Hakika duniani hakuna uaminifu Bora mtu ajiaminie na sikuwaamini wanadamu maana wamegeuka kuwa hayawani shukrani Director jay Kwa kazi nzuri nazaidi darasa la mafunzo kutufunza jinsi yatufaa kuishi katika ulimwengu wa leo
@mariammsemakweli7904 Жыл бұрын
A very nice one Mrs Anko j thanks nimejifuza mengi sana
@Adonai8102 жыл бұрын
THE SADDEST THING ABOUT BETRAYAL IS, IT NEVER COMES FROM YOUR ENEMIES. BETRAYAL COMES FROM FRIENDS AND LOVED ONES PERIOD....WELL DONE ANKO JAY 🙌👏👏🔥🔥
@lucymonje53582 жыл бұрын
Big up anko j kazi nzuri Sana napenda kusikiliza simulizi zako
@AthumanMnyampanda24 күн бұрын
Inatia huruma sna true story
@rahelbaduu48752 жыл бұрын
Marafiki sio wakuamini kabisa simulizi nzuri 🔥🔥
@rahelbaduu48752 жыл бұрын
Ni Kama simulizi ya jestina vile nice anko jay unajua big up👊👊
@jabuali5739 Жыл бұрын
Nimejifunza never trust people too much cz kikulacho kinguoni mwako asanteni kwa nice story
@roznaaa59952 жыл бұрын
So hivo
@bxhryxhbn48122 жыл бұрын
Anko j pomoj sana bro 🔥🔥🔥
@hassinafati3512 Жыл бұрын
Wawooo anko jay unajua hata kaburi la omani 🤣🤣shukrani Kwa simlizi anko jay 🙏🌹🌹
@happinessjonathan9994 Жыл бұрын
🤣🤣
@milhamariam71052 жыл бұрын
Shukran kwa Baba Anko Jy usizubaye kwa Morin anakupenda kabisa rafiki kwenye matatizo uyu Stvu anamwisho mubaya atakufa naco kiziba camwoyo😭😭😭😭😭😭😭
@charlesomoyo63262 жыл бұрын
Safi sana na mafunzo mengi tukiwa hapa duniani
@fatumamatano82162 жыл бұрын
Ameshushuliwa shuu lika mshuka shuu Anko j ww😂🤣😂
@HelenaGodfrey-k3m3 ай бұрын
Wengine yameshatushida bola tu nilundi kwa mungu wangu 🙏 ndio kimbilio langu la mwisho binadamu si watu🙅🧟
@nahanakadiri39692 жыл бұрын
Asante xana Anko J kwa simulizi hii nzr na yenye kutufunza kua tusiwaamini marafiki kikulacho ki nguoni mwako!
Kweli dunia hii rafiki ndio anakua adui yako na kikulacho huwa kiko maungoni mwako.
@monajafar44732 жыл бұрын
Ina mafunzo mazuri na yakuzingatia sana asnt mtunzi na mcmuliaji mahiri Anko jey na wa shirika wote wa cmulix mix
@sheilaapondi9245 Жыл бұрын
Inauma
@saraasatenisanasimlizimixc92322 жыл бұрын
Asate sana simlizi fupi by ako j
@zenasalum31072 жыл бұрын
Ahsante Uncle J simulizi ni moto sana
@hijamwinyi32332 жыл бұрын
Anko jay 🥰🥰
@josianekwizera38092 жыл бұрын
💗💗💖
@leahmajaliwa6575 Жыл бұрын
Sio Siri anko Jay unajua kusimulia inabidi upewe ulinzi tu
@monajafar44732 жыл бұрын
Mungu hatupi mja wake ukweli utabainika
@josphinesagina69092 жыл бұрын
THANKS so much
@speciozamauggo54962 жыл бұрын
Mm
@mhabimina40232 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥👌
@annasituma88102 жыл бұрын
Wa Kwanza leo
@joycekazungu40032 жыл бұрын
Kweli Rafiki yako ndio adui yako hautakiwi kuamini mtu katika hii dunia
@mwanajumamohammed43562 жыл бұрын
Wa pili leo
@ziadamtebwa37122 жыл бұрын
Ivi mtu anaondokaje na mkeo wewe ukibaki lnasikitisha binaadam niwanyama asante Anko J hii simulizi lna mafundisho usimamini kila mtu lshi kwa machale.
