MA shaa Allah.. I wish nionane na wewe one day in shaa Allah.... You are genius, again and again, and more than again....
@abdullahiramadhan57792 ай бұрын
MashaAllah Taba'araka Allah...shukran kaka Kwa ufafanuzi huu ....Allah akuafikie kheri...nlikuwa nafuatilia Sana hii show ....shukran naitwa Abdallah kutoka Kenya
@allynassor11198 ай бұрын
Nimekuelewa pongez kwako mungu akuongoze ktk kazi na maisha yk
@ebengapierre88268 ай бұрын
Ebwana umetafsiri vizuri sn istoria nzuri kweli kumbe iran inanguvu ivyo nawasapoti iran mungu awalinde kilasiku mungu ukaha kwamwenye haki ❤❤❤❤ iran
@mussammanga77918 ай бұрын
Ulikuwa hujuwi ilo, kwa waarabu huyo ndie kidume anaeogopewa na nchi za kimagharibi.
@YehudabanYerushailēm8 ай бұрын
Iran sio waarabu
@mussammanga77918 ай бұрын
@@YehudabanYerushailēm Upertia ni kabila tu, lkn ndio haohao. Au kwsbb wanazungumza Kifursi.
@NathanielNathan-m4o8 ай бұрын
Uko na mchezo,angalia ni nchi ngapi ziko na mabomu ya nuclear uone kama Iran ni Moja wao.Nchi ni 9 na Iran haipo kwenye hiyo orodha
@awadhsalim26808 ай бұрын
@@NathanielNathan-m4oiweke ww iwepo mgawaji wa technology 😅😅
@mohamedjakaya53558 ай бұрын
Maelezo mazuri sana pamoja na ushauri juu ya kuwekeza kwenye elimu ya ujuzi
@zahraalbaloochi28418 ай бұрын
Mtenda akitendewa!! Yani hii Israel na America ndio chanzo cha balaa kubwa duniani hilo linajulikana!!
@HajiJuma-xw7vh3 ай бұрын
Kabisa
@mwalimulee24932 ай бұрын
A isa
@MishoAdeMahanyuАй бұрын
Lakini bado wewe mwenyewe ukiambiwa uchague kwenda kuishi Iran au Marekeni bado utachagua kwenda kuishi Marekani. Kwanini ni kwasababu Marekani unajua kumeendelea na kuna uhuru wa watu kutoa maoni yao kuliko hao unaowatetea. Sasa sijui unafiki huu wa kuichukia Marekani tutauacha lini.
@MsomaliOmary4 ай бұрын
Shukran mwalim nimevutiwa na uchambuz wako makin na unautulivu wa hali ya juu zaidi mungu akupe akuongenzee afya zaid ili tupate faid zaid kutok kwako, jina langu msomali omar nipo mwanza mjin.
@hanspop69618 ай бұрын
Umeongea vitu Vizuri vya Mwanga Nimejifunza kitu kizuri sana Uendelee na Uchambuzi 🙏🏾
@Ibrahim-d3q8 ай бұрын
Mashallah unajua history keep it up bro, hizi nchi za kiarabu ni vibaraka tu kukiongozwa na Saudi ile siku watashtuka itakua too late, nawaombea tu Iran mungu awasimamie nawakubali sana hawa
@somoeomar48618 ай бұрын
Shukraan sana leo ndo nimeelewa kila kitu umetueleza vizuri sana thanx alot
@lukmanalmazrui25652 ай бұрын
Nice finalization,Good message to Gov't . May Allah bless you
@snuramushi96128 ай бұрын
Mashallah umeisimulia vizuri sana tunategemea kukuona kwenye historia nyingine Inshaallah,,,kuhusu Iran kufanikiwa kujitengenezea vitu vyao wenyewe hii imesababishwa na ujasiri wao na utayari toka pale walipo uondoa utawala wa kifalme na kuweka utawala wakiislam walishakubali kupambana na lolote mbele yao sasa hawa wenzao bado waoga
@StellaKaluwa8 ай бұрын
MUNGU NDIYE ALIYE IBARIKI ISRAEL NA NDIYE ATAKAE ITETEA ISRAEL MUNGU LINDA MIPAKA YA ISRAEL ADUI WA ISRAEL NI ADUI WA MUNGU TUTAONA MUNGU WAO NA MUNGU WA ISRAEL NANI ZAIDI MUNGU IBARIKI ISRAEL NA MIPAKA YAKE HAKUNA ALIYE NA NGUVU KAMA MUNGU WA ISRAEL
@@StellaKaluwakwa hiyo wewe ni mpagani huna Mungu kama Mungu ni waisraeli?
