Hii Ni Marekani Usiyooneshwa Kwenye Tv | The America You Won't See On Tv...HUKU YUES

  Рет қаралды 668,302

Jack Wa USA

Jack Wa USA

Жыл бұрын

Nilitembelea mtaa unaitwa Skid Row uliopo Downtown Los Angeles. Skid Row ni mtaa ambao una idadi kubwa ya Homeless (watu wasio na makazi). Yote hayo yamechangiwa na hali ngumu ya maisha, madawa ya kulevya, matatizo ya akili n.k. Tembea na mimi ujionee yaliyojiri Skid Row, Los Angeles. Pia, nipe MAONI yako kuhusiana na hilo, And let me know which streets you'd like me to tour next.
Also, Please SUBSCRIBE so that you won't miss any new uploads, Thank you for watching!
🔸FOLLOW ME ON;
INSTAGRAM: / jacchalz
#hukuyues #losangeles #mtaani

Пікірлер: 947
@jackwausa
@jackwausa 10 ай бұрын
Please SUPPORT me by joining here; patreon.com/JackWaUSA
@mosesbarofa4419
@mosesbarofa4419 Жыл бұрын
Kulngana na America kazi zipo bt mostely hao wnye wko homeless n wnye hawapend kufnya kaz n wavivu ndo wanajpata katka hal hiyo bt america kuna opotunities
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 Жыл бұрын
Kenya my country I wil never leave you🥰🇰🇪🇰🇪
@ianjesse8525
@ianjesse8525 Жыл бұрын
Hi I wonder why people leave there home country where leave your villages to go sleep on the street in USA iam shocked
@Official_S.u.m.m.e.r
@Official_S.u.m.m.e.r Жыл бұрын
You'll never leave your country because you don't have a VISA😂😂😭😭😭😂😂😂
@miriammollel6244
@miriammollel6244 Жыл бұрын
They call it Africa. We call it home.
@kyogherocosmas6736
@kyogherocosmas6736 Жыл бұрын
Thanks for showing the world how life is in the state big bro,much love en respect 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬 from🇺🇬 Uganda
@davisalphonce7001
@davisalphonce7001 Жыл бұрын
I lived in South Korea, a lot of people are homeless,beggers amd poor.Yaan wakiwa huko wanafikiria kuonesha umasikini wa Africa but kwao pia wapo.If u had ever gone abroad,utakuja kugundua kwamba life ain't good at they show us on TVs
@irenemwakalinga4350
@irenemwakalinga4350 Жыл бұрын
Unatoka home unategemea kupata maisha mazuri huko the unakutana na hyo situation lazima uwe chizi Tanzania nchi yangu nakupenda sanaaaaaaaa
@bonifaceomallya9201
@bonifaceomallya9201 Жыл бұрын
Irene Africa tuna maisha mazuri sana hata hao watu wa Americans na European wanatamani wangezaliwa Africa huku vitu vingi ni natural vyakula n. k mie ujanishauli bado kuiama Africa au nch yangu Tanzania 🇹🇿 naipenda sana kwa keli
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Жыл бұрын
@@bonifaceomallya9201, vtu vingi ni natural lkn pesa ipo? Acheni akili dumafu tembeeni akili zitqnuke. Nchi imejaa udhalimu kuanzia serikalini mpaka mitaani yann? Hao wtto wa viongozi wazee wao wanaokulq nchi na wamejaa tele nje nyie wtto wakimasikini mmeganda Tnz mnachokipqtq hakijuilikani zaidi ya kukwangiana na kufisidiana msotokq nje mkatafutq maisha.
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Жыл бұрын
@@bonifaceomallya9201, nchi nusu na robo ya raia wake akilala hakijui atakachokula asubuhi??? Halafu mmeshika naipenda sana naipenda sana…labda mna mambo yenu wenyenu yanayokuekeni bila ya hivyo km mnapata fursa hakuna atakaekaa huko
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Жыл бұрын
Nchi ya mnyonge kunyongwa. Mana unapanga mihogo au mafungu ya tungule unauza na hayo hayo unaambiwa ulipie hii na kile
@francescafrancesca8901
@francescafrancesca8901 Жыл бұрын
No paradise in this world. Just work hard na upange maisha yako ya kesho njoo utaishi. This is the land of opportunity for someone who works hard and has a goal.
