Ubaguzi kwa watu weusi US ni mbaya kiasi hicho? Mtanzania huyu anayeishi huko anafunguka usiyoyajua

  Рет қаралды 48,557

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Mahojiano na Ernest Boniface Makulilo anayeishi nchini Marekani
EBM ENGLISH
/ ebmscholars
EBM SWAHILI
/ ebmswahili
INSTAGRAM
/ ebmsignature

Пікірлер: 406
@abdulsimbarakiye6469
@abdulsimbarakiye6469 3 жыл бұрын
Kaka mimi naishi new York 40 year ubaguzi ni mkubwa sana wa weusi yote Jama anayo zungumza sio kweli kabisa mimi pia niko na mke mzungu lakini ubaguzi marekani hupo tena sana
@TheSebfred
@TheSebfred 2 жыл бұрын
Umeonaeeee
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr Жыл бұрын
Amesema upo,,lakini hata Tz upo,,,msikilize vizuri utaelewa
@Perfect-migomigo
@Perfect-migomigo 7 ай бұрын
Mr abdulsimbarakiye umeongea uwongo America akuna ubaguzi wa rangi ata kidogo niko Chicago 51 year
@Perfect-migomigo
@Perfect-migomigo 7 ай бұрын
Na tanzania kuna ubaguzi
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Ай бұрын
​@@NR-ll4srshida ya watu hawasikilizi wakaelewa
@htx1873
@htx1873 3 жыл бұрын
This guy is so smart, alinifundisha wakati Alikua udsm , jamaa akaenda usa, namimi pia nikaja USA . This is the guy man , nimejifunza mengi sana mazuri kwake, mungu ukuzidishie . 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@tafari988
@tafari988 3 жыл бұрын
As someone born in the States this guy is clueless of structured racism 🤦‍♂️
@WeirdPuppy
@WeirdPuppy 3 жыл бұрын
@@tafari988 tell me about it
@davidcurtis8556
@davidcurtis8556 3 жыл бұрын
Interview bora sana sana, nimejifunza mengi kupitia interview hii, Asanteni sana ma bro Mtangazaji na muhojiwa.
@fabiantanzania5795
@fabiantanzania5795 3 жыл бұрын
thanks broo, umeonge fact upande furani. its the same thing
@bumabuma2426
@bumabuma2426 3 жыл бұрын
Sie weusi wenywe tunabaguana mwenzio akizidi weusi tu unaanza kumsema
@ladislausngoyinde4384
@ladislausngoyinde4384 3 жыл бұрын
Umeonaee, ni utumwa wa hali ya juu
@zulfahalily6095
@zulfahalily6095 3 жыл бұрын
Hahahahahahaha kwel kbs
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 3 жыл бұрын
Na wanaume wengi eti wanaangalia rangi wakitaka mwanamke.
@dicksonexavery726
@dicksonexavery726 3 жыл бұрын
@@vanessalaizer4363 Vanessa inamaana wanaume weusi wanaoa wazungu kwa fashion ila hawaridhiki nao kingono inabidi watafute black woman wapoze CIO?
@kaveresylvia1302
@kaveresylvia1302 3 жыл бұрын
Ukweli
@Vanisikaka
@Vanisikaka 3 жыл бұрын
Brother wangu EBM Unawatetea saana Wazungu, Yani haujawa ongelea weusi magumu wanayopitia kwenye western countries, even asia countries🙌🏿.....
@hamzacedricole3673
@hamzacedricole3673 3 жыл бұрын
Huyo mjinga tu hata mim nipo hapa New York ubaguzi upo sana USA 🇺🇸 ten sana kabisa huyo anatetea sababu ya fuckin wife wake mjinga huo
@vanessarobyn4584
@vanessarobyn4584 3 жыл бұрын
Habar za Asia acha kabisaa tena upande wa ughaibuni ndio kabisaa
@celifpower4993
@celifpower4993 3 жыл бұрын
@@hamzacedricole3673 we anae kubagua ni nani!!? Kama unabaguliwa si urudi kwenu
@beegee2971
@beegee2971 3 жыл бұрын
@@hamzacedricole3673 Huyu ni Republican. Anaishi West Virginia
@vanessarobyn4584
@vanessarobyn4584 3 жыл бұрын
@@hamzacedricole3673 sasa wewe mwenye akili mbona hurudi nchini kwenu ili usibaguliwe 😂😂😂kweli kupatwa kwa wenye akili ubaguzi uko kwanzia familia sasa ijekuwa kwenye nchi za watu
@Global27World
@Global27World 3 жыл бұрын
Mzee ameongea tu, but sio ukweli kabisa, kuna wazungu wakaidi saana tu, na wa Baguzi saana tu kuliko watu weusi. Wazungu ni wajanja, coz anakuchukia but ataki kukuonesha, unaelewa kwakuona gisi atakuwa anakuudumia ao ku elekezwa. Watu wenye wanaishi USA 🇺🇸 wanajuwa. Like kama tuko pamoja. All the way from Atlanta Georgia 🇬🇪 🙌
@georgeburchard4872
@georgeburchard4872 3 жыл бұрын
Jamaa ameniangusha Sana! Kaielezea dhana ya ubaguzi kijuu juu mnooo! Hajaenda deep kabisa! Suala la ubaguzi marekani ni suala la kimfumo! Lilikuwepo, lipo na litaendelea kuwepo!
