Nigeria: Muimbaji wa Gospel aliyemchinja girlfriend na kumkata vipande 50 adai hajutii alichofanya

  Рет қаралды 18,752

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 137
@ssaa7495
@ssaa7495 20 сағат бұрын
Tuwaogope sana watu wanaojificha kwenye kivuli cha mjua sana mwenyezi Mungu 🙌🙌🙌🙌💔💔💔💔💔
@StrongbowArrow2004
@StrongbowArrow2004 Күн бұрын
Simu, Simu, Simu iziii😢😢😢😢🙆‍♀️ ndo moyo wa nje wa binadamu, yani usichokiona moyoni mwake utakiina simuni 😢
@nellyhortensia2407
@nellyhortensia2407 Күн бұрын
Kwa kweli
@malkiarosemuhando3310
@malkiarosemuhando3310 Күн бұрын
Kabisa
@nackie-fq7hm
@nackie-fq7hm Күн бұрын
Hakika
@johnrevocatus9955
@johnrevocatus9955 19 сағат бұрын
Umenena kwel
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 Күн бұрын
Hizi Tasnia za nyimbo za injili zinavunja moyo sana tuimbe tu nyimbo za vitabu Kwa kweli
@braveone3865
@braveone3865 Күн бұрын
Hii ni dalili tosha kuwa Mungu yupo because kuna siku ya malipo watu walipwe walichotenda kwa wengine unaweza usiamini ila ngoja ufe ndio utajua.(kulala na kuamka) ni good example kuwa watu watafufuliwa.
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 9 сағат бұрын
Tuna watu wengi sana katika kanisa la Yesu ambao siyo wafuasi wa Yesu kristo. Jambo hili ni mkakati wa Shetani kulichafua kanisa wasiojua maana ya mkristo siyo rahisi kujua hili. Leo tuna watu wengi wanaojiita watumishi wa Mungu makanisani kumbe ni wafanyabiashara wa makanisa. Wapo waimba gospel, manabii, mitume, wachungaji,maaskofu na walimu. Wengi jumbe zao kama ni gospel music ni celebration songs na mipasho ama za kuelezea upendo wa Yesu na mafanikio ya kiuchumi. Hutasikia wakifundisha agizo kuu la Yesu la Kutubu maana ufalme wa Mungu umekaribia.
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 22 сағат бұрын
Ndio maan napenda kuwa single.Nayey akatwe vipnde vipnde ili ajuwe uchungu wake
@BarakaKusalula
@BarakaKusalula Күн бұрын
Daah! Ila mapenzi siyo kitu cha kukurupuka So sad😢😢😢😢
@LettyLussi
@LettyLussi Күн бұрын
Mapenzi yananguvu kuliko kifo🙌
@Rosemary-x4p
@Rosemary-x4p 22 сағат бұрын
Na apo akitoka kuna mtoto wa mtu atapendana nae😢
@ankalmzito254
@ankalmzito254 18 сағат бұрын
tuwaogope sana hawa wanaosema wameokoka
@vanemmy6043
@vanemmy6043 Күн бұрын
Sasa uchunguzi gani tena apo?mwenyewe amesha kubaki😢.....yuko na hatiya
@nadiaamisha2958
@nadiaamisha2958 Күн бұрын
Ngoja nibaki single kwanza🚶🏾‍♀️🚶🏾‍♀️🚶🏾‍♀️🚶🏾‍♀️i will try again 2026🤗🤗🤗🤗
@jeanneandfrancislifestyle1518
@jeanneandfrancislifestyle1518 Күн бұрын
😢
@ditaely7309
@ditaely7309 Күн бұрын
😅😅😅😅
@LaurentMatigili
@LaurentMatigili 23 сағат бұрын
