NYANGUMI na makubwa MAZITO? Ni kiumbe wa MAAJABU! Hula Bahari ya ANTARCTIC na kuzaa Bahari ya Mtwara

  Рет қаралды 11,820

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 84
@jacobmathew475
@jacobmathew475 22 сағат бұрын
Haya ndo mambo tunayopenda hongereni sana...
@rahilmountana2340
@rahilmountana2340 Күн бұрын
wa kwanz kuskiliz sns 📌
@chuseboy
@chuseboy Күн бұрын
Duuuh hii dunia alaf kuna mtu aamin kama mungu yupo juu ya maajab yote haya😢
@Sarah-e1o9k
@Sarah-e1o9k 21 сағат бұрын
Hakika
@PUTINN365
@PUTINN365 21 сағат бұрын
Ahimidiwe
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 19 сағат бұрын
Nikwel kaka mungu ni mkubwa
@chuseboy
@chuseboy 18 сағат бұрын
@@jamilaathumani5481 hakika ametakasika yule aliumba ulimwengu na vitu vyote
@hkaniugu
@hkaniugu 10 сағат бұрын
Shida na yeye Mungu katokea wapi? Maajabu hayaishi, hakuna majibu
@RayMakini
@RayMakini 20 сағат бұрын
Unakujaaa vzuriii sn eskooo keep Up
@OnTarget-t6v
@OnTarget-t6v 23 сағат бұрын
Asante SnS
@Nikita_8017
@Nikita_8017 Күн бұрын
SMS is doing good , i love this topic!
@RonnieBertin
@RonnieBertin Күн бұрын
Nyie msicheze na huyo mnyama ni noma sana
@KhamisMohammed-y9l
@KhamisMohammed-y9l Күн бұрын
Utafiti wakuletewa na wazungu huu mimi toka watuletee kitabu kinasema binadamu alitokana na nyani nimeshindwa kuwaamini wanasayansi wote hata hili la nyangumi namashaka nalo
@jonamnyone8014
@jonamnyone8014 Күн бұрын
Kipi kinakutia shaka mbona vyote anavyosema vina ushahidi. Mfano kuzaa nyangumi hatagi. Kunyonyesha nyangumi ana matiti. Damu joto nk.
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 20 сағат бұрын
Fanya utafiti wako binafsi mkuu then utuletee tutakuelewa sana
@MohamadHamza-hb2qv
@MohamadHamza-hb2qv 22 сағат бұрын
Gharama za kwenda kumtembelea nyangumi mnazi bay ni kiasi gani,atuambie tukatembee
@fahimkhalifa5904
@fahimkhalifa5904 Күн бұрын
Nauliza nchi zinazofanya majaribio ya silaha au kurusha maroketi kutokea baharini je haileti madhara kwa viumbe hivi Nyangumi na Nguva ?
@FredMwamgogwa-td6ni
@FredMwamgogwa-td6ni 20 сағат бұрын
Bahari inabeba sumu zote za duniani na takataka zote za duniani pili bahari ni pana sana
@KijaSayenda-jo4iy
@KijaSayenda-jo4iy Күн бұрын
Tembo ana Tani 9
@nassormakame4955
@nassormakame4955 19 сағат бұрын
Je hoyo maziwa ya nyangumi anaeweza kutumia binaadamu
@benardmakori4012
@benardmakori4012 23 сағат бұрын
Nyagumi siyo samaki ni mnyama tena mbona sikuelewi kabisa kaka
@eliasaNgahehwa-l2f
@eliasaNgahehwa-l2f Күн бұрын
Tunawasikiliza hapa watu wa bahari
@Mahir-12-qe
@Mahir-12-qe Күн бұрын
Je nyangumi yualiwa?
