Yaan mtu ana miaka 40 mnasema hawez kuolewa wala kuzaa??😂 Ila nyiee subirin 40 nyie wenyewe mtafika mtaona kama ndio mwisho wa maisha yenu😂😂 achen kuwawekea watu mipaka ata akiwa na 60 acha watu waishi wanavyotaka
@Jane-h1f6sАй бұрын
Watu Wana zaa Hadi miaka 50 kuzaa anaweza vizuri hata wawili anazaa
@thebabilon7Ай бұрын
Jeshiiii ontop of the world 🎉🎉🎉🎉
@neemanziku5403Ай бұрын
Harmonize couple yako Ni kajala hao wengine wanakupotezea nyota tu
@dol-pnintz2503Ай бұрын
Waacheni kinachojalisha maisha uamuzi wao umri ni namba tu.
@SadKazimbaya-u8bАй бұрын
MIMI HUWA NAWAAMBIA KILA SIKU WANAABARI TANZANIA HUWA HABARI YA HARMONIZE HUWA WANAITOLEA MACHO SANA NA KUAZA KUMJADILI HARMONIZE NA MNAFANYA VIPINDI NDIYO MAANA NAWAAMBIA SASA HIVI TANZANIA HARMONIZE NDIYO NAMBA MOJA AKIFANYA JAMBO MOJA TU MEDIA ZOTE KUMJADILI YEYE TU NA BADO MPAKA MAJI MUITE MMA.
@nzeyimanamwavita1904Ай бұрын
Harundi. Tu 😂😂😂😂
@meryeastereasterАй бұрын
Wanwake wenye matako hawanaga akili kbsa, ndio maan kutwa ye na mwanae biashara zinawashinda, wameshawekeza maisha Yao kuwa wanafankikiwa kwa kuwatumia wanaume, hvyo watabki kudhalikishwa na kutumika kama kuku kwa sabbu hawajielwi na hawajui thamni zao, mwanamke km Paula n mwanamke wakujua thamni yake kutokna na umri wake lkn anazdiwa akili na hta huyo mwanae, wanwake tafuteni ela na muache kujithalilisha kwa ela za kupewa
@muanashaswaleh5110Ай бұрын
Huyu mwanamke nibwege wa mabwege kudhalilishwa kote kule 😏😏😏
@christinewomanoffaith5479Ай бұрын
Wapuuzi wote hamna jipya uzinzi tu
@HalimaKassim-yz3weАй бұрын
Kajala karibu nyumbani bila kumsikiliza yoyoyte rudi kwa homo😊
@LucyNgowi-r2oАй бұрын
Jamani Harmonize 😂😂😂
@Mamatonny2065Ай бұрын
KAJALA WEWE NI MWANAMKE UNAEJIHESHIMU. WACHA KURUDIANA NA HUYU MPENDA MATAKO.Utajidhalilisha tena
@UbaidaYussufАй бұрын
Wananyege tu ao wote
@Sidrasidra636Ай бұрын
Warudiane tu
@MjInsightMediaАй бұрын
Kwa huo umri wa Jacob pamoja na Chriss kama hawana hata mtoto mmoja, wana matatizo either ya kiafya au la kiafya ama wanaogopa majukumu, kwasababu hakuna kitu kama NATUNZA UJANA WANGU KWA MWANAMKE SAHIHI, mwanamke sahihi anatengenezwa na mwanaume sahihi. Mnachelewa Sana ndungu zangu. Big up Esco
@صالحالصوافي-غ5وАй бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@hanifa9153Ай бұрын
Absolutely points
@chainbre275Ай бұрын
Hilo nanlo neno ila bado hawajavhelwa snaa maana chris ndo next year atafikisha third floor 😂
@PendoPeter-rr4jkАй бұрын
Acha kuhamasisha uzinzi watoto watapata bila ndoa
@hanifa9153Ай бұрын
@PendoPeter-rr4jk ameongea kweli tu wanafaa kuoa watengeneze aanawake zao c dhani kama amemanisha wazini ama coz ata me nme comment🤣
@darussalam20Ай бұрын
Ata waandamane apa mpaka planet mars, Hawarudiani bana😂😂😂😂
@lucymtuka3199Ай бұрын
Kajala uskubali kudhalilishwa tena
@chany9950Ай бұрын
Duuuh 🤣👍🏾
@Mama-AАй бұрын
Wanafaana
@SmilingBeaver-rf6sfАй бұрын
Yani Tanzania ndiyo nchi yenye upuuzi mkubwa
@halamascat2816Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@sylviaforest3001Ай бұрын
Harmo anampenda mwanamke tu mmoja kwa sasa na ni Paula!! Najua mpaka kajala anajuwa hivo lakini kama atarudi anarudi tu kwa sababu ya hela lakini Roho ya harmo iko kwa Paula!!..na sijui mbona wabongo huongea ni kama harmo hakuwa na mke harmo alikuwa na mke wake wa ndoa Sarah na bado alimtupa
@Happy-n5i5xАй бұрын
unaandika ukund wako maan hat huelew unaropoka nini hapa
@sylviaforest3001Ай бұрын
@ peleka uteam mbali na comment yangu nyinyi ndio mnataka mwanamke amarudie mwanaume ameonyesha utupu wake mpaka kwa mwanae ukweli unauuma harmo alimkaribia kajala kwa sababu ya Paula mbona alimwambia Sarah mwanzoni hawezi toka na kajala kwa sababu kajala ni mzee🤔🤔😂😂😂