GPS: ISRAEL yawanyima Usingizi waliompindua Assad Syria, US yawasiliana na HTS, amani itadumu?

  Рет қаралды 21,330

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 182
@WILLY_SKY1
@WILLY_SKY1 7 сағат бұрын
Dj Sma ni think tank IQ top notch ✅
@Mindset_99-m
@Mindset_99-m 13 сағат бұрын
Dj smaa namuelewa sana anaona mbali sanaa kama ni wakukurupuka huwezi kumuelewa. By the way tunawapenda sana wana sns Brother Sky, Henry, Ali masubi na Dj sma.
@KibabiMtumbaClassic
@KibabiMtumbaClassic Сағат бұрын
Yani Mimi ninacho mkubali smaa hachambui tuu habar Bali anajutafutia mpaka lilipo chini ya kapet❤
@denisruvugo1764
@denisruvugo1764 13 сағат бұрын
To be honest nikimuona bwana Mwinuka nafarijika sana na nondo zake za kisheria.... Ally saivi amekua smart sana... dj smaa unyama ni mwingi..! Generali sky salute Nyingiiiiii... lets Go
@youngbona3804
@youngbona3804 3 сағат бұрын
Sky unaendeshaga iki kipindi kw unyama mwngi sana big up🔥💯✌️
@ernestkunja3472
@ernestkunja3472 15 сағат бұрын
Smaa nakukubari sana na Henry
@disanatv4485
@disanatv4485 16 сағат бұрын
Hongera sana mnafanya kazi kubwa, MUNGU awabariki, ninaomba mpate kibali machoni pa Raisi muwe mshuri wake. Ninaona TANZANIA mpya, Ikiwa watachukua Mawazo yenu, Mmbebarikiwa.
@OnesmoEphrata
@OnesmoEphrata 15 сағат бұрын
Saf sana maoni mazuri pia Hawa jamaa Kwa ninavyo ikija kuwa mambo siyo mazuri Hawa ndio watakao toa muongozo wa silaha nzuri na drone pia aina nzuri ya mashambuliz nk k
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 16 сағат бұрын
Da kaka Henry nilikumisi Sana jaman..na dj smaa..apo Sasa ndo tunainjoy kipindi wote mkitimia Yan🥰🥰🌹🌹...Aya tupeni pindi Sasa..ngoja nichukue peni na daftar nianze kukop notsi
@musajosephmotte4222
@musajosephmotte4222 11 сағат бұрын
Kuchangia aah
@Bosezizunae
@Bosezizunae 5 сағат бұрын
tunataka ibrahim rahbyy❤❤
@Noel-u2m
@Noel-u2m 14 сағат бұрын
Dj smaa you best uko really sana kak
@AmbweneKaini
@AmbweneKaini 10 сағат бұрын
Nawakubali na nawafuatilia sana na kubwa zaidi hamna udini
@HusseinAli-g9w
@HusseinAli-g9w 7 сағат бұрын
Smaa yupo kama kawaida mtu na nusu 👏👏👏🇹🇿
@YamuremyeYarodi
@YamuremyeYarodi 13 сағат бұрын
Ahsanteni sana team GPS ❤ila mimi ninachoona magharibi izo inchi kukosa amani sio shida kwawo iyo hali hua inawanufahisha shida tilionayo nikwamba hua tunawaamini kwakile walichosema kweny media wamagharibi njo walivyo wanachosema et amani sio kwel wawo njo wanaanzisha ayo makundi nakuyafadhiri waarabu sas niwakabila sana namambo ya dini anawasumbua njo maana wanakua wepesi kupenyeka nawanachonganishwa vyepes
@kamilagwajuma8384
@kamilagwajuma8384 4 сағат бұрын
Dj saam 🎉 clip ya leo asaad na uchambuzi wako 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@anordgerison8639
@anordgerison8639 3 сағат бұрын
Ally Yuko vzr Sanaaa kiukweli team zote Dj sma nae Yuko vzr Sanaaa
@browskymuba6923
@browskymuba6923 2 сағат бұрын
Yaaah hapo full wote wapo 😊
@uwimana6533
@uwimana6533 15 сағат бұрын
Huyu jamaa Abu mohamedi wamarekani watamua wazungu niwatu wamaslah , 😂😂 wanakutumia wakikuitaji wakifanikiwa wanakupiga chini kaiuza nchii kwaujinga wao 😂😂😂
@hanifahassan-sf1gg
@hanifahassan-sf1gg 11 сағат бұрын
Hio ni kweli after ashaifanya Syria kua free and poorly slaves 😢
@FrankieFrank-e4e
@FrankieFrank-e4e 3 сағат бұрын
Mnajua sana mpaka mnakera
@YamuremyeYarodi
@YamuremyeYarodi 12 сағат бұрын
Smaa hua ww napenda sana jinsi unavyozongumzia jambo hua unasema mambo kwa umbali sana kwamifano unatijahidi kuchimba hua nakuelewa sana hua haufokasi sana kwa matangazo ambayo tunaambiwa najingine hua husemi yale ambao watu wanayoitaji kuskia kutegemea naupande anashabikiya hua unasema kile unachojua.