@avelinabaluhya2804 Жыл бұрын
Uonevu ktk jamii unaleta majonzi,na pesa ni chanzo cha uovu wote duniani
@ziadamtebwa37122 жыл бұрын
Kikulacho kimo nguoni mwako
@ziadamtebwa37122 жыл бұрын
Nzuri sana asante Anko J
@izackmabena63132 жыл бұрын
Pamoja Santa anko j
@izackmabena63132 жыл бұрын
Pamoja Sana anko j
@bxhryxhbn48122 жыл бұрын
Dah hii story tam mnoo ila huy stive kichw maj
@katalamohamed43052 жыл бұрын
Mh inauma
@ElizaSada3 ай бұрын
💔💔💔💔💔😭😭
@monajafar44732 жыл бұрын
Hujui unae ongea nae jmn
@ziyadamubark16122 жыл бұрын
😭😭😭😭Itasikitisha
@sellenasellena54752 жыл бұрын
Kweli kikulacho kingioni mwako na rafiki yako ndiye adui yako
@monajafar44732 жыл бұрын
Uclo lijua ni ucku wa kiza kama Ben angejua rafiki yake anayo muazi a acnge kubali kuwa nae karibu
@monajafar44732 жыл бұрын
Imeniliza lkn ss imebidi nikeshe mutajua jiji cmwajua kubaka
@monajafar44732 жыл бұрын
Ya umiza sana mpk nimeshinda kujizuia yani umfanyie mtu unyama kiac hiki
@ashamohamed28122 жыл бұрын
😭😭😭 IT SO pain kikulacho kinguoni mwako
@monajafar44732 жыл бұрын
Mackini Ben kama angejua yaliyo ndani ya mwenzake hata ungekaa nae mbali
@shamsaalrahbi55732 жыл бұрын
Anko jy mbn sikuhiz umekula adimu nni shida mpendwa
@frankpablo8256 Жыл бұрын
Ameoa
@monajafar44732 жыл бұрын
Yani urafiki uishe sababu ya mcchana
@patiencembekelu2402 жыл бұрын
Asante kwa simulizi hii yenye mafundisho sana,rip morin and long live Benn and Agnes give birth to many children🤗❤
@elizabethmulunda84002 жыл бұрын
Marafiki wanafiki huishia kuangamiza mtu bila kujiuliza nao mwishoe wataishia wapi
@monajafar44732 жыл бұрын
Nduma kuili yuwauma na kupuliza
@ashamenza22122 жыл бұрын
Sisemi kitu
@monajafar44732 жыл бұрын
Balaa hii ss Wamaliza walinzi Nani atakusaidia mambo yako, kukata liwa kubaya jamani
@chidzobetty58692 жыл бұрын
Chidzo
@faridamideva28922 жыл бұрын
😭😭😭😭
@lameckmvungi96832 жыл бұрын
imebamba
@monajafar44732 жыл бұрын
Moyo wa mtu kichaka hujui kilichoko ndani
@jenipherbukoma97262 жыл бұрын
Glory be to God 🙏
@monajafar44732 жыл бұрын
Rafiki yuwaweza kuibia na akakusaidia kutafuta
@christinekisanga64072 жыл бұрын
Hakuna rafiki dunianila mungu tu
@monajafar44732 жыл бұрын
Bado cnyinyi mababe malipo duniani akhera ni hesabu tu mutalipia mabaya yote
@monajafar44732 жыл бұрын
Inaniumiza kama ni mm ndio na fanyiwa hivyo, msamaha wa kinafiki juwajua alivyo ya panga kwa Hao watu wawili