Fuatilia sehemu ya kwanza ya story ya Denzel Trainer hapa • Trainer wa LAVA LAVA a...
Пікірлер: 247
@meenaj41724 жыл бұрын
Jamaa hata hajateseka kumuhoji...anampa mada jamaa anatiririka ... big up bro Denzel
@juliaayieta25784 жыл бұрын
Wow this is a very good interview by far.....nimejifunza vitu kadhaa. *Building trust *Nithamu *Kuwa Mkarimu *Time management Shukran sana for the interview 🙏🏾💯💯
@tales2544 жыл бұрын
Watching from Kenya, I respect this guy.
@kibwamoko87674 жыл бұрын
Dah! Huyu jamaa ni hustler, mkweli na genius wa life.
@pichunakichuna21114 жыл бұрын
Jamani huyu jammaa aonekana mkweli sana na anapenda kazi yake sana bravo ❤️❤️❤️👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾🇨🇭🇨🇭🇨🇭🇰🇪
@ilynpayne74914 жыл бұрын
nime mpenda sana huyu bro ni mtu mkweli sana na ana heshima na hekima daah noma sana
@mpoko9mpoko9844 жыл бұрын
Denzel sawaaaa classmate wng nimekupataaa nakumbuka sanaa enzi hizoo tukiwa IFM na ubishani wetu juu ya Yusuf mlela na Hemed pHD hahahahahahaha..umetishaa kijanaa
@moxamudhallac_official91174 жыл бұрын
Am a Somali- kenyan I love Tanzania . The culture in Tanzania and the way people are cool kills me. Love Tanzania
@assaandrew24114 жыл бұрын
+255764668911
@yaedlifemedia32034 жыл бұрын
blessed
@khadijakhadija-ve7tv4 жыл бұрын
Karibu san Tanzania😝
@dottnatt71104 жыл бұрын
I LOVE too
@victorlyimo6974 жыл бұрын
Karibu Arusha Tanzania
@priscillaamossen82494 жыл бұрын
I like his personality, 👏🏽👏🏽👏🏽👌🏾👍🏾💪🏽
@mpendwalove43904 жыл бұрын
Nice interview and this guy looks very interesting and hardworker.
@tanzaniaoman64234 жыл бұрын
Hongera sana ni kijana unaejitambua MwenyenziMungu atazidi kukuweka juu
@nelsonthadei50564 жыл бұрын
kumuoji mtu mkweli ni raha Sana
@centralboytz42404 жыл бұрын
Mwana yuko real sana nmemuelewa na nmejifunza yan ukijua jins ya kuish na watu raha sana sio unakaa na jitu had kudek chumba chake ni ishu 💯✊🏾
@ramadhanhemed99314 жыл бұрын
True
@Daphne3624 жыл бұрын
Jamani Njoo uwe personal trainer wangu mie💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾❤❤❤❤❤
@mandyfitnesstv67384 жыл бұрын
Karibu kwenye channel yetu ujifunze mazoezi
@mandyfitnesstv67384 жыл бұрын
Karibu kwenye channel yetu ujifunze mazoezi
@hamzamussa87274 жыл бұрын
Me ni Trainer mzuri nichek 0659883213
@ismailyusuph7404 жыл бұрын
Mh....!
@fahadfaraj18224 жыл бұрын
@@hamzamussa8727 sio fisi
@mwajoma13732 жыл бұрын
Nimependa san hii tuletee nazingine kaka kaz nzur san💯💯💯
@joekungu94184 жыл бұрын
Honest guy and grateful to GOD..big up bro kutoka nairobi Kenya
@salmaluhombero84664 жыл бұрын
Denzel before you know utakuja marekani Hollywood Amina
@samutykuntathebantu84024 жыл бұрын
Haha nimejipata hapa seriously nafatlia hii as if am Tanzanian. love from 🇰🇪🇰🇪 to our neighbours but story iko fine
@SimuliziNaSauti4 жыл бұрын
Thanks, come here often brother
@samutykuntathebantu84024 жыл бұрын
@@SimuliziNaSauti sure this the place.
@irenesanayo91784 жыл бұрын
Pia mimi qurantine imeniletahapa😂😂
@johnohando23904 жыл бұрын
Great interview Denzel, you such an inspiration, good way of kuepuka umaskini.
@christinembeye54894 жыл бұрын
Smart Guy and Humble. He's so Real & Good Guy. Keep it Up👏
@bajosdamour23474 жыл бұрын
Jamaa anaonekana mkwel sana anaongelea hadi mshahara anaopewa nani mwengine anaweza kuongea..
@aminathaabubakarmasoud5654 жыл бұрын
He's very bright 👏👏🤝
@oceanocean95854 жыл бұрын
Saf sana mzee napenda sana watu wakwel ili na wengine tujifunze pia kupitia wao
@hijasalehe30984 жыл бұрын
Amazing experience....GOD blessings Denzel!