@oscaroscar2555
@oscaroscar2555 Жыл бұрын
I do appreciate kaka umesoma unaongea kama umezaliwa marekan kaka salute kubwa
@samuelmaondu2465
@samuelmaondu2465 Жыл бұрын
Run Murife! That place is a no go zone and the funny thing it neighbors one of the most expensive places in LA
@waziriwahekima6824
@waziriwahekima6824 Жыл бұрын
Africa ndio kwetu uko Ni kwawatu Mimi nikitajirika Africa nashukuru Mungu
@edsonjastin-vi6zj
@edsonjastin-vi6zj Жыл бұрын
Asante sana kaka hii nadhani ni bora zaidi ya jinsi mtu anavyoweza kudhani kwasabu tunalo kundi kubwa la vijana afrika sio wazalendo hata kidogo yeye mambo yakiwa magumu basi anawaza bora angekuwa maandishi matatu Yani USA ambapo kiufupi maendeleo Yako yataletwa na ww mwenyewe sio Hawa wakoloni hivyo Asante sana. ASHÉ
@ucjvvjcjjvih9934
@ucjvvjcjjvih9934 Жыл бұрын
🇹🇿SAFI SANA ILA TAKEA BROO🔥 USIJE UKAANGUKIA KIFO JIHAZAR HAO WAT HAWANA ZAMANA UNAONYESHA MAZAIF YAO DAKIKA TU WANAKULAZA 🔥🔥
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle Жыл бұрын
Kuwa makini kaka
@abdallahmgaya7521
@abdallahmgaya7521 Жыл бұрын
Halafu Wajinga Fulani wanadiriki kusema no Bora ukazaliwe ukiwa MBWA Marekani kuliko kuzaliwa BINADAMU Tanzania. HIYO NDIO MAREKANI HOVYO TU
@abdallahmgaya7521
@abdallahmgaya7521 Жыл бұрын
Na hii ndio maana wamarekanikatika katiba yao wameidhinisha kufirwa ni Halali.
@aishaaisha4549
@aishaaisha4549 Жыл бұрын
Kweli
@SAM_163
@SAM_163 Жыл бұрын
FREEDOM OF SPEECH INAZINGATIWA SANA US WALA HAKUNA SHIDA ZIPO NYINGI TU HIZI VIDEO ZA KIINGEREZA. XO HAKUNA WAKUKUFUNGA WALA KUKUUA IPO IVYO.
@babalawo72
@babalawo72 Жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 first my dear brother what's behind of the history of those homeless bro be careful hawo watu unawo wasema hawana makazi Wali sababishwa na nini kwa kila kitu kina sababu yake Ndugu yangu hata nyumbani ukiwa hujali maisha yako hujitumi hakuna mwenye atakujali na hawo watu niwale walikuwa hawasiki kabisa sasa acha kuwakatisha Tama Ndugu zako hakuna mahali unaweza ukaishi maisha mazuri bila kuyatafuta my bra be careful what you are doing is risk for you tahazari kuwa makini kabisa Ndugu zanguni marecani ninzuri kwa yule anaye fuwata sheriya ilatu ukavunja sheriya utakuwa kwenye utata all my dear brothers and sisters yeah all welcome to America 🇺🇸
@tinahmbiseofficial5812
@tinahmbiseofficial5812 Жыл бұрын
Kwakweli maisha bila mapambano popote uyapati
@anjellastanislaus8102
@anjellastanislaus8102 Жыл бұрын
Nimekuelwa brother ila mi naimani kbsa ukijituma unatoboa wazungu wanapmbna sana awo watu ukienda mwadui shinyanga wanapmbna faata mlolongo wote kuanzia vibari kila kitu naisi utaishi vzri tu na kazi yyte pga unatoboa tu mi nikipat chance narka vzri tu
@lucykinyanjui438
@lucykinyanjui438 Жыл бұрын
Thus true, watu wajitume ndio dawa ya kupambana na umaskini
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 Жыл бұрын
Damn,Kudos bro drop more contents hommie n keep disclose them😆
@shomaryabdul6862
@shomaryabdul6862 11 ай бұрын
true boy...manake nduguzetu Wengi wanababaika na USA...mara south Jipange kwanza...siokukimbilia sehem wakati huna mbinu mbadala
@prosperousbuildingconstruc3500
@prosperousbuildingconstruc3500 Жыл бұрын
Nakupenda Kenya mamangu na babangu Sitahama isipokuwa nimeitiwa kazi poa
@melvinsweed4763
@melvinsweed4763 Жыл бұрын
Wawonyeshe Kaka,wajuwe ukweli, wasizani apa ni heaven !