@svt3
@svt3 3 жыл бұрын
George bucharchard: ubaguzi upon na utaendelea kuwepo Africa yenyewe weusi kwa weusi wanabaguana saana tena saana, ndani ya ma inchi za Africa watu wanabaguana saana sababu ya makabila mpaka kama wewe ni wa kabila fulani huwezi ku owa wala kuolewa kwa kabila fulani, mpaka watu wanabaguana sababu ya dini ambazo tuliletewa, kwani kunaubaguzi kuliko hizo?
@mpendakiswahili3053
@mpendakiswahili3053 3 жыл бұрын
@@svt3 hapo ume nena..hapa Kenya viongozi wana uza sera zao kikabila
@antoinekatembo8520
@antoinekatembo8520 3 жыл бұрын
Kafanyaje huyo ndugu? Na hao weusi nao pia wanamatatizo makubwa. Mtu akiombwa ID inakua shida kwao weusi pia! Tunaishi nao tunawajua sana na tabia zao za ajabu, maofisini afadhali nikutane na mzungu ofisini maana hao nitatoka na uduma yangu lakini kutana na mweusi uhusikie mziki wa tabia zao! INDEED brother, All life MATTERS tena sana tu!
@francisemmanuel1551
@francisemmanuel1551 3 жыл бұрын
Ubaguzi hata Africa upo tena sisi kwa sisi mfano ni ubaguzi wa weusi kwa weusi wenzao yani wageni
@mpendakiswahili3053
@mpendakiswahili3053 3 жыл бұрын
Na sikitika, namna sisi waafrika, tuna waenzi wazungu....
@Simplebudgetcooking
@Simplebudgetcooking 3 жыл бұрын
Maelezo mazuri sana 👏👏 alafu kama wamefanana sana.
@Mazoea
@Mazoea 3 жыл бұрын
Yes wamefanana sana nadhani wanatoka sehemu moja
@emmanuelchifupa4934
@emmanuelchifupa4934 3 жыл бұрын
Na mm niliona wamefanana Hawa watu
@kiri5807
@kiri5807 3 жыл бұрын
ubaguzi uko kila mahala na kila nyanja . hapo Tzn tunabaguana kipato , kichama , rangi hadi imepelekea watu kutumia mikorogo n.k mbona hayajadiliwi ?
@rickyjonas767
@rickyjonas767 3 жыл бұрын
Asante
@tradamus4158
@tradamus4158 2 жыл бұрын
Point
@mamunote3507
@mamunote3507 3 жыл бұрын
Shukran Sana kwa fikra zako
@muslimqueen5314
@muslimqueen5314 2 жыл бұрын
Jamaa kaongea point sana memkubali
@alijuma5642
@alijuma5642 3 ай бұрын
Msikilizeni vizuri, yuko sawa Hats sis I happy tunabaguana wenyewe kwa wenyewe.
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Ай бұрын
Kabisa
@minuleabdulkadir2838
@minuleabdulkadir2838 3 жыл бұрын
Somo
@truthsetsfree2753
@truthsetsfree2753 3 жыл бұрын
Nyie simulizi na sauti mmepata mtu ambaye hajui kitu, na sishangai hapa Marekani rafiki zake wote wazungu, akitoka na wakwe zake wazungu pia… hivyo hajui historia ya Marekani nimeanza tu kumsikiliza naona anaongea pumba! Wapo wageni wanaokuja Marekani wengi kama yeye ni vipofu hawaoni kweli yoyote kwasababu ya watu fulanifulani wanaokaa nao… mmepoteza muda wenu kumuhoji huyo mume wa mzungu… tafuteni mtu hasa ana experience yakukaa na weusi na mwenye kujua historia…
@aloycemacha9894
@aloycemacha9894 3 жыл бұрын
Sisi wenyewe tunabaguana
@TheSebfred
@TheSebfred 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@truthsetsfree2753
@truthsetsfree2753 2 жыл бұрын
@@TheSebfred umeona enhee
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr Жыл бұрын
Ubaguzi upo kila sehemu,,,,,hata Tz tunabaguana wenyewe kwa wenyewe,, sasa unategemea uende nchi za watu upendwe na kila mtu
@SHommymusic1
@SHommymusic1 3 жыл бұрын
Nipo USA 🇺🇸 na huyu mzee anaongea upuuzi . Police awauwagi wazungu wenzao huku ni watu weusi ndio wanaonewa huku .