@alexmahenge3817
@alexmahenge3817 2 минут бұрын
Nawakubali mnoo mnoo mmekua Msaada mkubwa sana kwenye eneo la Udadavuzi yakinifu. Wa mambo ya kivita Ulimwengu. Nawaombea mafanikio makubwa mpate vifaa vingi zaidi kwaajili ya Vipindi vyenu.
@AllyKisulila
@AllyKisulila 15 сағат бұрын
I was miss you so much my brother from another the team is on fire it's coming back 🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇧🇮🤝
@athumanimsangi7092
@athumanimsangi7092 6 сағат бұрын
Nawakubali wote .Tuseme mko full package
@domajosep3797
@domajosep3797 4 сағат бұрын
👏👏👏
@salimbahatisha3003
@salimbahatisha3003 3 сағат бұрын
Wakili msomi henry, mzee wa makoti uko nondo sana
@ShehaHaji-k8t
@ShehaHaji-k8t 9 сағат бұрын
Muko sawa sana kw uchambuzi wenu Irani yupo kikaangoni, mda wwte toto tundu litafanya mambo.
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 13 сағат бұрын
Asante san kwa uchambuzi
@fadhilindunguru7946
@fadhilindunguru7946 6 сағат бұрын
Mimi pia nawaelewa na kuwafuatilia. Mko vizuri japo mambo mengi ya siasa za ndani huwa mnayaskip. Yaani,,, huwa hamjadili na kuyachambua.
@anny19988
@anny19988 5 сағат бұрын
Unataka watekwe 😂😂😂😂
@msellemnassir1831
@msellemnassir1831 14 сағат бұрын
Mwinuka umeeleza Kwa ufasaha sana
@MohammedBwanga
@MohammedBwanga 14 сағат бұрын
Wazungu ni weupe wa rangi tu lkn roho zao ni mbaya sana
@joshuajohn8533
@joshuajohn8533 14 сағат бұрын
Wewe una roho nzuri?
@YahayaKiobya
@YahayaKiobya 11 сағат бұрын
Hakuna watu wenye roho mbaya ka waarabu 😂😂😂😂
@MohammedBwanga
@MohammedBwanga 11 сағат бұрын
@YahayaKiobya wazungu ndio waliuwawa waafrika milioni 10 kaka king leopard wa ubelgiji kauwa wakongi mil 10 haya mauwaji yanayoendelea duniani na njaa wao ndio chanzo
@MikelSitoe
@MikelSitoe 10 сағат бұрын
wa Raabu ni saa mbovu, yani ubaya wale Wana tungwa na wazungu, hao wanaishi kama Robots wanamilikiwa😂😂😂😂
@lwagamwakalinga8038
@lwagamwakalinga8038 7 сағат бұрын
Waafrika waliochukuliwa utumwani na waarabu je kizazi chao kiko wapi ikiwa wana roho nzuri ? Je huoni waafrika vizazi vyao huko brazil na Marekani bado vipo ? Jamani tuweni wakweli.​@@MohammedBwanga
@sharifahabsi5004
@sharifahabsi5004 15 сағат бұрын
Pamoja sns frome Oman 🇴🇲
@bonifacemwansasu6638
@bonifacemwansasu6638 14 сағат бұрын
Israel wako vizuri,wanaona mbali na hawamwamini mtu especially mwarabu.
