Pamoja sana ndugu zangu wana sns simulizi na sauti ❤❤❤
@abdallahkilima15843 күн бұрын
Am the first one to comment today wahala mpo vzuri guys
@moseskulola69133 күн бұрын
Pamonja Sana ❤❤
@AFRICA_D6693 күн бұрын
Kitendo cha marekani kuongozwa na Donald Trump, mtu anaye egamia maslahi ya matajiri tu wa marekani wala sio nje nataifa mengine yenye nguvu yataanza kuzisusia nchi nyingi ambazo zilikuwa zikitegemea msada kutoka uraya haswa marekani German na france watakuwa mstar wa mbele, piga kazi mzee wa kiajemi AYATOLLAH ALLY KHAMENEI
@suleimanh18263 күн бұрын
Usiseme Uraya sema Ulaya
@BonnyMwajombe-iu7hb3 күн бұрын
@@suleimanh1826 msamehe tatizo shule , kaiunganisha marekani ktk nchi za ulaya 😂
@HawaBakari-u6q3 күн бұрын
Ambacho hamjaelewa hapo n nn had mnakaza fuvu mnakuwa kama mashoga watoto wa kiume😂😂
@annasolomon98553 күн бұрын
@@suleimanh1826huyu Huwa hajui kuandika anachapiaga Kila kukicha alafu Huwa anakiona mjuaji😂😂
@lakasid38602 күн бұрын
@@HawaBakari-u6q tulieni wa Israel wawapelekee moto nanyie waarabu Koko wa kishumundu tunaona mnasapoti ndugu zenu Hezbollah 😂
@YussufMohd-fc1dj3 күн бұрын
Xhukrn my brother Good job
@hassangaddafi23473 күн бұрын
Good work wamkuu❤🌹 Putin baba lao❤❤🌹🌹 🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇰🇪🇰🇪💪💪
@muhammadmpahi3383 күн бұрын
Kwa hapo tunaamini kuwa Israeli ni jimbo la marekani lililopo mashariki ya kati
@ahmedmishamo89972 күн бұрын
Precious conversation
@MATIKO96403 күн бұрын
Wakimkamata netanyahu na putin mniite mbwa, nipo pale nimekaa
@AlbertKassa-l4b3 күн бұрын
Huwezi kusonga mbele wakati kila mahali Hizibulah wamechimba mahandaki
@OnesmoEphrata3 күн бұрын
Wasipo Songa mbele wata Songa nyuma 😁😁
@Faizali-x9Күн бұрын
Dj sma vip GPS ina muda muingi sasa mupunguze muda kido atiwezi kusikiza Au mutume kidogo kidogo??
@IssaSibye-gc7gmКүн бұрын
Jamani msikilize huyu Mtani wangu maana Kiswahili kwake ni mama mkweli!! Ww Murisya njoo Musoma ule nyamachoma ugali wa mtama kwa kichuri😅😅
@MathiasMogoswa3 күн бұрын
hao uingereza wanafiki ata hawawezi mkamata netanyahu ni uongo Wanasema tuu ila reality something impossible
@AwardHakimu3 күн бұрын
Jamaa wanafki Hawa yaani wanampa silaha alafu eti watamkamata wakuda TU hao
@SaumuSaidi-z2v3 күн бұрын
Wajatibu waone kabla hawajamkamata wao ndo watakamatwa
@MikelSitoe3 күн бұрын
Waliuwa viongozi wote wa Hezbollah, na Bado hawaja fanikisha Lengo lolote😂😂😂😂😂
@AwardHakimu3 күн бұрын
@@MikelSitoe kuua viongozi wote ni miongoni mwa malengo yao na ni mafanikio pia
@annasolomon98553 күн бұрын
@@MikelSitoekuua viongozi sio kazi rahisi acha kujifariji we Nyau hebu jaribu wew.. alafu unakuta mwingine kafichwa nchi ya watu lakini anafuatwa na kuuliwa hukohuko 😊😊 pole ndugu
@mangashajunior2423 күн бұрын
Shame on uk....