@Mazoea
@Mazoea 3 жыл бұрын
Upo state gani ndugu mie nipo Maryland
@SHommymusic1
@SHommymusic1 3 жыл бұрын
@@Mazoea nipo Chicago, Illinois
@kachabisnea8815
@kachabisnea8815 Жыл бұрын
Ili kweli ni lipuuzi ile mbaya
@shanisshow1864
@shanisshow1864 Жыл бұрын
Marekani ipi wewe ubanguzi ni tabia yako tuu anaongea ukweli ndo hivyoo mpuuzi mwenyewe
@Chrispemkb
@Chrispemkb Жыл бұрын
Nipped Arkansas mzee uogo
@salimaanna6898
@salimaanna6898 3 жыл бұрын
Kuna utofauti mkubwa kati ya public na private schools hapa umarekani. Quality ya Elimu ya public schools ni ya kawaida. Lakini ya private ni ya juu sana. Pia malipo ya public ni ya kawaida. Most of people can afford paying it. Lakini malipo ya private school yako juu. Wachache ndio wanaweza ku afford kulipa.
@princesuma1686
@princesuma1686 Жыл бұрын
Upo State ipi?
@albertpike5893
@albertpike5893 Жыл бұрын
Hiyo kauli ya shule sio Marekani pekee ni kila mahali public schools haziwezi kuwa Sawa na private schools
@NjalaleModesta
@NjalaleModesta 3 жыл бұрын
Seriously jamaa anaelewaaa sanaaa juu ya issue ya ubaguzi in general mm naishi india na nimeoa mwindi na nina mtto ambae ni half caste swala la ubaguzi lipoo baina ya sisi kwa sisi so ubaguzi upo but ina depends na mazingira
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Ай бұрын
Kabisa
@zeinababdi4757
@zeinababdi4757 3 жыл бұрын
Thanks to this guy pointing out racism in 🇹🇿, I experience it and I know it very well.
@monicahovda4524
@monicahovda4524 3 жыл бұрын
Alafu weusi wengi wa Marekani hawapendi kifanya kazi, wanapenda Maisha ya Mtelemko, Serikali iwape sosial walfare, food stamps Yaani wako wako tu hata hawajielewi, hata kusoma hawapendi, tena wanapenda kushot hao, siraha nje nje kwao
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 3 жыл бұрын
@@monicahovda4524 acha uongo wewe, stop generalizing people! wewe ndio wale wale, na watu kama nyie ndio uwa mnabaguliwa ila mnajichekesha tu adi siku ndugu yako limtokee la kumtokea ndo utajua ahaa kumbe ndio iko ivi
@adamfundikira1620
@adamfundikira1620 3 жыл бұрын
@@monicahovda4524 ni kweli kabisaaaa nilikua karifonia nilijionea hayo
@adamfundikira1620
@adamfundikira1620 3 жыл бұрын
@@vanessalaizer4363 una uhakika sisi tumekaa us tumejionea hayo matukio ya wazungu kufanyiwa na weusi hayatangazwi Sanaa lakini mtu mweusi yanashadadiwa sana
@sophiamwakila3300
@sophiamwakila3300 3 жыл бұрын
@@monicahovda4524 kazi yao kubwa ni kuvuta bangi na kuuza bangi
@eddydben
@eddydben 3 жыл бұрын
We jamaaa anajua saanaa
@johnmwita9398
@johnmwita9398 3 жыл бұрын
Huyu jamaa atakuwa wa ujiji , anaongea sana duuuh
@kisalaTV
@kisalaTV 3 жыл бұрын
Kama mwijaku
@aloycemacha9894
@aloycemacha9894 3 жыл бұрын
Muha huyu
@Mpakauseme
@Mpakauseme 3 жыл бұрын
Mbona ni poa tu anaeleweka vizur sana
@zanzibarreaction3641
@zanzibarreaction3641 3 жыл бұрын
Uhakika huyu ni muha
@aloycemacha9894
@aloycemacha9894 3 жыл бұрын
@@zanzibarreaction3641 muha
@humblecute5668
@humblecute5668 3 жыл бұрын
Tumejifunza kitu hapa
@mzeeomary5780
@mzeeomary5780 3 жыл бұрын
Acha uongo check sura yake inafanana nauongo kwaiyo unataka kusema kuwa watu weupe na weusi wanakufa Sana ni weupe yani ww naona uka pimwe tu amaunafikilia watanzania nivichaa kusikiliza pumba zako cheki sura yake unalopoka kama umebanwa na mlango
@chengeson
@chengeson 2 жыл бұрын
Haaaa
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr Жыл бұрын
Wewe unaishi America?
@vincentmokenye4465
@vincentmokenye4465 3 жыл бұрын
Kweli ata hapa bongo watu ni wabaguzi tu ni ile hajui
@mariamwakabuta1034
@mariamwakabuta1034 2 жыл бұрын
Wazungu wanaongoza sana kwa ubaguzi angalia viza ya mtu mweusi akitaka kwenda uraya jinsi anavyo teseka , yeye mzungu viza anailipia akisha fika africa na angalia jinsi diploma ya mtu mweusi hawezi kuajiliwa uraya eti kwasababu kaisomea africa, angalia mila zetu wameziharibu sana hakuna heshima ya mwafrika Nini hiki harafu huyu kaka anaongea kama mtu anaye jipendekeza kwa kutaka maisha ya mtelemko achana na uhuru wa mwafrika tumeonewa sana. huyu kaka hakupata shida ya kufika uraya anaonekana roho ya kizimbe bado anayo.