@magorymara5515
@magorymara5515 13 сағат бұрын
Wasrael wala hawana shida na hawana nguvu ya kufanya hayo mambo ila wanaofanya ndo wanaosomba siraha kuelekea huku ili kutimiza agenda zao Israel ni mamruki tu inatumika kama walivyotumika kipindi cha kumsaka Yesu zaman
@sosbrayantbenjamin9701
@sosbrayantbenjamin9701 13 сағат бұрын
Sma kuna makala moja ulitoa juu industry ya music jins ilivo na inavo endeshwa jana Vanessa kazungumza kitu kile kile aisee hatar sana
@HawaBakari-u6q
@HawaBakari-u6q 16 сағат бұрын
Nakubali sana sn s for life by idriss msakanoti aka ngozi ya kilimo
@KraudiJinioro
@KraudiJinioro 16 сағат бұрын
❤niko nanyiny
@husseinhemedi9314
@husseinhemedi9314 13 сағат бұрын
Ivi mnajua aliy masubi hajawai kuikosa GPS
@choggysly3541
@choggysly3541 3 сағат бұрын
Mleteni na Ibrahim raby
@paulvimbamvula9508
@paulvimbamvula9508 15 сағат бұрын
Israel imefanya kitu kizuri sana kwa usalama wa Israel
@OnesmoEphrata
@OnesmoEphrata 15 сағат бұрын
Ume ona mbali
@salymsuleiman2035
@salymsuleiman2035 14 сағат бұрын
Yaani nyinyi wakristo munawatetea israel wa wanawafira
@Awatee
@Awatee 14 сағат бұрын
Yaani madhwalim utawajua tuu wakitetea waovu wenzao yaani wazayuni wamevamia bado eti wamefanya vzr Mwenyezi Mungu atunusuru na vizazi vyetu juu ya upotevu kama wenu na uovu wa dhulma kwa hakika muko kwenye giza mno
@salymsuleiman2035
@salymsuleiman2035 14 сағат бұрын
@@Awatee hawa mbwa usibishane nao hawajui walifanyalo wala walitendalo....mbwa hawa laanatullah
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 14 сағат бұрын
​@@salymsuleiman2035kama ww unavyofirwa na waarabu,
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 10 сағат бұрын
Ila Henry anajua sana aisee
@HassanRamadhanPashua
@HassanRamadhanPashua 16 сағат бұрын
Noma sana waenda weka pesa magharibi mwisho wake ndio ivo
@paulvimbamvula9508
@paulvimbamvula9508 15 сағат бұрын
Kuweka pesa maghalibi ni kwajili hakuna bank apa duniani kuweka pesa nyingi komaso hocho ata Urusi Hana uwezo huwo. Sasa Asaad alikuwa anawanyima wanainchi wawo uchimi
@ramakira7895
@ramakira7895 5 сағат бұрын
Na ss tumekums 🙏🙏🙏
@Moranotz
@Moranotz 11 сағат бұрын
Safi kwa uchambuzi wazee wa gps
@ce-08
@ce-08 10 сағат бұрын
Hiyo bendera hawajaandaa wao HTS hiyo bendera ilikuwepo toka kipindi cha maandamano 2011 ilikuwa inapeperushwa kwenye maandamano
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 11 сағат бұрын
Abu mohammed mdaa si Mrefu watampindua na yeye. Big wachambuzi wetu wetu wa GPS hamjawahi kutuangusha. Kutoka Gikombaa Nairobi
@AssumaniAssani-tx7ym
@AssumaniAssani-tx7ym 13 сағат бұрын
Fred karibu
@AbudullaSulieman-ez7dl
@AbudullaSulieman-ez7dl 7 сағат бұрын
Waa kuridi hawana nchi wapo kila sehemu hata huku kwetu ujerumani wapo lkn hawana nguvuu hata chembe na ndio maana hata sadamu alikuwa anawapelekea moto nazani asili yao wanatokea afugani
@hidayahidaya-vd3ze
@hidayahidaya-vd3ze 14 сағат бұрын
Semeni isaraeli ishafika mwisho wake kwavile muungu Q.raani haisemi uwingo atakumbatiya ardhi lakini hakai kwaraha zitamuwakiya moto haki siyo yake
@joshuajohn8533
@joshuajohn8533 14 сағат бұрын
Endelea kuota ndoto 😂
@godsonkyense4742
@godsonkyense4742 2 сағат бұрын
Peleka ma uislamu yako huko mamaye
@joshuajohn8533
@joshuajohn8533 50 минут бұрын
@@godsonkyense4742 😂😂😂😂😂😂
@ShehaHaji-k8t
@ShehaHaji-k8t 8 сағат бұрын
Dah niliwasbiri sna muko vizuri mumetuonesha mchezo wa bao la kete bdo kitandawili, mm team Russia tmeumia lkn kamanda Putin hatabiriki ngoja tuone
