Mashabiki wahoji ni yupi mama MZAZI wa ESMA PLATNUMZ? ni baada ya MAMA DANGOTE kuandika haya

  Рет қаралды 11,438

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 42
@janerouhassanjanerou7933
@janerouhassanjanerou7933 Сағат бұрын
Wabongo mnapenda maneno ya nyongeza aisee
@CristinahKimaro
@CristinahKimaro 5 сағат бұрын
Wambea wape habari tofauti,,,wachanganyikiwe😂😂😂😂
@sarastephano3409
@sarastephano3409 2 сағат бұрын
Huyu mama anajichanganya Sana ukute hata diamond ni mtoto wa mzee Abdul haeleweki huyu baba
@janerouhassanjanerou7933
@janerouhassanjanerou7933 Сағат бұрын
Nyie wabongo ndio mnaongeza mambo
@joharifarahani2739
@joharifarahani2739 6 сағат бұрын
Jamani mbona vitu vya kawaida sana hivi...mm mama yngu dada yke hakujaliwa kupata mtoto mpka leo mtu mzima mama alimpa mm nikiwa mdogo nikaishi nae watu wote wakawa wanajua yy ndio mama yngu akawa anaitwa jina lngu mama Fulani mpka leo mama na yeye anamuhita dada yke kupitia jina lngu anapata faraja sana akisikii unyonge ....ukoo mzima wanamuhit mm joha ila watu wapembeni awajui kama yy hakubatika kupata mtoto wanajua ana mtoto mmoja ambae ndio mm na mm nampenda sana tena sa zaidi...wazee wetu walikuwa wanafanya hivyo kumpa mtoto ndugu yke ambae ajajaliwa kipata mtoto...esma ni mtoto wa mama dangote ..
@sulleymernmannarah7930
@sulleymernmannarah7930 6 сағат бұрын
Kwhy yke mama n mamak mdgo au mkubwa 😂
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 3 сағат бұрын
🎉❤
@joharifarahani2739
@joharifarahani2739 30 минут бұрын
@@sulleymernmannarah7930 ndio umeandika nini mbona aueleweki
@SamwelikazimbayaKitahenga
@SamwelikazimbayaKitahenga 5 сағат бұрын
Kwani akisema kwa niaba ya Dada ake kuna shida gani hapo
@isunga1964
@isunga1964 5 сағат бұрын
😂😂😂😂si walisema Esma alizaa na mwarabu ndoo akafuata Dai
@RosalinaMakenzi
@RosalinaMakenzi 2 сағат бұрын
Ila bongo😂
@lisawilliam2491
@lisawilliam2491 8 сағат бұрын
sasa iyo ndo habar mmeishiwa habar nn
@Majdescobar
@Majdescobar 7 сағат бұрын
Wanazingua
@lakasid3860
@lakasid3860 7 сағат бұрын
Et wameanza kuwa wajinga hawa hata sijaelewa iyo habari
@Anoniem123-u5m
@Anoniem123-u5m 3 сағат бұрын
Iyi familie ina mambo duuuh 🤣
@HalimaHaroun
@HalimaHaroun 7 сағат бұрын
Mama dangote ana dada ake wakuzaliwa kabisa anaitwa bi Mwajuma huyo bi Mwajuma akujaliea kupata mtoto so mama Dangote alivyomzaa Esma huyo bi Mwajuma akawa anamlea Esma kama mwanae wakumzaa na ukizingatia bi Mwajuma yeye hajajaliwa kupata mtoto hivyo toka zaman wanamuita bi Mwajuma mama Esma kama kumfariji dada yao huyo. Esma mama ake wakumzaa ni mama Dangote
@amyboyfighter7281
@amyboyfighter7281 7 сағат бұрын
Apo umeelewaka inaonekana unafaham vizuri ii situation miaka kazaa nyuma ayamambo nikawaida wazazi wetu walikua wakifanya ivyo nazani watu wataelewa kama watasoma iyo comant yko
@happynesbaemuhappynes8813
@happynesbaemuhappynes8813 5 сағат бұрын
​@@amyboyfighter7281mimi sioni ajabu mimi nina mdogo wng tumezaliwa tumbo 1 lkn kuna baadhi ya watu wanajua yule nimwanangu
@danielmkama24
@danielmkama24 8 сағат бұрын
Ukishaskia ni #Esko ujue kbs hamn cha maana hapo, Hanaga issue serious huyu.