@corrolesscps
@corrolesscps 5 ай бұрын
Usilalamike wanaogopa usije enda kuzamia kwao. Ili kuukimbia umasikini wako, Swali: pochi lako linaongea. Yaani mhamala unasoma huko Bank. Muhamara ukisoma Bank hapo sio ngumu kivile kupata Visa,
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Ай бұрын
Issue za visa hapo ss SI viziongozi wetu ndo shida wazungu wanahusiana nini
@amourmtungo623
@amourmtungo623 2 жыл бұрын
🤔Ubaguzi upo wa aina nyingi. Kila mtu ni mbaguzi kwa aina yake. Mimi mwenyewe ni mbaguzi. Ubaguzi wangu sipendi mtu yoyote aliepewa hifadhi kwenye nchi fulani anapata malazi, chakula na usalama wa maisha yake, halafu anakuwa aidha mvivu wa kushiriki kazi au mambo ya kijamii kwa maslahi na ustawi wake au pia mtu kuwa mwizi🤔. Hii tabia mimi ninaibagua kwa nguvu zote. Mimi nilitembelea Mikumi National park nikiwa Mtanzania nimetozwa dola za Kimarekani eti kwasababu mke wangu ni Mzungu, huu pia ni ubaguzi kwasababu nilitakiwa kulipa shilingi za Kitanzania na wahusika walikataa katakata. Na sio Mikumi tu hata mahotelini nilitozwa dola. Kwahio ubaguzi upo wa namna nyingi🤔.
@godfreymtove4896
@godfreymtove4896 2 жыл бұрын
Thanks for your education
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 3 жыл бұрын
Kabla sijafika mbali nishamuona mtazamo wake, huyu ni wale wanaotetea wazungu na itakuwa hajakaa muda mrefu uko aliko. Hawa ndio wanaojipendekezaga kwa wazungu na wasaliti kwa weusi wenzao. I know this type
@princegerard4704
@princegerard4704 3 жыл бұрын
Mara ngapi sisi hapa Tanzania unanyimwa kazi kisa Kabila na anakuja mtu wa Kabila lao anapewa kazi je siyo ubaguzi?? Watanzania walimuita Diatta nyani yule mchezaji wa Senegal siyo ubaguzi.??? Hakuna anaetetea ubaguzi ila ukweli ni kwamba sisi ni wabaguzi tena kushinda wazungu ila kosa lao wao ni ngozi yao nyeupe, Tanzania ilimbagua diata hadi Diata akapewa nafasi ya utaliina serikali hilo tusemeje
@azizamohd5728
@azizamohd5728 3 жыл бұрын
Amekaa mda mrefu
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 3 жыл бұрын
@@azizamohd5728 hana lolote uyu mtumwa tu wa wazungu uyu na bado atatia akili
@kibeginiblue7188
@kibeginiblue7188 3 жыл бұрын
Jamaa Understander Sana❤️
@fortunathabarabara8471
@fortunathabarabara8471 Жыл бұрын
relaxing interview I can't stop watching 😊
@rukiamanjicha1157
@rukiamanjicha1157 3 жыл бұрын
Mbona unatufokea
@JourneyBook
@JourneyBook 3 жыл бұрын
Weka playback speed 0.75 utanishukuru baadae ✌🏿
@dionsangoa1428
@dionsangoa1428 3 жыл бұрын
Huyu jamaa anaongea vizur ila namna anavyotufikishia ujumbe anatufokea 🤣
@dikodikson559
@dikodikson559 3 жыл бұрын
Ndo anavyoongea
@suleimanali5677
@suleimanali5677 3 жыл бұрын
Point tupu
@yeshuasweapon4384
@yeshuasweapon4384 3 жыл бұрын
Point iko hvii..waafrika hatupendi kubadilishwa mentality.. PERIOD
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Ай бұрын
Ndioo
@mwanahawahawaa7485
@mwanahawahawaa7485 3 жыл бұрын
Una bahati hayaja kupata mtu mweupe yoyote anaubanguzi utake usitake kubali
@neemayatosha1618
@neemayatosha1618 3 жыл бұрын
Si wote,wapo weusi, wapo wahindi Marekani hii hii ni wabaguzi na wapo weupe wenye mioyo ya dhahabu.