@Mohamedi.128 ай бұрын
@@StellaKaluwawewe ni myahudi au 😮😮 ? wayahudi waliasi amri za Mungu ndio maana Yesu hana baba myahudi bali alizaliwa kwa njia tofauti bila manii ya mhuni mwizraeli . waizraeli ni watu washenzi wewe unawa entertain 😢😢 safari hii Izraeli itang'olewa na hata kama watatumia Atomiki bomu au haidrojeni bomu la Amerika au msaada wa urusi hautaleta manufaa yoyote kwa waizraeli
@swahibually83494 ай бұрын
@@StellaKaluwaWewe broo ni Chizi sana,hawa Waisraili kiitikadi hawamtambui YESU,wao wanavyomtambua YESU ni kwamba; YESU ni Mtoto wa Zinaa hivyo hafai kua MUNGU wala mwana wa MUNGU na hata kua Mtume pia hafai,je wewe na wao mpo sawa? Pamoja na kwamba nyote mmepotea kiitikadi lakini mmetofautiana pakubwa,wewe unajifanya unamkubali YESU lakini wao hawamkubali kabisaaa,kwa taarifa yako pale Israel Wakristo ni asilimia 5 tuu,
@HawaBakari-u6q8 ай бұрын
Kaka umeeleza vizur sana nimegain kitu kikubwa sana na allah anifanyie wepes inshallah ,Allah akupe maisha marefu na yenye mafanikio
@dulax24578 ай бұрын
Broo uko vizur from mombasa twakupata 100%wewe ni professer
@revocatusjilala24418 ай бұрын
Tanzania tumebobea kwa Tafukuri, kuelezea mambo kwa kina, watanzania wengi ni great thinker kuliko wakenya!! Wakenya kazi Yao ni kubwabwaja
@SuperMtani8 ай бұрын
Asante
@AllyKelemba4 ай бұрын
😅
@alibinali_8 ай бұрын
Thanks kwa uchambuzi mzuri sana kuna watu wanaongea mambo tofauti ila wewe umechambua vizuri na bila ubaguzi na vyombo vingi vyahabari hawaongie ukweli
@ONESMODOMIMICUS2 ай бұрын
Hongera san nmejifunza sana niliyokuwa siyajui
@IJUMAABOI8 ай бұрын
Very good mr for this story and i believe that one day you will be a big man in this world in term of revolutionilist
@0diraWilson7 ай бұрын
Unazungumzia Ujinga usio ujua. ISRAEL ni Taifa ambalo MUNGU wa IBRAHIM alimpa. Sasa hizo ni historia za kijinga haisaidii kitu ni porojo za mchana, hujui lolote.
@sultanbakary42926 ай бұрын
@@0diraWilsonMungu wa Israel ni marekan na ndio mungu wako pia
@salminisaleh92492 ай бұрын
@@0diraWilson Huna Unachojua Subiri Mume Uolewe Ufirwe Kama Papa Alivyowaambia Muoane Subiri Mume Uolewe Ufirwe
@MishoAdeMahanyuАй бұрын
Hicho kiingereza chako nakushauri tumia kiswahili tu lugha yetu mama.
@MishoAdeMahanyuАй бұрын
@@sultanbakary4292 hata wewe mwenyewe hapa unamuabudu Marekani bila kujua. Unadhani hii KZbin amegundua huyo bwana wako IRAN?