Usitunyime mazur kisa matukio,kikubwa kuwa makini na muaminifu apo utafuraia mapenz
@nadiaamisha2958
@nadiaamisha2958 21 сағат бұрын
@@LaurentMatigili yaani ukijichanganya kidogo unatolewa kichwa 🤣🤣kisa utamu jamani au Kuna mengine 🤣🤣🤣🤣
@LaurentMatigili
@LaurentMatigili 21 сағат бұрын
@@nadiaamisha2958 hakuna mengine n pale kati matamu tu ndo panawapa watu wazimu😂😂
@abdulazizamani8103
@abdulazizamani8103 7 сағат бұрын
Sasa amemuua aje na nimeona wanacheza pamoja hapo au sio wao 😂😮😢 # baadhi yetu tunaroho ngumu Mungu tuongoze
@africangirls482
@africangirls482 Күн бұрын
Ubaya ubwela mapenzi nyoko
@frankkay5615
@frankkay5615 Күн бұрын
Kweli nimeamini usioe mwanamke unayempenda sana yani kupita maelezo
@LettyLussi
@LettyLussi Күн бұрын
Kabisaa
@LutfiaRashid
@LutfiaRashid Күн бұрын
Inakuaje kwani ukioa MTU unaempenda Sana ? Embu nipe elimu kidogo kaka angu
@FatumaJumanne-p4d
@FatumaJumanne-p4d Күн бұрын
Mke n mke 2 hata kama wa kutafutiws omba MUNGU akupe subra😢😢😢
@sekondianacletus4537
@sekondianacletus4537 Күн бұрын
​@@LutfiaRashid unayempenda atakutesa inabidii uoe anayekupenda.
@LuluAquai
@LuluAquai Күн бұрын
​@FatumaJumanne-p4d na hiyo ndo formula,oa mwanamke anayekupenda kwa 60% na ww mpende 40% utaishi kifalme,sasa hizo % ukizigeuza utakutana na maumivu,nashkuru huwa nabahati ya kukutana na wanawake wanaonipenda zaidi na wenye kujitolea,yani kukupa pesa ni kawaida kama anayo na huwa wenye huruma but binafsi huwa nawabadilusha na kuja kuwa si wema tena kwangu,mm ndo nnashida na nimeigundua,sshv nna mwengine yuko full charge na ndio mwenye hili jina la account,kwa7 hata kama mwanamke anakupenda haitoshi cause upendo unatunzwa ili uendelee kubaki kuwa stable au kuzidi
@ZawadiMumba-xw3uf
@ZawadiMumba-xw3uf Күн бұрын
Surely 😢
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 Күн бұрын
Kheee ebu nigeukie kilimo aisee mapenzi yatanipeleka motoni mapema 😢😢😢 mapenzi yanavuruga adi watumishi 😢😢
@emmadora7848
@emmadora7848 23 сағат бұрын
😂😂😂😂😂
@KarimAthumani-vj4pf
@KarimAthumani-vj4pf 22 сағат бұрын
Hapana usifanye hivyo jamani
@abidandastanmaliyatabu1373
@abidandastanmaliyatabu1373 4 сағат бұрын
Mmmmhh Mungu atusaidie
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m Күн бұрын
Subhanna allah
@GiftMwandi
@GiftMwandi Күн бұрын
Siwezi kumulaumu huyu jamah alichokifanya kwani mahusiano ni agano Kati ya watu wawili hivyo basi yanapaswa kuheshimikq Hii nimikatqba yaki mahusiano Inqpaswa kuheshimikq vinginevyo Nimauwajitu
@RehemaJustine-co2kp
@RehemaJustine-co2kp 7 сағат бұрын
Una uhakika gani na anachokiema? Ulikuwepo? Km anajitetea je! Na marehemu ni nani wa kumsemea?