@RonnieBertin
@RonnieBertin Күн бұрын
Wajapani wakimuona huyu kama sisi tukiona kuku mbuzi ng'ombe
@CulverBariki
@CulverBariki 7 сағат бұрын
Haya wazungu wanakula sana
@osmanmohammedosman5493
@osmanmohammedosman5493 Күн бұрын
Hapo kwenye samaki mtu sijakuelewa mkuu km umetupiga ivi
@Rizikialiamechannel763
@Rizikialiamechannel763 Күн бұрын
anatumia akili kma binaadam
@yusuphibrahim-yq9mv
@yusuphibrahim-yq9mv 21 сағат бұрын
😢😢😢😢😢😢
@OnesmoEphrata
@OnesmoEphrata 22 сағат бұрын
Urefu wa uume wa nyangumi ni fut8 mpaka fut10 hatari sana sasa sjui huwa unaliwa kama kitoweo au laaah 😮😮😮
@RayMakini
@RayMakini 20 сағат бұрын
❤❤❤❤❤❤
@hollymore4904
@hollymore4904 Күн бұрын
🎉
@RayMakini
@RayMakini 20 сағат бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@allymtunge5530
@allymtunge5530 Күн бұрын
Shukurani nataka kusikia story ya papa
@PatrickKahindifundisha
@PatrickKahindifundisha 23 сағат бұрын
Papa wa roma
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 19 сағат бұрын
Ungemuuliza kuhusu merimid je ikoje?
@Chw_Kdmn83
@Chw_Kdmn83 3 сағат бұрын
Nyumbu nae anazo akili kwa maana ileile ya nyangumi kw vile anauwezo wa ku survive na anajua afanyeje ili a survive. Ni ktk wanyama wanaosoma nyakati. Mungu alimuumba kwa kumlimit uwezo wake ili iwe vile alivokusudia. Wanavyo fanya nyumbu ndilo dhumuni lao la kuwepo ulimwenguni. Binaadamu ndie kiumbe mharibifu mwenye kufanya makosa mengi kuliko wote lkn pia hatusemi hana akili. Ila nyumbu mwenye kufanya majukumu yake sawa yy ndo hana akili..?
@eliasaNgahehwa-l2f
@eliasaNgahehwa-l2f Күн бұрын
Haya sasa papa si azaa nae inakiwaje samaki
@ibrahimngulungu
@ibrahimngulungu 19 сағат бұрын
Sasa unamuuliza munguu au unamkosoa????
@golebenson4597
@golebenson4597 23 сағат бұрын
Mnatuchanya bhana tan 2 ni kifaru tembo ni zaidi ya tan 9 mchambuzi umetuchanya nipo Kilimanjaro tembo tupo nao kila siku
@user-ui7lb5yc2l
@user-ui7lb5yc2l 14 сағат бұрын
Wanawake wanakela na vikelele vyao kukiwa na hali ya hatali
@mathiasmb4967
@mathiasmb4967 13 сағат бұрын
Mbona kwa biblia wanasema eti, Yona alimezwa na nyangumi,nahapo unasema kwamba haina umwezo wa kumeza ball kiddo.????? !!!
@husseinbushiri9973
@husseinbushiri9973 15 сағат бұрын
Nyangumu ni samaki sio nyama acha uwongo mnyama gani Ana mapezi
@chikusangalala7759
@chikusangalala7759 23 сағат бұрын
Ngoja apinduwe boti
@SaidOmar-d3m
@SaidOmar-d3m Күн бұрын
msitudangaye kuhusu mambo ya samaki na maisha yao baharini
@ibnujumanne4054
@ibnujumanne4054 20 сағат бұрын
Nguva anahistoria yake kwenye vitabu vya Dini Ni miongoni mwa viumbe vilivyolaaniwa
@nsajensaligwa4976
@nsajensaligwa4976 19 сағат бұрын
Anasema nyangumi hamezi hata kitenes Sasa biblia inadanganya maana inasema Yona alikaa siku 3 ndani ya tumbo la samaki kwaiyo ni uongo???
@Abdul-latifKhalfani
@Abdul-latifKhalfani 19 сағат бұрын
Samaki gani?
@ibrahimngulungu
@ibrahimngulungu 18 сағат бұрын
Sasa umeammbiwa nyangumi ni mnyama
@Rahima-kv6mn
@Rahima-kv6mn 9 сағат бұрын
We nae ata usikilizi vzr kwaiyo iyo bibilia wamesema uyo yona amekaa kwenye tumbo la nyangumi siku tatu sio kitabu chako alafu ata uelewi kinafundisha nini aya rudi kasome tena alafu uje hapa 🙌
@khamishussein3502
@khamishussein3502 20 сағат бұрын
Wanasayansi bhana😂
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f 19 сағат бұрын
Kifaru ni tani 2, tembo ni tani 4-6, mwisho, yaani tembo dume yule mkubwa sana ana uzito wa tani 6. Ni hivo tu.