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 3 жыл бұрын
Na hiyo rangi ilivokolea ni chambo tosha cha kufatwa na wabaguzi. Usiombee ukakutana na mtu kama huyu uko nje anajifanya uzungu mwingi adi aibu, ila ngozi inakuwa inamsuta kwamba ”cool down meen you are black” not white. Na kama kaoa mzungu ndo kabisaaa ulimbukeni kama wote. Wanatiaga huruma kweli hawa wanaooaga wazungu. Utumwa kwa kwenda mbele
@Mpakauseme
@Mpakauseme 3 жыл бұрын
Sasa wewe ukibaguliwa unawela rohoni si ujinga huo kwani ubaguzi hupo tu pande zote
@hanschuma7734
@hanschuma7734 3 жыл бұрын
Yap kwel brah apo nimekuelewa mzee
@kahindokanyana8735
@kahindokanyana8735 3 жыл бұрын
Ndugu hawa weupe wanaubaguzi sana tunapitiya maumivu mengi Wa Afrika
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 3 жыл бұрын
Hapo siri ni kwamba ameanza kwakusema kua ana declare his interest. Kwahio nusu ukweli na nusu uongo. Hajaishi black neighborhood na ameoa mzungu. Usitegemee yeye kutoa siri yeyote
@salimronaldo1388
@salimronaldo1388 3 жыл бұрын
Yeah for real
@saidinyoni2463
@saidinyoni2463 3 жыл бұрын
Hilo ni kweli
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 3 жыл бұрын
Kuna mambo ambayo amedanganya hapo. Hakuna mtu ambae anakatazwa kusema Christmas break. Kumbuka huyo ameoa mzungu kuna mambo ambayo hawezi kusema. Wamarekani hasa mke wake anaweza kumuwia kaa la moto. Watoto ambao ni Mix Hua ni wabaguzi na pia wazungu hawawaamini kijamii kama white bali blacks. Na hapo anapoishi sio lahisi kuishi ukiwa wewe ni mtu mweuzi na mke wako mweuzi. Naishi Marekani na wazungu hutumia madawa ya kulevya kuliko watu weusi. Lakini police wengi ni wako black neighborhood
@izack9191
@izack9191 2 жыл бұрын
Vya kuambiwa hivo ebu fanya ufafanuzi
@kasenatoursandtravels8865
@kasenatoursandtravels8865 11 ай бұрын
Huyu jamaa ako sahihi ,nayaona Holland 🇳🇱
@gracegrace6200
@gracegrace6200 3 жыл бұрын
Wewe unapotosha watu. Ubaguzi Marekani umewafanya watu weusi wanabaka kwenye umasikini.
@allexlunny7795
@allexlunny7795 3 жыл бұрын
Ubaguzi wa ajabu upo Russia haja miji midogo unaweza juta kwenda kusoma uko yani ata black akiuliwa police hawajigusi wala vyombo vya habari havitangazi
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Ай бұрын
Duh
@mpendakiswahili3053
@mpendakiswahili3053 3 жыл бұрын
Watanzania twawapenda sababu ya kukienzi lugha la kiswahili kote mwendako ...
@ramzy5280
@ramzy5280 3 жыл бұрын
True story kbs me mwenyewe naishi USA
@Mazoea
@Mazoea 3 жыл бұрын
Upo state gani ndugu mie nipo Maryland
@dula8819
@dula8819 3 жыл бұрын
Waafrica wenyewe tunabaguana nakuzarauliana kisa rangi mpka wengine washaanza kujichubua kwa kuchekwa
@Mpakauseme
@Mpakauseme 3 жыл бұрын
Sana tunaona huko katika serikal ubaguzi hupo mkubwa sana
@samuelndosi9577
@samuelndosi9577 3 жыл бұрын
Ubaguzi hauwezi kuisha mpaka Yesu arudi.
@smarty1064
@smarty1064 3 жыл бұрын
Unajieleza vizuri, me sijafika huko marekani na najua ubaguzi huwa una namna nyingi sana, hata minority kuwabagua majority hutokea pia, ila bado sijaelewa "mazingira ya kawaida haiwezi kutokea" hayo "mazingira ya kawaida" huwa yakoje au ni yapi?
@stellah3844
@stellah3844 3 жыл бұрын
Wanzungu asilimia kubwa wabaguz sana na asilimia ndogo syo wabaguz, Asia nao hivyohivyo, ila Africa Asilimia kubwa siyo wabaguz ila asilimia ndogo ndo wabaguz tena baadhi ya makabila. Ila roho mbaya tunayo sanaaaaa mtu akifanikiwa hatak mwenzake afanikiwe tena hata kumpa ushaur tu fanya hiv na fanya hiv utafanikiwa Hakuna sanasana anataka akutumikishe tu,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, Hakuna boss anapenda mfanyakaz afanikiwe never😂
@hallin9561
@hallin9561 3 жыл бұрын
Hawa ni watu muhimu sana, hawana choyo kwa wengine kutusua maisha
@albertpike5893
@albertpike5893 Жыл бұрын
Huyu Mzee ANAONGEA points za nguvu sometimes waafrika wanajiwekea ubaguzi wenyewe imagine mzungu akija Africa anaoigwa na beinza bidhaa lakini mwafrika akienda Marekani alipigwa bei anasema anabaguliwa
@babazungu3180
@babazungu3180 3 жыл бұрын
Hawajasafirii hao wape elimu
@abbymwangomile392
@abbymwangomile392 Жыл бұрын
Jamaa liongo sana npo apa new York ubaguzi ni mwingi sana
@leninbien6867
@leninbien6867 3 жыл бұрын
Mr EBM nakubar
@bkzktx7078
@bkzktx7078 3 жыл бұрын
Jamaa amenifundisha mengi na amenibadilisha mind set sana kwenye perception za racism. Thanks🙏🏼🙏🏼
@juneithartony9543
@juneithartony9543 2 жыл бұрын
Perception mind ili amekubadilisha unaishi nje au upo Tanzania sasa ukija kuishi huku nje ndio utajua hujui kama amekubadilisha perception yako
@KasminaCreation
@KasminaCreation 3 жыл бұрын
Unaongea sana bro ila ukwl ni weusi wanabaguliwa sana kuliko wazungu.wafungwa wengi umarekani ni weusi
@josephsokhia
@josephsokhia 3 жыл бұрын
huyo ndo muha wa kwanza kuishi marekani vijijini
@richardedwinn1291
@richardedwinn1291 3 жыл бұрын
😂
@shabanigoodjopdjuma2927
@shabanigoodjopdjuma2927 3 жыл бұрын
thanks bro 🇺🇸nimejifunzakitunying hatakitabu chamtoto kamazawadi❤
@fabiantanzania5795
@fabiantanzania5795 3 жыл бұрын
jamaa umefundisha kitu hapa
@mamunote3507
@mamunote3507 3 жыл бұрын
MUNGU AWABARIKIE SANA KTK FAMILIA YENU WOTE SNS AMEEN BABY SKY UKO WAPI SIKU NYINGI SIJAMUONA MM NI DADAAKO MPENZI KUTOKA OMANI
@hmaterial472
@hmaterial472 3 жыл бұрын
Asanteeeeee
@SHommymusic1
@SHommymusic1 3 жыл бұрын
Sio kweli kwamba mzungu akiuliwa Media zinakaa kimia sio kweli huyu jamaa kaolewa hafai.