@rozanyansambo8856
@rozanyansambo8856 Жыл бұрын
Lkn imemfanya vizuri kutujuza hongera sn👏👏👏
@kwizeraclaude9228
@kwizeraclaude9228 Жыл бұрын
Thank u guy.keep giving us updated news like that ma man
@nursechunga4470
@nursechunga4470 Жыл бұрын
Kumbe na huko Kuna iyo hali? Nakupendaa Tanzania yangu, asante Mungu hata kwa maisha haya niliyonayo🙏
@enockmwanyonga9403
@enockmwanyonga9403 Жыл бұрын
Hao wengi si wazawa, ni wahamiaji halamu na serikali ya USA inatafuta ufumbuzi,wa kwetu wanalala kwenye mitalo, na hakuna anayejali, waulize panya road
@lD20595
@lD20595 Жыл бұрын
Nyumbani ni nyumbani Kenya mama yangu I love you wacha ikaye
@wilsonmwaniki511
@wilsonmwaniki511 Жыл бұрын
Kali sana
@rachelmuhehe7789
@rachelmuhehe7789 Жыл бұрын
Fedha na dhahabu viko kwa Mungu ukizitaka ni kuomba na kufanya kazi kwa bidii na utazipata. Mafanikio yanatoka juu mbinguni siyo Marekani
@davidmwangi1420
@davidmwangi1420 Жыл бұрын
A very important tour of that hidden side of life in the US. My thoughts are, in a place where life is so fast & competitive, bills so high, and generally so difficult to make it in life in spite of the opportunities that may be out there, it is an extremely bad idea to fall into a life of drunkenness and drugs. You soon lose everything including the eligibility to be employed any where. You ruin your life completely and live on the streets. Likewise its just as bad to get into gambling and a life of false luxury and accumulating credit card debts there living fancy to impress people. Soon everything you have is repossessed. Don't even go to getting a child and having to pay child support. It will finish you. Just be prudent in life. Be wise and be frugal and modest.
@mory1084
@mory1084 Жыл бұрын
True I love your advice
@lucyatieno1249
@lucyatieno1249 Жыл бұрын
Alaaaah 🙄 kumbe uko pia Kuna ghetto lkn Sasa shida ni kulala barabarani
@davidmwangi1420
@davidmwangi1420 Жыл бұрын
@@lucyatieno1249 yes there are. Really sad to see. Kwa street zao madawa za kulevya ndio nyingi na hawapati food rahisi.
@davidmwangi1420
@davidmwangi1420 Жыл бұрын
@@mory1084 thanks 👏🏾
@tuforu4
@tuforu4 Жыл бұрын
Your very CHEERFUL i bet
@hassanmkangwa2062
@hassanmkangwa2062 Жыл бұрын
Marekani Maisha ni magumu KWANGU mimi ni sehemu ya Kwenda kutembea na kurudi
@musevenihakizimana5461
@musevenihakizimana5461 Жыл бұрын
Asante sana kwa tarifa, unafungua macho ya hakiri kwa wengi. Let's think twice and develop our Lovely Mother Land (African Cities).
@JerubaalXerxes
@JerubaalXerxes Жыл бұрын
Haya ndo maisha na sisi tunakimbilia kufikia.... ujamaa una nguvu yake kwenye jamii sana ukichanganywa na ubeberu. Ila ubeberu ni unyama unyama...
@itskisaka
@itskisaka Жыл бұрын
*Kazi nzuri bro*
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Asante!
@bboyamos
@bboyamos Жыл бұрын
I am citizen of TANZANIA DARESALAAM I KNOW that no good things coming on easy way I love so much Tanzania and I wish to work in USA (MALENGO NA KUJITUMA NA PIA NIDHAMU ,HESHIMA YA HALI YA JUU)
@victorgerryson2695
@victorgerryson2695 Жыл бұрын
Acha bangi
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Жыл бұрын
Afrika huna utakachokipata labda uibe serikalini. Hao wafanya biashqra wakubwa karibu na wote wezi wa Mali za umma
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 Жыл бұрын
Subhana Allah bora nchi zetu wambie maana wanafikiri uko maisha mazuri
@mathayomtakatifutz4279
@mathayomtakatifutz4279 Жыл бұрын
Good idea bro
@mpendakiswahili3053
@mpendakiswahili3053 Жыл бұрын
Kiswahili safi kaka ...pongezi toka Kenya
@wybzokizzy4416
@wybzokizzy4416 Жыл бұрын
Kenya sihami 🇰🇪🇰🇪🇰🇪💕💕
@mitioneline5189
@mitioneline5189 Жыл бұрын
Labda ungetumia style ya kama mahojiano ... Maana wenzetu hawapendi kuonekana wachini mbele ya nchi zingine , naukiangalia USA ni nchi inayojionesha nikubwa... Utaweza pata shida brother.. badili mtindo ila uko POA Umefundisha wadau wenye ndoto zao za kukimbilia huko👏🤝
@MUSICTRENDINGGLOBAL
@MUSICTRENDINGGLOBAL Жыл бұрын
Nakubali Sana Kaka 🔥🔥🔥
@josephnjoroge5649
@josephnjoroge5649 Жыл бұрын
Shukran sana kaka Kwa kutupeleka Moja Kwa Moja Hadi marekani bila visa wala passport Kwa wengine wetu .
