KWAHERI Marekani: SAUDI ARABIA yautosa MKATABA wa MIAKA 50 wa Petrodollar, Haya ndio yatatokea

  Рет қаралды 43,184

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 362
@AbdirahmanIgge
@AbdirahmanIgge 3 ай бұрын
Mashallah 🇸🇦 saudia from 🇹🇿 tanzania
@SuleimanSuleiman-r8h
@SuleimanSuleiman-r8h 3 ай бұрын
Team viladmir putttttttiiiiiiinnnnnnnnnnn❤❤❤❤
@SalumJuma-iz2gj
@SalumJuma-iz2gj 3 ай бұрын
Pomoja
@DottoMussa-ro6rw
@DottoMussa-ro6rw 3 ай бұрын
tuko wengi
@nassorsalum9200
@nassorsalum9200 3 ай бұрын
Siku sote dhulma haidumu kwa iyo madhalimu marekani na vinyago wenzake wanaenda kuanguka walaaniwe milele na milele aamin
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 3 ай бұрын
Marekani haiwezi kuanguka leo wala kesho
@mudhihirhamisi7686
@mudhihirhamisi7686 3 ай бұрын
Hujielewi kwa yeye wa kwanza kuwa super power
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 3 ай бұрын
@@mudhihirhamisi7686 inaweza ikaanguka ila sio leo wala kesho labda ni miaka 1000 ijayo
@hamisisalum6116
@hamisisalum6116 3 ай бұрын
@@MathewNathan-yb2bz Ni kweli ila safari imeshaanza bro, dola imepigwa biti Urusi, na sasa Saudia, mdogo mdoogo aliselema alija"
@SylvesterPaul-my8ml
@SylvesterPaul-my8ml 3 ай бұрын
​@@MathewNathan-yb2bzlengo co anguko la marekani acha mawazo mgando
@hamzafishten9560
@hamzafishten9560 3 ай бұрын
Mungu atatulea Amani dunia inshaallah vita za kila siku tomecoka
@SaidKondo-rw8wb
@SaidKondo-rw8wb 3 ай бұрын
Hapa nilikuwa napasubiri sana katika maisha nipaone,tuombe uzima
@FridayMwassa
@FridayMwassa 3 ай бұрын
Dua la kuku
@salminijumasalminijuma6213
@salminijumasalminijuma6213 3 ай бұрын
Hili ni anguko la dollar 🤑 Kwa marekani bricks inavutia mataifa mengi congratulations Putin
@tumainielmaruwa3148
@tumainielmaruwa3148 3 ай бұрын
Ktk maisha yako umewahi kuiona pesa ya Mrusi?
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 3 ай бұрын
​@@tumainielmaruwa3148tatizo hao wapambe wa urusi wanakurupuka tu bila kutumia akili.
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 3 ай бұрын
​@@tumainielmaruwa3148Kwahiyo unataka kusema je
@bonnymakuke3153
@bonnymakuke3153 3 ай бұрын
​@@tumainielmaruwa3148utaziona2 ni swala la mda kwani ya china ulikuaga unaiona ila sasaivi si inaonekana!!😂😂😂
@SADICKITHOMAS
@SADICKITHOMAS 3 ай бұрын
Waarabu wamechomoa betri😂
@salehkhamis-ob8ln
@salehkhamis-ob8ln 3 ай бұрын
Safi sana hii nzur kabisa mwache marekani aanguke kiuchumi
@goodluckmsoka3660
@goodluckmsoka3660 3 ай бұрын
Angaikanna uchumi wako usifurahie anguko la mwenzio hautafaidika na chochote
@waithirahnaomy1573
@waithirahnaomy1573 3 ай бұрын
Akii
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 3 ай бұрын
Kwanza marekani haiwezi kuanguka kiuchumi
@SylvesterPaul-my8ml
@SylvesterPaul-my8ml 3 ай бұрын
​@@MathewNathan-yb2bzjidanganye hvy hvy
@hamisisalum6116
@hamisisalum6116 3 ай бұрын
Mungu anabadilisha mwenendo wa dunia, kutoka uendeshaji kwa njia ya machafuko kuelekea kwenye insafu na uadilifu wa uchumi wa pamoja.