@deusisindwa6168 ай бұрын
Asante sana kaka ❤❤ Wewe nimwana histor mzur sn,,anavitu vingi vya kutufundisha,,ukiashilia wachambuz uchwara,,binafsi nataman ungekuwa na jukwa maarum,,Ili tujifunze kutoka kwako,,Mungu akujalie afya njema ulichokipata nasisi tunufaike nacho❤❤❤💪💪,,
@JohnMabustar8 ай бұрын
Much respect kakamkubwa technical school ndo msingi
@saidiyusufumuhode31598 ай бұрын
Huyu Iran anatisha sanaa Allah aendelee kuwapa ufaham zaidi
@rk-rp2un8 ай бұрын
Hongera sana brother,nimeipenda ushauri ulioutoa,Mungu akubariki sana
@fatimasaid94698 ай бұрын
Mashallah tabaraqah. Huyu mtaalamu umlete tenna kwa uchambuzi zaid
@JoalAlma-ci1hi7 ай бұрын
Kwasababu anasema iran inaogopwa na marekani na israel😂😂😂😂😂et nawe unaamni et
@AlhajiIssa-jb9hr2 ай бұрын
@@JoalAlma-ci1hiHakuna la kuchekesha hapo😮
@MishoAdeMahanyuАй бұрын
@@JoalAlma-ci1hi Yaani Marekani amuogope Iran ikiwa Israel tu amtoa jasho hahahahahhahahahhah
@SeuriMollel-im5yw3 ай бұрын
Tunawapata sana ndugu zetu kwa kutupasha habari za ulimwenguni kwa ujumla mungu awabariki wote
Nikili wazi napenda history lakin Kwa maelezo yako uliyoyatoa naona ninakazi kubwa kijifunza kutoka kwako ww umesimulia na kutatua Kwa maelezo yaliyonyooka na fact congratulations sana chief
@MwamadiRajabu8 ай бұрын
Kweli kaka niwakati wa technology bro! 🎉
@makhanguwakhutu24088 ай бұрын
Irani ni mfano mzuri wa afrika kufata tujifunze technically skills sio kusifiya tu Israel na marekani
@saltechnologiesco.ltd.23773 ай бұрын
Huo uwezo wa kufikiri haya mawazo yako wengi hawana walishazama kwenye utumwa wa kifikra
@MishoAdeMahanyuАй бұрын
Kwenye Sayansi huwezi kuibua kitu chako bila kuwa na reference na watu waliokutangulia. Hata hao IRAN unaowasema wao wanachofanya ni kutumia teknolojia tu ambazo hao Marekani, Nchi za Magharibi na Israel wameshafanya siku nyingi. Rejea kulipuka kwa zile Device za Pager ambazo Iran walizinunua kutoka Korea Kusini na kuzipeleka Hezbollah bila kujua kuwa Israel tayari wanazijua siku nyingi. Halafu kitu kingine ni kwamba ukija kwenye uvumbuzi Teknolojia ya Kisasa huwezi kumtoa Myahudi ndani. Na hapo ndipo shida ilipo. Unapozungumzia hiyo Urusi ambayo ndio inayompa Irani Teknolojia bado wengi wa Wanasayansi wao ni Wayahudi. Hivyo kuongea ni rahisi lakini huwezi kuwatoa Marekani na Waisrael kwenye teknolojia yako wewe unayotegemea kuianzisha.
@hajimrisholukamba6028 ай бұрын
very knowledgeable, context analysis yako makes a lot of sense
@fadhilimnyanga64008 ай бұрын
Wapi mr Sebo..mmmh. nice historical facts.
@SalamaKhamis-un8vn8 ай бұрын
Mhh nimefumbuka mambo mengi Hsante Kaka
@kokubukoba75107 ай бұрын
Great analysis, asante
@yussufmiraji94088 ай бұрын
Toka nianze kufatia siasa za mashariki ya kati ndiyo kwanza nitapate taluma mm nilikuwa najuwa iran ni nchi ya kawaida tu kumbe wana technology kubwa sana kiasi wazungu wamuogope iran irani is the best country in Islam in the world
@osmaniidrisa62908 ай бұрын
Lakini Iran ndio Audi mkubwa WA waislamu
@salimmalaka2568 ай бұрын
@@osmaniidrisa6290ALAA SIO MUISRAEL ADUWI WA WAISLAMU???
@osmaniidrisa62908 ай бұрын
@@salimmalaka256 wote ni maadui WA uislamu lakini harari zaidi ni Yule anaejifanya sio Audi kumbe ni adui
@jumaali48938 ай бұрын
Unaushahidi wowote wa kuthibitisha ulichokiandika? au huna@@osmaniidrisa6290
@awadhsalim26808 ай бұрын
@@osmaniidrisa6290Naona bora Iran inaisapoti palestina kuliko Saudia ?!!! Sasa yupi aduwi zaidi ya waislam u ?