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 Жыл бұрын
Sasa kuhusu afrika wazungu huwa wanaonyesha pande kama izi kwenye tv zao. Sehemu nzuri nzuri hawataki kabisa kuonyesha. America is not a better place as many ppl think!
@rich.kizza10
@rich.kizza10 10 ай бұрын
Afrika sehemu kubwa ni masikini, Marekani sehemu kubwa ni matajiri
@adamhashimu4462
@adamhashimu4462 Жыл бұрын
Nice content ,umetisha sana
@mpokimwakaje8178
@mpokimwakaje8178 Жыл бұрын
Adamu na Hawa walikuwa wazuri mno badae wakawa wabaya kupindukia,maana hawakuwai kujifunza kupitia ubaya, Leo hii yesu amekuja kuwatengeneza wabaya wote wamekuwa watakatifu mmoja wapo nimimi alinibadilisha Mimi ili niwe mfano kwa wengine niliyowafanyia ubaya,Sasa Mungu ameniweka kuwa balua kwa watu Sasa nawafundisha watu wema wa Mungu kwa mtu mbaya Mungu anawatamani Sana watu wabaya ili awafanye watumishi wake,
@seafordindasio6792
@seafordindasio6792 Жыл бұрын
Nice content, both Swahili and English used on top notch.
@pierretembele8129
@pierretembele8129 Жыл бұрын
Nachakuongezea homeless unyanganywa vitambulisho vyote hadi awezi pata kazi seemu yoyote sasa nakushangaaeni leo ndo unajua homeless bro lakini nakupongeza umeuwa sana kazi kubwa salut faamisha watu wengine unacholijua hiyo nisawa sana 🙏
@abuuluqmaana8444
@abuuluqmaana8444 Жыл бұрын
hatar kumbe hao ndio wa kwanza kuvunja haki zabinaadamu haafu huku africa kwetu kwenye amani wanakuja kuwalaghai viongoz wetu na kujufanya wanasaidi watu
@hezronjacob1365
@hezronjacob1365 Жыл бұрын
Kazi nzuri kaka
@jameschumbula7351
@jameschumbula7351 Жыл бұрын
Asantee kwa ku2juza kaka🔥💪🏾🇹🇿💚🇹🇿💚✌️
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 Жыл бұрын
Duh kweli akili kumkichwa wa Africa kila kukicha kukimbilia uko wanasema Kuna Kazi kwaiyo hao wamekosa izo Kazi ?! Nakupenda Tz nchi yangu 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@fidodido9578
@fidodido9578 Жыл бұрын
Hao ni watu ambao asilimia kubwa ni mateja Wala madawa kama unavoona mateja bongo
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Жыл бұрын
@@fidodido9578, si asilimiq kubwa tu ni km wote
@Idysalim
@Idysalim Жыл бұрын
Wewe....! Thanks bro for taking us to America without visa and passport, my country Kenya I will never let you go
@chief2177
@chief2177 Жыл бұрын
The government is fucked up
@trillhappybeautypoint9874
@trillhappybeautypoint9874 Жыл бұрын
Dah umefany vzr sana👏👏
@Learn_101
@Learn_101 Жыл бұрын
Kazi nzuri
@emmanuelzani2889
@emmanuelzani2889 Жыл бұрын
Mmm, kumbe mimi nina maisha mazuri sana Tanzania, asante sana kwa taarifa hii. Kabla ya taarifa hii nilijua wote wanaoishi huko ni watu wa matawi ya juu, kumbe mambo ni haya!!! 😳
@danielotieno4042
@danielotieno4042 Жыл бұрын
Na huyo jamaa jiulize yeye anafanya nini huko kama hali ni mbaya hivyo!
@emmanuelzani2889
@emmanuelzani2889 Жыл бұрын
@@danielotieno4042 Hali siyo mbaya kwa wote, la hasha. Ila kuna watu wanaoishi maisha mabaya sana. Asante.
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx Жыл бұрын
@@danielotieno4042 kwani yeye kakwambia kma anaishi hpo yy anasema muyaone maisha ya nchi ili musione kila sehemu maisha mazur maaan akili zenu waafrica zimelala mnaona mtu akiwepo nje ya nchi bs katoka kimaisha
@celinamutta5058
@celinamutta5058 Жыл бұрын
Dunia ni ile ile. Binadamu ni wale wale. Kwa wale waliotembea dunia, nami nikiwa mmojawapo, ni wapi ulipoenda usikute maskini aka homeless people? Ni viwango tu vimepishana. Weupe na weusi ni rangi tu, umaskini haujali rangi wala taifa. Marekani na Africa ni ramani tu. Maisha ni yale yale tu.