@OnesmoEphrata3 күн бұрын
Hatari nime itizama hiyo crave maga ni 🔥
@festojohn92383 күн бұрын
Naona mnavyotete MAGAIDI wa Hizbolla, ila tutawanyoosha wote tu
@hazygardmericho95713 күн бұрын
sma anawajaza hesbollah na wafuasi wake.. UKWELI NI KUA ISRAEL IPO VIZURI HADI MAJESHI YA ARDHINI NDIO MAANA HATA HESBOLLAH NA HAMAS HAWAENDI DIRECT KWENYE GROUND
@timothybanda32193 күн бұрын
ICC wapuuzi wanasema it's not easy kuwaprocecute western leaders ila ilikua easy kuwapeleka Uhuru na Ruto,ikawa easy kwa Charles Taylor,easy kwa Milosevic. Nafikiri nchi wanachama wa ICC wawe wakali kwa kutaka haki itendeke kwa wote,km inashindikana basi watishie kujitoa
@OnesmoEphrata3 күн бұрын
Habari za Russian kwani Kume changamka kidogo
@kalekela-j1e3 күн бұрын
Watamkamata wampumzishe sehemu ya raha na furaha akinywa kahawa
@MichaelJohn-k6z3 күн бұрын
😂et wamkamate Kwa kosa ngani et wakati waliyatafuta wenyewe,hiv anaeanza na anayemaliza Nan mwenye makosa😂😂
@salumabdallah29903 күн бұрын
Watoto wana hatia gani?
@SyedPopo3 күн бұрын
@@salumabdallah2990hujui kama watu 44000 wanotajwa hapo niwatoto nawanawake nawatu wazima ambao niraia kama wewe?
@AmbreenNaufal2 күн бұрын
HIV mpk saiv hujui kweli nani mwenye makosa na muanzilishaji ni nani au udini unakusumbuwa
@ramadhanchenga4606Күн бұрын
@@salumabdallah2990 kwani wenyewe awakua watoto
@djafro87293 күн бұрын
Usiku Jana saa saba nilikuwa nakumbuka sma alituaminisha Hezbollah itaipiga Israel lakini mambo ni tofauti
@mudighurayra3 күн бұрын
Sio ata ipiga alisema watapigana na Israel itaonja joto la vita na kweli now tunaona Israel inaonja joto la vita
@19ddr3 күн бұрын
Mbona Israel anapigwa sana sema unafuatilia media za magharibi ndo maana huna taarifa😂😂
@karimmunis83023 күн бұрын
Wanaita INTIFADA
@abdullahmapesa3 күн бұрын
Daaah jamani SNS channel ya telegram imelala sana kweli duuuh
@nassoroshakiru70942 күн бұрын
Saaana yan
@HusseinSaguti-sj9nh2 күн бұрын
Hilo jesh la lebanon hovyo sn acha wapgwe
@NeemaGumbo-k5n2 күн бұрын
Alimasubiiiiii nakukubali baba😂😂😂😂😂😂
@JahseinOnfroy-l7p3 күн бұрын
Dj smaa kavu sana eti kulabwa ujue huyu mzaram 😅😅😅
@raphaelkessy73603 күн бұрын
🔥Ina maana hamjui kama Slobadan Milosovik🔥 pamoja na Milovan Karajik wali🔥😢 pelekwa ICC
@NardhisMhagama-sy3eq3 күн бұрын
Hata putini walisema akatwe wameshindwa
@SalminDad-t8v3 күн бұрын
Ww daud wacha ushoga. Israil ni mkimbiz amevamia ardh ya falestn km laana unatoa ww peleka kwenu wacha chuki zakike
@babilytv95723 күн бұрын
hahaha alafu wapalestina wamejenga vizuri makaburi ya waizraeli kina DAUD Na Ibrahimu na wengine alafu wanasema wamevamiwa na waizraeli kwenye eneo lao... nani kavamia hapo?
