PUTIN AWA MBOGO, AONYA VITA YA TATU YA DUNIA 'TUTAWALIPUA MAREKANI WAKIENDELEA KUTUCHOKOZA’

  Рет қаралды 28,106

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Пікірлер: 57
@ramadhaniOsujacki
@ramadhaniOsujacki Ай бұрын
Tunakupata vizuri sana ndugu mwananchi kwa kuenndelea kutujuza habari za ulimwengu mungu akubariki sanna
@josephmulula440
@josephmulula440 Ай бұрын
Aplication militarily chance application niko tayari kujiunga jeshi la urusi
@husseinissa7118
@husseinissa7118 Ай бұрын
Hata mm nipo tayar kuwasaidia Russia maana upande wao ndio sahihi kabisa kuwa
@danielndusilo4723
@danielndusilo4723 Ай бұрын
Hawezi
@YamunguMatamya
@YamunguMatamya Ай бұрын
Hana uwezo huo na msanii sana
@arthurmwabulambo1201
@arthurmwabulambo1201 Ай бұрын
Vita kuu ya tatu ya dunia ukiianzisha wewe utakaa wapi? huo ni wendawazimu.russia kwanza hawakutegemea hii vita kuchukua muda wote huu na hali yao mbaya. Vita haina maana yoyote, ni ushetani na uuaji wa watu bure.
@venancerutta6875
@venancerutta6875 Ай бұрын
Putin hana lolote ameisha miaka 2 na yeye hana nguvu kwa sasa
@venancerutta6875
@venancerutta6875 Ай бұрын
Yeye atakaa wapi ameisha nguvu zake kwisha
@josepheriah5977
@josepheriah5977 Ай бұрын
Urusi zaif
@AbdallahSalim-is3db
@AbdallahSalim-is3db Ай бұрын
Wacha kuonya miaka nenda miaka rudi... piga nyu kilia ili uibuke mshindi wa hilo neno new clear
@KaluKadheinge
@KaluKadheinge Ай бұрын
stori za jaba, ukrain miaka mitatu
@faridfrefre35
@faridfrefre35 Ай бұрын
Urus anapigana na nchi karibu 30 zenye uwezo na anavhukua maeneo inatutosha
@princejoseph-g3y-g2f
@princejoseph-g3y-g2f Ай бұрын
Iwapo marekani itafanya full scale invasion kwa Russia Putin atashidwa vita tu. Ukraine ni nchi dogo Sana lakini limeua wanajeshi laki Saba WA urusi kwa hivo jiulize kama ni marekani anapigana moja kwa moja na urusi kungeeda aje
@NicholausLwaipa-c3j
@NicholausLwaipa-c3j Ай бұрын
ACHA ushabiki​@@faridfrefre35
@GeraldElias-s7j
@GeraldElias-s7j Ай бұрын
​@@faridfrefre35sio kweli angepigana na NATO angekua kashakimbia kitambo Ukraine
@husseinissa7118
@husseinissa7118 Ай бұрын
​@GeraldElias-s7j tatizo huna update wanajeshi wa Nato wapo ukrein na ndio wanayoongoza mitambo yote ,ndege, missile zote za uingereza na marekan dhidi ya Russia...angekuwa zelensk ni mwezi mmoja tu angekimbia nchi
@issadullah2074
@issadullah2074 Ай бұрын
Piga mashoga hao nato wamepotezana Hawajui wap waanzie putin baba lao anazidi kuwaburuza marekan magaidi wa ulimweng wanapaswa kutiwa adabu namalinda yapepeee
@emanuelmaraki9758
@emanuelmaraki9758 Ай бұрын
Siokuonyaa Putin anajua mzikiwake marekani ni kibokoo akili mingii sanaaa ubaya umbwelaaa
@williamsimusanga6605
@williamsimusanga6605 Ай бұрын
Marekani hajawahi pigana vita akashinda
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 Ай бұрын
​@@williamsimusanga6605Urusi ilishinda vita ipi?