@NinaMon-b1y
@NinaMon-b1y 19 сағат бұрын
Mapenzi shkamoo,ila dah inauma unajitoa kwa mtu halafu anafanya vitu vya ajabu,Mungu atusaidie sana kwa kweli
@israelmwasota
@israelmwasota 6 сағат бұрын
Hakuna wivu wala nini, hiyo ni mikataba ya kishetani😂😂
@FrankMtwale-g3q
@FrankMtwale-g3q Күн бұрын
😂😂😂sikushangai mwanangu umetisha sana kwanini ujutie sasa😂😂
@RobsonLugomi
@RobsonLugomi Күн бұрын
Nyimbo za injili ipi Sasa mbona mnatuvuliga jmn😂😂😂😂
@wadantz123
@wadantz123 Күн бұрын
Izo izo za yesu 😂😂😂
@RobsonLugomi
@RobsonLugomi Күн бұрын
@wadantz123 daaa nachokaaa mimi 😂🤣😂😂😂
@israelmwasota
@israelmwasota 6 сағат бұрын
Uwii😂
@mustafamsati9599
@mustafamsati9599 Сағат бұрын
Hakuna nyimbo za injiri ila wakristo hatamaneno ya mchungaji kuhamasisha watu kutoa pesa wao wanaamini pia ni injiri mimi ntacherewa kubatizwa
@GlorydavidJeremiah
@GlorydavidJeremiah 2 сағат бұрын
Mbona mwanamke hafanani na mke wa mtumishi? Na yeye mwenyewe si muimbaji wa gospel anajiita ila si kweli
@athumanitambala934
@athumanitambala934 23 сағат бұрын
Mimi binafsi nilishajiandaaga kisaikolojia kabisa kwenye huu ulimwengu, siwezi kumuamini mtu kiasi hicho hata kwenye mapenzi huwa naingia mguu nje mguu ndani kiufupi kwaakili yangu fupi sijaona sababu yamaana itakayonifanya nimuue mtu labda tu huyo mtu alazimishe kifo kwalazima
@Keyjop
@Keyjop 9 сағат бұрын
Ila wanaume we mbamba Wana visilani jmn ... Hawana pa kuzipeleka hasila zaomaana Zina gonga Moja Kwa Moja kwenye mif upa
@elesianakabuje5832
@elesianakabuje5832 Күн бұрын
Mmmmh! Afya ya akili sio bure🤭🤭
@AshuuuBakari
@AshuuuBakari 19 сағат бұрын
Daaa aisee niliona ahojiwa aulozwa hujutikumuua akasema hajutii na ilikuwa haki yk kufa kwa sababu alimsaliti .ilikuwaje apekuwe simu daaa
@nellymtambo8432
@nellymtambo8432 Күн бұрын
Atasamehewa kakubali kosa ila c kumkata hivyo mwenzie vipande 50😂😂😂
@vero57
@vero57 Күн бұрын
Itakua ndiyo kawaida yake kuuwa watu, za mwizi 40
@maryamm7765
@maryamm7765 Күн бұрын
Dah mtihan sana
@Chocococoliam
@Chocococoliam Күн бұрын
Nashindwa kuelewa kwann amefika police bado anahema
@fakihdarusi4385
@fakihdarusi4385 9 сағат бұрын
DADAKO IKUWA TAPELI WATU .. KINACHOTOKEA ICHO BAADA YA KUTAPELEIANA
@ssaa7495
@ssaa7495 20 сағат бұрын
Amefanana na Madevu kule Twitter 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@vero57
@vero57 Күн бұрын
Wivu gani huo, kama sio mganga ulikua unampelekea
@mustafamsati9599
@mustafamsati9599 Сағат бұрын
Mtu wa dini hawez kua na demu anakua na mke au anakua singo ukiona mtu anaishi na bint bila ndio huyo ni mzinifu tu sio mchamungu allah atuongoze tujitambue tuache uchafu
@8pistons194
@8pistons194 Күн бұрын
Wanawake wanazngua sana most of men wanataman kufanya ivi ila bas tuu
@Brunn-mh2bq
@Brunn-mh2bq Күн бұрын
True my brother. Many women do not realise how close to death they come through their heartless treatment of men😢
@ashurahatibu5069
