Culture Musical Club of Zanzibar - 'Kama Yalivyonipata'

  Рет қаралды 33,475

Singing Wells

Singing Wells

Күн бұрын

Пікірлер: 21
@jeanmarietakouleu9325
@jeanmarietakouleu9325 2 жыл бұрын
Merci infiniment à l'Orchestre Taarab de Zanzibar pour ces belles musique qui m'accompagnent chaque jour dans mon travail depuis le Cameroun. C'est une vraie source de motivation, meme si je ne comprends absolument rien de cette langue.
@mushken65
@mushken65 2 жыл бұрын
Mola amenihifadhi ndiye ameniogoza. Asante kwa taarabu asili yanituluza nafsi yangu nikiwa Makueni 🇰🇪
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 3 жыл бұрын
Mhhhh nyimbo ya bibi mwanacha hassan ni nzuri umejitahidi
@sarafutatu5946
@sarafutatu5946 3 жыл бұрын
Swahili is surely the most beautiful language ever 😍
@neillscan
@neillscan Жыл бұрын
Kabisa!!
@saidmajeba9791
@saidmajeba9791 6 ай бұрын
Najiskia raha sana,namna vyombo vinapigwa
@nadrasalim
@nadrasalim 2 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana ila muimbaji hauwezi kabisa
@cjuicjui1400
@cjuicjui1400 Жыл бұрын
Kweli
@rahimaally6471
@rahimaally6471 Жыл бұрын
Hakuuweza ila kajitahidi
@ShabaniKhamis
@ShabaniKhamis 6 ай бұрын
Hapana huyu muimbaji huu wimbo kautendea haki mno, ila ukimsikiliza juu juu ndo utahisi hakuutendea haki na wala hajuikuimba ila sio kweli... kwanza muimbaji anajua kuichezea sauti yake yaani kufanya anavyojisikia yeye, huo ni uwezo wa hali ya juu na kama ukianza kumsikiliza anavyoanza kuimba utahisi hajui kuimba ila huko mbele kadri alivyokuwa akiendelea alinishangaza sana baada ya kuona kuwa anabadilika badilika tena kwaajabu mno🔥🔥🔥👏
@osmanha6915
@osmanha6915 6 ай бұрын
Kaufuja sana
@feiz3180
@feiz3180 Жыл бұрын
BADO SAUTI HAIKUBALI. mWENYEWE NA NYIMBO YAKE . uMEJITAHIDI LAKINI SIO YA ccm HIII. HII YA WAZANZIBARI.
@Dajome1962
@Dajome1962 4 жыл бұрын
They are in a word “elegant” and they are wonderful musicians. Oh, and she is great!!!
@maanroovmaanrethca5113
@maanroovmaanrethca5113 4 жыл бұрын
more please
@HalimaHalima-id2cb
@HalimaHalima-id2cb 2 жыл бұрын
Sasa na adhurikaa❤❤❤🔥🔥🔥🔥
@mohmmedmustafaahmed8530
@mohmmedmustafaahmed8530 3 жыл бұрын
Woderful
@fatmamuhammed9713
@fatmamuhammed9713 10 ай бұрын
Hata were hujaiweza unaiburura
@Nabiilkhamis
@Nabiilkhamis 6 ай бұрын
Kweli
@abdallhabinmkasibayyat6657
@abdallhabinmkasibayyat6657 Жыл бұрын
Rukia ramadhan aliitendea haki ila dada yanyu huu amejitahidi ila huyu anatakiwa akaimbe moden sio taaarabu og
@rahimaally6471
@rahimaally6471 Жыл бұрын
Rukia ramadhan au Nihfadh Abdallah
@HasinaKaita
@HasinaKaita 2 ай бұрын
Upo sahihi wallah Rukia aliitendea haki haswaaa,,na unavyosema hugu akaimbe morden Taarab hakika wallah unaona kama mimi nilivyoona
Culture Musical Club of Zanzibar ' 'Tumewashika'
9:24
Singing Wells
Рет қаралды 20 М.
UMEWASHUKA - FATMA ISSA
13:16
Bin Seif
Рет қаралды 202 М.
"Идеальное" преступление
0:39
Кик Брейнс
Рет қаралды 1,4 МЛН
진짜✅ 아님 가짜❌???
0:21
승비니 Seungbini
Рет қаралды 10 МЛН
RUDI HARAKA
9:58
Bin Seif
Рет қаралды 205 М.
Kasha Langu
7:25
Sema Jambo
Рет қаралды 14 М.
Culture Musical Club - Jipeleleze (Official Audio)
9:25
Tunes Of Africa
Рет қаралды 19 М.
Culture Musical Club of Zanzibar - 'Mapenzi Matamu'
7:24
Singing Wells
Рет қаралды 172 М.
Naomba kwako bibiye
12:28
Zanzibara - Topic
Рет қаралды 49 М.
NIMTAMKAE HATAKI
5:08
kenyanprince007
Рет қаралды 39 М.
Bora Adui Shetani Kama adui Kiumbe Fatma Issa
15:48
Old Is Gold Taarab Zanzibar
Рет қаралды 278 М.
Culture Musical Club of Zanzibar - 'Waridi Bashraf'
6:30
Singing Wells
Рет қаралды 23 М.
Cheo chako
11:18
Zanzibara - Topic
Рет қаралды 138 М.
"Идеальное" преступление
0:39
Кик Брейнс
Рет қаралды 1,4 МЛН