@MikiGermany210
@MikiGermany210 17 сағат бұрын
Nyangumi tani 40
@kdloon2030
@kdloon2030 15 сағат бұрын
Tembo dume wanasema akipiga bao moja,shahawa zake ni Lita 20,je shahawa hizo zitajaza nyuchi ngapi za masista duu wangapi mtaani??😢
@hajimbwanahaji7197
@hajimbwanahaji7197 6 сағат бұрын
​@@kdloon2030😂😂
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f 5 сағат бұрын
@@kdloon2030 usicheze na tembo.
@SaidOmar-d3m
@SaidOmar-d3m 23 сағат бұрын
samaki afundishwi kuogelea
@user-gp1hi7sw5k
@user-gp1hi7sw5k Күн бұрын
Mbona hatadini zimeletwa tuu
@sifuelmamuya457
@sifuelmamuya457 Күн бұрын
Samaki kumbe sio mnyama ninin sasa🤣🤣🤣
@ellymaz2187
@ellymaz2187 Күн бұрын
Naona itakuwa ni mmea
@sifuelmamuya457
@sifuelmamuya457 Күн бұрын
@@ellymaz2187 🤣🤣🤣
@RonnieBertin
@RonnieBertin Күн бұрын
Ni mnyama bro anazaa ni kama popo
@golebenson4597
@golebenson4597 23 сағат бұрын
Basii nyangu ni mme 😂😂
@hirizonetz9558
@hirizonetz9558 21 сағат бұрын
Nyangumi ni mnyama siyo binadamu
@SaidOmar-d3m
@SaidOmar-d3m Күн бұрын
nyangumi anyonyeshi akuna samaki anaenyonyesha uongo kama uongo mnaosema nguva anakichwa cha mtu mwilisamaki anakula samaki ana wadogo pamoja na nyungunyungu
@msafirimaulidi5054
@msafirimaulidi5054 23 сағат бұрын
Nyangumi ni myama elew somo
@TeophilBuilding
@TeophilBuilding 21 сағат бұрын
Unatombwa akili
@MohamadHamza-hb2qv
@MohamadHamza-hb2qv 21 сағат бұрын
Huyo jamaa hasikilizi mana anachoandika wala hakiendani na mzungumzaji, unambiwa nyangumi ni mnyama we unatuambia samaki hanyonyeshi ni uongo
@jassonnelly3445
@jassonnelly3445 21 сағат бұрын
Dah akili yako ni matope matupu mwanangu
@gustavuliwolelu2165
@gustavuliwolelu2165 10 сағат бұрын
Shulen ulikuwa unaelewa???
@RayMakini
@RayMakini 20 сағат бұрын
❤❤❤❤❤❤
@KijaSayenda-jo4iy
@KijaSayenda-jo4iy Күн бұрын
Tembo ana Tani 9
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f 20 сағат бұрын
Ni tani 4 hadi 6. Mwisho. Niulize mimi
@RayMakini
@RayMakini 20 сағат бұрын
❤❤❤❤❤
@RayMakini
@RayMakini 20 сағат бұрын
❤❤❤❤❤
@RayMakini
@RayMakini 20 сағат бұрын
❤❤❤❤❤
@RayMakini
@RayMakini 20 сағат бұрын
❤❤❤❤❤
@RayMakini
@RayMakini 20 сағат бұрын
❤❤❤❤❤
@RayMakini
@RayMakini 20 сағат бұрын
❤❤❤❤❤
@RayMakini
@RayMakini 20 сағат бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
Touching Act of Kindness Brings Hope to the Homeless #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 19 МЛН
отомстил?
00:56
История одного вокалиста
Рет қаралды 6 МЛН
Worst flight ever
00:55
Adam W
Рет қаралды 6 МЛН
TOXIC - SIJAOA
2:36
Toxic
Рет қаралды 9 М.