Huu uchawi ila kwa vile wanafanya wazungu tunasema technology 😂😂🙌🙌
@Smart_FundamentalFx16 күн бұрын
Amini kwamba 😂
@DINASSOUR16 күн бұрын
Kwnn asingeshtaki kipindi chote hicho
@DINASSOUR16 күн бұрын
Anaumwa uyo dada siunaona hata vimacho vyake kama .. karanga za diamond
@Sarah-e1o9k16 күн бұрын
Kama hizi akili timamu na bado zinatusumbua je hizi bandi si tutakunywa sumu bili kujua😂😂😂😂😂😂
@Sharmy_0216 күн бұрын
😂😂😂
@FranckDaniel-cc5rg16 күн бұрын
Anatumika mbwa huyo ili kumshusha kaka yake
@smb43015 күн бұрын
Kumbaka ndugu wa damu inatokea sana mbona, miaka 12 anaweza, na ndio wanaanzaga mambo hayo!
@MfizoCrypto16 күн бұрын
Kesi ya FTX bado haijaisha now anapigwa tena tukio na dada , kuna muda bora ufe na ndoto zako tu sababu mafanikio yakishakuja basi wanaanza vita kukuangusha
@Numberoneu-x4i16 күн бұрын
Wanafamilia wa siku hizi Wana WIVU😢😢
@scienceinapplication15 күн бұрын
Elon musk nae nisehemu ya kampuni ya Open AI
@MsAggie58 күн бұрын
Nime down load hii app juzi, inajibu maswali harakwa na inatoa majibu kwa ukubwa mpaka raha. Tatizo ni wanafunzi kama kuna majibu ya kila swali watafanya homework au research kwa akili zao kweli?
@TheReporter-A4716 күн бұрын
Huyu atakuwa anaundiwa zengwe tu labda kwa sababu hataki kutoa siri za chart gpt
@nusalim338916 күн бұрын
Kaka yake huyo sam Altman kaolewa na mwanamme mwenzake Oliver malherin walikuwa mahusiano tangu zamani jamaa alikuwa shoga,na mwaka Jana ndio wameowana rasmi kabisa ndoa,mtu analeta mapinduz makubwa ya AI lkn kanyimwa akili ya kibinaadamu
@jamesmkanula462516 күн бұрын
NIMEONA KWELI DAAA
@smb43015 күн бұрын
Familia itakuwa na shida tokea mwanzo!
@AmmielNzala-fu4xu14 күн бұрын
Kweli au
@MsAggie58 күн бұрын
Shetani yuko kazini. Mungu tunusuru
@SidBrand16 күн бұрын
Elimu yetu ya sasa haiendani na mabadiliko ya dunia vitu kama hiv (A.I) ndo vinachukua nafas elimu yetu ni ya karne ya 19