@shamsanasserharith49984 жыл бұрын
Smart man I admire you
@Patrickpatrick3534 жыл бұрын
Kweli nizanu ya kazi siku zote huwa zinawafikisha watu mbali amini ivo saluti sana bro
@iammarwa4 жыл бұрын
Watching from Philippines
@belitadaudi81504 жыл бұрын
Wow... Wewe jamaa ni mkweli.. Mungu akubarikk
@Th1highredfevoured4 жыл бұрын
Your so open, even the Salary bro hoi ficha kiasi lakini, anyway big love from Kenya
@alfanm.82214 жыл бұрын
Mambo
@emilymideva87834 жыл бұрын
Congratulations and nice to believe in God.
@Th1highredfevoured4 жыл бұрын
Omy the green T-shirt guy, sisemi kitu. I like your story bro God bless you.
@adilhabibu79584 жыл бұрын
Broo hongera sana kwa kazi bora
@georgecharles60434 жыл бұрын
Thank you so much for this interview sns I got his #
@magiehermess99494 жыл бұрын
Uko Sawa kweli, keep it up 💪👌👌
@musaabuebker17504 жыл бұрын
brilliant sana
@DesertTears4 жыл бұрын
Safi Sana Ila fanya bidii ujenge kwako,kukodi sio issue
@neemapeter1864 жыл бұрын
Nimependa alivyokuwa anajituma alipositiriwa kwa mshkaji ili asionekane mzigo kwa mtu alike that spirit kuna watu ukiishi nao unatamani aage kesho yake mizigo kwelikweli
@johnohando23904 жыл бұрын
What he is trying to say is time is money,by coming late he will miss the clients, clients have money,Denzel big up.
@hamiduissa80894 жыл бұрын
Nimempenda huyu jamaaa
@mtazycomedy4 жыл бұрын
Sijapenda maelezo ya mwenyeTv
@Rayman0774 жыл бұрын
God bless you brother 🙏
@MissDG-x6e4 жыл бұрын
Great interview bro, Denzel is a fighter, God bless him.
@karimomari46324 жыл бұрын
💯
@livinusinawapatasanamarco63764 жыл бұрын
Dah saf Sana kaka nimekuelewa Sana broo
@jonashamis37554 жыл бұрын
Safi Sana kaka nakubar sana
@djumadjumbe69074 жыл бұрын
Big up sana bro
@jafarinyallu65694 жыл бұрын
big interview, big up Mr. Benzel
@husnakidoti41814 жыл бұрын
Daah ,,, nilichojifunza ni kuwa na subra katk maisha aisee
@beatricefondo25134 жыл бұрын
Pole
@keysaldiwani49274 жыл бұрын
Mwanangu san ....tunamuitaga bazoka
@rosemarymusanga95754 жыл бұрын
Kazi nzuri sanaa but fanya bidii..nunua Nyumba la kwako
@kaburaakbar48384 жыл бұрын
Wcb for life simbaaaaa
@jbformative21764 жыл бұрын
Dope interview 💥👌
@alhajishehoza80484 жыл бұрын
Hiyo definition ya umaskin nmeielew San Broo,,, na naamin wew kweli ur Elite
@sarahrashidabdallah31094 жыл бұрын
Nimependa hii interview napenda mtu mkweli ktk maisha mungu azidi kukulinda ubaki na moyo huohuo
@allykibatz15562 жыл бұрын
What kinda interview danzeltrainer
@happyclaud53184 жыл бұрын
Hom boy sanaaa trainer makambako
@chitec43944 жыл бұрын
Unaweza kusikilza hata mara kumi kwa siku. Mungu aendelee kukupigania
@bonnysureolkokolaboy43424 жыл бұрын
Ohya utampendaje ninja mwenzio
@mtimkavu60624 жыл бұрын
Huyo dada mwenye kitop cha njano yupo vzri sana kawiva anaspeed ya tizi
@davidibrahim91384 жыл бұрын
Waha hawajawahi kufeli kwenye life
@mufasa20794 жыл бұрын
Very disciplined guy.
@GadiEdiomwakanyamale4 жыл бұрын
NIMEJIFUNZA MTAJI NI WATU NA HAKUNA KUKATA TAMAA 🙏🙏🙏
@centralboytz42404 жыл бұрын
Sns mko vzur wazee mnadeal na jamii nzima hamfanyi fanyi mnafanya kaz jahbless✌🏿
@megaprintprint58784 жыл бұрын
Good spirit...keep it up bro.
@jumarwambo74204 жыл бұрын
Ahseee we brooh m nitakutafuta ngoja nijichange nimependa hustling
@kalvinmalisa12044 жыл бұрын
Denzel@ nmekuelew mwamba mkwel sana
@kaundajonas75314 жыл бұрын
Dhaaaaaa maisha haya Safar ndefu sana😁
@dannymusictz94424 жыл бұрын
Dope
@haimahaima94734 жыл бұрын
Esco mbna nlkusahau maan so kwa shavu hlo😂😂😂😂😂
@aminanamoyo834 жыл бұрын
Esco leo nakuona umenenepa,shavu dodo 😉😁
@selemanjuma45154 жыл бұрын
Daah brow mkweli sana
@ZaharadaffaZaharadaff4 жыл бұрын
Ni mkweli sana huyu kaka nimependa
@athumaniayoub22464 жыл бұрын
Nakubali sana
@spreadlove21194 жыл бұрын
Hivo vibao vya tumbo awe makini anaweza kuleta mushkeli kwa wateja wake.