@rashidomar1558
@rashidomar1558 3 ай бұрын
Genius comment
@ebengapierre8826
@ebengapierre8826 3 ай бұрын
Kumbe marekani ahana lolote yy nijinatu ndo limebaki napenda ivyo kwasababu marekani anajiona sn mpigeni uyo marekani ajuwe km dunia sioyake
@ngendakumanajeanmarrie7490
@ngendakumanajeanmarrie7490 3 ай бұрын
Dola kwisha hayo nimatokeo yakuingia vitani naputin imekula kwao hongala sana nimeapongeza kahilo
@MohamedRaudha
@MohamedRaudha 3 ай бұрын
Pesa zao watanunuwa madini kutoka inchi za africa
@hamzafishten9560
@hamzafishten9560 3 ай бұрын
Safi sna
@daprince7545
@daprince7545 3 ай бұрын
Shida kubwa ya viongozi wetu ni uporaji wa pesa za umma, ubinafsi, ukabila, endapo viongozi watakua na lengo. Basi wangewekeza pesa za umma kwa uzalishaji wa bidha na vyenginevyo. Lakini shida ulafu mwingi viongozi na kujali maslai yao.
@edchrisbeatz8976
@edchrisbeatz8976 3 ай бұрын
Its good move but trust me hii itakuwa ni pigo kwa uchumi wa dunia maana dunia haijajipanga vzr kupambana na dora.. kama vita ya mrusi na ucrain mafuta yalikuja juu kama anapigana mmareken kumbe ni vikwazo tuu sasa kutotumia dora ni kuivamia moja kwa moja marekani coz hii ndo silaha yake kubwa i think kuna jambo si zuri marekani ataplan dhidi yao vzr wajiandae kisaiikolojia like putin yan kupigana na dora you must hv fugnatve plans
@Luzwiro27
@Luzwiro27 3 ай бұрын
Think twice mataifa kaza mpaka wanafikia hatua ya kugomea huo mkataba wameshapata njia mbadala mfano urusi iran wamepigwa vikwazo vingapi lakini ndio kwanza wanazidi kusonga mbele
@officialcandleboy6923
@officialcandleboy6923 3 ай бұрын
Marekani sasa wame fikia pabaya, mzee PUTIN kasha hanza kufanya mambo
@Timothymchomi
@Timothymchomi 3 ай бұрын
taka msitake America is the best waarabu wenyewe wanatambua so there is nothing to to worry watanyooka tu
@Pablolookman
@Pablolookman 3 ай бұрын
umepigana vita ngapi hiyo marekani unaempamba mwambie apelekee jeshi lake Korea
@husseinhemedi9314
@husseinhemedi9314 3 ай бұрын
Apo wajiandae kwa vikundi vya #kigaidi 🇹🇿🇷🇺🇮🇷🇸🇦
@uwimana6533
@uwimana6533 3 ай бұрын
Naniwisilam wenzie 😂😂
@sultanbakary4292
@sultanbakary4292 3 ай бұрын
Hiyo ni ardhi takatifu pale maka hukutatokea vita mpaka Dunia inaisha Ile ni ardhi tukufu
@academicsite8524
@academicsite8524 3 ай бұрын
​@@sultanbakary4292 Jidanganye😂😂😂
@warshysaid8564
@warshysaid8564 3 ай бұрын
​@@academicsite8524 ayo ni maneno ya Allah
@sultanbakary4292
@sultanbakary4292 3 ай бұрын
@@academicsite8524 hakuna shoga yoyote yule dunian atavamia pale na akabaki salama
@FranckDaniel-cc5rg
@FranckDaniel-cc5rg 3 ай бұрын
Hii angepewa dj smaa ndo aichambue vzur masubi bado achimbui mambo ipasavyo
@prettynayally2177
@prettynayally2177 3 ай бұрын
Tuko wengi 😂😂😂😂
@kabeza_itech
@kabeza_itech 3 ай бұрын
Asante sana sky kwa uchambuzi
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke 3 ай бұрын
Saiv utaskia saudia ni adui wa marekani maana wao wanataka ufate wanavo taka wao tu usi wapinge kwa chochote kile
@ashahania5207
@ashahania5207 3 ай бұрын
Asante M' bin Seleimani. Simamia uamuzi wako.