@MzeeKigogo_
@MzeeKigogo_ 16 сағат бұрын
Israeli ameamua kuchukua hatua mapema kabla magaidi hayajachukua silaha za utawala wa Assad na kuzielekeza Tel Aviv
@abubakarsaid7303
@abubakarsaid7303 15 сағат бұрын
Tutaona mengi mwakan inshaall
@khalifaalmugheiry9232
@khalifaalmugheiry9232 5 сағат бұрын
Abu jawlani ni chambo kwa marekani, uturuki na iran bado siwamini kwenye hii game inayo endelea, ila siku za mbeleni tutawajuwa zaidi
@MathaMsumi-l1b
@MathaMsumi-l1b 4 сағат бұрын
Nimefrai kukuona herry kwakwwl
@JajiZakayo-fw9mk
@JajiZakayo-fw9mk 15 сағат бұрын
Iran imeingiza siraha nyingi sana kupitia Syria ili kumtesa Israel sasa Israel naye ataitumia Syria hiyo hiyo kumtandika Iran sawa sawa, ukiuwa kwa upanga utakufa kwa upanga.
@ramadhanichuma7925
@ramadhanichuma7925 14 сағат бұрын
Nonsense
@ce-08
@ce-08 11 сағат бұрын
Unajua shida ya watu wa nje wa Syria tunaona kama Assad alifaa kuendelea kuiongoza lakini ukweli watu wa ndani wa Syria waliichoka serikali ya Assad ndyo maana waliposhindwa kumtoa kwa maandamano wakaona sawa tu kukubaliana na mgeni yoyote atakae kuja kuwasaidia ili tu serikali iliyopo iondoke ndyo maana mataifa mengi yaliyoingia pale yamepata uungwaji mkono kwa urahisi
@111dudi
@111dudi 15 сағат бұрын
Israel inaoewa silaha za kisasa, bure kutoka America.Netanyahu anawadanganya. Lakini anachofanya ni deni, ilo siku itamgeuka
@KevinKihongosi
@KevinKihongosi 16 сағат бұрын
Nakubali sana ila hamsomi komenti
@williamkeita1519
@williamkeita1519 10 сағат бұрын
Ninawafuatilia sana but jaribuni kufuatilia taarifa za Drc kongo mashariki juu ya mapigano yao ili East Africa waelewe dhulma zilizopo jiran hapo
@ramadhaninyangasa7275
@ramadhaninyangasa7275 10 сағат бұрын
Inasikitisha Sana waislam kuchezewa kama mpira WA miguu,, insha'Allah kila kitu Mungu amekipa muda maaluum, na muda wao mayahudi na washilika wao utaisha tuu soon insha'Allah aamin, ni afadhari kua na urafiki na Putin
@jebace
@jebace 9 сағат бұрын
kaka kitabu ndicho kinachowasumbua,kitabu kinawafundisha upuuzzi ndio mana watu wamagharibi na wazayuni wanatumia mazaifu ya kitabu kuwagonga kama nguruwe mwizi,kwa mfano kitabu kinasema wakristo wayahudi wte makafiri,kitabu kinasema kufa,sio ifu unaenda 1 kwa 1 peponi na mabinti 72 wakuwapiga mini,na ukifa hatusemi umekufa tunasema umekuwa shahidi😂,pumbavu ndio mana wenzenu wameona kati ya watu wote duniani waislam wanakubali cheap death, unawaua kirahis na kwao ni ushindi, 😂,kwahiyo wazungu wakitaka kujaribu slaa wanawajaribia waislam Lebanon syria irag Afghanistan Iran sudan😂,na mtakufa tu mpka mpate akiri
@Williamstozzo
@Williamstozzo 8 сағат бұрын
So kila mwarabu ni Muslim
@godsonkyense4742
@godsonkyense4742 2 сағат бұрын
Acha udini Ramadhani huo ni udhaifu mkubwa
@ernestkunja3472
@ernestkunja3472 14 сағат бұрын
Smaa alizungumza mapema Syria watalia mapema Sasa wanapiga kelele ya nini Assad alikuwa anavumilia mengi
@MsatiOne
@MsatiOne 4 сағат бұрын
Jamani Asad ajapinduliwa bali ameamua kuondoka mwenyewe
@spearnyondo4590
@spearnyondo4590 11 сағат бұрын
Israel for life
@AthumaniMohamedi-v6i
@AthumaniMohamedi-v6i 11 сағат бұрын
Ili taifa linaitwa tule siku mungu akalishusha taifa lenye kumiliki Dunia Awa ndungu watata futa Dunia Yao ya kuishi😂😂😂😂😂akuna sehemu wa sio ichokoza😂😂😂😂😂😂
@j4amas5
@j4amas5 Сағат бұрын
Wazee wa taifa la mungu haya tuambieni mashambuliz 800 ya Israel nchini Syria kachokozwa na nan?