@kisalaTV
@kisalaTV 3 жыл бұрын
Ujakutwa na ubaguzi wewe kaa kwa kuturia😏
@TheLovejoyz
@TheLovejoyz 2 жыл бұрын
Fantastic Guy
@bonifacedanielmwakisunga9638
@bonifacedanielmwakisunga9638 Жыл бұрын
Makulilo ongea ukweli wazumgu wabaguzi sana tu sio hivyo unatetea
@sinaubavu2810
@sinaubavu2810 Жыл бұрын
Safi sana brother
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 3 жыл бұрын
Kiukweli uyu kaka kaelezea kwa uzuri zaidi 🙏😘
@juneithartony9543
@juneithartony9543 2 жыл бұрын
Kaeleza kwa uzuri anakudanganyeni mliopo Tanzania sisi tuliopo nje hatumsapoti saba u ubaguzi umechukua nafasi sana kwa watu weusi
@josephjamesnzowa3989
@josephjamesnzowa3989 Жыл бұрын
Huyu jamaa anatoa facts ...muda mrefu hii kitu nilikuwa nafuatilia na finaly the guy speaks
@vanessarobyn4584
@vanessarobyn4584 3 жыл бұрын
Yaani umesema ukweli watu wa nje hawana furaha kabisaa yaani kama huku UAE hakuna ata ujilani jamani kuna nchi hadi zinatia huruma.
@lucyjeremia1381
@lucyjeremia1381 3 жыл бұрын
Duuh pole jmn
@vanessarobyn4584
@vanessarobyn4584 3 жыл бұрын
@@lucyjeremia1381 ahsante dear
@azizamohd5728
@azizamohd5728 3 жыл бұрын
Nami wameshaniambukiza sina time na kujuana na mtu ni hatariii mtu tunaishi floor moja ila hatujuani wala salamu hakuna na si kwa ubaya
@loveelooh1964
@loveelooh1964 3 жыл бұрын
Wewe unataka ujiran wa nini, Mimi hata nikiwa Tanzanian Staki shobo
@azizamohd5728
@azizamohd5728 3 жыл бұрын
@@loveelooh1964 yaani ni raha na unajikuta una amani
@ronniebertin3563
@ronniebertin3563 Жыл бұрын
Madudu gani hiyo nimeipenda
@jumakalukule5312
@jumakalukule5312 3 жыл бұрын
Hahaha aisee ukosahihi
@haqilillahtaalaabudhar4697
@haqilillahtaalaabudhar4697 Жыл бұрын
Huyo muongo mm mwenyewe nimezurura huko anaposema ubaguzi ni mkubwa sana
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 3 жыл бұрын
Kuna weusi uku nje akiwa kaoa au kaolewa na mzungu yanakuwa kama mazuzu. Kwanza anajiona nae ni mzungu, pili anadharau waafrika wenzie, tatu anatetea mzungu hata afanye ujinga gani. Ndo huyu bwana hapa juu. Ila umo ndani moto anaowashiwa na mzungu anaujua mwenyewe. Kuutwa wako nje kutafuta wadada wa kiafrika wawapoze! Tunawajua vizuri mnooo. Mnatiaga huruma sana
@dicksonexavery726
@dicksonexavery726 3 жыл бұрын
Eti Vanessa unamaanisha hawaridhiki na hao wake zao kingono kwahyo inamlazimu apate mwanamke mweusi ili ijikidhi au??
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 3 жыл бұрын
@@dicksonexavery726 exactly ndio maana yake. Wanatusumbua sana wanawake wa kiafrika hawa waliooa wazungu.
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 3 жыл бұрын
@@dicksonexavery726 afu si unaona huwa wanaoa wale wazungu ambao wazungu wenzao hawawataki kabisaa, wao ndo wanawaokota afu wanajiona wajaanja then wanaishia kumiss wadada wa kiafrika
@mpendakiswahili3053
@mpendakiswahili3053 3 жыл бұрын
@@vanessalaizer4363 hahaha aki wewe! Ila umenena, mara mingi waafrica huwa tunapata mabakisho.....
