupaa bs kimbia au kukimbia nako huwez bs tambaa lkn sio kusimama I like tuchangamkien fursa vijana wenzangu
@fadhilikabonkefadhilikabon7978
@fadhilikabonkefadhilikabon7978 2 жыл бұрын
Inapendeza sana 😢
@cedrickndayizeye5601
@cedrickndayizeye5601 5 жыл бұрын
Story Zuri Sana😘❄
@josetobias4929
@josetobias4929 5 жыл бұрын
inapendeza sana braza
@patrickalex3553
@patrickalex3553 6 жыл бұрын
Hii ni Simulizi inayo nigusa kweli kazi nzuri
@azizhassain5050
@azizhassain5050 5 жыл бұрын
Ubarikiwe sanaaaaaaaaaaaaah kwa somo lako zuri bro
@faustinejohn9033
@faustinejohn9033 4 жыл бұрын
Ukweli maisha nichangamoto sana by ELISHA Wangwe toka Kishili nimewaelewa sana
@onesmovita8286
@onesmovita8286 6 жыл бұрын
inafundisha sana hasa kwa vijana
@salehuae7518
@salehuae7518 5 жыл бұрын
Waaah. Am blessed for this. My God bless you more. Nice point
@ayubkasirani8344
@ayubkasirani8344 Ай бұрын
Mungu akubariki kaka kwa story yako...yaani imenipa nguvu mpya ya kuyapigania maisha yangu AHSANTE SANA KAKA
@pendochibena8947
@pendochibena8947 5 жыл бұрын
Ni nzuri sana kaka
@akilikarama3331
@akilikarama3331 5 жыл бұрын
Ongera kwa ujumbe mzuri wenye faraja mungu akujaalie fikla zaidi
@BoazNyerenga-l4n
@BoazNyerenga-l4n 7 күн бұрын
Simulizii nzurii inafundisha kuwa tusikatee tamaaa
@lucaslaurent2920
@lucaslaurent2920 6 жыл бұрын
Iko vizuri sana, INA funzo muhimu LA kimaisha
@simuliziarena
@simuliziarena 4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/Y3iwY3eIqKh0iNU
@nicholusmakewa254
@nicholusmakewa254 2 жыл бұрын
great touching and hope words
@chibaleh.vicent4705
@chibaleh.vicent4705 6 жыл бұрын
asaante Sana naamini Mungu atanisaidie nisimame kufika kule napotumainia
@charlesbarongo6922
@charlesbarongo6922 6 жыл бұрын
Like
@simuliziarena
@simuliziarena 4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/Y3iwY3eIqKh0iNU
@josephmkwama480
@josephmkwama480 3 жыл бұрын
Inauma sana
@immanyoejucstar3633
@immanyoejucstar3633 6 жыл бұрын
Ninzuri San nimeipenda
@simuliziarena
@simuliziarena 4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/Y3iwY3eIqKh0iNU
@mzakirujuma1105
@mzakirujuma1105 6 жыл бұрын
Nzuri sana
@samirasaadun9517
@samirasaadun9517 6 жыл бұрын
tujipe moyo mungu anatoa kwawakati wake
@yazidishabani.6837
@yazidishabani.6837 5 жыл бұрын
Samira Saadun
@simuliziarena
@simuliziarena 4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/Y3iwY3eIqKh0iNU
@shokolomasungadaudi2858
@shokolomasungadaudi2858 6 жыл бұрын
Ni fundisho ktk maisha yetu ,ahsante sana bro.
@simuliziarena
@simuliziarena 4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/Y3iwY3eIqKh0iNU
@ridhiwanishafi7448
@ridhiwanishafi7448 5 жыл бұрын
big up nabii mswahili
@simuliziarena
@simuliziarena 4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/Y3iwY3eIqKh0iNU
@eliaspeter8590
@eliaspeter8590 4 жыл бұрын
uko vizuri kaka endelea na moyo huohuo ili wa Tz tuamke tufanye kazi na sio majungu.
@PoliycaripoSuzo
@PoliycaripoSuzo 8 ай бұрын
Hadithi tamu sana, nimeipenda.
@kidutasuleiman255
@kidutasuleiman255 5 жыл бұрын
Kaka wewe hauna mfano kwa simulizi hapa tanzania, ur too creative
@hamstonemalika489
@hamstonemalika489 5 жыл бұрын
Asante sana umenifungua macho yangu, nimeona mbele.
@ritamtui5726
@ritamtui5726 6 жыл бұрын
Dahhhh!!!!! Ninejifunzaaa
@MOMISIFAH
@MOMISIFAH 4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/Y3iwY3eIqKh0iNU
@gemasima1626
@gemasima1626 4 жыл бұрын
Uko vzr sana brother
@ruthchelimo9635
@ruthchelimo9635 6 жыл бұрын
Asante sana ndugu kwa kweli nimejifunza mengi kutoka kwako.