@nakivonamediatz
@nakivonamediatz 3 ай бұрын
Matumizi ya mafuta yanapungua kwenda kwenye umeme
@hassanihamidu8546
@hassanihamidu8546 3 ай бұрын
Msisahau kuwa saudia amejiunga bricks kwahiyo hii ni mipango ya Russia
@salimabdallah5176
@salimabdallah5176 3 ай бұрын
DHIKRI FIKRI SHUKRI SUBRI
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 3 ай бұрын
asante sana Ally Masudi kwa maelezo. sie tuna rasilimali nyingi sana ambazo nchi hizo wanaitaji. sema tuu nchi zetu tumekuwa waoga na wao kututawala. Ona Congo- malighafi inayoitajika mno duniani ambapo nchi tajiri wao ni silaha tuu..jmni sie mmh
@AliKaroyo
@AliKaroyo 3 ай бұрын
Mim Simuamin Saudi Arabia Ata kidogo Mpaka nione Amebaki na msimamo uwo uwo Mwaka Mzima Ndio nitaamin ila Kwassa Simuamin Saudi Arabia Hanaga Msimamo
@jut1161
@jut1161 3 ай бұрын
Hili neno
@waithirahnaomy1573
@waithirahnaomy1573 3 ай бұрын
Dio
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 3 ай бұрын
Saudia atanunulia urusi kwanza urusi ndio ana silaha nzuri kuliko marekani
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 3 ай бұрын
S 300 na S 400 imeshapigwa na kuteketezwa kabisa crimea na ndani ya urusi.Mwenye silaha bora ni America.
@FridayMwassa
@FridayMwassa 3 ай бұрын
Hivi nchi yenye uchumi bora Duniani iwe na silaha dhaifu
@Timothymchomi
@Timothymchomi 3 ай бұрын
kwenye kubadilishana pesa na mafuta hasa kwa tz na saud , mtu mmoja tu ndo alikuwa anaweza , si mwingine bali JPM so kaa kwa kutulia dollar litaendelea kutumika kwa kila kitu mtake msitake
@masoudal-abry8038
@masoudal-abry8038 3 ай бұрын
Good very good.
@ce-08
@ce-08 3 ай бұрын
Hapo sasa huenda kukatengenezwa Gari za umeme kwa wingi Ili kuuwa soko la mafuta
@emiliankomba5217
@emiliankomba5217 3 ай бұрын
Hapo saud asipotulia atapata changamoto sana, magari ya umeme na pia marekan atatumia uas hasa ukizingatia saud bado anamtegemea marekan kwenye ulinz
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 3 ай бұрын
​@@emiliankomba5217kwanza wana mpango ya kuuwa matumizi ya mafuta yanaharibu mazingira.
@SalumMohamed-ph4yn
@SalumMohamed-ph4yn 3 ай бұрын
Kwahiyo unataka kunambia mafuta hayakua na kazi daima?
@ce-08
@ce-08 3 ай бұрын
@@SalumMohamed-ph4yn yatatumika lakini kwa uchache yakija magari ya Umeme yatatumika sehemu nyingne huko
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 3 ай бұрын
Sasa hawa saudia ndio wamemtia adabu marekani kwa ushetani watu wa pale palestine
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 3 ай бұрын
Naa'am hili ni Pigo kuwb xana km litafanikiwa Na Marekani hawez kukubali kirahisi
@tanzaleo8670
@tanzaleo8670 3 ай бұрын
SAUDI ANATAKIWA KUWEKEZA BANK HAPA KAMA VILE CHINA UNAWEKA SHILINGI UNAENDA CHINA UNACHUKUA YUAN
@FridayMwassa
@FridayMwassa 3 ай бұрын
Hela ya china umeiona wapi
@BenMamadou-w9e
@BenMamadou-w9e 3 ай бұрын
Iyo saudia itaanguka mda sio mrefu maana warabu hawajakuaga na akili timamu subirin Njo mtajua maana ya dollar 💵 ya usa 🇺🇸
@IbniAbbas-yz3kt
@IbniAbbas-yz3kt 3 ай бұрын
Hivi unavyojua wewe ni pesa gani yenye nguvu duniani?
