Na mtu anapohitaj kukuharibia Kwa nguvu za kishirikina huanza na ufahamu mengine yanafuatiwa kwahiyo hapo ni mwenyez mungu Tu na iman yako halafu mbaya Zaid mzazi anaekujua Kwa kila kitu 😭😭😭😭mfano Baba yake hanamaamuz mpaka mama subhanaallah yaraby tulinde na Shari zote za dunia Amin 🙏🙏🙏🙏
@julithamuhale72713 жыл бұрын
Duuhh! Maskini! Pole Ila Rudi kwa Yesu awe mfariji wako pekee!
@felixmhagama43023 жыл бұрын
Pole sana
@thumnathumna59463 жыл бұрын
Inasikitisha sana.pole sana zakauyo
@rachaelmkunda27423 жыл бұрын
Pole sana zakayo, huwezi kufanikiwa mpk utakapo muoa huyo mwanamke coz kichawi wako wote na mama yako
@halimaomary76953 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭
@doricasedward30663 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana,da Veronica
@clairenahimana17873 жыл бұрын
Veronica kwa kweli Mungu akubariki sanaaaa🌷🌺
@sevenngowi95383 жыл бұрын
Duuuu kuna ushirikina jamani
@babrightonmusoma18123 жыл бұрын
Africa yetu jamani,wengi wameenda kwa namna tu! Ushirikina jmn mmmmmh!
@veronicafrancis77993 жыл бұрын
Nice story
@jedidahbintidaudi82413 жыл бұрын
nmba nane haipo tena au
@shadrackdamiani14183 жыл бұрын
Daah jamanii 😭😭🙏👍
@selevianamathias74203 жыл бұрын
Daah 😥😭😭😭😭
@aikasalim10343 жыл бұрын
Daaah😭😭
@jenifajafari76703 жыл бұрын
😭😭💔💔💔
@matundakahama51683 жыл бұрын
Mazaa ndo aliemuondoa
@lovenessmallya61553 жыл бұрын
Pole sana Zakayo!Ila nashindwa kupata jibu kwanini tukiona mambo hayaendi inavopaswa tunashindwa kukimbilia hata kwa Mungu