@ashurahatibu5069 Күн бұрын
siku unapopendwa pendeka maana mnajitia vichaaa mpaka mnakutana na wadada masnich
@pendosailo1989
@pendosailo1989 Күн бұрын
Hiyo uliyonayo ni dalili ya kuwa na tatizo la afya ya akili....akikuzingua si umuache...hebu tafuta matibabu mana wengine nadala ya kuwaua mtajiua wenyewe
@farajistory
@farajistory 23 сағат бұрын
​@@pendosailo1989amna cha afya ya akili ukijuwa mpenzi wako haeleweki usi cheat😂
@Jibambeshow254k
@Jibambeshow254k 19 сағат бұрын
Mm ndio maana marafiki wangu niwalevii maana wakilewa husema ukweli sio hawa watu wamejificha kw wokovuu eti wanamjua Mungu khaa nawaogopa sana wanao jifanyanga kua eti wanamjua mungu 🤦
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 11 минут бұрын
Waimbaji wa nyimbo za injili wap mbona mwanamke vaa yake anaonekana kuwa ni shetani mtu alitafuta pesa kwa njia ya uimbaji sio muimbaji jamani tutofautishe
@aleyidukury8333
@aleyidukury8333 18 сағат бұрын
Ndio maana mm siwez kumpangia mwanamke Wala kumhudumia endapo sikai nae Kama yupo kwao ale kwa baba yake hata nikimfania siwezi kuuwa lkn saivi wanaume wote tumeshikwa akili eti usipo mhudumia mwanamke eti hujui kupenda mpenz ni mpenz tu usivae viatu vya baba yake haviwatoshi mkihudumiwa mtauwawa Sana tu
@bigbro-my6xj
@bigbro-my6xj 23 сағат бұрын
Akishakaa jela kama miezi miwili atajutia tu,
@Anthonyzombie-d2s
@Anthonyzombie-d2s 23 сағат бұрын
Mapenz yanaum lkn sio mpk uuww,ukion hakuatak ww muache t ondok usikumbuk umemp kias au umemp nn 😢😢😢
@carolinaadolf6955
@carolinaadolf6955 Күн бұрын
Dah hii hatari jmn😢
@lunangabenjamin3121
@lunangabenjamin3121 Күн бұрын
Binadam mungu binadam shetani.dah mapenzi ya kupitiliza,yakibadilika huwa chuki yakupitiliza.sio vizuri kupenda sana.ila kasahu kama kunakuacha.watu wengi huwaga nasahau,kujibu ndio au hapana.zaidi katika mahusiyano.😢
@FredrickMatiku-xf2uk
@FredrickMatiku-xf2uk 17 сағат бұрын
Aya wadadaaaaa wanaopenda wapopo wanijeria mnadanga kazi mnayoooo
@RehemaJustine-co2kp
@RehemaJustine-co2kp 7 сағат бұрын
😂😂😂😂 wajiandae kukatwa vipande vya supu!
@EmmanuelChrispin-bo5xh
@EmmanuelChrispin-bo5xh 23 сағат бұрын
Hawa waimbanji wanyimboza injiliniwahuni sana tena kama miminibaki napenda nyimbozao tu
@EmmyNamoyo
@EmmyNamoyo Күн бұрын
😔 am speechless 🙊
@MwanajumaShaban-z2x
@MwanajumaShaban-z2x 21 сағат бұрын
Duuuuuh😢😢😢😢
@Zuuh107
@Zuuh107 Күн бұрын
𝐇𝐚𝐩𝐨 𝐚𝐭𝐚𝐬𝐢𝐧𝐠𝐢𝐳𝐢𝐚 𝐬𝐡𝐞𝐭𝐚𝐧𝐢 𝐮𝐩𝐞𝐧𝐝𝐨 𝐰𝐚 𝐚𝐣𝐞 𝐬𝐚𝐬𝐚 😢😢😢😢😢
@SaidSalehe-z3p
@SaidSalehe-z3p 15 сағат бұрын
Duuh mwamba hana mana kabisa
@HalimaGalgalo-d1g
@HalimaGalgalo-d1g Күн бұрын
Jamani dunia tunaenda wapi
@halamascat2816
@halamascat2816 23 сағат бұрын
Hatari kweli nayeye awawe
@abuumohamed7090
@abuumohamed7090 18 сағат бұрын
Wamuachie huru,jamaa yuko sahihi
@RichardBundala-q7b
@RichardBundala-q7b Күн бұрын
Goods news 🎉🎉🎉🎉
@MegaNasri-bv7tc
@MegaNasri-bv7tc 57 минут бұрын
😢😢😢😢😢
@HappyShirima-k9t