@petronilamtei7470
@petronilamtei7470 3 жыл бұрын
Ameongea point kubwa mno
@hamzacedricole3673
@hamzacedricole3673 3 жыл бұрын
Point kwa watu wapo africa sio sisi watu weusi tunao ichi hapa USA 🇺🇸 tunajua jinsi ubagizi ilivyo uyo anatetea upande wa mke wake mjinga sana
@ssalimsalim3864
@ssalimsalim3864 Жыл бұрын
Suala la ubaguzi marekani sio mweupe tu kum'bagua mweusi hata weusi kwa weusi wanabaguana,mmarekani mweusi wengi hua hawawapendi waafrika na hio ni obviously.
@barakayohanasanga3005
@barakayohanasanga3005 3 жыл бұрын
Nimekuelewa sana bro,
@rajabungatanda630
@rajabungatanda630 3 жыл бұрын
Wewe acha kua mtumwa kwakua umeokotwa na mzungu Pumbavu wee Yani unataka kuaminisha eti wanzungu marekani wanaonewa wakati juzi tu wametoa dogo aliyeuwawa kwa makusudi na wamarekani Nenda mbele mtumwa wewe
@sarllemmtunze405
@sarllemmtunze405 3 жыл бұрын
Huyu jamaa Mpumbavu anatoka Marekani ya wapi? Watu weusi ni asilimia 11 Kati ya wamarekani million mia tatu. Ukieka ulinganisho yaani average ukiua Marekani mmoja mweusi ni karibu na kuua hata watu arubaini weupe. Halafu huyu jamaa ni.pumba kweli watu weusi wameteswa Sana hapa na wanaendelea kuteswa kutokana na mfumo baguzi iliojengeka tangu enzi za ukoloni ambapo mtu mweusi alihesabika kama mnyama.
@fatumachagudadui3138
@fatumachagudadui3138 3 жыл бұрын
Hajasoma history wala hajui chochote
@mmasipeter4157
@mmasipeter4157 Жыл бұрын
@@fatumachagudadui3138 wewe unajuwa history kuja siku moja uhojiwe.
@obillaezra6205
@obillaezra6205 3 жыл бұрын
Nipo Alaska ni jimbo la Marekani ambalo lipo karibu na Russia na Canada Weusi ni daraja la pili, mambo mengine siyo ubaguzi, kutokana na udaraja wetu, ubaguzi hautatoweka Duniani”
@mmasipeter4157
@mmasipeter4157 Жыл бұрын
Poleeee sanaaaaaaa kk ni moja ya changamoto lkn
@bombthemanthethrid
@bombthemanthethrid 3 жыл бұрын
Huyu jamaa ni muongo anatetea usingizi wake. Hizo takwimu zake ni za uongo tunaishi USA 🇺🇸 kama yeye pia. Asiseme uongo
@leninbien6867
@leninbien6867 3 жыл бұрын
we pia uko USA
@Mpakauseme
@Mpakauseme 3 жыл бұрын
Anachoongopa ni kitu gani basi na wewe tafuta huo usingiz acha jealous za kijinga
@yeshuasweapon4384
@yeshuasweapon4384 3 жыл бұрын
Kaka state na state ni tofauti
@mmasipeter4157
@mmasipeter4157 Жыл бұрын
Sasa c ungeongeya ww sasa au umeongeya ili tujue kuwa uko marekani.
@bumabuma2426
@bumabuma2426 3 жыл бұрын
Watu weupe wote wabaguzi usiseme llte
@hemedibrahim2162
@hemedibrahim2162 3 жыл бұрын
ubaguzi pa'ande zote mbili upo
@vanessarobyn4584
@vanessarobyn4584 3 жыл бұрын
Bora umeona
@hajatihajati5357
@hajatihajati5357 2 жыл бұрын
Unaogopa ilo swali la watoto haujibu mixed yao niko Malekana mixed wote ni mweusi hata ndani ya record ni mweusi baba awe muzungu mama mweusi mutoto ni mweusi
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 2 жыл бұрын
Jioendekeze to. Mtu mweusi hana ubaguzi wa rangi ila hapendi kupumbazwa Tu. Wewe unaongea pumba kisa unawaogopa mkeo na jamaa zake .na wanakutumilia Tu na ukizeeka ndio utajuwa wazuri au wabaya
@Omosula
@Omosula 3 жыл бұрын
Tanzania kuna ubaguzi pia hawapedi inchi zingine za Africa
@mpendakiswahili3053
@mpendakiswahili3053 3 жыл бұрын
Hapa ni kweli...hata mna bagua wakenya, na ndo ndugu zenu wa kwanza...
@citylinkproject9901
@citylinkproject9901 3 жыл бұрын
Tatizo kenya ...wajifanya "much know" hapo ndio tunaachana...kila mmoja ashike lake
@mpendakiswahili3053
@mpendakiswahili3053 3 жыл бұрын
@@citylinkproject9901 much know kivipi?? Mbona siku elewi kaka......hata hivyo, ushawahi katika maisha yako skia mtanzania kafanyiwa ubaguzi Kenya....?