@joely58
@joely58 2 сағат бұрын
Abata ban sanaula aiya hora huko mmea unalimwa nimechochora saña
@dorcaskarago2876
@dorcaskarago2876 15 сағат бұрын
Wapeni wenye akili mauwa yao
@emanuelidamiani2943
@emanuelidamiani2943 9 сағат бұрын
HTS wanategemea UN itawasaidia israel isiwapige!!!😅😅😅😅 HTS kazi wanayo, wangejua hata wasingempindua Assad. Ngoja tuone.
@diffrentperspective-z7t
@diffrentperspective-z7t 8 сағат бұрын
Israel hapigi HTS, anapoga maghala ya Silaha ya urusi, iran na China
@emanuelidamiani2943
@emanuelidamiani2943 5 сағат бұрын
@diffrentperspective-z7t nadhani hujafuatilia vizur mambo ndg yangu. Elewa kuwa kundi linaloendesha nchi ya Syria ni HTS, kwa hiyo Syria ikipigwa na Israel ni HTS wamepigwa. Pili, Israel inahofia sana Syria yenye nguvu kijeshi, ndio maana inaharibu asset za kijeshi za syria. 3. Kambi zilizopigwa ni za Syria sio za mrusi, kama unaevidence ya hayo unayosema tupe.
@BofuMlanzi
@BofuMlanzi 4 сағат бұрын
Kazi ya kupokonya silaha itafanywa na Israil.
@hanspop6961
@hanspop6961 8 сағат бұрын
Wananchi Watamkumbuka ASAD
@Idoman493
@Idoman493 13 сағат бұрын
Inasemekana Baadhi ya Wanajeshi wa Syria Wameenda Lebanon kujiunga Na Hezbolla
@BofuMlanzi
@BofuMlanzi 4 сағат бұрын
Sio usalama tu cha mbele kwa wote ni uchumi.
@Karimchembela
@Karimchembela 16 сағат бұрын
Mwinuka masub smaaah 255
@worldhappiness1181
@worldhappiness1181 6 сағат бұрын
Kwannkwann Masubi anarefer Syria as maadui wa Israel!!? 😢
@anny19988
@anny19988 5 сағат бұрын
Walikuwa ni njia ya kupitisha silaha za Hezbollah
@MohammedBwanga
@MohammedBwanga 14 сағат бұрын
Tatizo la machafuko dunia mzima NI fitna za hao wazungu Kwan ktk jamii za afrika na kwengine watu walikua wanaishi kw Raha kabla ya hao wazungu kuingia kwetu na kwengine lkn na huko uingereza wamedumu kw sababu sie waafrika na warabu na Asia hhatuna tabia ya kufitinisha na kuharibu Amani ya wengine.
@paulvimbamvula9508
@paulvimbamvula9508 15 сағат бұрын
Syria hijashikilana na Lebanon...lakini na Hizbollah
@star_wizard2792
@star_wizard2792 14 сағат бұрын
Kabla ya kuja kuweka comment jifunze kutambua penye R ikae R na penye L ikae L!!
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 10 сағат бұрын
​@@star_wizard2792😂😂😂 Msamehe tu mkuu.
@emmanuelShayo-dk6vf
@emmanuelShayo-dk6vf 15 сағат бұрын
Wapeleke motoooooo
@MaurusMpinga
@MaurusMpinga 15 сағат бұрын
Jamaa alievaa suti anaitendea aki mada yuko clea
@ViniciusOfficialtz
@ViniciusOfficialtz 15 сағат бұрын
Anaitwa Henry mwinuka
@MaurusMpinga
@MaurusMpinga 14 сағат бұрын
Yuko vizur tena ndani ya mada
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 11 сағат бұрын
Always yuko Smart sana kichwani jamaa na pia ni Mwanasheria kitaaluma.
