TRUMP alaani shambulio la Hezbollah na kusisitiza kuitambua Golan Heights kama eneo la ISRAEL

  Рет қаралды 14,645

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 120
@JamalKanani
@JamalKanani 2 ай бұрын
Laana ya Allah imfikie alipo bora angekufa kuliko kunyofolewa sikio
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 2 ай бұрын
Leo nimeamini kama Rais wa marekani ni devils 😈
@diyembarak5506
@diyembarak5506 2 ай бұрын
Kwani wajuwa leo wewe 😂
@anordgerison8639
@anordgerison8639 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@BonfaceWawire-k6p
@BonfaceWawire-k6p 2 ай бұрын
waah ndio unajua xaxa huyo ni xetani
@yassirsalmin5333
@yassirsalmin5333 2 ай бұрын
Wote ndio wale wale kumbe da 😮
@FahmiNassor
@FahmiNassor 2 ай бұрын
Hakuna RAIS yoyote wa marekani ambae hatosimama na Israel wote ndio wale wale
@yahayaannu3663
@yahayaannu3663 2 ай бұрын
Wagombea wote wa urais USA wanadhaminiwa na shirika la Wayahudi/Wazayuni wenye mapesa mengi na wanamiliki asilimia kubw ya uchumi wa Marekani linaitwa AIPAC kwhyo Rais yeyote hawezi kuenda kinyume na matakwa ya Israel na ndomaan wana jeuri
@djmaxbeatztz
@djmaxbeatztz 2 ай бұрын
😅 Trump ni myahudi kabisa,wamarekani wengi matajiri ni wayahud
@mussaisaac
@mussaisaac 2 ай бұрын
Trump anasauti ya kimamlaka Mungu ibariki ISRAEL
@TheMaquiN
@TheMaquiN 2 ай бұрын
😂😂, hyo miemko hyo
@maroahkissiry4863
@maroahkissiry4863 2 ай бұрын
Viva Trump👊👊
@mussaisaac
@mussaisaac 2 ай бұрын
Trump ndio Rais ajae wa USA 🇺🇸
@hadijaossi7821
@hadijaossi7821 2 ай бұрын
HUYU ILE RISASI BORA I VEMPATA TUU AKAFILIA MBALINI KAFIR MKUBWA MUUWAJI WW NA MBAGJZ WA WAAFRIKA KUKU WEWEEEE
@SaraphinaKidoti-qe7gi
@SaraphinaKidoti-qe7gi 2 ай бұрын
Anataka sapot umbwa uyo
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 2 ай бұрын
Mbona haulaani Israeli kuwaua wanawake na watoto
@tekashisixtynin9threewithd727
@tekashisixtynin9threewithd727 2 ай бұрын
Mbn na ww ulaani zile kombora 500.. walizorusha HAMAS na yale 300 mengine yaliyorushwa na hao hao yangedondoka chini ungefurahi ona vifo vya watoto na watu wengine bcz sababu ISRAEL ikachukua sheria kali na ni muhimu sababu hata …..
@tekashisixtynin9threewithd727
@tekashisixtynin9threewithd727 2 ай бұрын
Hawakuambia wanarusha makombora walishtukia lakin baati ya MUNGU wakayazuia yote na hao HAMAS wazuie hayo 😂😂😂😂
@hamicpina1151
@hamicpina1151 2 ай бұрын
Jamaaa uyu x mkubali anapenda mauwaji gaza
@Yotekwayangagood5610
@Yotekwayangagood5610 2 ай бұрын
Huyu tramp akipewa urais vita atavinunua yeye
@allahisone6386
@allahisone6386 2 ай бұрын
KISHA???