@celinamutta5058
@celinamutta5058 Жыл бұрын
@@danielotieno4042 Huyo anatafuta umaarufu kwenye mtandao watu wajue yuko huko. Kama wewe ni mbongo, hata kama hujatembea mataifa, jua kwamba hii hali iko( nachelea kusema duniani kote) ! Umaskini na utajiri viliumbwa ili tofauti iwepo. Na hii ni mpaka mwisho wa dunia( ikiwa kama kweli mwisho utakuwepo)😂😂😂
@joelmusebe2141
@joelmusebe2141 Жыл бұрын
Thank you for your information,some will think that America is the richest country in the world,every country has rich and poor.
@abdallahnjate8520
@abdallahnjate8520 Жыл бұрын
But Africa countries......80% poor,america 20%.....kimahesabu wapi rahisi kutoboa😃
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Жыл бұрын
@@abdallahnjate8520. Nahao masikini wamarekani ndio watu wenye maisha ya kati Afrika mana wa akili vzr, wanavaa na wanafanya yao japo kua si yakifahari. Lkn anaonyesha wala unga akatishe wenziwe tamaa
@rich.kizza10
@rich.kizza10 10 ай бұрын
​@@abdallahnjate8520washkaji wanalinganisha Amerika na Afrika eti dah😅
@daktariwakienyeji
@daktariwakienyeji Жыл бұрын
Kazi nzuri kaka👏👏👏👏👏
@mwl.joycekisha1849
@mwl.joycekisha1849 Жыл бұрын
Asante kwa taarifa hii muhimu Nina ndugu yangu anaitwa Eliud Kagya tumempoteza huko usa nashani kawa homeless jamani kama tunaweza pata msaada wa kumpata
@gabrielkuria8335
@gabrielkuria8335 Жыл бұрын
I say east or west home, home is always the best
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Please Subscribe pia kwenye hii channel yangu nyingine ili ujionee zaidi ⬇️ ⬇️ youtube.com/@Jackchalz
@godlovekatemba3162
@godlovekatemba3162 Жыл бұрын
Ahaa kweli Mungu atusaidie maana tuna mawazo ya uzuri tu
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx Жыл бұрын
Wengi utaskia kaolewa uingereza kaolewa paris kumbe maisha yao mabovu na ukiwaambia wakaidi
@rachaelnambisi
@rachaelnambisi Жыл бұрын
. Nm .mmm?
@maryandason1815
@maryandason1815 Жыл бұрын
Pow tutaku4 low
@maniamba.tz_
@maniamba.tz_ Жыл бұрын
Bora niendelee kuishi zangu Tanzania 😅😅😅
@nicholasgachigi7832
@nicholasgachigi7832 Жыл бұрын
Kazi poa ya kupatia watu nguvu ya kuishi edelea hivohivo I like it👍
@enockaz
@enockaz Жыл бұрын
Shukran kutufungua macho
@salamamsheh7985
@salamamsheh7985 Жыл бұрын
love my african countries are in my heart everyday.
@rabiinassoro5239
@rabiinassoro5239 Жыл бұрын
Hivyo vyakula vya bule ndo tunavitaka sisi tunakuja kumbe vipo thanks bro.
@lailatmalik7515
@lailatmalik7515 Жыл бұрын
😀😂😂😂Jmn wabongo
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 Жыл бұрын
Ila watu jamani 😂😂😂
@rehematawalani733
@rehematawalani733 Жыл бұрын
HAHA 🤣🤣🤣🤣🤣 duu haysee
@rehematawalani733
@rehematawalani733 Жыл бұрын
Ngoja nijipange kwanza kisha nianze
@subiramussa1428
@subiramussa1428 Жыл бұрын
😁
@rozina2161
@rozina2161 Жыл бұрын
Imebidi ni subscriber duuuh kheri ni baki kwetu kenya
@lucasmanyama2892
@lucasmanyama2892 Жыл бұрын
Thank you brother, I'm speechless
@dianalyamuya4809
@dianalyamuya4809 Жыл бұрын
I love you so much Baba God bless you
@justinamusyoka4986
@justinamusyoka4986 Жыл бұрын
Thank you for sharing.A man we grew up together in the village travelled to US in his early 20's and somehow got lost and absorbed in American street life and I think this is how he lives.He has never visited home ever since he left. This are the traps to avoid.
@peterkariuki9073
@peterkariuki9073 Жыл бұрын
How did you know he used to live in streets?
@pokemon-Go22
@pokemon-Go22 Жыл бұрын
He is probably dead 🤣
@veronicawanjiku1763
@veronicawanjiku1763 Жыл бұрын
Kindly when you mean traps what do you mean
@davidmwangi1420
@davidmwangi1420 Жыл бұрын
Precisely the case. Unfortunately they never show is this side of life. On the other hand we all like to believe they are doing so much better in America than we are, back home. Which isn't always the case.