@mndambokilavo2502
@mndambokilavo2502 5 сағат бұрын
Mimi naangalia mambo mawili kwanini nchi imechukuliwa kirahisi hivyo, kwanini mrusi amemchukua assad tu halafu akaachia nchi
@fredmbossa-kc3qn
@fredmbossa-kc3qn 6 сағат бұрын
Nchi ikishakuwa na mafuta na gesi sometimes ni majanga tu....
@anny19988
@anny19988 5 сағат бұрын
Yaani hata sisi kipindi kile Mtwara kuliwaka chanzo ni gesi😢😢😢. Ni vile tu Tanzania tuna umoja kwahiyo wanashindwa kutuchonganisha. Huwezi ukachukua wasukuma 1000 wakaue wamakonde . Hiyo haipo. Msukuma anamuona mmakonde kama ndugu yake ingawa makabila tofauti. Isingekuwa hivyo ile vita ya Mtwara isingeisha. Hata pale Kagera kuna madini ya Cobalt yanayotoa roho za watu huko Congo lakini hao waizi wakifikiria kutafuta wauwaji wa kusababisha vita Kagera ili wachote Cobalt wanashindwa.
@AlfredMatemu
@AlfredMatemu 2 сағат бұрын
Abuu ni cia wamemuandaa kwa mda fuatilia
@MathaMsumi-l1b
@MathaMsumi-l1b 4 сағат бұрын
Chama lilikamilka leo
@Skomi-0nedayyes
@Skomi-0nedayyes 10 сағат бұрын
SNS please fanyeni utafafiti kuusu YAS zamani Tigo, mtagundua kuwa hiyo kampuni inaamasisha ushoga na usagaji nchini yani mapenzi au ndoa za jinsia moja na iyo YAS ni ishara Yao kubwa YAS ni muda wetu inamaa mashoga ndio muda wao. Jaribuni tu ata ku google mtaerewa nini ambacho na sema hilo jina YAS na uyo mmiliki mpya wa Tigo sio salama kwa tamaduni za Taifa letu mila na desturi za nchi.
@Karimchembela
@Karimchembela 15 сағат бұрын
Ukiwa kwa upanga netanyau anakushenyeta😅😅😅😅😅
@salumsaid5369
@salumsaid5369 8 сағат бұрын
Trump alishasema ISS ilitengenezwa na Obama kwa ajili ya maslahi ya Marekani.
@abdulrazack9577
@abdulrazack9577 15 сағат бұрын
Henry mtata sana anakupa fact hadi unakuwa mpole😂
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 10 сағат бұрын
Jamaa anajua sana aisee na ndo anainogesha mno GPS.
@FredWabwire-w3q
@FredWabwire-w3q 7 сағат бұрын
Mukubalitu warusi na wairani wameshindwa huko syria
@ramamahanyu9314
@ramamahanyu9314 14 сағат бұрын
Crew imekamilika leo
@naqiahmad26
@naqiahmad26 9 сағат бұрын
leo mme kamilika nimetoa jino langu kuwaona
@isayansi
@isayansi 13 сағат бұрын
9:10
@YahayaKiobya
@YahayaKiobya 12 сағат бұрын
Chezeeni ingine ya Israeli ni ngumu mnoo 🤣🤣🤣
@Kakh-c9r
@Kakh-c9r 8 сағат бұрын
Asad yupo pamoja na julani
@johnmike6059
@johnmike6059 13 сағат бұрын
Ayo ndo malipo Yao kwakuwaamini mashoga safi nawatajuta kama libya
@dorahbenard1837
@dorahbenard1837 5 сағат бұрын
Opiam ndo zao Gani jmn?
@MarkIsrael-t7k
@MarkIsrael-t7k 13 сағат бұрын
Kila neno smaa analotumia kingereza linatafsrika kwa kiswahili vizuri tu, kingereza chanin? Huu sio uzalendo
@uwimana6533
@uwimana6533 16 сағат бұрын
Asante sana 😂😂
@paulvimbamvula9508
@paulvimbamvula9508 15 сағат бұрын
Assad alikiyachia kwaku amini Iran na mu Russi...pia alikuwa hawalipi wanajeshi wake vizuri
@saradiribo8288
@saradiribo8288 15 сағат бұрын
Inaitwa Israel, itakula bongo adui zake wte.