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 5 сағат бұрын
😂
@sophyali8840
@sophyali8840 2 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂
@janerouhassanjanerou7933
@janerouhassanjanerou7933 Сағат бұрын
Huo mwaka unao usema aliulizwa mzee abduli kipindi kilekile akasema ni mtoto wake yeye mama dángote
@SalumObed
@SalumObed 7 сағат бұрын
Kwel ...esko....hunazo yaaann hujaelewa nini hapo au unataka comment kama hiv
@frankngoloka5416
@frankngoloka5416 Сағат бұрын
Tafuteni Hela hii familia Wana cheza na mtandao,Wabongo tunavyopenda wanatupeleka ukouko
@janerouhassanjanerou7933
@janerouhassanjanerou7933 Сағат бұрын
Hii ata sio ya kucheza na mitandao wabongo tu wanapenda kuongeza mambo
@happybryce1269
@happybryce1269 7 сағат бұрын
Kwel sns mmeishiwa habar
@humbleshoal
@humbleshoal 17 минут бұрын
Habari ni habari
@katapa_A
@katapa_A 8 сағат бұрын
Asa wewe usichoelewa apo kitu gani mtto wa dadake si niwake tu mmeishiwa habari au🤣
@Nuru9568
@Nuru9568 5 сағат бұрын
Ata kama ni mtt wa dada ake atabaki kua mama ake wambea wanapenda kufatilia maisha ya watu jmn😂
@humbleshoal
@humbleshoal 17 минут бұрын
Ndio sababu zari kawasema
@RamadhanAthuman-d4c
@RamadhanAthuman-d4c 4 сағат бұрын
Du watu wanakumbukumbu balaa
@ChireGriffin
@ChireGriffin 3 сағат бұрын
Sasa kama esma wako wawili
@rukiyyarukiyya6317
@rukiyyarukiyya6317 7 сағат бұрын
Hawatunzagi kumbukumbu 😄😄
@innocentbalahoza1491
@innocentbalahoza1491 4 сағат бұрын
Watu n washamba na wamezoea kubaguana, kwan kama alizaliwa kwa dada yake na yy bado alikuwa hajazaa Kuna shida gani kumuita kifungua mimba?
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 4 сағат бұрын
Uwongo ukisema ukumbuke na kurecod sasa inaona unavyojisonga mwenye mara mtoto wa dada angu mara wangu
@humbleshoal
@humbleshoal 16 минут бұрын
Ni maisha yao jamani mwisho wa siku tuwaachie wenyewe
@shadiwaigwa9230
@shadiwaigwa9230 7 сағат бұрын
Mtoto wa dada yake ni wake 2
@FelisterMichael-r8t
@FelisterMichael-r8t 7 сағат бұрын
Mbona hakusema esma kuwa nini mtoto wa dada yake bali alisema alikuwa anapitia kwa mama esma ambaye ni dada yake kwani esma ni huyo pekee?
@PamelaGawaza
@PamelaGawaza 3 сағат бұрын
KAMDOMO
@LettyLussi
@LettyLussi 7 сағат бұрын
Ni mtt wake na nyie achenii ufala mxwiiii...akitoka asma anakuja mond
@shadiwaigwa9230
@shadiwaigwa9230 7 сағат бұрын
Hapo Kuna something inafichwa, mmmmmm?
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН
Diamond Platnumz - Nitafanyaje (Official Music Video)
4:55
Diamond Platnumz
Рет қаралды 421 М.
Rais Ndayishimiye: Kagame lazima asimamishwe kabla hatujachelewa
6:16
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 44 М.
Jinsi Marekani walivyoiiba Helikopta ya Urusi ‘Mi-25 Hind-D’
15:07
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 10 М.