@JumaMeamba-px5vc
@JumaMeamba-px5vc Жыл бұрын
Nakukubali mjuba wangu
@Abdiyoungrashid
@Abdiyoungrashid Жыл бұрын
Remember wat 2pac sayed they have money but can't help the homeless people
@dondallas6683
@dondallas6683 Жыл бұрын
They got money for war but can't feed the poor
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Жыл бұрын
Sijui Marekani lkn UK wa wanasaidiwa na nyumba wanapewa lkn wanazikodisha wapate pesa wakanunue drugs!
@dayanafelly1488
@dayanafelly1488 Жыл бұрын
Sijawahi kuota kuishi nje ya mipaka ya Tanzania... Nchi nyingine nitaenda kwa shughuli maalumu tu! Ila Tanzania, I am here to stay
@mpokimwakaje8178
@mpokimwakaje8178 Жыл бұрын
Palipo na ugumu ndipo palipo na mafanikio huwezi kupata Raha bila kupata shida huwezi kuwa mtu mzuri bila kuwa mbaya huwezi kuwa na tabia nzuri bila kuwa na tabia mbaya ukiwa mzuri ujue uko mbele utakuwa mbaya ukiwa mbaya huko mbele utakuwa mzuri ubaya kwanza uzuri unakiuja baada ya ubaya,
@graveengrave2936
@graveengrave2936 Жыл бұрын
Hongeraa saaana hilakuwaaa makumi Mdogowangu
@anosiata8242
@anosiata8242 Жыл бұрын
Hawana makazi kwasababu wamefanya makosa. Ni tofauti na tanzania mtu akifanya makosa maisha yanakwenda. Hapa marekani hakuna .Ukifanya makosa tu Kuuwa, mwizi, kupingana kwenye makampuni Ulevi, social Security inawekwa X huwezi kuajiliwa sehemu yoyote ile. Wakiingiza zile. Namba social security kwenye computer wanaona makosa yako yote huwezi kupewa kazi. Kwa hiyo huyo kijana anawadanganya. Hao mnawaona wako barabarani wamefanya makosa Tofauti. Tofauti . Na Ndiyo wako barabarani.Kama hajafanya makosa Marekani ni sehemu nzuri sana kuishi. Una fanya kazi maisha yanaendelea.
@jackyjacob2105
@jackyjacob2105 Жыл бұрын
Acha kupingana na ukweli na hayo mazigira jinsi yalivyo na hapo pia utasema hawajui kufanya usafi pachafu wanakojoa hovyo et wanamakosa 😏😅😅😅🤪
@leonardchoma3765
@leonardchoma3765 Жыл бұрын
Acha kudanganya watu.Maisha ya Wamarekani na kwingine Ulaya hayavutii sana hasa kwa watu maskini.Ukatili wa kutumia silaha,ushoga nk
@anosiata8242
@anosiata8242 Жыл бұрын
@@leonardchoma3765 kama wewe unasema maisha ya wamarekani hayavutii Maisha ya watu wa africa ndo yanavutia. Hao mnaowaona barabarani wameyataka wenyewe..
@matm.s
@matm.s Жыл бұрын
Not all bwana Hawa wengi ni addicts, na Sasa hivi marekani Kuna madawa yanaitwa fentanyl (inasomeka "fenti-nol") wanakufa sana kwa overdose.
@matm.s
@matm.s Жыл бұрын
Marekani Sasa hivi homelessness inaongezeka kwa kasi sana, Kuna sehemu nyingine inaitwa Kensington avenue Philadelphia, its more worse than this. Madawa, prostitution etc
@saintliness1629
@saintliness1629 Жыл бұрын
You could get arrested for this, just be careful. Don't let securities see you doing that.
@kagege23
@kagege23 Жыл бұрын
Nkt fuck you when showing about africa who arrests them?
@Shaflivictor3780
@Shaflivictor3780 Жыл бұрын
Much love bro from 254 men keep updating us love your swahili men ingawaje sisi wakenya tunabonga sheng but that doesn't matter the main issue is that I understand you
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 Жыл бұрын
Duh! Noma sana
@christinakiguguzwa5696
@christinakiguguzwa5696 Жыл бұрын
Aah congrats best,, hapa unajifunza kufikiri sawasawa kabla ya kutenda🤔🤔
@khalidnibikora6924
@khalidnibikora6924 Жыл бұрын
Bado tunatamani bro...nifanyie mpongo ili niweze kufika uko...pia asante sana ubarikiwe kw kazi yko nzuri
@omaribazanga7967
@omaribazanga7967 Жыл бұрын
Ukiwa na plan njoo usiogope,hao asilimia kubwa washatoka majela hawawezi kuajiriwa,usiogope bata huku kama kawa
@khalidnibikora6924
@khalidnibikora6924 Жыл бұрын
@@omaribazanga7967 sasa ndugu yangu nifanyie mpango tafadhal
@mohamedhamisi9766
@mohamedhamisi9766 Жыл бұрын
Thanks Jo kwa kutuhabarisha kikubwa juhudi na bidii tuu popote tuu pale ukiwa na bidii utaishi Life poa tuu
@gloriamwanjali9371
@gloriamwanjali9371 Жыл бұрын
Nishawahi ishi Atlanta (USA) and Munich ( Germany) back 2009. Hapo 5 ways Atlanta na Habonoof nolipoona live homeless beggers nilipata akili kuwa hata ughaibui is the same. Nilimshushua mzungu mmoja nasema.anataka kuja kusaidia Africa nikamwambia kwa nini usisaidue ndugu zako kwanza?. Alikaa kimya
@lynnemaremana6618
@lynnemaremana6618 Жыл бұрын
Wah Heri Kenya 💯 times San Francisco pia no ghetto Lakini kutwa kuonyesha Africa . Marekani kuna sehemi ukitembea unatekwa nyara mchana .
@gettyjusa3352
@gettyjusa3352 Жыл бұрын
Inalingana na slums za kibra wenye wako street's umewasahau na chokoras acha izo ...
@cecilykimani4400
@cecilykimani4400 Жыл бұрын
Waaaaah huko ni marekani i can't believe it
@jackwausa
@jackwausa Жыл бұрын
Yes, Ni Marekani
@Manlike96
@Manlike96 Жыл бұрын
Acha kukatisha watu tamaa, mbna wewe haupo kwenye maisha ayo na upo marekan, all in all ugumu wa maisha ya huko husifananishe na huku bro Africa maisha magumu ni magumu tu
@zepinashatibu5149
@zepinashatibu5149 Жыл бұрын
Asante sana kutujuza
@fortyyellu9971
@fortyyellu9971 Жыл бұрын
Swafi sana kaka endelea kutuhabarisha mzee nas tuone vizur iyo USA ilvyokuwa
@ayubufumbuka3233
@ayubufumbuka3233 Жыл бұрын
Hahaaaaaa
@zulfaomari8555
@zulfaomari8555 Жыл бұрын
Siku yake moja 2 naumbea wake
@christopherambrosehb7860
@christopherambrosehb7860 Жыл бұрын
Homeless are everywhere 🇿🇦🇿🇦
@zubedagodigodi7319
@zubedagodigodi7319 Жыл бұрын
tatizo sio homeless kuwa kila sehemu tuna aminishwa malekani kuna maisha mazuli
@lawaridihashim5709
@lawaridihashim5709 Жыл бұрын
@@zubedagodigodi7319 ndio mazur kwan uwongo na kwenye kila Zur baya halikosekani
@mamakephoebemkatoliki6972
@mamakephoebemkatoliki6972 Жыл бұрын
Thanks for this.
@brentliosmithii3467
@brentliosmithii3467 Жыл бұрын
I appreciate this video.
@ruthmwaura7893
@ruthmwaura7893 Жыл бұрын
Hi thank you for your information,I never thought that America iko na poor people like that.Take heart& jichunge.
@juliusswanya6365
@juliusswanya6365 Жыл бұрын
Drugs
@naftalynaff7811
@naftalynaff7811 Жыл бұрын
I can only fly to the USA for a vacation just that
@claregeysilwana3213
@claregeysilwana3213 Жыл бұрын
Thanks again for the news dear brother
@yussuphsaleh767
@yussuphsaleh767 Жыл бұрын
Tupo pamoja ,,kwa kutuonesha umasikini wa watu wa marelani ,,lakini umasikini saa nyengine husababishwa na mtu mwenyewe kwa mfano uvivu wa kutokufanya kazi,utumiaji wa madawa ya kulevya, wahamiaji wasionakibali nakadhalika ,kwa ufupi umasikini utakuwepo hadi dunia ishe hautamalizika
@philipomaemaobe6985
@philipomaemaobe6985 Жыл бұрын
Is tiz really! I had a dream of coming to America,but now brother lel me husler back 🇰🇪
@maryn7609
@maryn7609 Жыл бұрын
everything and everywhere has it own beauty and beast,push your dream bro!in Kenya we do have bright n dark side though
@babianliza
@babianliza Жыл бұрын
Niite bwana niwauzie vitumbuaaaa huo mtaaa
@khaalidcheo5383
@khaalidcheo5383 Жыл бұрын
Sasa watakulipa kweri mana wao wenyewe choka mbaya.😅
@florakabena12flora29
@florakabena12flora29 Жыл бұрын
Waaah you make me to give up,,,acha nijikaze huku Saudi Arabia
@biblicalchristianassemblies
@biblicalchristianassemblies Жыл бұрын
Kariakoo!
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 Жыл бұрын
Uswahili lini uko pia duniani kote umasikini upoe sema kuna kuzidiana
@abuuluqmaana8444
@abuuluqmaana8444 Жыл бұрын
tupe siri za manyangau kaka huku sisi africa tuko vizur ndio maana wanataka kutuharibia amani yetu na kuwadanganya viongoz wetu
@ShaskaMakota
@ShaskaMakota Жыл бұрын
Noma SANA mwanangu... Watu hao wapo kweli
@sashoright8213
@sashoright8213 Жыл бұрын
Mie naona kila nchi Ina udhaifu wake na kila nchi Ina sehem ya maskin kwke kwahyo ni kuomba Mungu akuongoze kwnye maisha ili ufanikiwe asante
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Жыл бұрын
Nchi za wenzetu umasikini ujitie kwenye drugs utokwe na akili ulale nje km hao. Lkn Afrika umasikini wakukandamizwa kwa makusudi na ulafi wa nchi na viongozi. Mana hata ukiuza mihogo utaambiwq ulipie ushuru. Huna uezo wa kula hata milo 3 midogo kwa siku, ukiumwa mash aka…utabanwa ilimradi usipate hata pesa ya kusave! Labda uibe na hao unaowaona wanaendelea wote wezi wa serikalini
@flashlightstudio5399
@flashlightstudio5399 Жыл бұрын
Expose them brother expose them. Unajuwa wanavyo ichafua Africa yetu eti sisi wa Africa tunaishi misituni
@angeldejoice3202
@angeldejoice3202 Жыл бұрын
Masikini wako duniani kote tena bora hao wanapewa chakula !vipi kuhusu Africa yetu
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx Жыл бұрын
Sasa nyie mupewe chakula wakati kila kitu mungu amewapa wavivu kufanya kazi bs
@Kengele
@Kengele Жыл бұрын
bro this is the real content #kengele
@godalone3487
@godalone3487 Жыл бұрын
On their camera they like to share us their out look Side I know that Africa is better than there it our time to think big our youth and other let us build our continent,occidental is not paradise Let us be together and Enjoy our beautiful nature,climate,cultural and other many goods we have.I love Africa and I am proud to be an African
@bakariathmanathman2187
@bakariathmanathman2187 Жыл бұрын
Kizazi sana kaka 😭 umetutoa taka zamasikio🦻 wengi tunaamini kwamba American nidunia yapili😭🙏
@saidjuma9782
@saidjuma9782 Жыл бұрын
Wanao Amini hivyo ni wale ambao hawaja safari....Marekani haitoendelea kwa sababu ni wauwaji wakubwa duniani....Wana maisha mabovu sana kwa sababu Dhuluma Ilokithiri....
@fadhilamsagati1337
@fadhilamsagati1337 Жыл бұрын
hata uingereza wapo
@khaalidcheo5383
@khaalidcheo5383 Жыл бұрын
@@saidjuma9782 mimi.sijawai fika uko lakini niliku najuwa umasikini kama uo upo bila shaka yoyote.
@evenmutethia9912
@evenmutethia9912 Жыл бұрын
Poa bro
@emmadora7848
@emmadora7848 Жыл бұрын
@@saidjuma9782 unataka iendelee mara ngapi br? Chuki binafsi America wako far away sana kulinganisha na nchi nyingiiii duniani iwe unataka au hutaki
Huu ndiyo uhalisia kuhusu ushoga Marekani 🇺🇸
11:54
Jack Wa USA
Рет қаралды 19 М.
Мы никогда не были так напуганы!
00:15
Аришнев
Рет қаралды 6 МЛН
Alat Seru Penolong untuk Mimpi Indah Bayi!
00:31
Let's GLOW! Indonesian
Рет қаралды 15 МЛН
He sees meat everywhere 😄🥩
00:11
AngLova
Рет қаралды 11 МЛН
I CAN’T BELIEVE I LOST 😱
00:46
Topper Guild
Рет қаралды 102 МЛН
Maisha ya Marekani: Kukaa ndani, Upweke, Nyumba, Magari nk
12:22
EBM SWAHILI
Рет қаралды 403 М.
Mtu yeyote anaweza own bunduki USA ata mtoto wa 16 years.
31:35
Huku Yues
Рет қаралды 522 М.
Kwa sababu gani nyumba za America niza mbao?!!
10:23
Huku Yues
Рет қаралды 97 М.
Njia Rahisi Ya Kupata VISA Ya Marekani 🇺🇸
11:52
Jack Wa USA
Рет қаралды 34 М.
JKizondo Asimulia Maisha ya Marekani
7:31
JKizondo Swahili Bites
Рет қаралды 20 М.
Мы никогда не были так напуганы!
00:15
Аришнев
Рет қаралды 6 МЛН