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Ай бұрын
Mi nimemuelewa 🤔
@IsaacParuz
@IsaacParuz 3 жыл бұрын
Mbona kama mmefanana kwa mbali
@OmariTube
@OmariTube 3 жыл бұрын
Yeah, hawa wawili ni very intelligent
@ummimustafa5330
@ummimustafa5330 3 жыл бұрын
I do not agree with this Gentleman at all!It's sad watching him talking in regards to black people. Huyu kaka muongo saana!!!! Him ni dizaini ya Mwijaku??????
@richardedwinn1291
@richardedwinn1291 3 жыл бұрын
Umejuaje
@sharafikuliyocha3853
@sharafikuliyocha3853 3 жыл бұрын
Na wewe Lete facts zako ili tulinganishe tumjue mkweli.
@jacksonmathayo6510
@jacksonmathayo6510 3 жыл бұрын
Na wote ni wa kigoma
@jacksonmathayo6510
@jacksonmathayo6510 3 жыл бұрын
Ummi 🤣🤣🤣,wote mwijaku na huyu jamaa ni kabila moja ni waha,kutoka kigoma
@anithanithaa2651
@anithanithaa2651 3 жыл бұрын
Nenda wew kasem ukwel Mxieeew
@happynescostat7420
@happynescostat7420 3 жыл бұрын
Wahoo ongera Sana,ukijibagua watakubagua,
@masoudmasoud8138
@masoudmasoud8138 Жыл бұрын
Hivi bana haipendezi bora uelezee wee mwenyewe
@salimaanna6898
@salimaanna6898 3 жыл бұрын
Ni vigumu ku CONCLUDE kupitia maneno ya mtu mmoja wa kutoka Umarekani. Ni vizuri kuoji watu wengi kutoka kwenye majimbo (States) tofauti, na wafanya kazi tofauti. Kama huyo ni professional na anaowa mzungu, ni vigumu kujua ukweli kuhusu umarekani. I wish ndugu mtangazaji angetafuta watu wengine walio na maisha ya kawaida na wanao fanya kazi kwenye kampuni za nyama, na pia wasio ongea kiswahili vizuri. Utasikia mambo tofauti.
@abdullahsaidi8009
@abdullahsaidi8009 3 жыл бұрын
Mimi sikuelewi kabisa unaongea kama kutoka Zaire,
@solomonamenkaraniamen9713
@solomonamenkaraniamen9713 2 ай бұрын
Wa africa ndo wabaguzi hawapendani
@mbelechimakobola8835
@mbelechimakobola8835 3 жыл бұрын
Tupo bowling green Kentucky USA hapa, anachokiongea mtu huyo ni kweli, hatuoni ubaguzi bali kuna undugu tu na ambao bado upo hata kwa waafrika
@SHommymusic1
@SHommymusic1 3 жыл бұрын
Anaongea upuuzi wewe utakua ni mgeni USA 🇺🇸
@WeirdPuppy
@WeirdPuppy 3 жыл бұрын
How to get there
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr Жыл бұрын
Baba usifananishe maisha ya nchi zilizoendelea na zilizoendelea....halafu nahisi unaishi sehemu mbaya,,,unasema mananasi na maembe mabaya,, mhhh
@gibbs1320
@gibbs1320 3 жыл бұрын
Uyu Jamaa anafaa kuwa Mchungaji 😂😂😂
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 3 жыл бұрын
Mmh atachukua nafasi ya Yuda iskariote
@yeshuasweapon4384
@yeshuasweapon4384 3 жыл бұрын
@@vanessalaizer4363 mbona unamchukia
@mhogomchungu7882
@mhogomchungu7882 3 жыл бұрын
@@vanessalaizer4363 tunaomba ushare historia yako dada ,naona unauchungu sana na huyu bwana ...maana kila sehemu unacritisize ...tusaidie tujue ukweli
@arishadusalum3823
@arishadusalum3823 3 жыл бұрын
Kitabu kinachohusu schoolership nakipataje?
@masoudmasasi1801
@masoudmasasi1801 11 ай бұрын
nimemwelewa kaka mkubwa ameongea pointi sana
@musacheyoharoon5418
@musacheyoharoon5418 3 жыл бұрын
Allan Walker
@collingrant6693
@collingrant6693 3 жыл бұрын
Tafadhali siku moja mwende live na yeye on the same issue wangine waweze kujibu kwa hizo comments zake. A Anawaponda weusi kabisa
@saidinyoni2463
@saidinyoni2463 3 жыл бұрын
Tatizo nimshamba Hilo ndilo linalo msumbua
Новый уровень твоей сосиски
00:33
Кушать Хочу
Рет қаралды 3,8 МЛН
SCHOOLBOY. Мама флексит 🫣👩🏻
00:41
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 7 МЛН
Dad gives best memory keeper
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 23 МЛН
History of Africa from the 16th to the 20th Century
3:39:03
Jabzy
Рет қаралды 10 МЛН
Новый уровень твоей сосиски
00:33
Кушать Хочу
Рет қаралды 3,8 МЛН