@Awatee
@Awatee 3 ай бұрын
Weye mwenye akili vzr Umeona kuona mwanaume kwa mwanaume ndio akili
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 3 ай бұрын
​@@IbniAbbas-yz3ktdollar ndio inatumika sehemu kubwa duniani.
@IbniAbbas-yz3kt
@IbniAbbas-yz3kt 3 ай бұрын
@@MathewNathan-yb2bz sio dollar tu ambazo hutumika duniani kuna pesa nyingi zina tumika tena zina nguvu zaidi ya dollar zako
@bosssyedmund8785
@bosssyedmund8785 3 ай бұрын
The change has come Please take care dear brother😊
@hallymahmohamed3516
@hallymahmohamed3516 3 ай бұрын
Safi sanaaaa ❤😂
@Officialjidaa-sn9cs
@Officialjidaa-sn9cs 3 ай бұрын
Wamejichanganya😂😂😂😂😂
@Optionxll_Playz1
@Optionxll_Playz1 3 ай бұрын
Safi sana
@maulidrehani
@maulidrehani 3 ай бұрын
Kiukwel saudia wamefanya poa lkn hofu yangu saudia itasaini tena sabab ya utegemez wa usalama sabab hila za mmarekani zinajulikana ajiandae kwa regime change waasi na vita visoisha plus vikwazo
@Dennis733-p7g
@Dennis733-p7g 3 ай бұрын
Bado haja sign tulia kwanza kwa Marekani achomoki 😂😂😂
@radjamtaki5597
@radjamtaki5597 3 ай бұрын
Shoga wewe
@godcompeter9844
@godcompeter9844 3 ай бұрын
Wahuth watauziwa silaa na ndo mwisho wao
@radjamtaki5597
@radjamtaki5597 3 ай бұрын
Elewa mambo wewe,Hujui kama marekan anapambana na wahouthi yemen??? Atawauziaje silaha???
@radjamtaki5597
@radjamtaki5597 3 ай бұрын
Kwan wewe unaongea hvo kama nana wa marekan???
@Dennis733-p7g
@Dennis733-p7g 3 ай бұрын
@@radjamtaki5597 😁😁kama ambassador 😁😁😁
@salimabdallah5176
@salimabdallah5176 3 ай бұрын
Kama kweli JAZAA HUMU LLAH
@HusseinSaguti-sj9nh
@HusseinSaguti-sj9nh 3 ай бұрын
Tatzo hili taifa laongozwA na wanafiki kuptiliza Hayo tunayoshuudia na ujinga wa suudia Anawatajirisha wamarekan Alaf marekan inawAfadhiri waisrael iwauwe waarabu
@faidamuhamed3011
@faidamuhamed3011 3 ай бұрын
Uchambuzi maridhawa maboresho kdg kwenye picha inshallah mko vzr lkn
@hunstonjuliusmkonyionlinetv
@hunstonjuliusmkonyionlinetv 3 ай бұрын
sio kweli we muongo
@dicsonbiko-wz7ym
@dicsonbiko-wz7ym 3 ай бұрын
safi sana saudi arabia achana na mabepari wa kimagharibi waafrika hapa tuna cha kujifunza
@FridayMwassa
@FridayMwassa 3 ай бұрын
Ukiwauliza wasaudia wote wanatamani kuishi marekani kuliko hapo Saudia au Russia au China
@pesaspy_tv
@pesaspy_tv 3 ай бұрын
😂😂😂 nacheka mazuri wamarekani wanalambwa kila kona Hii mikataba ya muda mrefu haina maana yoyote ndy maana saudi imekataa kusaini tena
@lombardocrich6177
@lombardocrich6177 3 ай бұрын
Tusubirie vita ya Dunia 😢😢😢😢😢
@HajiHaji-v9f
@HajiHaji-v9f 3 ай бұрын
Saudia ni vibaraka
@marckmasassi7466
@marckmasassi7466 3 ай бұрын
IN THIS WORLD NOTHING IS PARMANENT AND TIME IT'S GREAT HILLER WHEN YOU REACH TO THE PICK THE NO WHERE YOU CAN GO ESPECIALLY STARTING TO GO DOWN THAT IS WHAT HAPPENING TO THE WESTERN COUNTRIES STARTING WITH AMERICANS
@muhamadharun9432
@muhamadharun9432 3 ай бұрын