@themoredwamichano8636
@themoredwamichano8636 2 ай бұрын
Huyu ndyo Balaa kumbe jamaa unafuatilia sana anapenda vita sana huyu nouma
@emanuelgavile3503
@emanuelgavile3503 2 ай бұрын
Saaa 3 asbuhi
@Zuhuranadadoita
@Zuhuranadadoita 2 ай бұрын
Huyu alisema anawapenda Israel so hakuna kitu wote ni sawa
@BonfaceWawire-k6p
@BonfaceWawire-k6p 2 ай бұрын
​@@themoredwamichano8636😂😂😂😂
@KikiSalum
@KikiSalum 2 ай бұрын
Nilikua nampnd lakin sitk hat kumsikia mbwa huju
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 2 ай бұрын
Shida yenu mko kihisia zaidi. Ila kihistoria Trump anaiunga mkono zaidi Israel kuliko Biden
@Anthonyzombie-d2s
@Anthonyzombie-d2s 2 ай бұрын
We humtk kwan yey anakutak,shobo zako ndo zinakuponza
@kiuje
@kiuje 2 ай бұрын
waislam mwarabu kuwauza kote kule Bado tuu mnajihisi nanyi warabu Mimi ndio maana nimelud kwenye asili
@ShekhMufyd-mn9zn
@ShekhMufyd-mn9zn 2 ай бұрын
@@kiuje wew acha upumbavu asili ndio nini rudi ktk dini yako Vita vinavyotokea mashariki ya Kati vilishatabiriwa kitambo
@emmadora7848
@emmadora7848 2 ай бұрын
​@@rumdeesonsoa1811na ana maamuzi magumu sana hata Netanyahu arudi nyuma
@salimomar-n7s
@salimomar-n7s 2 ай бұрын
Wote hwa ni vibaraka wa israel hakuna raisi wa mmaryakni atakae tetea mpalestina
@nelsonmrutu371
@nelsonmrutu371 2 ай бұрын
👏👏
@WadySaidi
@WadySaidi 2 ай бұрын
Mpumbavu yeye trump
@ManzabaySalim
@ManzabaySalim 2 ай бұрын
Huyu ni LBQT
@tekashisixtynin9threewithd727
@tekashisixtynin9threewithd727 2 ай бұрын
Umejuaje ni LBQT kama ww sio sababu mchawi anamjia mchawi mwenzake 😂😂😂
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche 2 ай бұрын
​@@tekashisixtynin9threewithd727sela zao moja na wao ndo wazamini
@alisalimo2861
@alisalimo2861 2 ай бұрын
elfu aruban na kumi wapi wengi ama kweli hawajamaaa
@ZainabuBakari-yb4vj
@ZainabuBakari-yb4vj 2 ай бұрын
Mwehu
@djmaxbeatztz
@djmaxbeatztz 2 ай бұрын
Huyu ndo rais aliyechaguliwa kwaajili 3rd WW
@AdenYussuf-x5u
@AdenYussuf-x5u 2 ай бұрын
We support trump because pride becomes fall
@AbubakaryManeno-re1jq
@AbubakaryManeno-re1jq 2 ай бұрын
@StrongbowArrow2004
@StrongbowArrow2004 2 ай бұрын
Hivi kwanini ile risasi ilirenga sikio badala ya uchogo 🤦 Slap your buttock 😏fyutuuu. 🤗bata wahedi #temporaryPost
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 2 ай бұрын
Ile ilikuwa km msg tu safari hii atapigiwa simu kabisa ataamuwa yeye apoke simu aw akate
@StrongbowArrow2004
@StrongbowArrow2004 2 ай бұрын
@@alzawahirabdallah2299 😆😆😆🤣🤣🤣🫵
@romanamassawe814
@romanamassawe814 2 ай бұрын
Hivi jwtz ikikupiga wewe risasi ya makalio utaweza kunya ?
@StrongbowArrow2004
@StrongbowArrow2004 2 ай бұрын
@@romanamassawe814 Yani wewe unajina la baba angu na la mkwe wangu, lakini D mbili huna ..umefelia wapi Bob 🤣🤣🤣
@emmadora7848
@emmadora7848 2 ай бұрын
Ndo ujue wewe sio Mungu😂
@SaraphinaKidoti-qe7gi
@SaraphinaKidoti-qe7gi 2 ай бұрын
Bola wangeliuwa ty 😮😮
@juliuskitomari3057
@juliuskitomari3057 2 ай бұрын
Kwanza mjue kuwa Trump ndiye mshirika wa Israel kuliko Biden,na ikumbukwe alimwambia Biden kuwa Biden ni kama Mpalestina,ndiyo maana,kauli Ile ilikua kauli tata,na tafsiri yake inaweza kuwa maana kwamba,Biden hajatoa support ya kutosha kuiteketeza Palestina,kwa maana kwamba yeye akiingia atawasaidia kupigana,hatakuwa kama mpalestina. Pili,ifahamike kuwa hakuna rais yetote anayeweza kuingia marekani asiwe mshirika wa Israel,unaona juzi tuu trump mwenyewe amekaa kikao na Netanyau,Je nani anajua walichozungumza? Na huyu mtu Ana kauli tata sana,eti anamlaumu Biden,how?
