Karibu sana Henry ,tulikusimiss phycally, tunawapenda GPS .
@goodluckmwamboneke5591Ай бұрын
I love GPS from Seattle
@HusseinAli-g9wАй бұрын
Sns big up sana 👏👏🇹🇿
@jamilaathumani5481Ай бұрын
Nikwel tulikumisi kaka herny..tumekusamehe kaka Henry..ila tunawakubaligi sana GPS 🥰🥰🌹🌹🌹♥️
@mwakugombaАй бұрын
Karibu wakili! 🙏🏼
@DeusiKasusuАй бұрын
Kaka sky anza kutoa mualiko wa wanasns tanzania Nzima angalau mmoja kwa kila mwezi afike hapo studio aungane na wachambuzi mtupime kma tunawaelewa
@hawrajehan2398Ай бұрын
Nina miaka 20 hapa South Korea mnachokiongea ni sawa kabisa
@GeorgeAkasha-zx2rjАй бұрын
Uko mji gani hapo?
@hawrajehan239817 күн бұрын
Nipo Seoul Itaewon 이태원 @@GeorgeAkasha-zx2rj
@zuumlondwa9518Ай бұрын
😅😅😅binafsi nampenda sana Ally masubi we love you guys🎉
@GeorgeAkasha-zx2rjАй бұрын
Naam karibu sana
@Animal_professionalАй бұрын
Masubi big up bro
@NeemaGumbo-k5nАй бұрын
GPS iko juuuu
@earthmoverschannel1Ай бұрын
The combination of Henry and Sma produces something very big.
@magdalenaisrael3432Ай бұрын
Nimefurahi sana
@MohamediAthumani-xs5zlАй бұрын
Karibu kaka Henry
@AFRICA_D669Ай бұрын
TANZANIA, nasisi tukidhubutu tunaweza baadhi ya vitengo katika katiba vibadilishwe kwanza
@94wingaАй бұрын
Welcome brother Henry
@yusufntamila541Ай бұрын
Finally he come back thanks god
@Animal_professionalАй бұрын
Tumekusamehe Henry ,
@NaomiwilliamuАй бұрын
KWAA UWEZO WAA MWENYENZI MUNGU TANZANIA HATUTA FIKIYA HUKO MUNGU ATATUEPUSHA NA HAYO 🙏🇹🇿🇴🇲
@MoriceMnazi-qp6bdАй бұрын
Ongereni jaman
@jerryndondole1965Ай бұрын
Nimefurahi Kaka Henry yupo studio leo
@savaga-55Ай бұрын
Tunaelewa wakulungwa hata sisi watazamaji tunakuwa bize na life some time tunatizama gps mpka ijumaa😂
@ahmedmishamo8997Ай бұрын
So sweet
@mussalusinde1022Ай бұрын
Tulikumiss Henry
@KarimchembelaАй бұрын
Mwinuka ❤
@King_Of_EverythingАй бұрын
👊👍✌️.
@HasanKisomeАй бұрын
Moja Wapo ya Nchi Zenze Udhibiti wa Juu Kabisa Wa kiuwajibikaji na Mtu Akifanya Kosa Lolote Ana Wajibishwa Hapo Hapo Ni TANZANIA Hii Nchi Haina Mchezo Kabisa Ukifanya Fyoko Una Ondolewa MARA MOJA kama Ilivyo Tokea Kwa Marehemu LOWASA
@MathaMsumi-l1bАй бұрын
Apo herry kwenye wa bongo kutojuwa mabomu risas kwakwel upo sahihi linaweza pgwa bomo wabongo bila kukimbia wanaeza kushangaa
@hamisramadhan-eb3ieАй бұрын
Napendasana uchambuziwenu niwakisasa sana. pia naipongea silikali ya ccm kwanamna wanaviokuwa makini hasa kwenye kuitunza silikali isiyumbishwe nabunge au mahakama😮
@fredlugome7952Ай бұрын
Ila ally masubi ni handsome daah
@vumiliamgingu1579Ай бұрын
Arafu kuna habari kuhusu Drone huko china 🇨🇳 kuna nini
@FranckDaniel-cc5rgАй бұрын
Ally Acha kuingilia kabla mwenzako hajamaliza kuongea
@adiaygo854621 күн бұрын
Kichwa habari mngeandika kaponzwa Na North Korea mngeleka Zaidi
@HassanAlly-h2eАй бұрын
❤❤❤
@hawrajehan2398Ай бұрын
Tupo huk watu wakorea tunawasikia
@paschalcharles3617Ай бұрын
Kile kinachoitwa "demokrasia" kimewaharibu watu na kinawafanya wameanza kuwa wehu sasa🚮
@GeorgeAkasha-zx2rjАй бұрын
Huna akili
@nemesjosephat5612Ай бұрын
Muongeze mtaalam wa uchumi
@RamazaniMulongecaАй бұрын
PAMOJA SANA
@selesjandwa412Ай бұрын
Ukimgusa putin lazima utimuliwe fasta madarakani
@salymsuleiman2035Ай бұрын
Hakuna hta kiongozi mmoja duniani aliyemfuata biden kisha akasalia kwenye power
@nellymans-f1vАй бұрын
Eee kumbe korea kusini anamuogopa korea kaskazi aiseeee alf unakuta viongoz wao wanajinadi kuwa watampga kaskazini kumbe ni mbwebwe za manen😅😅 hay wajiandae ss wakutane n kiduku
@GeraldElias-s7jАй бұрын
Ukweli nikwamba wote wanaogopana ndio maana hakuna wakumvamia mwenzake
@AllyKisulilaАй бұрын
🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇧🇮
@Brunotarimo10Ай бұрын
Rais Yook anafaa kunyongwa
@ShukuruSemwendaАй бұрын
Kwann
@paschalcharles3617Ай бұрын
We nae umeanza kuwa mwehu wa kile kinachoitwa "demokrasia"🚮
@SumuuKijokaАй бұрын
pamoja mkuu
@valentinesyekeye6846Ай бұрын
Safii hili vugu vugu lifike mpaka Japan na Philippines
@dicksonkyando8989Ай бұрын
Panaweza pakawa na mkono kutoka Korea Kaskazini katika yote haya!?