Kweli kabisa kaka aly lakini ndio juzi viongoz wetu kwenye bunge la bajeti wamekataa manunuzi ya ndani kufanywa kw dolaa sa sijui wanamyazamo gani hapo
@AlmachNestory
@AlmachNestory 3 ай бұрын
Tuombe uzima kwani yajayo yanafurahisha mno, lakini kuhusu hili tulipe muda, muda umebeba majibu ya kila kitu, ila Saudi Arabia ni kibaraka mtiifu wa mabeberu Marekani hivyo ana sura mbilihawaaminiki kabisa, muda ukifika utaongea tu.
@NiniOman-lx5lg
@NiniOman-lx5lg 3 ай бұрын
Alhamdulillah
@AmosMabula-bf1dr
@AmosMabula-bf1dr 3 ай бұрын
Puting vita yake akl nyng nguvu kdg
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 3 ай бұрын
Kwani mpaka soudi ndio Wana mnafuta Nigeria ina mnafuta mazuri Tu na pengine yapo sema wote watabafilika
@idinado-wk3lx
@idinado-wk3lx 3 ай бұрын
Tatizo siyo mafuta uwe unaelewa nasiyo kukulupuka tatizo nikutumika Kwa dollar katika ununuzi wa mafuta maana yake pesa yoyote itumike pesa ya china, Tanzania Kenya n. k
@imamushafiiforgoodislamict5420
@imamushafiiforgoodislamict5420 3 ай бұрын
Saudia anamafuta na rasilimali watu pia, maana kila mwaka waislamu dunia nzima kutoka ktk kila nchi wanakwenda kuhiji pale makka, na gaharama za kwenda huko utumika dollar ndiomaana dollar hatakama ukaikataa vp kwamamilion ya waislamu dunian kila mwaka inafikia hatua nilazima waitafute dollar ili waende makka, sasa saudia kitendo cha kuikataa dollar na kuiruhusu pesa yoyote ile unafikilia dollar itaanguka kiasi gani ?
@HusseinSaguti-sj9nh
@HusseinSaguti-sj9nh 3 ай бұрын
Hana ajualo Hayo mafuta ya nigeria kwa cku ni bpipa hata lak havifi Saudia ndio nchi ya pili dunian kuzalisha mafuta safi yakwanza urusi Kbl ya vkwazo ilikua inaingza sokon pipa milion 12 Jitu lingn bichwa debe tupu Ajisemea tu Haya nigeria yk niyangap Unapozungumzia mafuta ya suudia unazungmzia uchumi waduniA
@dominic4727
@dominic4727 3 ай бұрын
India china wamekubaliana ku fanya biashara kwa pesa zao hili ni jambo zuri
@EmayNgayda-in9gx
@EmayNgayda-in9gx 3 ай бұрын
Inafaa kuwe na world currency value against local currency value kurahisisha biashara duniani.Mataifa yajadili
@omarysaid8725
@omarysaid8725 3 ай бұрын
Hapa ndipo utakapo kuja kuona ukuu wa Russia
@abdullahhashimu2380
@abdullahhashimu2380 3 ай бұрын
Safi sana huu ndio uzalendo
@AbdulhalimYusuf-bc6rj
@AbdulhalimYusuf-bc6rj 3 ай бұрын
Dj smaa atuandalie makala inayohusu huu mkataba wa saudia na Marekani na ziara ya putin katika nchi za kiarabu inaonekana ziara hiyo imezaa matunda mimi Ustadh hamad kutoka pemba
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 3 ай бұрын
Titanic nyingine inazama pole pole, walipata nafasi lakini wakaitumia hiyo nafasi kuchapia wengine
@faidamuhamed3011
@faidamuhamed3011 3 ай бұрын
Hawa jamaaa waarabu sasa wana jambo lao kwanza viza yao kuipata siku zijazo itakua sio kirahisi kama sasa, lkn pia wanaiunganisha sasa kama ile ya schenngen wow em tuangalie itakavokua badae
@ashahania5207
@ashahania5207 3 ай бұрын
Afrika ina vitu vingi sana ambayo msaaudirabia anavihitaji .