@annasolomon98553 күн бұрын
@@babilytv9572😅😅😅😅 Patamu hapo😊
@ce-083 күн бұрын
😅😅 km hvyo bas wamasai warud Ethiopia
@babilytv95723 күн бұрын
mpo vizuri ila huyo mvchambuzi wa kwanza muongo... hajaiva kwenye ufuatiliaji wa mambo, akasome tena vita vinavyoendelea... Asitoe uchambuzi kama wa mpira... PILI: Ningeomba hawa jamaa wachambue kama alivyofanya mwanasheria.... wasijing'ate na maneno ya ushabiki na uongo... waende kwenye uhalisia na sio kujazia propaganda zisizo za kweli
@lukundoGrace3 күн бұрын
Chuki bi chuki😂😂
@KASSIMMHILU-oh5ch3 күн бұрын
Jitaidin Sana kutokutumia neno so far MARA kwa mara
@abdulrazack95772 күн бұрын
Kuna madhara gani wakitumia
@africanQueeny-u7o3 күн бұрын
Tasisi ndy nn sema magaid 😅😅 chama gan kina jeshi hezbrah imekuja pale kwa ajili ya Israel ila mtapigwa mpk mpigike pimbi nyinyi
@Linsha1993-hw9kl3 күн бұрын
Wewe ndo mdini zaidi wa kiristo wezako wanavunjiwa makanisa ww kwa ujinga wako unaona wayahudi au uzauni ni wakiristo MPUUZI WW
@hamisisalum61163 күн бұрын
Wewe ni mpumbavu tu
@annasolomon98553 күн бұрын
@@Linsha1993-hw9klasiejua Wayahudi wanadini yao ya kiyahudi Nani? Japo wapo wakristo pia.. nasema hivi tupo na Israel hata kama ni wapagani 😅😅
@theonedjbonny39522 күн бұрын
Siku ewewi hizi vita watu wapigane alafu wasife kivipi
@imranfundi67613 күн бұрын
Na sasa kuna habari kwamba inran 🇮🇷 ataishambulia Israeli mda wowote
@RichardMwaja2 күн бұрын
Hv nchi kam Lebanon tunasem hawana mifumo y ulinzi wa anga. Je nchi zetu Afrika masharik km Tz tunayo mifumo y anga y kujilinda au tunaishi kwa neema tu?
@FredWabwire-w3q3 күн бұрын
Nimewasikiliza vizuri ,ila waanzena Putin kwanza ndiowakujiye Netanyahu.
@paschalcharles36173 күн бұрын
Putin amefanya Nini? Yaani wema na uungwana wa Putin kuwachukua watoto wa Ukraine na kuwahamisha mpaka NCHINI kwake URUSI eti ndo imekua KOSA 🤷🏻? Kaka fuatilia vizuri ujue Putin anashatakiwa Kwa kitu Gani
@hamisisalum61163 күн бұрын
Putin kwa kosa gani?
@annasolomon98553 күн бұрын
@@paschalcharles3617nyooooko😅😅
@KassimuMohammedi-h2g3 күн бұрын
Bila ya Malekani Islail awawezi kipigana na isbullah
@19ddr3 күн бұрын
Sema hamtangazi mashambulio yanayowakuta Israel. Wanachezea kipigo cha mbwa koko kila siku
@raphaelkessy73603 күн бұрын
Subiri uone mwisho kama nikweli Esraeli ina pigwa😂
@19ddr2 күн бұрын
Hhhhhh 🤣🤣😂 ukija kwny fact za kivita Israel wanapigwa ardhini wanacho jua wao ni kupita na chopa na kuua raia tu, asa tangu lini mashoga wakawa wakakamavu
@ramadhanchenga4606Күн бұрын
@@19ddrmashoga ni waraabu kila vita Israeli na mataifa ya kiarabu lazima ishinde
@19ddrКүн бұрын
@ramadhanchenga4606 😂😂😂🤣we leta ushabiki tu ila Israel ndo taifa lenye mashoga wengi kama unabisha google
@AmosOmary-s7w3 күн бұрын
Mimi binafsi nimkristo lakin israel siwapendi ata kidgo nasiamini kama nitaifa teule la mungu kama tunavyo aminishwa kwenye biblia binafsi ninachuki dhidi ya wayahudi
@hanifa91533 күн бұрын
Ni huzuni kubwa mwaka huu nimeumia sana kuona watoto wakiangamia mchana kweupe sitasahau💔😭😭😭😭😭
@ce-083 күн бұрын
Amos Omary hakuna Omary mlokole😂😂
@tawfiqfarajimrisho24343 күн бұрын
Shikilia hapo hapo maana ukweli ni kwamba hata islael wanachuki sana na wakristo sio waislamu pekee mfano Gaza hata makanisa mengi na wakristo walilengwa kwa makusudi
@ce-083 күн бұрын
@tawfiqfarajimrisho2434 😂😂 unatafuta support
@DatiusExavely3 күн бұрын
Kama ni Mkristo wa jina na usomi Biblia unasomewa lazima uwachukie Israel na nchi zozote zilichukuliwa mateka Israel walikuwa wanawachukia kwa sababu hizo ambazo unaziona kwamba Israel inafanya unyama .Wakati wanatoka Misri Mungu aliwaambia hua hata mtoto msiache je Israel hii imekwisha fikia hatua hiyo .Mungu anaonyesha jinsi alivyo mkali na ndivyo atavyowahukumu watu aio waumba kwa kutotii Neno lake na kuwatupa Jehanam pasipo uruma..Mungu angalii mawazo mazuri mwanadamu aliyo nayo anaangalia Neno lake.
