No video

SIMULIZI YA KUSISIMUA: MAISHA YA UBAHARIA/ MIAKA 18 BAHARINI/TULIZAMA/ SOMALIA (S02EP05-PART 02)

  Рет қаралды 14,998

Dar24 Media

Dar24 Media

Күн бұрын

Akifahamika kama Babu haji, mkazi wa Unguja anakumbuka matukio ya kutisha akiwa kama Baharia kwa zaidi ya miaka 18, akihudumu kwenye meli kubwa na kutembea mataifa mbalimbali ya kiarabu......
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24news@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24Tz
⚫️ Facebook: @dar24news
⚫️ Twitter: @Dar24News
#Baharia #Safarizabaharini #Mbanga

Пікірлер: 20
@seifsaid8867
@seifsaid8867 2 жыл бұрын
Mzee wa mbanga hebu tumalizie ile story ya yule kijana wa mombasa Kenya 🇰🇪 ,alieenda oman 🇴🇲 kutafuta maisha
@sulleyally5040
@sulleyally5040 2 жыл бұрын
Hiki kipindi nakupenda sanaaa
@osamaally5206
@osamaally5206 2 жыл бұрын
Nataka niwe wa kwanza kuangaliy
@eugeneokoth517
@eugeneokoth517 9 ай бұрын
7:28 mweleze nipo hapa
@maryamkhamfar4029
@maryamkhamfar4029 Жыл бұрын
Nlishawahi kupanda hio jahazi la rasnungwi, lkn nlikua mdg sana. Likazimika baharini tulikaa muda sana mpk Kuja kuwaka tupo hoiiii😊😊😊😊😊😊
@cynicchemka684
@cynicchemka684 2 жыл бұрын
#mzee wa Mbanga nakukubali kinomanoma, sema nngeshauri ungeweka background music kama ile ya mwanzo ya *Story of the wind* inamsisimko zaidi.. inaleta attention kali kwenye story
@nelsonkileo3247
@nelsonkileo3247 2 жыл бұрын
Hii ikipata Direct mzuri ni bonge moja la sinema
@jaydenkariuki6595
@jaydenkariuki6595 2 жыл бұрын
Mzee baba hongera sanaa kwa juhudi lakini bado hujarudisha lile song background still bado
@oscarezekiel1826
@oscarezekiel1826 2 жыл бұрын
Safi kabisa
@bakari-si1pw
@bakari-si1pw 2 жыл бұрын
Yeah 🤜ni noma sana
@devmwalabu3193
@devmwalabu3193 2 жыл бұрын
Mzee anastr nzur
@ibugharib389
@ibugharib389 2 жыл бұрын
Mzee yuko vizur , na ujana bado umo
@tozzaalexandar4905
@tozzaalexandar4905 2 жыл бұрын
Harakati
@khalfaniyusuph1811
@khalfaniyusuph1811 2 жыл бұрын
@12:56
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 2 жыл бұрын
Jifunze Kupangilia Story Sio Unajiekea Kama Kimba Pangilia Sawa Namba Moja Mpaka Kumi
@salmin3129
@salmin3129 19 күн бұрын
Mama😂😂😂
@muhamadmaulid694
@muhamadmaulid694 2 жыл бұрын
Nashauri ,wekeni kwenye mpangilio stori zenu ,sisi tumapenda sana vitu kama ivyo ,ila vinaboa ,Kwa sababu inavyotaka kufuatilia kuanzia moja ,mbili na kuendelea unakuta mizunguo ,,,mara inakuja stori namba moja then inakuja namba Kimi ,kwaiyo inazungua ,,,angalieni ,tumapenda sana stori za maisha ✌️
@kingkendrickk
@kingkendrickk 2 жыл бұрын
Walimuita mama 😂😂
@kingkendrickk
@kingkendrickk 2 жыл бұрын
😂😂😂
艾莎撒娇得到王子的原谅#艾莎
00:24
在逃的公主
Рет қаралды 28 МЛН
Я не голоден
01:00
К-Media
Рет қаралды 10 МЛН
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 165 МЛН
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 31 МЛН
艾莎撒娇得到王子的原谅#艾莎
00:24
在逃的公主
Рет қаралды 28 МЛН