@omarysaid8725
@omarysaid8725 3 ай бұрын
Sasa anguko la Dollar sasa ina anza kuanguka
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 3 ай бұрын
Hapana ,dollar haiwezi kuanguka ww
@DaudFataki
@DaudFataki 3 ай бұрын
Kupewa pewatuu unajuamsaada unakunyimauhuru unakuahunamsimamo kilakitu unamsikilizabwana tuh etihadibajeti yanchi iongezwe namarekan ivi hiinyumba kunababa kweli dunia inabadilika twenden nawakati watanzania mungu katujaalia uhuru tungekuambali kamasiosiasa mikopo itokekwavijana wote
@khalfanmlala5093
@khalfanmlala5093 3 ай бұрын
Hapo sawa wajitambue
@hassanbilali1697
@hassanbilali1697 3 ай бұрын
Ni vema na sisi tukawa na sarafu moja if not Africa basi East Africa
@OlaisMoses
@OlaisMoses 3 ай бұрын
Nachoshangaa mmarekani anavopigwaa vita ndio dola inapotea na kupanda bei Sanaa sijui dunia inakwama wapiii
@emmanuelchiza7733
@emmanuelchiza7733 3 ай бұрын
Saud Arabia kachelewa Sana mafuta sio Dili tena ulimwenguni😅😅
@coyancodavao4004
@coyancodavao4004 3 ай бұрын
Bado ni dili,na anaenda kuchanganya na Gesi ya urusi
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 3 ай бұрын
awe makini,marekani watamtoa roho!!
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 3 ай бұрын
The world will never know peace.
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f 3 ай бұрын
But only Jesus.
@mfupakhamis9751
@mfupakhamis9751 3 ай бұрын
Madini duniani ndio Dili mafuta fedha dhahabu Tanzanight na kazalika Tanzania wacheni ulimbukeni wa akili mgando Ardhi ndio Kila kitu. Wachumi wacheni elimu za kimagharibi wakati ndio huu tusiwe watizamaji. Wachumi wacheni kujisifu tuuuu. Ufalme wa Mungu usimame. Amin
@alexmabaraza7367
@alexmabaraza7367 3 ай бұрын
dunia anahamia kwenye nishati ya umeme😂😂😂😂
@GraceMashinga-be9wb
@GraceMashinga-be9wb 3 ай бұрын
Tukutane ,juma pili au juma tatu Wana SNS
@ramadhankilango9088
@ramadhankilango9088 3 ай бұрын
Natamani awe amepata ufahamu wa jinsi magharibi wanavyofanya unyonyaji kupitia dola
@mountaincoffee7
@mountaincoffee7 3 ай бұрын
Watoto taifa la kwesho niwakati. Sasa viongozi kujenga mifumo bora kwa manufaa ya vizazi vijavyo
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 3 ай бұрын
Wamejitbua warabu.
@HamduniYasir
@HamduniYasir 3 ай бұрын
Hapa ungemuweka Dj Smaa aongere hii issue ndo tunge enjoy bro
@MS.independent8934
@MS.independent8934 3 ай бұрын
Nimependa sn kuona ajasaini na asije kusaini kbs abakie na msimamo huohuo inshallah
@ZahorSalum-h9q
@ZahorSalum-h9q 3 ай бұрын
Hhhhhhh kwisha habariyake marekanii.