@kiuje
@kiuje 2 ай бұрын
waafrika wengi sahv wana jitambua uwezi ukamkuta mwafrika asilia anashoboka boka na vitu kama hivi wakati ndugu zetu kongo wanateseka mimi naona hata wakifutana sawa
@Kulwakisansa-zk5yg
@Kulwakisansa-zk5yg 2 ай бұрын
Yule dogo mbona hakulenga vizuri? Iyo vichwa ikasagika?
@hemedjackson2261
@hemedjackson2261 2 ай бұрын
Trump +Biden =America 😂😂😂
@MzeeKigogo_
@MzeeKigogo_ 2 ай бұрын
Trump yupo sahihi
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche 2 ай бұрын
Wamoja awo
@mahmoodmohammed1679
@mahmoodmohammed1679 2 ай бұрын
Golan heights ni eneo la Palestine,linalokaliwa kimabavu na ISRAEL.... international law, international organisations including UN wanatambua Hilo...ndo maana ata media za magharibi wanaliita israel-annexed golan heights ama israel-occupied golan heights....
@Farhah0035
@Farhah0035 2 ай бұрын
Mimi simpendi yoyote Kati Yao maan nakumbuk uyo uyo Trump nay kipndi iko madarakan alisapit saaan habar z kishogo Allah awalaaaan
@Ryannkae
@Ryannkae 2 ай бұрын
you are lying broo kama kunamtu anachukia ujinga huo tena sanaaa ni drump tena wanajuwa akipita tu wanajuwa ata vi cancelled
@emmadora7848
@emmadora7848 2 ай бұрын
Acha uongo ,alikataa kabisa hayo na ,hata Sheria ya kutoa mimba alikataa,
@jimmykurya8554
@jimmykurya8554 2 ай бұрын
Golan heights ni eneo la Israel
@evelynemugeni2369
@evelynemugeni2369 2 ай бұрын
Eneo lenye petrol ilo muzungu ni umoja tu
@lusajomwaipopo5042
@lusajomwaipopo5042 Күн бұрын
Siyo Trump hiyo ni sera ya Amerika kwa Israel
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk 2 ай бұрын
Mashetani wote ndio wale wale usitegemee akishinda atageuza kauli wanajifanya wao ndio kila kitu lkn wanajidanganya hao mayahudi waoua kila siku je au watu wengine hawana haki..Congo kila siku watu wanakufa sababu ni manyang'au lkn mayahudi wakistuliwa kidogo inakuwa wimbo wa taifa hovyo kabisa wewe
@saidkhatib9146
@saidkhatib9146 2 ай бұрын
Hawa ndo wale wale wanafiki wanajuana hatushangai
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 2 ай бұрын
Trump Kashajitangaza wazi wazi alivyo kweli wanadhihilisha kile wssichokua nacho ndani ya mioyo yao laki allaah ana walaani wanaropoka na kuyatoa yale yaliomo ndani ya mioyo yao
@NelsonJackson-z7r
@NelsonJackson-z7r 2 ай бұрын
Trump, angalia San uchaguz kwaili bas ten uraic basi upati
@JamesSichimata-w1u
@JamesSichimata-w1u 2 ай бұрын
Inawezekana watu hamuelewi huyu mwamba lakini msome vitabu vitakatifu ndo mtajua kubusu hili eneo
@yassinhamza1969
@yassinhamza1969 2 ай бұрын