@mohamedsheikh66188 ай бұрын
Jordan mfalme wake mama ni mzungu so wale ni wajomba zake
@salimmalaka2568 ай бұрын
TENA UFALME ALIKIWA APEWE HAMZA SIO YEYE MAMA MZUNGU WAKAMWEKA KIBARAKA HUYO KIBARAKA.
@KhamisiOmar-v3h8 ай бұрын
Nimekkubali bro mambo unayo yasema yapo na maono makubwa sana.
@Mbmaster-os5oi8 ай бұрын
Hongera ndugu
@ShadrackMwikoni7 ай бұрын
Teacher big up Sana natamani niwe kama wewe, wewe ni msomi mkubwa Allah akuzidishie ila niombee na mm mwanafunzi wako wa first year
@hashimhashim17562 ай бұрын
Uko sahihi. Mwalimu. Hongera Sana. Serikali na vijana wapate Mia ko Hugo wa kuingia kwenye eliminated Za ufundi zaidi. Kumiko Kusaka. PHD Za vyuo Na Kumekawa vyeti nyumbani tu. Tukiwekeza Tutankhamen Na sis I ni jamboree la Kumekawa malengo. Mazda ya Miaka michache. Tutafika watu Sana staajabu. Tumewezaje.
@mohamedsheikh66188 ай бұрын
Mkuu, umejitahidi lakini pia irani wako vizur hata katika matibabu, ukweli irani ni taifa pekee lililobaki duniani kuwa ni huru kutokana na Mataifa ya magharib Iran imebaki kuwa ni kikwazo pekee kwa nchi za magharib na marekani kuitawala mashariki ya kati, nia ya Israel ni kuiburuza marekani iingie katika vita ili wao wa Israel wawe mabwana wa mashariki ya kati
@MishoAdeMahanyuАй бұрын
Mpaka sasa mbona Israel tayari ni Mabwana wa Mashariki ya Kati. Kwanza unafahamu kwamba asilimia kubwa ya Wairani wenyewe hawakubaliani na utawala dhalimu uliopo?
@josephwilliam58138 ай бұрын
Mchambuzi uko vizuri sana
@AziziSaliminiАй бұрын
🎉🎉excellent
@hilalisaidseif84838 ай бұрын
MashaAllah kumbe bado Tz tunawanahistoria wazuri hivi endelea kutupa elimu
@abdulmalikhajji96152 ай бұрын
Shukran sana kwa ushauri wako juu ya serikali yetu kuitaka iendane na halii halisi ya dunia katika kukuza teknoloji ya kileo katika uimara wa taifa kama ambavyo mataifa makubwa yalivyo fanya haswa Iran na China na Korea ya kusini na Urusi
@ndukulusudikucho_8 ай бұрын
Ubarikiwe saaana Kiongozi, haya unayosema karb wachambuzi wote wa kivita wametilia mkazo , hasa wanajeshi wastaafu wa Marekani karb wengi wamesisitiza israel awe mpole
@georgekimasaofficial16298 ай бұрын
Nyie endeleeni kudanganyana na kufarijiana badae tutakuja mezani hapa Kwa kauli za kutia huruma
@peteremmanuelymatwimatwiem32588 ай бұрын
@@georgekimasaofficial1629endelea kua mini ivyo
@salimmalaka2568 ай бұрын
@@georgekimasaofficial1629MSENGE MWENZAKO KAPIGWA HASARA 1.49 BILION DOLA KITUWO CHA NDEGE ZA ISRAEL KIMEANGAMIZWA CHOTE NA NCHI WANAIKIMBIA NENDA KAWASAIDIE MKUNDU WEWE.
@BenjaNetanyahu8 ай бұрын
@@salimmalaka256unafirwa kweli wewe, kuma kibuyu. Waliungana mabasha wako wote, inchi zote za warabu mwaka 67, kumpiga simba wa yuda! Walitepeta, na enzi hizo warabu ndio walikua wanaongoza kwa utajiri dunia mzima, ataweza leo iran na vi inchi vake, yemen, lebanoni, Syria. Israel ni simba wa yuda! Mkataba wao na MUNGU hauvunjwi na YESU wala muhamadi, MUNGU alisha mwahidi Israel, hata akibaki mmoja vitani, atashinda vita, na hata dunia yote tuungane tukaipige Israel! Hatutashinda vita hiyo.