@HappyShirima-k9t 20 сағат бұрын
Meme nilipigwaga na mpenz wangu ambae ni mwanajeshi na mkanda wake mpaka ukakatika kisa tu kufunania tu sms mkaka kaniita mpenz mpaka Leo sina hamuu ya mapenz Yani 😅
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 17 сағат бұрын
🤣🤣🤣kwa nini akuite mpenzi
@Sarah-e1o9k
@Sarah-e1o9k Күн бұрын
Seriously 😢😢😢
@abdallahallysaid5727
@abdallahallysaid5727 17 сағат бұрын
Huwezi jua kafsnyiwa nn
@khurlainashly5686
@khurlainashly5686 Күн бұрын
Mapenzi 💔
@EdithaEditha-z3s
@EdithaEditha-z3s Күн бұрын
Duh kumbe mapenzi napita
@IshimweDangote-ib4lc
@IshimweDangote-ib4lc 4 сағат бұрын
😢😮😮😢
@vibetz9991
@vibetz9991 17 сағат бұрын
Good
@daprince7545
@daprince7545 Күн бұрын
Binadamu wamekua na roho za kinyama imekua jambo la kawaida kutoa uhai wa binadamu.
@mwajumakweli
@mwajumakweli Күн бұрын
Hi tahalifa nilikuwa na ungoja kwako tu nilikuwa na iyona uko ina elea elea nilijuwa waongo
@SalmaAthuman-hp3en
@SalmaAthuman-hp3en Күн бұрын
Imagine anamkata vipande alitaka kumla soup ila kuna wanaume wana roho za kushetan aisee wivu kwenye mapenzi ni kawaida lakini usimpende mtu kupitiliza sabsbu madhara yake ni makubwa na ukiona anakusalit ondoka mapema kabla halijakukuta jambo
@NikrahAyubu
@NikrahAyubu Күн бұрын
😂😂😂😂😂sup
@mycmeranyswai7957
@mycmeranyswai7957 19 сағат бұрын
MAPENZI YANAUMA MNOO
@linnerphilip4260
@linnerphilip4260 23 сағат бұрын
Wqimbaaaji wa injil 😂😂😂 khaaa
@vero57
@vero57 Күн бұрын
Congo ina muhusu huyo baba
@doreenfredrick7
@doreenfredrick7 Күн бұрын
😢🥺
@Caltexjr
@Caltexjr Күн бұрын
Mmh hii mbona ni hatari
@AggyRaymond
@AggyRaymond Күн бұрын
Asant kwa taarif sns
@virendavictoria5174
@virendavictoria5174 Күн бұрын
Lazima kuna kitu alifanyiwa katk ukuaji wake mpk kuwa mkatili kiasi hicho au kuna sababu nyingine zaidi maana huo uuaji sio tu wa wivu wa mapenzi
@mfaumejames7344
@mfaumejames7344 Күн бұрын
Omba yasikukute ndug moyo
@lisawilliam2491
@lisawilliam2491 Күн бұрын
dah ! 🙆🏻‍♀️🙆🏻‍♀️🙆🏻‍♀️
@halamascat2816
@halamascat2816 23 сағат бұрын
Lu hatari inatisha
@abdallahkhalfan3966
@abdallahkhalfan3966 Күн бұрын
Bwege nn nyonga na yy coz mademu wamejaa kama hataki achana nae tafuta demu mwengine yy muwache aende na maisha yake sasa kumuuwa faida ipo wapi jinga kabisa
@GeorgeChitemo-kt8sw
@GeorgeChitemo-kt8sw Күн бұрын
Haija kukuta
@ajunavany7476
@ajunavany7476 Күн бұрын
Mm naomba kuuliza hivi huwa ni kukata kichwa au kukata shingo
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Күн бұрын
Kukat kichwa
@CROWNMEDIAKE
@CROWNMEDIAKE Күн бұрын
Vile inafaass prd of you broo
@kelvinsauveur6264
@kelvinsauveur6264 Күн бұрын
Girlfriend ata akiwa wife mutoto wamwenzako sunacana nawe kama amekusaliti. She is not your property. Mpaka uwuwe. Ukitakaliwa acika . Sikwanguvu. Mapenzi sikubemelezana awo kuuwana.crazy
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 Күн бұрын
Hicho ni Kiswahili cha wapi?