@omondiowino78753 күн бұрын
Swala la kumkamata Netanyahu Hilo haliwezekani kivyovyote...na kama kuna yeyote anayeweza kumkamata basi ajaribu kumgusa....UK hao wapambane na Putin huko... kuhusu Hezbollah ni bora watu wa Lebanon wahame Beirut kisha Israel iangushe Nuclear huko ...
@BarazalaMjiChakePemba3 күн бұрын
unaota mchana kijana
@Abdul-latifJuma-nr6hf3 күн бұрын
Unahomaww
@omondiowino78753 күн бұрын
@BarazalaMjiChakePemba Hezbollah hawana uwezo wa kuzuia makombora ya Israel...
@omondiowino78753 күн бұрын
@Abdul-latifJuma-nr6hf tatizo kubwa Lebanon ni Kuwa Israel inapigana na magaidi ambao hata military base hawana..hao wanatumia majengo ya watu sasa hata wakishambuliwa wanakufa na watu wengine...
@JeanMalilo3 күн бұрын
😂😂😂😂😂 israel baba Lao
@PapaaMasauti-q7o3 күн бұрын
Iko wapi irondom iliyo Siwa
@HusseinHassan-p7g3 күн бұрын
Israel vita yao niyaovyo wanapiga makazi yawatu nakuuwa raia tu kwahali hi uwezi kusema israel inauwezo wakivita wakati wanauwa raia nakubomoa makazi yawatu
@henrymatebe3 күн бұрын
Kwani hamasi walipokuja Israel walipiga nini? Si walipiga raia wanafanya hivyo una taka kulia tulia unyolewe
@KhalidiBoaz3 күн бұрын
Hivi kama wewe ungekuwa Israel ungeshambuliaje,wakati, wanamgambo wanajificha nyuma ya Raiya??
@annasolomon98553 күн бұрын
Unajua wanafanya hivo kwa Sababu gani😅😅.. gaidi siku zote anajificha kwa raia Kuna wengine wanaogeuka kuwa wafanya kazi kwenye taasisi mbali mbali iliwasionekane.. et gaidi anakuwa dokta!😅 Mara unavaa hijabu Ili usionekane.. mara wengine wanalazwa kama wagonjwa 😅😅 Sasa myahudi ni mjanja kuliko unavyofikiri 😅 piga wote lisibaki hata jiwe Moja likisalia juu ya jiwe jingine..
@BUGAZANZIBAR3 күн бұрын
Tunaomba mutuambie wanajesh wangap walio fariki
@sabrabeka19753 күн бұрын
300
@ce-083 күн бұрын
😂😂 UK😂😂
@MikelSitoe3 күн бұрын
nyie nsijidanganye Hezbollah hawezi kusalendi kwa israel
@SyedPopo3 күн бұрын
Kama hutaki kudanganywa siufuate chanel zenye ukweli unaoutaka? Hii tuachie sisi tuliokubali kudanganywa.