Mataifa yote ni matakatifu msikalilishwe na vitabu vya ukoo hivyo
@zuricakes6817
@zuricakes6817 2 ай бұрын
@@yassinhamza1969 Mtajua Hamjui. Israel ni moja, ile ile ilioandikwa kwenye Quran. Tatizo hamsomi vitabu vya dini, mnasubiri kusimuliwa
@RitbayRitbay
@RitbayRitbay 2 ай бұрын
​@@zuricakes6817kakojoe kalale kesho ule madona yako na mrenda
@yassinhamza1969
@yassinhamza1969 2 ай бұрын
@@zuricakes6817 hivyo vitabu wameandika watu hata Tanzania tungethamin vya kwetu kuna watu wamefanya maajabu makubwa Zaid ya hao manabii weupe
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 2 ай бұрын
Kumbukeni Robert Mugabe Sadam husein mohamed ghadafi wote walishasema jamaa ni hatari kwa dunia wao wapo kwa kupiga pesa tu awajali watu wangapi wanakufa
@inocentlema5574
@inocentlema5574 2 ай бұрын
Naombeni nielewesheni jamani “ kwa nn kila raisi wa marekani anayeingia anasema kuisaidia israel ili hali marekani n taifa kubwa”
@abdulwaheedsheikh8015
@abdulwaheedsheikh8015 2 ай бұрын
Ni suala la kiuchumi Kuna biashara kubwa ya mafuta na silaha... na wanasiaisa wakubwa na matajiri wengi marekani Wana asili ya wa israel.
@djmaxbeatztz
@djmaxbeatztz 2 ай бұрын
Matajiri wengi marekani ni wayahud istoshe Trump mwenyw ni myahudi
@ajsmainde5138
@ajsmainde5138 2 ай бұрын
sema huyu na israel ni dam dam kuliko hata biden.
@MagidaFafa
@MagidaFafa 2 ай бұрын
Ana akili mpumbavu uyu sasa Biden anausiana nanini kwaiyo vita
@MarcellySumaye-bv5lh
@MarcellySumaye-bv5lh 2 ай бұрын
Kwan wew unajua sera za nje ya marekan au shule hujaenda kabisa
@MohammedBwanga
@MohammedBwanga 2 ай бұрын
Ukimya wa commando lkn Rais intelligence duniani VLADMIR PUTIN ,alivyokoswa kuuliwa Trump lkn na kauli km hio ivi hizi km c drama kitu gani?juzi kakoswa kuuliwa,kisa anataka kuleta Amani Alf Leo anaitetea Israel !!! HII NI MIONGONI MWA SABABU YA PUTIN KUPUUZIA DRAMA ZAO HAWA WAJINGA WANAOJIITA INTELLIGENCE
@saidiomar6642
@saidiomar6642 2 ай бұрын
Mbwa ni yuleyule tofauti yao kubweka tu
@jamesmboneko2952
@jamesmboneko2952 2 ай бұрын
Kumbe nae Bwabwa kama Biden 😳😳
@pujimontanapachino4958
@pujimontanapachino4958 2 ай бұрын
Huyu mwamba ndio hata play vita ya 4 ya dunia
@ZayyanaBamuni
@ZayyanaBamuni 2 ай бұрын
Watu 10 wanathamani zaidi ya watu efu 40?😢
@emmadora7848
@emmadora7848 2 ай бұрын
Wote wana thamani
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 2 ай бұрын
kwani nyie mkijua trump ni mwema???
@MohammedBwanga
@MohammedBwanga 2 ай бұрын
Hili taifa karne hii ya teknolojia lkn ujinga mtupu wanatuonesha.