@georgekimasaofficial16298 ай бұрын
@@salimmalaka256 Axa matusi yanini ndugu afu mnataka Allah wenu awasaidie kwenye vita vya ndugu zenu ktk Iman duh au ndiyo allah anaruhusu Waislam kutukana watu? Au matusi ndiyo ushindi wenu? 🙄🙄🙄 mtaendelea kuteseka sana, sisi Wakristo Mungu wetu haturuhusu kutukana mtu. Afu pia tu nikukumbushe Israel wakipiga adui yao akafa wanatoa na lipoti kuwa wamemuua nani na kazi yake ilikuwa ni nini yaani wanajuwa kupiga Kwa tageti na panapo uma.😅😅😅😅
@ShabaniBaibai2 ай бұрын
Mungu aijalie ilani izidi kuwa tetea mashaliki yakati
@fadhilimnyanga64008 ай бұрын
Nice work broo..nakusoma mjomba
@ramadhanmazije38828 ай бұрын
Hongera broo
@francofabian61592 ай бұрын
Aisee nimekuelewa sana mkuu naomba uishauri serikali
@imanuelnguya92778 ай бұрын
Aisee umeongea vzr sana ndg mchambuzi nimekusikiliza kwa umakin sana unaongea kwa utaratibu kabisa ongera bas pokea maua yako na pongezi sana kwa Iran
@raphaelkessy73608 ай бұрын
Ni vigumu sana ku gundua Marekani na Esraeli ni Nchi moja lakini uki chunguza na kufatilia matukio kwa akili tangu azimio laku anzishwa Taifa hilo na matukio yaliyo fuata hadi leo uta gundua
@salminisaleh92492 ай бұрын
Sahihi Kabisa Ili Liko Wazi . Marekani Anajificha Kwenye Kivuli Cha Uyahudi. Ila Kiundani Kulikua Na Siri Kubwa Sana Kuanzisha Taifa Juu Ya Taifa Jengine. Na Imeanzishwa Kwa Maslahi Ya Kiuchumi na Ndomana Wanawekeza Pesa Nyingi Sana Na Silaha Pale Yote Kwa Yote Wanataka Kui Control Middle East
@KajunaMathayo5 ай бұрын
Naomba sana mungu vita ivi visifike Africa
@onelinelyrics2008 ай бұрын
Umetema facts! Ukweli Mchungu japo Mataifa ya kiarabu yanasaliti Ummah ikiwemo Suudia - kwa mfumo wa Petro-dolla kwa maslahi binafsi
@gabrielmdem42717 ай бұрын
Duu safiii broooo
@mohamedsheikh66188 ай бұрын
Silaha wanazopewa waarabu hazitakiwi kuzidi uwezo wa Israel
@saidngumbi62228 ай бұрын
@simulizi na sauti
@ZiadaAmeir7 ай бұрын
Wallah umenifunz mingi sana amby siikuw nayajua Kaka Allah akubarik
@rajabungomile33078 ай бұрын
Kaka acha tu watufundishe kuwa mtu wa kwanza alikua nyani, Awana mpango na technology Wala nn alafu tunajicfu kuwa nchi yetu ni ya kwanza kupgana vita ya ardhini wakat wao waktaka pgana awaleti watu Bali ndege zsizokua na rubani ksha znawaua wote, daaaah😂😂😂😂😂 technology kwanza jaman
@selemanshemea40938 ай бұрын
Lakini mbona tukio la Iran ndio linazungumzwa Sana?Israel kushambulia ubalozi wa Irani na kuua hilo sitatizo ,kweli dunia SASA IPO mikononi mwa waovu.
@suleim5058 ай бұрын
Dunia imeshaharibiwa na waharibifu, na ndio wanaounga mkono uharibufu unaofanyika kwa mataifa ya wanyonge
@muhamadharun94328 ай бұрын
Propaganda za kusahaulisha uovu wa Israel
@MishoAdeMahanyuАй бұрын
Unahisi kwanini Israel iliuvamia ubalozi wa IRAN? Ni kwamba kuna uovu waliuona mapema unakuja na huwa silaha yao kubwa ya kujilinda ya ISRAEL ni uwezo wao wa kujua wabaya wao mapema kabla hawajaleta madhara. Hiyo kazi inafanya na Shirika lao la Ujasusi matata sana lijulikanalo kama MOSAD.