@emmanuelShayo-dk6vf2 күн бұрын
Israel strikes Beirut after Hezbollah fires 250 rockets into Israel
ESMA UKITOA UCHAMBUZI MTU MWENYE ELIMU FLANI NDIO ANAKULELEWA VIZURI SISI TUSIOSOMA TUNAFWATIZIA NA KUSIKILIZA CHANAL YATU NI BULE TU UNAONGEA KWA WALIOSOMA SANA 😂😂😂
@JewsJews-c8w3 күн бұрын
Mje mchambue kuhusu inchi yetu, mabaya na mazuri bila kua na upendeleo
@PAULNYANDILE3 күн бұрын
sasa wewe mwenyewe unajiita Jews unaanzaje kuwa mzalendo
@ce-083 күн бұрын
@@PAULNYANDILE mbona wewe unajiita Paul si ungejiita masumbuko au faraja😂
@Daudimakaza-s1v3 күн бұрын
Nchi yoyote itakayoiletea shida Israel italanika
@Awatee3 күн бұрын
Kama ulivo laanika weye😂😂😂kalale iyo Gongo ikutoke
@hamadsheni89973 күн бұрын
Mwenda wazimu wewe.kanye ulale.
@bashirksabu35403 күн бұрын
Eeh kabisa ukiipiga Israel unalanika Israeli ni nchi ya mashoga na mungu anawapenda mashoga. Mungu hakuachi lazima akulani.
@lakasid38602 күн бұрын
@@bashirksabu3540 kivipi Israel ni nchi ya mashoga?
@africanQueeny-u7o3 күн бұрын
😂😂😂😂😂 Dj uchambuz uwez achana nao kabisa Yan udini mwing sana unakuponza labd wazee wa madrasa ndy watakubali
Lengo lakupiga bairuut nikuwagombanisha hizbullah naraiya wa Lebanon na jeshikake ili watu waandanane kupinga hizbullah
@omondiowino78753 күн бұрын
@@Abdul-latifJuma-nr6hf Hezbollah wako Beirut pia ... angalia wakati zile pagers zilikuwa zinalipuka .. nyingi zilikuwa central Beirut na hao ni Hezbollah..
@hamisisalum61163 күн бұрын
@omondiowino7875 Jeshi la kishoga la kiyahudi limefeli misheni zake zote, linataka huruma ya raia sasa
@omondiowino78753 күн бұрын
@@hamisisalum6116 limefeli wakati makamanda na viongozi wote wa Hezbollah wako kuzimu tayari 😂😂🤣🤣
@hamisisalum61162 күн бұрын
@@omondiowino7875 Kufa kwa viongozi hakuzuii kuendelea kwa mapambano, kwani tangu viongozi wale walipouawa vuta imeisha au inaendelea? Ndo maana nasema wewe huna akili, sasa hivi Israel ndiyo inapihwa vibaya kuliko ilivyokuwa kabla ya kuuawa kwa wale viongozi. Kifupi wewe unajiendea tu hujui hata kupambanua mambo kwa uhalisia wake.
@Kuminamoja19953 күн бұрын
Propaganda
@exodusezekielkaitira62383 күн бұрын
Iran mfadhili mkuu wa hezbolah na hamas, imekaa kando inawapa wao silaha wapigane na israel, wananchi wa gaza na lebanon wanalia na maisha magum na vifo vya ndugu na familia zao huku iran ikiendeleza maisha kando kabisa bila shida. Viongozi wa lebanon na palestine watumie akili aisee
@HawaBakari-u6q3 күн бұрын
Kwan ukraine inavyopigwa na urus si inasapotiwa na marekan na inch za ulaya Hali ya kuwa wao wametulia wanakula maisha huku mwenzao anakandwa au hiyo pia huoni choko ww
@exodusezekielkaitira62383 күн бұрын
@@HawaBakari-u6q mi nimetoa mtazamo wangu kwenye mada iliyoongelewa ya israel na palestine sijakualika utoe maoni kwenye comment yangu choko ni wewe na familia yako
@shafiismaily92233 күн бұрын
Israel pia analia maisha yamekuwa magumu!?
@ce-083 күн бұрын
@@HawaBakari-u6q huwezi kufananisha Ukraine vs Russia na Israel vs Hezbollah coz Ukraine anapambania nchi yake dhidi ya adui lakin Hezbollah hapambanii kitu chake chochote ila ni agent ayetumiwa kwa maslah ya mtu mwingine
@ramadhanchenga4606Күн бұрын
@@HawaBakari-u6qsasa ww unatoa maoni yako unaita unaita mwenzako choko umelelewa vibaya matusi hayana maana ni utoto na ujinga