@suratibrahim6417
@suratibrahim6417 Ай бұрын
Putin 🇷🇺💯✍️
@NgendandumweAlouise
@NgendandumweAlouise Ай бұрын
Mpe kazi bashad kutoka syria kuhusu marekani bado sana kaka
@AlexGwiha
@AlexGwiha Ай бұрын
Nikwl
@emmanuelmmbaga5209
@emmanuelmmbaga5209 Ай бұрын
hawajui ht unabii ...malekan ndio atailazimisha dunia kila mtu apokee chapa , hakuna super power mwingine xaid ya USA mpk yesu anarud ...someni biblia. utus anafukuta tu hana lolote, ameshateketeza jesh lake kubwa sn kule ucrain, na ghala nying za silaha. mpk akaongezewa jeshi na korea
@EzekielMbise
@EzekielMbise Ай бұрын
Fanya kwa vitendo tumechoka maneno president putin
@josepheriah5977
@josepheriah5977 Ай бұрын
Ukraine piga uyoo Syria kashindwa
@OmarNasor
@OmarNasor Ай бұрын
Afadhali ijetuuondoke wote hakunafaifaida yakuishi kamawatu wengine wanaangamizwa bilahati Tena watoto mama wa wenzutu wazee wagonjwa bilahati hichondio kiama chenye
@bonifacekomba7060
@bonifacekomba7060 Ай бұрын
Kamwacha Syria peke yake hana lolote mikwara tuu uoga mwingi Ukraine anamsumbua
@AlexGwiha
@AlexGwiha Ай бұрын
Et bwana
@husseinissa7118
@husseinissa7118 Ай бұрын
Syria yenyewe ilijichanganya kushirikiana na Turkey kumbe Turkey yupo na USA na Nato wakamzunguka na akashindwa kupigana ambapo angepigana angesaidiwa na Iran na Russia kwa hio rais Asad alikuwa hataki hicho kiti alikuwa kauchoka uraisi maana huwezi kuondolewa na waasi wachache elfu 20 wakati una jeshi la watu 150,000 na nchi inachukuliwa bila mapigano ya maana.
@josepheriah5977
@josepheriah5977 Ай бұрын
Putin afe
@josephcharo1356
@josephcharo1356 Ай бұрын
Katambe bhana ili dunia iishe tu kila akatutane na muumba wake
@FadhiliAlly-fy2tx
@FadhiliAlly-fy2tx Ай бұрын
Kuna siku itakuwa
@rachigameni101
@rachigameni101 Ай бұрын
fuatilia Kwa makini ili ujue hiyo Russia kabla ya kufanya uvamizi kamili yaani uvamizi mkubwa wa kutaka kuchukua nchi yote alikuwa tayari ana miji minne aliyoiteka bila upinzani miaka 15 iliyopita, lakini mpaka sasa kafanikiwa kuongeza mji mmoja tu, huku Askari wasiopungua laki nane wamefariki na majeruhi lukuki(Askari waliopata majeraha makubwa kama kuvunjika miguu, mikono, upofu, viziwi ikiongezeka. Je Kwa uvamizi huu mkubwa amefaidika au ameingia Choo cha kike?
@ELIFASMADEBHO
@ELIFASMADEBHO Ай бұрын
Putin hatutaki kelele wapige sasa tushachoka
@MtotoKanya
@MtotoKanya Ай бұрын
Putini.unafahamu.anapigana.nadunia
@MtotoKanya
@MtotoKanya Ай бұрын
Ifute.malekani.putini.kwenyelamaniyaduni
@mariamumechara3398
@mariamumechara3398 Ай бұрын
Aligusetu aonetu
@DikiSali-h6k
@DikiSali-h6k Ай бұрын
Putin wapasue maana waliibia sana waafrica wakamuua kaka gadafi wamemwaga damu ya waalestina
@josephcharo1356
@josephcharo1356 Ай бұрын
Wakiingia vitani ujue watamwaga hadi damu yako. Lakini litakuwa jambo la heri kwako mana utapata fursa ya kwenda kujamiiana na wale mabikra 72 ulo ahidiwa na Mohamed
@hajijuma8661
@hajijuma8661 Ай бұрын
Unapomtaja m'bora waviumbe unatakiwa umtakie rehma, yaan ucseme Muhammad 2, bali ishia nakusema S.A.W,
@rasnchimbi
@rasnchimbi Ай бұрын
Putini zake ni kuonyaga tu😂
@hajiramadhanihaji355
@hajiramadhanihaji355 Ай бұрын
Mtu mwenye busara Sana.