@ShehaHaji-k8t8 ай бұрын
Maashaallah umetufunza
@salimali-rf9er8 ай бұрын
Sadakta maneno yako👍🏻
@PatrickBarnabas-fs4ow7 ай бұрын
Umetisha
@MishoAdeMahanyuАй бұрын
Huyu jamaa ni mwongo sana. IRAN inategemea teknolojia hasa kutoka URUSI na uwezo wa kutengeneza silaha kali wenyewe bado sana. Labda assembling tu.
@jumasaidswaiguti41908 ай бұрын
Hongera kwa presentation nzuri na kwa ushauri uliotoa kwa serikali na jamii kuwekeze kwenye technologia badala ya vyuo vikuu.
@elishandalaShandala8 ай бұрын
Anaejua anajua tu Hongera umetufumbua macho
@Inbrajabtv8 ай бұрын
Ebanaeeh we uk vzr ahsant saana
@rajabdibwa64154 ай бұрын
Umeelezea kwa uzuri zaidi 👏
@musasabuu28088 ай бұрын
Mwenyezi mungu ibaliki iran
@hassanmsangi41498 ай бұрын
mashallah akhy umetuelewesha vzr sana, hao ndio wairan hao ndio mashia tunaowasema vibaya misikitini
@YahayaMilaji8 ай бұрын
Kaka nimejifunza Asante
@saiddarrus64008 ай бұрын
Hats off brother
@KassimKhalaid8 ай бұрын
Yani bro apo umenionyesha kitu kikubwa sanaa Leo bro
@radjabusuleiman64868 ай бұрын
WA SHIA ni watu hatari Sana, sio kama sisi wa SUNI waoga ule imam wawo khomein akitangaza tuu vita hapatokalika mashariki yakati wanamuamini ule mzee wawo kuliko Ata Wazazi wao akitowa amri hakuna wa kupinga amri yake.
@MishoAdeMahanyuАй бұрын
Hahahahahhahahahhahahhahahahh hivi wewe unamsikiliza huyo jamaa. Anaiweka Hezbollah kweli kama mtetezi wa IRAN ilhali Hezbollah yenyewe ni kikundi tu? Huyo jamaa anaongea kwa minajili ya Siasa za Kiislamu tu hana jipya. IRAN ambayo inashindwa kumlinda hta kiongozi wa HAMAS anauawa ndani ya Nchi yake ndio itaiweza ISRAEL.
@HizaSebarua3 ай бұрын
Nakubali sana nakupata nikiwa Moro town hapa
@abdulkasukari54818 ай бұрын
Good Presentation
@jumamayonga89148 ай бұрын
Nakuunga mkono sasa hivi serikali inatakiwa kuwekeza kwenye Teknolojia
@fidelismasaka27353 ай бұрын
MIMI NASAPORT IRAN 🇮🇷. KWASABABU ISRAELI...WANAUWA SANA WATU...😢
Bro you can't say I will not give you bread time you know I can make myself Iran is power full country 😊
@nassoromussa24238 ай бұрын
Ufafanuzi mzuri sana, ila mhadhiri ameacha maswali mengi kwa TZ lkn na Afrika kwa ujumla. Yaani, ni kwa namna gani nchi za Afrika zimeshindwa kuwekeza katika teknolojia?? Shida ni nini hapa! Lakini nini kifanyike...
@bakarimusa62978 ай бұрын
Ila marekani ni wezi sana
@benhamza56498 ай бұрын
What is your name brother?
@SuperMtani8 ай бұрын
Fadhili Mtani
@icclcharters33897 ай бұрын
Hapa mshenzi ni mmarekani
@RamadhanmwidiniUdulele7 ай бұрын
My love teacher % fact
@SaidiChinduli8 ай бұрын
Elimu sahihi wakati sahihi pokea🎉🎉🎉🎉🎉 yako.