@ibrahimwashokera6219
@ibrahimwashokera6219 3 ай бұрын
Brother kwanamna unavyoto maelezo nikama haujajiandaa kama kama zimekua nyingi eee mzee kama hujiamini ivi jaribu kunyoosha maelezo
@GabrielSky64
@GabrielSky64 3 ай бұрын
.. Tuna shangilia mkataba wa Saudi na American kuanguka. Ila kumbukeni kuna mkataba wa Saudi na England wa milele. Bado haijabadilisha kitu. Tukumbuke hajakataa ila kuna mabadiliko tu anaitaji.iwekwe sawa ki mkataba
@Luzwiro27
@Luzwiro27 3 ай бұрын
Think twice dunia inahitaji kuwania uhuru sio inchi moja inaongoza dunia inatakiwa tuwe na wakubwa kazaa china Russia Marekani ili tusiperekwe perekwe
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 3 ай бұрын
Saudia hana ujanja kwa Marekani hata iweje.Hapa nashangaa waafrika wengi wakishangilia kuanguka kwa dollar bila kujua hata hao urusi na hao saudia wala hawana msaada kwetu.pia juzi tu nchi za G7 walikaa na kujadili jinsi ya kulisaidia bara la Afrika kuondokana na umaskini.Yaani hawa watu wanaoshangilia dollar kuanguka hawajui kabisa kuwa haya maisha tunayoishi yenye angalau kauafadhali ni mikopo kutoka kwa hao hao na wangekataa kutoa hela zao tungekuwa na hali duni sana.
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 3 ай бұрын
​@@MathewNathan-yb2bzhuyo mzungu faida yake nikuleta ushoga Africa hiyo ndio faida na msaada unaouzungumzia?marekani watatengwa karibia na robo tatu za nchi katika hii dunia maana wanatumia watu vibaya, wanachochea vita nchi za wengine ili wapogane uchumi urudi chini ili wao wazidi kuwa marajiri, watu wameamka sasa
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 3 ай бұрын
@@fatumamwalimu5765 utakuwa mpumbavu na mjinga wa akili.Utakuwa una ulemavu wa akili kama utasema heti kuwa mzungu hana faida yoyote.utakuwa una upungufu wa akili kama utasema kuwa mzungu analeta ushoga.ushoga unauleta ww mwenyewe au mwanaume yeyote anayeutaka ushoga au kuwa shoga ndio anajiletea mwenyewe.mzungu hakuna siku aliyomlazimisha mwanaume kuwa shoga au msagaji au kahaba au mdangaji au kuiba wanaume wa watu au wake za watu ,ni tabia mbaya.Mfano ww ukichepuka,ukijiuza ,ukifanya umalaya ,ukiwa msagaji au ukiiba waume za watu utasema mzungu ndio kakuletea? Au ukiroga na kuua watu kiuchawi utasema mzungu kakuletea.kumbuka wazungu wana mazuri na mabaya pia.ww chukua mazuri yao ila mabaya yao achana nayo.Kufirana pia utasema wazungu.kaolewe zanzibar au mombasa uone.
@IsmailIbrahim-yy3ls
@IsmailIbrahim-yy3ls 3 ай бұрын
🎉
@tumainielmaruwa3148
@tumainielmaruwa3148 3 ай бұрын
Kazi ipo
@daudimchileg307
@daudimchileg307 3 ай бұрын
Naamini aliewazuilia kusaini huo mkataba,amefanya vema, lakin apewe ulinzi mkubwa any day tunaweza kuona R.I.P
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 3 ай бұрын
Saudia wanafik tu
@StellaCharles-zk4kb
@StellaCharles-zk4kb 3 ай бұрын
Mnao ikejeli amereka ni kama mnajitekenya wenyewe na kujichekesha wenyewe
@sultanbakary4292
@sultanbakary4292 3 ай бұрын
Osha tako kwanza
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 3 ай бұрын
​@@sultanbakary4292ww ndio uoshe kwanza manake hadi sasa unatumia you tube yao na intaneti yao.Usijisahaulishe.