@hidayahidaya-vd3ze
@hidayahidaya-vd3ze 2 ай бұрын
Bora tupewe silaha waislamu tuingiye mzigoni tufe soote Hana faida ya kuishi hawa wakubwa minguruwe ndiyo inayo rejesha nyumba Saudia na kattar na kuwet hebu ifike pahali watuwaamuwe moja wasituendeshe ujinga kwani nawao hao waogopa kufa waliona waislamu wamechachamaa wallahi wataenda sawa na vita vitasimama kwasababukila moja atakupa akiamka Hana Raha paamuliwe waislamu amkeniiiii
@emmadora7848
@emmadora7848 2 ай бұрын
Mpewe na nani? We unaongea tu unafikiri vita vizuri ehee? Tengeneza Yako kaingie vitani
@SamsonKinyua-yr6lz
@SamsonKinyua-yr6lz 2 ай бұрын
Umechelewa ugekua uko gaza
@shannarsaidSwahili
@shannarsaidSwahili 2 ай бұрын
Hata Trump afanyeje atakufa tuu
@emmadora7848
@emmadora7848 2 ай бұрын
Hata wewe utakufa tu
@shannarsaidSwahili
@shannarsaidSwahili 2 ай бұрын
@@emmadora7848 nikukumvushe tuu hata hiyo Israel sio christians,kama hujuwi ni wayahudi
@emmadora7848
@emmadora7848 2 ай бұрын
@@shannarsaidSwahili me siko hapa kuzungumzia dini ya mtu ,ninachokuambia na wewe utakufa tu kama ulivyosema Trump atakufa tu
@emmadora7848
@emmadora7848 2 ай бұрын
@@shannarsaidSwahili na uache tabia ya kuhusianisha Kila kitu na dini
@shannarsaidSwahili
@shannarsaidSwahili 2 ай бұрын
@@emmadora7848 kaa TU kimya maana haya maneno tunayaaelewa sisi
@bongo39
@bongo39 2 ай бұрын
Mashoga wawili wamekutana
@ElijahOwino-xe2cd
@ElijahOwino-xe2cd 2 ай бұрын
Waislamu mlikuwa mwadhani Trump atatetea upuuzi wenyu..? 😂😂 Ngojeeni Trump aingie ndo mtajua kuwa hamna chenu... Nyinyi endeleeni kushabikia Urusi.... Kwanza huyu Biden ni kama alikuwa anawahurumia tu... Trump all the way 🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱❤️❤️❤️
@asmaalghafri449
@asmaalghafri449 2 ай бұрын
Waislam wanasimama na mwenyezi mungu nyie simameni na muamerica sie mashangingi kwani kufa wameanza zamani kuukaba uislam lakini ndio kwanza unaenda juu wanahangaika sana lazima wawasaidie izrael wapate pa kukaa na wawe na maslahi kwa uchumi wa nchi za wenzao
@ElijahOwino-xe2cd
@ElijahOwino-xe2cd 2 ай бұрын
@@asmaalghafri449 eti uislamu unakwenda juu... 😂😂😂🤣... rudi ufanye utafiti wako tena vizuri... Halafu sisi kama wakristo si kwamba tunasimama na marekani.. Hapana.. Sisi tunasimama na Israel... Na hakuna vita yoyote nchi za kiislamu zitawai kushinda dhiidi ya Israel..
@asmaalghafri449
@asmaalghafri449 2 ай бұрын
@@ElijahOwino-xe2cd wewe saidia hata kuuwa waislam usimame na izrael sie sio mungu wetu huyo sie tunamtegeme mwenyezi mungu na ndio tunaemuabudu nyie mlushadanganya zamani tabu kuwatoa kwenye uwongohakuna mtu ansabudu binaadamu mwenzie ila nawashangaa nyie ,binaadamu ni kumuheshimu tu
@ShekhMufyd-mn9zn
@ShekhMufyd-mn9zn 2 ай бұрын
Israeli ni kibaraka wa marekani mwache agongwe tu
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 2 ай бұрын
Trump chizi ataka apewe rungu
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 2 ай бұрын
Piga hao hamasi 😂
@RitbayRitbay
@RitbayRitbay 2 ай бұрын
Na ww utapigwa na hao wazungu waliokuita sokwe mpumbavu mkubwa we
Physics Club September 23, 2024
1:06:29
Yale Physics
Рет қаралды 4,4 М.
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 80 МЛН
小蚂蚁会选到什么呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:47
火影忍者一家
Рет қаралды 115 МЛН
Officer Rabbit is so bad. He made Luffy deaf. #funny #supersiblings #comedy
00:18
Funny superhero siblings
Рет қаралды 19 МЛН
Hiki ndicho kinachomfanya Marekani na Israel wamuogope Iran
35:23
Hivi ndivyo ISRAEL walivyousuka MPANGO wa kumuua ISMAIL HANIYEH nchini IRAN
15:31
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 80 МЛН