@ostazclassic3370
@ostazclassic3370 6 жыл бұрын
Story nzuri sana 👈
@maryanney7763
@maryanney7763 5 жыл бұрын
Very nice story
@samanthaali873
@samanthaali873 5 жыл бұрын
Kweli😢umaskini sio mwisho wa maisha funzo zur mno
@alhajihamzahusseni7320
@alhajihamzahusseni7320 2 жыл бұрын
Inafundsha san tusikat tamaa tupambamb
@zulfasaeed7445
@zulfasaeed7445 5 жыл бұрын
Asante sana kwa simulizi nzuri kaka mungu akujalie
@nikkah9967
@nikkah9967 6 жыл бұрын
nzuri sana
@gastordominic410
@gastordominic410 5 жыл бұрын
Hongera sana umetujuzs mengi
@mcdonaldkaaya8555
@mcdonaldkaaya8555 2 жыл бұрын
RIP baba
@alexmwashifungwe3473
@alexmwashifungwe3473 6 жыл бұрын
Daah,hakika kila mtu na kipaji chake, simulizi kama naambiwa mie. Hongera sana brother simulizi kwani imenibadilisha kifikra,akhsante bro.
@simuliziarena
@simuliziarena 4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/Y3iwY3eIqKh0iNU
@abdinurali7879
@abdinurali7879 Жыл бұрын
Aja mungu asidi kukupa nguvu mzee wangu kwa mafunzo
@nasrahassan8102
@nasrahassan8102 5 жыл бұрын
Goodluck
@adamali438
@adamali438 6 жыл бұрын
Nimeipenda sana na kweli maisha ni kujituma bila hivyo utaishia kulaumu Mungu kuna wenye hawakusoma ila ukiwaangalia vyenye wanaishi ukiambiwa hakusoma hutoamini japo siku hizi tunaambiwa ukitaka maisha mazuri mpaka uwe ulisoma ila wapo wenye walisoma na ukiwaangalia hali yao balaa vijana tujitume hata kama hatuna elimu nguvu kazi
@paulosimon7058
@paulosimon7058 6 жыл бұрын
nice story uko vzry
@majulaedward1140
@majulaedward1140 6 жыл бұрын
Adam umenena vizuri
@PaulineJaphet
@PaulineJaphet Ай бұрын
Kwakweli naipenda sana hii simliz
@ismaelmastaki7769
@ismaelmastaki7769 5 жыл бұрын
2019 nani yupo hapa gonga likes
@simuliziarena
@simuliziarena 4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/Y3iwY3eIqKh0iNU
@aminarashid4627
@aminarashid4627 6 жыл бұрын
Kazi nzuri kaka ubarikiwe sanaa
@salikimapumba886
@salikimapumba886 6 жыл бұрын
simulizi nzuri , nimeipenda sana inafundisha.
@fabianedwin6043
@fabianedwin6043 5 жыл бұрын
kwel unatupa hamasa na sisi masikini tunafalijika kwa kututia moyo kaka hapa duniani
@conradjohn1047
@conradjohn1047 5 жыл бұрын
simumlizi hiii nzuri inafundisha
@fredcharles2957
@fredcharles2957 5 жыл бұрын
Nashukuru kwa mafundixho yako hakika yanatina moyo sana hakika nimejifunza ki2
@kennethkiprotich8492
@kennethkiprotich8492 6 жыл бұрын
God is watching !it can not happen when we can not struggle for our way
@bekaboy2191
@bekaboy2191 5 жыл бұрын
Una story nzuri kaka
@naimasaid7763
@naimasaid7763 4 жыл бұрын
Nzuri sana, inatia moyo
@azachekambembela8558
@azachekambembela8558 6 жыл бұрын
Nmeipenda lakn vp a2wez kua namawasilian ndg mm mwenyew naandika story lkn bd cjajua pakuzpeleka
@blesssindamwaka9823
@blesssindamwaka9823 6 жыл бұрын
iko vizur sanaaaa
@msomorobrown1490
@msomorobrown1490 5 жыл бұрын
You rise us up
@mathewkuya4801
@mathewkuya4801 6 жыл бұрын
Inapendeza na inafundisha,
@catheafricanbabe8408
@catheafricanbabe8408 3 жыл бұрын
Wow 👌👌👌
@nurdinimndeme2912
@nurdinimndeme2912 6 жыл бұрын
dah.! maneno haya ni funzo kubwa sana ' Ahsante sana bro
@simuliziarena
@simuliziarena 4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/Y3iwY3eIqKh0iNU
@nadyahassan7924
@nadyahassan7924 5 жыл бұрын
hongera kk tunajifunza sn
@tummash1744
@tummash1744 6 жыл бұрын