@hassanimakame83754 жыл бұрын
Huyu jamaa anafurahisha sana kwamba masikio yaliwakua😂😂😂 yalitaka kuzidi vichwa
@shaniahrachma31144 жыл бұрын
😀😀😀😀
@vibetz99914 жыл бұрын
""njoo ,maana we una njaa Sana ,,njoo""
@jeremiahmanyirizu8554 жыл бұрын
We nae fara kila mtu ananjaa hata ww unanjaaa zaidi ya hyo
@enockchaula62924 жыл бұрын
Daaah hata mimi nmecheka japo inauma sana
@salimkibwana15954 жыл бұрын
Jamaa ame hustle
@funnyhouse58964 жыл бұрын
Ebitoke alikupigia simu? Ok thank you 😆😆😆😆😆 l like that
@lovvy8544 жыл бұрын
Huyo jama wa mwisho Rasta duhh kakaza butii yaani 😄😂🤣
@fadhilisemzungu91544 жыл бұрын
Jamaa yuko wazi sana kwa kila kitu
@mtimkavu60624 жыл бұрын
Tamba baba umeendelea sana kiukweli unambwa Tisa utashindana Na idadi ya mbwa waliopo barracks, Baunsa pia unalindwa kweli ulinzi muhimu
@saudambinga38324 жыл бұрын
Uko vzr, lkn nakushauri fanya bidii umiliki mjengo wako mwenyewe yaani babuuu kubwaaa
@eddyimamu7514 жыл бұрын
Salute kama zoteeee Mzee BABA....
@mwanajumaomahundumla65044 жыл бұрын
Mcheshi mpaka nimempenda yaani yuko vizuri mkweli yuko halisia interview haijanichosha
@charlesfidelis94284 жыл бұрын
Uko virur broo nakubali
@farouqbanda86564 жыл бұрын
Nmekupenda nami
@mwanajumaomahundumla65044 жыл бұрын
@@farouqbanda8656 asante sana
@mwanajumaomahundumla65044 жыл бұрын
@@charlesfidelis9428 mtu mkweli hua hana drama wala kusema kila swali no comment
@hellenimmaculate59534 жыл бұрын
Denzel Niue😂😂😂😂😂
@kalvinmalisa12044 жыл бұрын
Kw nn?
@Moses-Kuria4 жыл бұрын
The secret is you are learned period, umuhimu wa elimu kazini ndo hii inaonekana vizurii
@linahbayi58484 жыл бұрын
Tunaomba namba yake ili kuitafuta gym yake
@dottnatt71104 жыл бұрын
Sasa si ujenge kuliko kulipa kod kubwa iv mnakwama wapo kaka na dada zetu??
@aminathaabubakarmasoud5654 жыл бұрын
Danzel trainer sports clothes shop.
@zabuboy48514 жыл бұрын
Broo hakika we niwa kuigwa
@kibwamoko87674 жыл бұрын
Jamaa anasema ashavunja nazi sana na magomeni ashawahi kuvunja nazi saa 10 za jini
@nishasalim28804 жыл бұрын
Anaongea sana though.
@tousihhhh67654 жыл бұрын
nimelupenda san
@georgecharles60434 жыл бұрын
I'm so inspired with this dude, please sns can I get can I get his number 🙏🏾
@krisongalax17364 жыл бұрын
Eti namtaja anaitwa zilpa😂😂
@omarymbalala62244 жыл бұрын
Heshima heshima heshima
@aminathaabubakarmasoud5654 жыл бұрын
Please namba za Danzel nahitaji kuonana nae after back home Tz.
@ramakassimu77334 жыл бұрын
0714079398
@edwinmathias1294 жыл бұрын
kaka nahitaji no za huyo trainer
@cazoramahussein19984 жыл бұрын
jamaa anajifanyia interview mwenyewe 😂😂😂😂
@officialmrtop10184 жыл бұрын
Kivipi sasa? Kashaulizwa swali ndo anajieleza sasa ili wew mtazamaji ufaidike
@sponsor78824 жыл бұрын
WW UJIELEWI
@allthings13024 жыл бұрын
😀
@ramadhaniayubu61034 жыл бұрын
😂😂😂
@jackilineyahayaseleman19434 жыл бұрын
Hatar kama kameza kanda
@hisanhaji65204 жыл бұрын
Ukosawa namimi nikija daa nitakufata
@aminathaabubakarmasoud5654 жыл бұрын
Denzel.
@vibetz99914 жыл бұрын
Madam Rita akuite hom private...sio bure Kuna kitu