@MohamedKasalama8 ай бұрын
Tuache ushabiki sikiliza point pamoja na vikwazo Iran imejweza ki uchumi na tecnolog tujifunze halafu jitu linaleta ushabiki hongera mchambuzi
@mwalagokache3752 ай бұрын
Technical ni suala kubwa sana lkn sijui serikali inatumia siasa pangiwa hata htuelewi kwanini haimui
@khalidbelhasa21378 ай бұрын
SIO NCHI ZA KIISLAM , NI NCHI ZA KIARABU, HAKUNA NCHI YA KIISLAM
@patrickKitambo8 ай бұрын
irani sio warabu
@jaffarichimbuvu94097 ай бұрын
Kama akuna nnchi ya kihislamu irani ina itwaje makanisa yenywe amna ujui kitu
@MishoAdeMahanyuАй бұрын
@@jaffarichimbuvu9409 unachanganya mambo Iran ni nchi ya Kiislamu ndio lakini sio Waarabu bali ni Waajemi. Kuhusu Makanisa ndani ya Iran yapo na kuna Wakristo (wengi wakiwa ni Waarmenia) pia pamoja na kwamba ni nchi ya Kiislamu. Hata hivyo kama Waislamu walivyo na tabia ya kunyanyasa dini nyingine wanapokuwa wengi mahali kwa IRAN ni hivyo hivyo Wakristo wananyanyaswa sana na ukionekana na Biblia hadharani unauawa au kufungwa maisha. Duniani nchi ambazo hazina Makanisa ni mbili tu ambazo ni Saudi Arabia na Somalia.
@bakarimusa62978 ай бұрын
Duh kumbe Iran mbabe
@stanslausmteme84558 ай бұрын
Cuba ndio nchi yenye vikwazo zaid
@abdulpagali74768 ай бұрын
I appreciate your informed presentation. Shida humfanya mtu kuwa mdadisi, mbunifu na kuwa mwenye uthubutu wa kutenda. Iran imewekewa vikwazo vingi baada ya mapinduzi ya 1979. Suluhisho kwao ni kuwekeza kwenye teknolojia inayowafanya sasa waogopwe. Sisi tumewekeza zaidi kwenye siasa. Walimu, wahandisi na hata madaktari hukimbilia kwenye siasa ambako raslimali nyingi za taifa zimewekezwa huko. Sasa marndeleo tutayapataje kwa kukopi na kipesti kila kitu? Vijana wanasomea vyeti tu na sio utaalam, masrifa wala ujuzi. Je, ubunifu utatoka wapi? Asante mwalimu kwa kunielimisha 🎉🎉🎉.
@SalimKaporo8 ай бұрын
Basi mtu anaeongea vitu vya maana kama huyu huwezi kusikia media zina muhoji hatasikumoja innalilah wainailaih rajiun
@MishoAdeMahanyuАй бұрын
Anaongea vitu gani vya maana zaidi ya Udini tu kumjaaa sana. Toka lini Uislamu ukaendana na teknolojia. Ulisikia wapi?
@SirajiZacharia8 ай бұрын
Labbayka Yaa Imam
@OmmyJames-xn7ji8 ай бұрын
Taqiya 😢😢
@abdilahmohamed66798 ай бұрын
Hawa watu me nashangaa hata waislam kuwafurahia Iran ila hawa ni wabaya kuliko hata waisrael na niwatalaam wa propaganda nataman umgewajua kwanza hawa Shia na mipango yao then ndo tuje tuongee wameua watoto Syria,Iraq na yemen na kila wakiua wanaweka vikundi kama hizbullah,IS na hamas ili waweke ushia kama yemen na kuua SUNNI 😢
@OmmyJames-xn7ji8 ай бұрын
@@abdilahmohamed6679 kweli ni movie ya KIHINDI
@ayubunyota56732 ай бұрын
Waafrika tumepigwa cheni Mobile 📲 chain..Siku tukijitambua Kama Iran hakutakuwa na Umasikini
@HassanHassan-pn4dk3 ай бұрын
Mungu akupe uwezo zaidi. Umenitoa tongo za macho kwani nilikuwa na ufahamu mdogo sana katika hili eneo. Kwa kweli unaupiga mwingi, ingawa kuna baadhi ya wakati unatumia neno nadhani, usilitumie sana hilo kwenye jambo zuri kubwa kama hili. Hongera sana.
@MohamediIdi2 ай бұрын
Kweli serikali lazima iwekeze kwenye technical sana .
@NgamelaYussuph8 ай бұрын
Hivyo Vikundo Vimezuia Miaka Kumi Na mbili Marekani Kumuangusha Rais wa Siria
@bashirmahero70212 ай бұрын
Mungu wa Israel alilala kweli😂😂😂 hizi matanyau zipigwe kabisa
@omarybakunda25548 ай бұрын
Mchambuzi nakushukuru sana
@YassinAwami-yi8jd8 ай бұрын
Tuwekeze kwenye TECHNICAL KNOWLEDGE... That is a point