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 15 сағат бұрын
Kila kauli inayo tolewa na hili kundi la tahril, inatoka uturuki sasa Israel...bora iendelee kugombana na Iran...asiununue kwa turkey, mivutano itawafirisi haswaaa
@omondiowino7875
@omondiowino7875 15 сағат бұрын
Uturuki hawezi mpiga Israel bro... Uturuki itahitaji msaada wa NATO kumpiga Israel...sasa jiulize USA itakubali NATO kuishambulia Israel..? Kwa hivyo Uturuki Kwa njia moja au nyengine itahitaji msaada wa Urusi na Iran kupigana na Israel
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 14 сағат бұрын
@omondiowino7875 itakua ni vigumu pale uturky akifikia hatua yakurushiana makombora na Israel...et aombe msaada hakuna kitu kama hcho uturuki atatwangana na Israel pasipo msaada labda tu israel ndo wamezoea kusaidiwa ila uturki bhana hakuna cha msaada mzee
@omondiowino7875
@omondiowino7875 14 сағат бұрын
@AFRICA_D669 hivi unadhani ni kwanini Uturuki kila mara kwenye umoja wa mataifa ilikuwa ikisema kuwa Israel asipozuiliwa basi hao Uturuki ndo next kwenye mahesabu ya Israel...bro Israel ni bad news kwenye vita..usitumie vita vya Gaza na Lebanon kama kipimo cha uwezo wa Israel... kumbuka kuwa Hezbollah na Hamas hawana military base so hiyo inaleta changamoto..ila subiri vita vya Israel na Iran ndo utajuwa nguvu ya Israel... Iran analifahamu Hilo na ndomaana wakiuliwa wanatumia magaidi wa Hezbollah na Hamas maana gaidi hajali madhara anayoyaleta Kwa raia hata akifa nao
@joycedimoso8648
@joycedimoso8648 14 сағат бұрын
Safi kabisa unajua mpaka unaboa Uturuki itapigana na Israel kwakujiunga na bricks sasa Hivi bado haajiunga lakin itajiunga badae kma unabii unvyosema katika Ezekiel 38
@omondiowino7875
@omondiowino7875 14 сағат бұрын
@joycedimoso8648 haya mambo yalishatabiriwa.. Ezekieli 38 ipo wazi kabisa
@AssumaniAssani-tx7ym
@AssumaniAssani-tx7ym 14 сағат бұрын
Jaribu wazee
@ManzabaySalim
@ManzabaySalim 8 сағат бұрын
Hio tunajua plan ya israel america LBQT na HTS kitu kimoja
@MarkIsrael-t7k
@MarkIsrael-t7k 13 сағат бұрын
Smaa punguza kingereza, kuwa kama wenzio, hakuna wazungu wanaojua kingereza tu wanaangalia hhizi chambuzi kwa kuwa tu unatumia kiswakinge
@JamesJastin-bg1rx
@JamesJastin-bg1rx 12 сағат бұрын
Natamani nikupe zawadi
@khamisshaban4703
@khamisshaban4703 11 сағат бұрын
Ulitumwa usisome
@bishweko
@bishweko 13 сағат бұрын
Netanyahu na Jolan mbona kama ni family moja? Sio Kwa mfanano huo
@hamisiomary8681
@hamisiomary8681 15 сағат бұрын
Waache waaribiwe SI wametaka wenyewe watamkumbuka assad
Were Israel’s Actions in the Gaza War Justified? Eylon Levy vs. Mehdi Hasan
1:06:50
THE SEEING EYES - (ACCESSING THE GIFT OF SIGHT) WITH APOSTLE JOSHUA SELMAN
2:58:38
Новости дня | 16 декабря - дневной выпуск
11:40
Euronews по-русски
Рет қаралды 50 М.
Новости дня | 16 декабря - вечерний выпуск
11:42
Euronews по-русски
Рет қаралды 9 М.
IS THE QUR'AN GOD'S WORD? | LECTURE + Q & A | DR ZAKIR NAIK
3:27:19
Dr Zakir Naik
Рет қаралды 316 М.