@donaldmgunda4970
@donaldmgunda4970 Ай бұрын
Bwanaa putting maneno yako imekuwa mingii sanaaa,Kila siku unasema mstari mwekunduuu😮
@FrediBatoni
@FrediBatoni Ай бұрын
Anaijua mazara ya nuclear atuwez tasmani tuna weza lahani nakumchukia poutin sisiwote ndo mana anahonya sana mana yeye ndo mwenye sal bomber bom lamwisho kabisa lanuclear​@@hajiramadhanihaji355
@MtotoKanya
@MtotoKanya Ай бұрын
Bola.awafute.kwenyelamani.yadunia
@evaristbamfu7149
@evaristbamfu7149 Ай бұрын
We Putin chakaza hako ka ukileini mchezo uishe
@rachigameni101
@rachigameni101 Ай бұрын
West wanahofia tu silaha zake za nyukilia lakini si uwezo wa kijeahi alionao kwani mpaka sasa yukoi
@faridfrefre35
@faridfrefre35 Ай бұрын
Huna akili wewe unajua putin hapigani vita ni oparation maalimu Anapigana na nchi nyingi Ana vikwazo vingi Lazima atumie akili kupigana vita sababu vita ni pesa Lakin anachukua maeneo Na hataki kutumia nguvu nyingi atauwa raia wengi anazo silaha akapiga dakika tu kuigeuza keive majivu
@Baharia92
@Baharia92 Ай бұрын
Yuko hoi na wakati hv kalibun kachukua mji mwingine unasema yupo hoi huku akiendelea kuwashinda nato
@Picassomp-if2km
@Picassomp-if2km Ай бұрын
Unachoongea hata ww hukijui yani unaweweseka
@rachigameni101
@rachigameni101 Ай бұрын
Kwanza unapaswa kujua kwamba hakuna wanajeshi wa NATO wanapigana vita Ukraine, ni Ukraine pekee na jeshi lake jasiri lililopewa mafunzo mbali mbali ya kivita na kuwezeshwa misaada ya silaha kutoka magharibi ndio kikwazo kwa Urusi kushindwa kuitwaa Ukraine, "amakweli Ukraine ikiwezeshwa inaweza"
@rachigameni101
@rachigameni101 Ай бұрын
fuatilia Kwa makini ili ujue hiyo Russia kabla ya kufanya uvamizi kamili yaani uvamizi mkubwa wa kutaka kuchukua nchi yote alikuwa tayari ana miji minne aliyoiteka bila upinzani miaka 15 iliyopita, lakini mpaka sasa kafanikiwa kuongeza mji mmoja tu, huku Askari wasiopungua laki nane wamefariki na majeruhi lukuki(Askari waliopata majeraha makubwa kama kuvunjika miguu, mikono, upofu, viziwi ikiongezeka. Je Kwa uvamizi huu mkubwa amefaidika au ameingia Choo cha kike?
PUTIN AOMBA VITA NA MAREKANI, ULAYA ‘TUTAIJARIBU ORESHNIK’
4:34
Mwananchi Digital
Рет қаралды 29 М.
LIFAHAMU KUNDI LA M23, SABABU ZA KUIVAMIA DRC
9:23
Mwananchi Digital
Рет қаралды 10 М.
24 Часа в БОУЛИНГЕ !
27:03
A4
Рет қаралды 7 МЛН
БАБУШКА ШАРИТ #shorts
0:16
Паша Осадчий
Рет қаралды 4,1 МЛН
RUSSIA YAINGILIA KATI MAUAJI YA M23 CONGO DR, YASEMA….
5:25
Mwananchi Digital
Рет қаралды 30 М.
В Швеции ищут, кто разорвал подводный кабель
1:01
Euronews по-русски
Рет қаралды 30 М.
MWANAJESHI KOREA KASKAZINI ADAKWA UKRAINE, AFARIKI
9:12
Mwananchi Digital
Рет қаралды 5 М.
NATO WAMUONYA TRUMP KUTAKA KUSITISHA VITA YA UKRAINE NA URUSI
5:38
THE WORLD NEWS
Рет қаралды 19 М.
PUTIN ATOA KAULI RUSSIA, UKRAINE ZIKIBADILISHANA MAMIA YA WAFUNGWA
7:57
Mwananchi Digital
Рет қаралды 7 М.
TAZAMA MELI YA TAITANIC ILIVYOZAMA NA KUUA MAELFU YA WATU
19:08
Wasafi Media
Рет қаралды 10 МЛН
24 Часа в БОУЛИНГЕ !
27:03
A4
Рет қаралды 7 МЛН