@e11said23
@e11said23 3 ай бұрын
Tupo pamoja mpaka dola izame kabisa kwisha habari yake
@BimHamdi
@BimHamdi 3 ай бұрын
😅iwe kama pesa ya tanzania ambaya hata kenya haina samani
@mfaumemfaume3813
@mfaumemfaume3813 3 ай бұрын
Asalamu alykum warhmatuallah wabarakat Ally masubi mwisho malizia na matangazo yakawaida mm siyo mpenz wa bet
@jumamayonga8914
@jumamayonga8914 3 ай бұрын
Kifo cha dollar 😢
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 3 ай бұрын
Dollar haiwezi kufa
@usercabal
@usercabal 3 ай бұрын
Baadae mafuta yatakuwa sio mchongo ndo maana Dubai,Qatar wameshashtuka
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 3 ай бұрын
👊👍✌️.
@jumakatanje955
@jumakatanje955 3 ай бұрын
Kuna kitu nimejifunza kutoka saudi arabia,,moja walikubali mkataba ili wajengewe na kujifunza kibiashara na wameweza leo dubai ni sehem muhim kibiashara,hata mafuta yenyewe hawakujua thaman yake sasa wamejulisha.kiujumla wamejifunza mengi na sasa wanataka wafanye wenyewe.
@HusseinSaguti-sj9nh
@HusseinSaguti-sj9nh 3 ай бұрын
Nadhan yamezinduka Biashara yao ndio inayowapa jeur ya fedha marekan alaf inatoa silaha na pesa kuwauwa waarabu Parestina
@FridayMwassa
@FridayMwassa 3 ай бұрын
Yakwenu yamewashinda mnahangaika na ya marekani
@JoesB-i5i
@JoesB-i5i 3 ай бұрын
Vip kuhusu rasilimali kama madini kama wayanavyo ya hitaji na rasilimali zingine.
@josepheriah5977
@josepheriah5977 3 ай бұрын
Sis mafuta tunayo
@josepheriah5977
@josepheriah5977 3 ай бұрын
Atachimba ata bongo
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 3 ай бұрын
Hiyo ni hatari kubwa M'mungu atunusuru. Atabadilisha sura ya nchi kabisa. Hawana wema na yyte yule.
@Jibambeshow254k
@Jibambeshow254k 3 ай бұрын
Alafu kunampuuzii maskini Ruto ndio ametia upumbavuu kuwakubali hao wamerekani 😂😂😂 kanataka kua chawa kw kukoeshua vitu kutoka uko kitaturamba wakenya
@JohnoAbdoul
@JohnoAbdoul 3 ай бұрын
Watamuuwa
@janetlamb9018
@janetlamb9018 3 ай бұрын
Saudi Arabia haiwezi kushindana na Marekani kwanza who ndio wanaomba marekani wawalinde kutokana na mashambulizi kutoka Iran 😂
@cidewashington670
@cidewashington670 3 ай бұрын
Uraaaaaaa🇷🇺🤝🇸🇦💪
@ChancellorFelix-vm5yp
@ChancellorFelix-vm5yp 3 ай бұрын
Tutawauzia dhahabu ,Almas,Tanzanite n.k tuna madin kibao Mzee au umesahau kama Magufuli alishasema Tanzania n tajir kila unapogusa Kuna mali unafkir wazungu wanajazana uku kuja kufata mbuz!??
@KAMTUPE
@KAMTUPE 3 ай бұрын
Ally masubi 🧠
Amazing Parenting Hacks! 👶✨ #ParentingTips #LifeHacks
00:18
Snack Chat
Рет қаралды 22 МЛН
War or less? Lebanon on the brink
27:38
The Economist
Рет қаралды 3,5 М.
How to win a argument
9:28
ajaxkmr
Рет қаралды 569 М.
What are scientists hiding about Einstein's faith? Exposing Dawkins' Deception
11:21
Famous Historian EXPOSES ISR*EL’S FACTS! | Isr*el’s Future In The Quran!
30:55