@paulinewangila-cs6ys
@paulinewangila-cs6ys Күн бұрын
Kiswahili hujuwi hata kuandika pia 😅
@Thekidp3702
@Thekidp3702 18 сағат бұрын
😂😂😂 Nimejikuta nacheka tu na comment yako .
@paulinewangila-cs6ys
@paulinewangila-cs6ys 16 сағат бұрын
@@Thekidp3702 😊
@MaurusMpinga
@MaurusMpinga Күн бұрын
Angekua kongo angefurai
@marthageorge5043
@marthageorge5043 Күн бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭
@ClassicUsed-jg6ri
@ClassicUsed-jg6ri 22 сағат бұрын
WAKENYA NI WAPUMBAVU
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 Күн бұрын
Eti umuuwe mtu kisa amekusaliti.wewe ndio ulimzaa?wanawake woote hao unawaza kuuwa?
@agapemunyi2095
@agapemunyi2095 Күн бұрын
Tatizo kapoteza vingapi ,muda kiasi kwa kuaminishwa yupo peke yake mkishakula vya watu huwa mnawaza kuondoka kwenda kuanza maisha mapya kwa wengine ila unaemuacha atajua mwenyewe mkisahau wengine sio rahisi kukubal
@abdulrazack9577
@abdulrazack9577 6 сағат бұрын
Fear human
@zomasamweli
@zomasamweli Күн бұрын
Jinai ya tox fuvu imehisika hapa
@wadantz123
@wadantz123 Күн бұрын
😂😂😂😂wenzetu kwa kuua wako vzr 😂😂😂
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n Күн бұрын
Wametuzid kwa kwel😢
@wadantz123
@wadantz123 Күн бұрын
@LindaMbilinyi-n3n awataki mchezo kuua kama kuchinja kuku
@paulinewangila-cs6ys
@paulinewangila-cs6ys Күн бұрын
Acha kujifaraji hapa tz yapo pia yule jamaa anajiita kijana mdogo pesa nyingi na kurushia kuku mbwa mtoto wake....hapa tz
@wadantz123
@wadantz123 Күн бұрын
@paulinewangila-cs6ys leta ushahid kama aliua mty acha wivu bint pambana na ww uzioneshe
@LeonceMagida-c6s
@LeonceMagida-c6s Күн бұрын
Hii ni story ya 2 kusikia hawa watu wa cryptocurrence wanafanya ukatili kama huu kuna nin behind ya hiz sarafu za kidijital
@wennybarny168
@wennybarny168 23 сағат бұрын
Jamani mimi mbona siyajui hayo mapenzi Hivi kweli unampenda mtu, unakuwa na wivu Mbona sielewi hiyo bodmus ya mlinganyo ikoje Anyways, mimi ni mshamba wa mapenzi kwakweli
@SemeniModo
@SemeniModo Күн бұрын
Hahaha😂😂
@dianemunezero9705
@dianemunezero9705 Күн бұрын
Kamtowa kafara ,😢wivu gani uwo wa kijinga....😢
@mfaumejames7344
@mfaumejames7344 Күн бұрын
Sikia dada tu ya msituchukulie poa wanaum tunapitia wakati mgumu ndiy maan nyie neno tuachan mlichukulia poa
Waislamu wasiosali wala kufunga Senegal
4:52
BBC News Swahili
Рет қаралды 14 М.
Alikiba - Waambieni (Official Audio)
4:33
Alikiba
Рет қаралды 10 М.
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН
DUNIA (Ep 41)
22:18
ASMA FILMS
Рет қаралды 34 М.
Machiavelli's Dark but HONEST Advice to GOOD People: The Art of POWER
14:57
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН