This woman is so intelligent and diplomatic, but also so loyal, and loyalty is everything in this life.
@MsAggie511 ай бұрын
Very true I agree with you 💯
@pichunakichuna211111 ай бұрын
She’s a liar
@BarbaraPatience-qt9cc11 ай бұрын
@@pichunakichuna2111very true! Sai anajileta tena
@accuratehallunaire854111 ай бұрын
Man!! So yuh can tell that a person is loyal from jst an interview??
@dushudofficialnurudin975311 ай бұрын
Nikweli Kuna Muda Tunapitia Magum Kias Hata Watu Wetu Wakaribu Hawajui Kip Tunapitia Binafsi Naelewa Kikubwa Amerud Maashallah Mrembo Kinoma Like Hapa
@carolmwangi622311 ай бұрын
I like the Way SNS munafanya interview zenyu. Very Very decent & humbled. na muko poa saa. Hambishani na mgeni mlio tuletea. Ninampa mda anajiongea bila kukata kata n maneno. Love from here 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Jowelia11 ай бұрын
Aaliyah is the true meaning of beauty with brain she had depression now let her heal in peace but she lied kwa kweli hakusema ukweli hata kidogo but it's life may Allah bless her with more blessings🤲🏽❤️
@serianjamal825411 ай бұрын
You can tell the pain she has been suffering , ukimtajia zuchu na diamond unahisi anasawijika poor girl, God is Great you are in the process of healing Aliyah. Keep it up babe.
@MsAggie511 ай бұрын
What I don’t understand with all those girls dating Mondi, what are they thinking? All baby mama he dated are beautiful wewe ni nani, na una nini tofauti na hao wengine
@azizayassin362311 ай бұрын
😂😂😂😂as asualy
@lareineminah135311 ай бұрын
Ila ni yy ali cheat na Director Kenny ni vile tu simba ameshaga vikwa ubaya😂😂😂
@sadikihamad977011 ай бұрын
Nawapongeza sana sns kwa interview nzuri sanaa japo majibu hayakua kwenye point. Big respect kwa Sky kutolazimisha majibu sisi watazamaji tumeelewa 🎉
@jeanneandfrancislifestyle151811 ай бұрын
Kabisa she’s lied 😅
@mohammadoman89636 ай бұрын
😂😂😂😂😂kumbe nawe umeona eeee
@einsteinmboje473011 ай бұрын
I Like The Mindset Of This Lady …. Damn 😍🥰, Imagine Beautiful + Loyal + Akili Na Busara ….🙌, Damn She Is My Crush Now🥹
@sadayosiame879811 ай бұрын
I love you Aaliyah nakupenda sana my sister ❤❤
@jebace6 ай бұрын
This is the first interview to watch from beginning to the end ,big time
@swahiliwithZita11 ай бұрын
52:04 kasema ukweli, akiwa na mtoto, who she is dating etc etc ni personal and anaviweka private. So hatuwezi kujua ukweli hadi tmz ya TZ yani MK app ituambie 😂. Kwenye hii interview, she stuck to her principles hasemi 😂 time will tell. I like her brains ❤
@mohamedismail266211 ай бұрын
Mashaa Allah Mungu kambariki uzuri mpaka akili namuona mbali sana
@leaherasto92911 ай бұрын
Alivyoanza kumuongelea Zuchu sura imechange kidogo kaongea kwahisia Pole sana Aaliya usimuamini mtu katika dunia hii simama naMungu
@MsAggie511 ай бұрын
Kweli NI fundisho Kwa wengine usimuamini hasa hawa marafiki haswa Kwa wasichana
@PreciousWilbroad11 ай бұрын
Dah!nimekaonea huruma san ila uchawi upo jamen
@vickydan286911 ай бұрын
Zuchu kamuumiza sana huyu dada
@MsAggie511 ай бұрын
@@vickydan2869 Kwa vile walikuwa mashoga. Shoga kushogoana 😂
Kwani nyinyi wa dada wa mjini hivi vingereza mnazungunza hata hujaulizwa swali la kingereza mmmmm! Mke wa remi rungara Yu ni mzungu kabisa na akifanyiwa intavuu majibu kiswahili Sasa nyinyi ngozi nyeusi ha! 🙌
@catherineshayocwbp.209311 ай бұрын
Ume heal...! What you have been through taught you a lot... Nakuelewa mama😊
@subrynerysegerow132311 ай бұрын
Kusema kweli Aliyah mm nakupenda sana kingine kama una mtoto kweli na ni wa nassib kama inavyosemekana nakuomba mfiche hivyo hivyo sidhani kama ni vyema awe kwenye mitandao ila kama zuchu amekutenda wewe wallah kuna kitu kinaitwa karma na haikosei ni swala la muda tu..........we love you mama❤
@ZainabuIsmail-fm2ey11 ай бұрын
Mm ni nembo ya wasafi amna wa kupinga mapenzi yamevunja urafiki yamepoteza kazi hongera kama una mtoto nachibu uyo mtoto tayari maarufu kama baba yake usimpe jina ucmpe jina ww muachie baba yake awe nyota kama yeye mwenyewe wala ucjilaum kuzas nae ucje kumtia nuks umezaa na zmtu maarufu duniani ndoa anapanga mungu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@njoroboihastla11 ай бұрын
Hauna akili halafu upo comfortable tu???
@aminanamoyo8311 ай бұрын
Nice interview 👍🏼👌but 80 % majibu hayakuwa kweli japo ni maamuzi yake its okay tunaheshimu hilo ❤
@nancyangelnsekela695711 ай бұрын
Heartless Zuchu .. We proud of you Alliyah... keep calm and carry on .
@BarbaraPatience-qt9cc11 ай бұрын
Heartless wapi? Nonsense! Zuchu alimfanyia nink
@lareineminah135311 ай бұрын
@@BarbaraPatience-qt9ccapo ana vikwa lawama zenye hazi muhusuuu A cheat mwenyew wa achaneee wenyew wamvishe zuuu Wampumzisheee zuu wetu
@pamlolo207011 ай бұрын
WOW beautiful lady but emotionally damaged.. Bless her!
@cyrilpascal927710 ай бұрын
You can crush on someone just by listening to her the way she talks. Being loyal, honest and the way she reasons stuffs is so perfect for a real man. We all have some weaknesses to some point, no one is perfect hundred percent but with her character I think her man must be very lucky.
@samiahsamihah804711 ай бұрын
You can't ride on another woman tear's. Tanasha umebarikiwa na Neema za Allah na NJ .
@roseatieno66914 күн бұрын
I like the way you people interview your visitors and I've always liked this channel SNS . Keep it up guys . Love from 254 🇰🇪🇰🇪
@malikzafarani17211 ай бұрын
Kiukweli huyu dada anamsha sana kwenye show zake 🙌🇶🇦
@agnessanga294011 ай бұрын
Oooh My Goodness , ...What Kind Of This Lady Very Class, Elegant, Intelligent, Attentive..Naseeb Kwann Usiongemuoa Huyu Binti Dooh❤️🥰🥰
@lareineminah135311 ай бұрын
Ali mcheat na kenny
@humbleshoal6 күн бұрын
@@lareineminah1353 Una ushahidi?
@YacintaJames6 күн бұрын
Nasib kazowea wa uswahilini, wambea nk
@humbleshoal6 күн бұрын
@@lareineminah1353 Wala c kweli ila zuchu alimchukua mond
@lareineminah13536 күн бұрын
@@humbleshoal Basi ukweli wana ujuw wenyew...
@gsmartcreation565511 ай бұрын
Interview safi. Sauti Kali. Watangazaji hodari. Ila Editors na Producecers naomba tushirikiane video zisiwe over exposed. It’s more than once, and I feel like it’s time to change it. Let’s talk
@khamisshee80311 ай бұрын
Me 2 sijakubali Aliyah anatuukataaa lkn namuelewa Sana I love her ❤❤ back now u miss u so much AKA BACHUCHU Mombasa 001 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@anethonesmo639011 ай бұрын
Aaliya ameamua kuuficha ukwel kwasababu walimuumiza sana na kingne amekubal ndo maana anaukataa ukwel, na hata kuamua kuchukua break na bado anasema yuko wasaf unaweza kuelewa, boss ndo sababu ya yote na ndo maana yupo huru kurud muda wowote
@LoveAron11 ай бұрын
Pia anajua kuna kesho anaweza kupata kibarua wasafi lkn ukweli naonekana tuu Ali ondoka kwasababu Zuchu alimchujuwa mondi iko hivyo tuu
@soniaingabire313411 ай бұрын
Alifanya vizuli kufica kwa sababu kutembeya na boss yaionekani vizuli. Angepoteza vingi.
@darajalakidatukilomgi23625 күн бұрын
Watu hawasikii ukishachanganya mapenzi na kazi utapoteza kimoja Kwa ubaya sana, muache kutenbea na mabosi zenu na mabosi muache kutamani wafanyakazi wenu muweka heahima kazini
Sasa huyu Ndo alikuwa mwanamke wa kuoa bwana BIG…very smart
@hajjiomary238311 ай бұрын
😂😂
@mohammadoman89636 ай бұрын
Mbona huko alipokwenda hajaolewa?
@BenedictaMagantg10 күн бұрын
Indeed.
@afsanibitanga29111 ай бұрын
Woooow anajuwa kuruka ma swali nikwasababu angali anaona sanisaa anaweza kurudiyana diamond!!!?anamuaca zuchu aropoke iko smart
@Mina.1511 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@kekiplus1andonly11 ай бұрын
MashaAllah 🎉🎉🎉beautiful lady&very well spoken God bless
@anicyaedward625711 ай бұрын
Sauti ya brother sky tu inatosha kusikiliza kila video zako lwa sns. Congratulations brother..aalyaa we love you na sauti yako plus Creez guys your the best and best hamshoshi kuwasiliza kwa kipind aiseeeeee .
@dadaleyla11 ай бұрын
Inaonekana alipata depression. Vizuri amerudi tena kwenye game. Mungu aendelee kumsimamia. Bado yuko wasafi mbona kwenye bio yake haipo? Na hamfollow mtu yeyote wasafi zaidi ya Lokole, kuna kitu anaficha. Ila hakuko sawa.
@AzaAzamhmod11 ай бұрын
Mmejua kutuchosha walah masaa Zaid ya mawil khaaa😢😢😢😢😢😢umbea na nautaka lkn chamoto nmekionaaa 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢TOO MUCH TIMEEEEE JUST REDUCE THIS TIME.. MAMBO NI MENGI DUNIA A HII AU VILE MNAONGEA MA MREMBO ALIYAH 😮😮😮MNAFURAHI KUMUONA TU. TZ KHAA😢😢
@MadinaAbduKyabazinga11 ай бұрын
Apo kwanza nicheke😂
@jamilajamal158411 ай бұрын
Mmmmh😢 hata kina sky wanamuna kbs anavyo kwepa swali lenye ukweli 😂😂 wanamchora tu😂😂😂😂
@sadayosiame879811 ай бұрын
dar me binafsi me napenda sana kumsikiriza uyu dada
@rayanndizeyes316111 ай бұрын
swali zuru kweli amupigiye tuone aliya anaushungu sana hatakama anakanusha
@kahindorose998310 ай бұрын
Well come back am your funny❤❤❤ never give up in life🎉🎉🎉
@thuraiyathuraiya40111 ай бұрын
Mashaallah allya mzuri jamani ❤wanaume mnashindwa wapi? Mtoto kama huyu mzuri sana ❤❤❤❤❤❤
@annangonyo120211 ай бұрын
I give her 👍👍❤️❤️ very smart, intelligent woman❤
@azizasaid52553 күн бұрын
Aliyah ni mzuri sana, mrembo
@scanzakendimajau302011 ай бұрын
I love this gal Aaliyah😍😍😍much luv from kenya
@aysheraden771811 ай бұрын
Masha Allah ni mzuri sana asikubali kurudishwa nyuma na wajinga ❤
@franciskajessy740111 ай бұрын
Nakupenda sana Aliyah unajielewa baby ❤
@mohammadoman89636 ай бұрын
Hajielewi wala nini ana chinichini nyingi huyo
@ZainabuMatewa11 ай бұрын
Yani so kidogo ni sanaa we mzur bhna
@josephjaleen11 ай бұрын
Big fan from +254🇰🇪🇰🇪🇰🇪kipindi kile sky ukiwa RFA.I LOVE YOUR INTERVIEWING SIMPLICITY keep it up!
@aisharamdan835811 ай бұрын
Mashaallah Aliya mzuri mweupe halisi ❤❤❤
@agbordorothy490111 ай бұрын
All those women running behind Diamond you make yourself to shine like moon ,but Diamond has found peace in a natural woman with good heart and hard working .He has not look at shining but at someone who has is his peace of mind.Lady look somewhere else.
@那幅饿个哦发热呀16 күн бұрын
We mbona kma umejituma.ww na aliekutuma hamjiamini poleeeniii eeeh.let beautifully Aliyah be,mnaona potential mshaanza kujikojolea.
@RichardJanson-h4u11 ай бұрын
Furaha nikitu muhimu sana sio mpaka ulipwe ndo uweze kupata furaha furaha is automatically you guys 👦 mmependeza sana kuwa pamoja namtangazaji nwezenu peace ✌️ to all of you 🙏
@roudhamahmoud76311 ай бұрын
Napenda tabasam lako unavojiachiya aliyah uko frii kujieleza na kujibu
@officialmkusa11 ай бұрын
Nimeipenda sanaa hii interview naweza sema ndo the best ever happened waybac
@barnabasmalima482311 ай бұрын
AALIYAH anajitaidi kuficha ukweli kumbukemi bado yuko wasafi hakuna kampuni inaweza kukupa likizo nya mwaka mzimz labda tu uwe mgonjwa ila kwasababu chanzo ni CEO wao ndo maana alipewa likizo ya mwaka wala hauitaji elimu ya chuo kikuu kuelewa ilo
@vivianmahoo861111 ай бұрын
Kunalikizo bila Malipo, anawazazi , kunakipindi unafikia unaona ubaki huna kitu lakini unataka uwe na Amani, hela sio kila kitu.
@kekiplus1andonly11 ай бұрын
Ni kweli,kuona watu wanapendana kweli,yaani wana mapenzi ya kweli ni raha sana kuwaangalia. Hata mimi napenda watu wakipendana ,it just feels really good,and gives you hope in love😂😂😂lol
@humbleshoal6 күн бұрын
Is there any hope in love?
@ekaelmichael452211 ай бұрын
Love you Aliyah🥰🥰you are the best❤
@leonardanney758011 ай бұрын
Wow kama kuna mdada mzuri na mrembo basi ni huyu dada. Bonge la mrembo. Wow
@wozanawewoz97911 ай бұрын
Mzuri ndio lakini kupiga foleni kwa simba ,na hao wote waliopitiwa kwa kwelii
@humbleshoal6 күн бұрын
@@wozanawewoz979 Wangapi wamepitiwa babuu we wameshasonga mbele na maisha yao yanawaendea, em tupishe
@nancyg866411 ай бұрын
❤❤nampenda huyu dada asee she is very wise
@OnlyRuky11 ай бұрын
Her body language said everything 😢and she's still in pain and still dating her Boss( Dainamoo) that's why bado ana ficha😮
@apsaali859011 ай бұрын
true
@officialnadoboytz100511 ай бұрын
Mondi angeowa huyu Ni dem mzuri ni inteligent sana huyu💔😁
@binaljabirmshihirzanzibar836911 ай бұрын
Bado ana kula huyu mtt jmn
@binaljabirmshihirzanzibar836911 ай бұрын
Diamond
@FatmaAlamry0111 ай бұрын
I mis you alya beautiful Mashallah ❤🇰🇪
@neemayatosha161811 ай бұрын
Aliyah!Kama umekuja kusoma comments na hata umemsikiliza Sky utajua jinsi gani unapendwa na una nguvu. Yaani kwa kifupi wewe ni product inayojitosheleza,pengine Mungu alikupa nafasi Wasafi uonekane. Sasa tumia nguvu yako kufanya yako, Dunia inasogea na sasa Online KZbin chanels /Podcasts ndio habari. Itaweza kuwa ngumu mwanzoni ila ukijituma trust me utafika mbali. Fanya talk shows ,tena ifanye kibabe toka mpaka nje ya Tz Nairobi,Uganda,Nigeria na utakuwa talk of Africa na utatengeneza pesa nyingi.
@MsAggie511 ай бұрын
Yaani Kama akisoma hii message yako atafika mbali sana, anajua sana na vile kiingereza kinapanda anaweza kutoboa hata nje ya nchi
@elphinejoshua191411 ай бұрын
Sauti kama bby sky wetu❤❤❤
@lnspirational211 ай бұрын
Nice interview Bro Sky…. Tusubiri Mange ata-confirm haya yote, which will be bitter truth to her… she’s so pretty though
@elizabethchabluma-zw5qz11 ай бұрын
Nimependa ulivyojibu safi sana aliya
@jaheimndikumana996211 ай бұрын
Nimemsikiliza she’s very smart jinsi anaongea very very kiakili lakini kuna maneno akiongea anaangalia kamera that mean she means something
@britneykish963010 ай бұрын
😂 kumbe umemsoma n wwe anaficha ukweli zuchu si rafiki
@MTOTOWAvitoto10 ай бұрын
Nakukubali Sana mdada Aaliyah
@MadinaAbduKyabazinga11 ай бұрын
Lakini ifike point wasafi wampe some respect Aliyah alijua kuichangamsha sana
@SaidAbdalla-d8g11 ай бұрын
A lady of class , intelligent, smarter how I wish diamond could date her... She's so cute my favorite since way back
@necessaryfuntv498911 ай бұрын
Diamond actually hamfai aaliyah, he doesn't deserve a good girl honestly.
@chiccynaturaldamnhot87711 ай бұрын
Kazaa naye
@ladooladoo128510 ай бұрын
Aliya hongera sana you are very smart women, na kwa kweli ulifanya maamuzi Mazuri kuwa mbali na mitandao
@Dusenge-TV11 ай бұрын
I can see the pain through her eyes even if she denies everything. Pole sana Aaliyah wanadamu hawana shukrani.na siku zote hizo ni changamoto ukikutana nazo unakuwa stronger than ever . Don’t let people put you down no matter what ,u are a very talented girl and I know u will be very successful in your career ❤
@emilymula64511 ай бұрын
But " hurting" for Mondi is a waste of one's precious time n energy. Just look at the line of women he's been involved with - and expect him to treat u ( Aaliya ) differently 🤔
@Dusenge-TV10 ай бұрын
@@emilymula645 I don’t blame her most of woman always thought when it comes to their turn will be with him forever and it depends what strategies Mondi is using to take advantages to these poor woman🤦🏽♀️
@HappyShirima-k9t11 ай бұрын
She so cute alliyah ❤
@leaherasto92911 ай бұрын
Kazuri sana
@hazimamohammed134011 ай бұрын
Yaaani swala la yeye na zuchu sipati picha ingekuwa gigy money angebwatuka kiasi gn 😂😂 lkn this supper cute lady kajibu kistaarabu sanaa
@necessaryfuntv498911 ай бұрын
Aaliyah hawezi sema ukweli obviously. Amekua hurt. Ame learn. Ame move on na maisha yake, atasemaje ukweli wakati bado ako wcb... Maybe akishawaondokea,
@BHALEEALI11 ай бұрын
Alliyah yupo verry emotion dizaini kama anataka kulia hivi
@MsAggie511 ай бұрын
Body language 😂
@vickydan286911 ай бұрын
Kanajizuia
@carolsayo640911 ай бұрын
It was a nice one, however she lied about her friendship with zuhura, u can't cut off your BFF just like that their must be a reason, anyhu
@OmariabdalahalunaHaluna11 ай бұрын
Sns mungu awazidishie mtafika mbali sana
@claudiajames200311 ай бұрын
A queen In herself
@TheBossOdhis11 ай бұрын
We all need to take a break. This is very important!
@just.elhadji__714811 ай бұрын
Totally agreed with you.....somtyms taking breaks can lead you to better breakthroughs and realizing new other avenues/inner potentials within you!!❤❤
@zuberimuriphe11 ай бұрын
Zuchu is the best gf kwa mondy❤️.
@humbleshoal6 күн бұрын
We nae!
@agbordorothy490111 ай бұрын
True love never dies. If Diamond has true love for you, he will come back, but if not, accept his choice and move on.
@humbleshoal6 күн бұрын
There is no love in diamond's heart
@silverman693011 ай бұрын
Mondi why Zuchu … what the hell man … .. she is adorable 🥰
@SiaSheral11 ай бұрын
Anaongea vzr sasa aliyah
@mwanaishaabubakar501311 ай бұрын
Mara unasema lafudhi ya kizungu mara unajisahau unasema lafdhi ya kibongo. Acheni kujifanya jamani
@swahiliwithZita11 ай бұрын
53:36 hataki kumuongelea Diamond maana asije akamwaga mchele kwenye kuku wengi 😂 hategeki ingawa Sky ulijaribu sana kumtega kwa maswali 😂 for me, Diamond and Aaliyah are an item ingawa Diamond broke A's heart kinoma by going out with Zuchu. Sasa Zuchu ndo Aaliyah hamtaki hata kumsikia maana haamini kilichotokea ila anavunga tu. All in all, A is very grateful to Diamond tena with a positive mindset. Nahisi kamzalia chibu maana unaweza kumheshimu mtu kwa kumzalia u know 😂 she is very at peace with her place in Diamond's life 😊
@OfficialA8364011 ай бұрын
Wambea wa Bongo labda azalie ndani na awe hajainda clinic wee kwa Mange angechafua hali ya hewa zamani sana😂😂😂😂
@lareineminah135311 ай бұрын
Huyu alikuwa rafiki wa tanasha mzuri tuuuu... then yaka happen baadae akaja ku cheat waka achana... a heal tu Mungu amsimamiye
@PrincessHellen-pg1oy11 ай бұрын
Right ✅️
@mishikombowato145711 ай бұрын
@@lareineminah1353acha zako ww tanasha na huyu wapi na wapi huyu alimbeba zuchu kama mdogo wake akaishi nae kwake kabla hajasainiwa wcb
@lareineminah135311 ай бұрын
@@mishikombowato1457 Alikutaniya naye wapi? Walikutana wasafi uko uko...
@Living7Stone11 ай бұрын
She didn’t convince anybody here! Alihepa kwa hiyo hiyo sababu. Mange K is coming with more; just wait
@salimjumaa818011 ай бұрын
Hyu Aaliya ana ki2 na kw kwl mtakuja kunikumbuka. Npo pale nawasubiri. Cz nnaimani alipigwa na ki2 kizito mno.
@p.kasongot97911 ай бұрын
Nikweli anaficha kitu😂😂😂
@shabanihamisi11511 ай бұрын
Christian Ronaldo alimlipa mzazi mwenzake(aliekuwa mfanyakazi wa mgahawa) fedha nyingi ili asiweke wazi mahusiano yao kwamba wame-date na kupata mtoto. Haitashangaza kusikia/kuona Aaliya na Nasib wamekubaliana pia kuficha kuhusu mtoto kama yupo at any cost! Kwa uzoefu, mwili wa Aaliya wa sasa licha ya mapumziko ya muda mrefu, unaviashiria vyote vya kujifungua. Normally mwanamke akijifungua mwili huongezeka kutokana na vichocheo kuongezeka tangu ujauzito hadi kujifungua. All in all ni suala la muda. Nothing is hidden forever under the earth!!
@officialnadoboytz100511 ай бұрын
Ila wewe ndo uko mbali na maisha sana 💔😂
@patrickmukundichalamila303811 ай бұрын
Unawaambiwa mpaka leo haijulikani mama wa mtoto wa Cristiano hata waandishi wakubwa wa michezo wali bounce hawajui chochote so tuendelee kusubiri😊
@mwarikimwariki265311 ай бұрын
True moment
@PrincessHellen-pg1oy11 ай бұрын
Your right ✅️
@philipotieno999611 ай бұрын
I really ❤ looove heeer
@EustacheKasongo-j5g11 ай бұрын
Aaliyah she's so wise kwa kujibu maswali you can only understand her wisely else uta zani what she's saying niuongo mutupu
@MsAggie511 ай бұрын
She's intelligent
@emmajuma89611 ай бұрын
She sliced Tanasha. Wembe ni ule ule. Zuchu i love you and your relationship with Mondi. 🇰🇪
@HalimaMohamed-t7o11 ай бұрын
Toutes mes félicitations alta de pour pouvoir retourner au travail
@myriamjay11 ай бұрын
I like her, she is very smart even kwa kujibu ma swali.woow🥰
@anisawahyi294011 ай бұрын
Khadija Kopa shughulikia njemba hiyo isiipe pressure mwanetu
@cocorita836711 ай бұрын
Jmn Sky mmeshindwa kujua km kweli ana mtoto na Dai
@kimah985511 ай бұрын
Thanks for the interview guys you try and Inspire❤But Aaliyah is very smart girl and very good liar 😂😂😂😂We see and hear lakini ametudaganya vibaya sana😂😂😂😂But that’s her choice😂😂😂Acheni tu😂The truth is she looks happy Hongera kwake👌
@SimuliziNaSauti11 ай бұрын
Thank you, we tried 😂
@kwisa489911 ай бұрын
muda ukifika yote yatakuwa wazi let wait
@everrineanyango741011 ай бұрын
@@SimuliziNaSautiyou really tried I like that man Chris he looks like he doesn't likes jokes straight question waiting for valid answers but he didn't manage to get 😂😂
@mariej696210 ай бұрын
Nadhani amejifunza kutokana na makosa. At least for now. Alichemka sana kudate na Diamond. Haihitaji nguvu sana kujua mental breakdown yake ilitokana na kuvurugwa na love triangle kati yao. Nadhani kwa sasa yuko stuck na mkataba na the need to find job. I pray she find someone anayeweza kumjali anavyostahili.
@salhamrishoi494311 ай бұрын
Uyu dada mzuri saaana mashaa allah ❤❤❤❤❤❤🎉sauti yake sasa nyie uyu anakipaji buaana❤❤❤🎉
@zaileagogo624011 ай бұрын
😊
@hamisaally96811 ай бұрын
Yaani uyu dada angefungua account yake ata youtube tu ya kuwaoji watu mbalimbali angefika sanaa maana anawezaa
@MsAggie511 ай бұрын
Mno! Yuko vzr sana
@MsAggie511 ай бұрын
@gwamakangwala9244nazani yuko sawa Sasa baada ya mapumziko ya mwaka mzima