Mafunzo mazuri kwa hawa vijana wa leo
@tegemeareuben7618
@tegemeareuben7618 5 жыл бұрын
Mungu tufungue macho na ufahamu tuone fursa
@bijumakassim3697
@bijumakassim3697 6 жыл бұрын
Simulizi nzuri Asante sana msimulizi
@salimomar6825
@salimomar6825 4 жыл бұрын
Hy
@pascalmichael5200
@pascalmichael5200 2 жыл бұрын
Sana
@yusuphpadonlameck5930
@yusuphpadonlameck5930 2 жыл бұрын
Nimeipenda nimeielewa xmsana mzee Asante saana MUNGU akuzidishie barakah
@amadeusmedia5560
@amadeusmedia5560 6 жыл бұрын
Safi sana kaka
@hamishamis9905
@hamishamis9905 6 жыл бұрын
Mashaallah inapendeza
@barakafrank6008
@barakafrank6008 6 жыл бұрын
Nzur sana
@mikenc1540
@mikenc1540 6 жыл бұрын
napenda sana simulizi zako brother
@gorretinyongesa8636
@gorretinyongesa8636 6 жыл бұрын
Funzo zuri.tusichoke licha ya Maisha kuwa magumu
@bihimomasemo4482
@bihimomasemo4482 6 жыл бұрын
Ubarikiwe maneno mazuri sana
@hilarymoshi9702
@hilarymoshi9702 3 жыл бұрын
Nazpenda san
@paulkazung910
@paulkazung910 6 жыл бұрын
Inatufunza sana tusikate tamaa kwenye maisha
@simuliziarena
@simuliziarena 4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/Y3iwY3eIqKh0iNU
@kizabahombwa2045
@kizabahombwa2045 6 жыл бұрын
Wow so nice i i love
@aishaalfani8246
@aishaalfani8246 5 жыл бұрын
Salam aleykum jaman na mim nayapitia haya. Wazaz wangu wamepata shida sana kutulea mpaka sasa Nina miaka 23 sina tumain Yakuwalipa wema wazaz wangu eee mungu naona Mwenye deni kubwa kwawazazi wangu jamani
@jjsikalumba3947
@jjsikalumba3947 5 жыл бұрын
hakika ni hadithi nzuri
@pastorybudaga7406
@pastorybudaga7406 6 жыл бұрын
Dah! iko vzr saaaaana
@Rhymeshood
@Rhymeshood 6 жыл бұрын
nzuri sana hio nimeipenda
@abasiwiliamabasiwilliam1836
@abasiwiliamabasiwilliam1836 6 жыл бұрын
umeipenda nn
@richardmwaipopo8748
@richardmwaipopo8748 6 жыл бұрын
m ungu akubariko
@priscanazaleth6784
@priscanazaleth6784 5 жыл бұрын
Nzur
@mossjohn6837
@mossjohn6837 6 жыл бұрын
gud story i mean god ix able 4 every 1
@nazirabdul8950
@nazirabdul8950 6 жыл бұрын
Nzuri Sana aisee
@salumusalumu2947
@salumusalumu2947 5 жыл бұрын
umenipa nguvu nitazidiikusonga
@wamburakebwabwa879
@wamburakebwabwa879 2 жыл бұрын
Wanadamu tusikate tamaa
@obedibagein9385
@obedibagein9385 5 жыл бұрын
This Remind something thx for this Story
@iragibarumi8435
@iragibarumi8435 6 жыл бұрын
Wow nzuri sana
@monikawilison8257
@monikawilison8257 6 жыл бұрын
inasikitisha sana
@samuelwanjala9876
@samuelwanjala9876 Жыл бұрын
Be pleased brother it really touches ❤
@theopisterjovent3483
@theopisterjovent3483 2 жыл бұрын
Nimeipenda inafunza mengi katika maisha mbarikiwe🙏
DENIS MPAGAZE: USIKATE TAMAA NA USIOGOPE KUANZA UPYA
22:35
DENIS MPAGAZE
Рет қаралды 108 М.
HADITHI YA KUSISIMUA
14:35
Hadithi Makanaki
Рет қаралды 55 М.
Шок. Никокадо Авокадо похудел на 110 кг
00:44
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 123 МЛН
отомстил?
00:56
История одного вокалиста
Рет қаралды 4,8 МЛН
KAFARA 7 Unazopaswa KUFANYA Kama Unataka KUWA TAJIRI
8:05
Hezzy Hezzy
Рет қаралды 38 М.
PENZI LA MTUHUMIWA: SIMULIZI FUPI YA SAUTI.
50:21
Simulizi Mix
Рет қаралды 316 М.
Simulizi ya kusisimua
12:19
OBJs TV
Рет қаралды 118 М.
NABII IBRAHIM NA KISA CHA KUMCHINJA MWANAE.
15:37
Siz Media
Рет қаралды 83 М.
SIMULIZI FUPI: NIACHE NILIE, By Anko Jay
3:13:44
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 46 М.